TUNDU LISSU KUMRUDISHA SABAYA GEREZANI/ HAPASWI KUWA URAIANI/ MAJIZI, MANYANGANYI/ RAIS MAGUFULI

  Рет қаралды 36,035

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#tundulissu #magufuli #sabaya

Пікірлер: 83
@paulokiwango21
@paulokiwango21 Жыл бұрын
Baba mtata in da house
@haidar438
@haidar438 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu mwandishi
@yohananundi1167
@yohananundi1167 Жыл бұрын
Hakuna mpinzani mwenye akili timamu
@sharifaamrani654
@sharifaamrani654 Жыл бұрын
Na kwa mia jembe letu tumbe maneno yenye hakili❤
@juniormgema6090
@juniormgema6090 Жыл бұрын
Wewe mbina umesamehewa??
@paulokiwango21
@paulokiwango21 Жыл бұрын
Hahah viva lissu viva commander hujvungagi
@mako331
@mako331 Жыл бұрын
Hata nyie wapinzani wanafiki sana umepewa mafao yako ya bunge siku hizi hupigi kelele tena nendeni mkanywe chai ikulu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
Ni Masuali magumu sana kwa lissu hana Majibu ya msingi
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
KAMA KUNA MTU HAPASHWI KUWA MTAANI , NI TUNDU LISU YEYE MWENYEWE. JE WEWE MBONA ULIJITOA MUHANGAKUPIGWA LISASI, HALAFU UKAMSINGIZIA MAGUFULI JE HUO SIO UJAMBAZI?. NA WEWE PIA UNAPASHWANKUZUNGUMZIWA KIVINGINE.
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Mnaomuona Magu kuwa mungu wenu nawahurumia sana. Uwezo wenu ni mdogo sana. Hata hujui aliyempiga Tundu Lisu Risasi alifanya hivyo kwa amri ya nani🤔! Watu kama nyie mnatujazia nchi bure wakati hamna faida yoyote. Kama huwezi kuelewa Jambo basic kama hilo, wew una faida gani hapa duniani?
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Kwa ilo utatusaidia sana lissu ni kweli yule jamaaa lazima arudi ndani jambazi lile
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Жыл бұрын
Ndio maana nasema hana sifa ya kuwa kiongozi amini
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын
Sifa yakuwa kiongozi usiwe mkweli!!!.
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
Afu unakuta li mtu lina comment kejeli nchi ya ajabu sanaaa hiii, viva mheshimiwa Lissu
@mengirashidy-ld3lm
@mengirashidy-ld3lm Жыл бұрын
Wewe mjinga sana unamsapoti lissu anaongea urongo
@MTUWATV
@MTUWATV Жыл бұрын
Kwakweli huyu mwandishi nishampenda natamani kumufahamu
@b-creative4662
@b-creative4662 Жыл бұрын
Tatizo lililofanya Chadema kupungua nguvu ni hii na hawajiongezi wanavisasi visivyoisha walipunguza uaminifu pale walipomcheka Marehemu Raisi aliepita wakati keshafariki na kingine hiki wanaendelea kukosea!! Na lile la kumshauri Rais Tuchanje kwa Lazima!! Na hawajui kama wanapoteza uaminifu
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 Жыл бұрын
Sabaya anaogopeka chadema
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
sana maana aliwasaidia wana hai wakaepukana na matapeli wa chedema yanai wanamuogopa sana 😀😀
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Kuna mtu asiyemuogopa shetani? Labda kama ni shetani mwenziye.
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Kabisaaa mzee rissu
@christinapaul2957
@christinapaul2957 Жыл бұрын
Yaani huyu jamaa na chuki zake Mungu hawezi kuruhusu kuwa rais wa tz
@selemanihamisi5726
@selemanihamisi5726 Жыл бұрын
Aaaa wanasiasa wa Tanzania hadi raha sawa wacha liende tu
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Жыл бұрын
Jela kuna watu wengi sana wenye makosa madogo na wamekaa jela miaka na miaka.. Wenye akili timamu ndo wataelewa uchungu wa Lisu😢 Wapuuzi wachache wataongea hovyo
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 Жыл бұрын
Mbona hasemi kwanini mwenyekiti wake kaachiwa mwizi muuaji wakati kuna wengine wasio na hatia wako gerezani
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 Жыл бұрын
Achana na wanasiasa hawanaga uchungu ni manenoo2 na masiah yao utasumbukaa bure2
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Wamba dia Wamba wa Tanzania.. anaishi Ubelgiji anaendesha uuzaji wa Tanzania kwa wabelgiji.. huyo ni wa kuogopa kama ukoma hafai! Hakuna mpigania uhuru wa kweli wa Kiafrika amabye alitafuta hifadhi Ulaya na akaweza saidia nchi yake! Serikali ya Samia ni madudu.. lakini huwezi ibadilisha na kuiwek aile ya Lissu anayetaka kuweka rehani maliasili zetu .. kwani pesa anazopata hivi sasa ni za kuiuza Tz kwa wazungu! Ndio zinazompa fikra za kihuni za kutaka kurejesha malisili zetu kwa wazungu.. huo ni uzwazwa, kwani kuna mipango ya kuunda serikali moja ya dunia (One Global Government ya wakiritimba amabo hawakuchaguliwa na wapiga kura, akina Klaus Schwarz na wengine kama Bill Gates n.k.), ambayo itanufaika na fikra na sera za kipumbavu kama hizo .. (OWN NOTHING AND BE HAPPY??) .. Lissu aliyekuwa mwanasheria wa wezi wa makinikia (Acacia) ndiye aje kuwa mkombozi leo hii? he is even worse.. huyo ni hypocrite! Anaongea maneno ambayo yanamfanya aaminike na wasioangalia matendo yake! Kama anachukia vitendo vya Samia, Magufuli na CCM.. basi angesimama kidete kufichua wizi wa madini na makinikia KWA WANANCHI, uliofanywa na Acacia ambayo alijua haijasajiliwa wakati akiitetea kisheria! Huyu aliomba mbwana zake eti tuwekewe vikwazo ili God forbid akipata madaraka yeye ndiye aonekane mkombozi wa kuondoa hivyo vikwazo? Huyo alikuwa anapanga njama za kukamata ndege za Air Tz eti kwa kuwa hampendi Magufuli? Kiongozi gani ana-sabotage nchi anayotaka iongoza? HYPOCRITE! Watanganyika amkeni Lissu /Samia hao sio viongozi.. bali ni wanasiasa chumia tumbo tu.. tafuteni Watanganyika makini wawaongoze! tulionao ni HYPOCRITES!
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kuna raia wameiba simu mpaka leo wako jela. Hawa jamaa mabilioni mpaka kuua lakini wanatoka 🤔🤔
@songolomgallah4017
@songolomgallah4017 Жыл бұрын
Kama nani anataka kiki tu huyo
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 Жыл бұрын
Mnao comment kwa kejeli ndo hao mnashabikia uovu, hii si sawa hata kidogo kama kweli tunasimamia haki iliyo ya kweli haihitaji kusimamia kukejeli kwa watu wanaousema ukweli.
@eamsatellite2077
@eamsatellite2077 Жыл бұрын
Huyu jamaa akiwa raisi ataonea wengi anachuki binafsi
@drgeraldcubwa481
@drgeraldcubwa481 Жыл бұрын
Hivi ukiwa kifungo Cha nje unanyang'anywa passport?
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 Жыл бұрын
Wacha utundu ww litundu..unamchukia mwenzio pasipo sabab
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 Жыл бұрын
Sabaya mhalifu, watz wanajua. Jambaz yule.
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 Жыл бұрын
Naye kakiri asamehewe. We ni nani?
@FarajaLibaba-pn5ov
@FarajaLibaba-pn5ov Жыл бұрын
Jela unapajua?? Uwe na huruma wewe.
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
We lisu Rudi ulaya
@esmakhaji9820
@esmakhaji9820 Жыл бұрын
Duuuh jamaa kichwa namkubali daa anafaa kuwa Rais wa manzese
@mtumplole2155
@mtumplole2155 Жыл бұрын
Una ushahidi jibu ni ndio au la sio malezo
@kanyemelapeter2384
@kanyemelapeter2384 Жыл бұрын
Kaongea kwelii kama sheria nimsumeno basi usipindishwee uende haki bin haki
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Hata mbowe hakustahili kuwa ulaiyani mbona chadema mnajionaga mpo vizuri kuliko wengine?
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Kwanini?
@saimonwatanzaniatanzania1436
@saimonwatanzaniatanzania1436 Жыл бұрын
Lisu akamatwe
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Na wewe pia
@paulokiwango21
@paulokiwango21 Жыл бұрын
Hahah
@mariosigala8760
@mariosigala8760 Жыл бұрын
Sifa mbaya sana
@onesmojeremia9713
@onesmojeremia9713 Жыл бұрын
Tanzania hakuna wanasaikologia wa kumsaidia huyu jamaaa,??
@darusonalkam2034
@darusonalkam2034 Жыл бұрын
Hii inchi ukiwa mnyonge unakuwa dampo la serikali mabaya yote yako ,,wakubwa awafungani jela maisha ,ila wao uweka maabusu kwa siku kazaa
@kingbabzubekingbabzube5992
@kingbabzubekingbabzube5992 Жыл бұрын
Huyu tundu inafaa apelekwe tena nnje
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Sabaya ndie Pekee anaweza kuuwa upinzani. Apewe cheo.
@cypriansambagi
@cypriansambagi Жыл бұрын
Hakuna mtu mkamilifu duniani wewe mwenyewe mbona Kessy zako zimefutwa
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Zilikuwa za uongo ndiomaana zilifutwa.
@darusonalkam2034
@darusonalkam2034 Жыл бұрын
Tundu ww unajua kweli ila una nafasi wacha watupike
@adammbaruku2499
@adammbaruku2499 Жыл бұрын
Ww mzee unazeeka vibaya unapenda wenzako wawepo ndani , ulipotakiwa naww kuwa ndani ukakimbilia ubalozi na baadae Ubeligij . Unahasira na watendaji wote waliokuwa chini ya JPM. Acha roho mbaya.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Kama ww mama ako angeuliwa ungetaka huyo kijana wako awe nje Kama usingependa basi na ujiwe wenzio wamepata na maumivu makubwa kwa damilia zao dhidi ya sabaya
@rashidikombo9240
@rashidikombo9240 Жыл бұрын
Acha chuki za kijinga
@gasparkamiliusbutama6487
@gasparkamiliusbutama6487 Жыл бұрын
Mimi kama raia halali wa Tanzania ambaye nina haki zote ikiwa ni pamoja na kupata taarifa kamili za nchi hivyo ninakusudia kwenda mahakamani kuomba kibali cha kuruhusu cha uchunguzi wa wazi na Timu ya wataalamu kuchunguza madai ya Tundu Antipasi lissu kuwa ni kweli alipigwa risasi 16 kwa kutumia bunduki ya smg, na kama ikibainika siyo kweli apigwe viboko 40 kila siku kwa kipindi cha miezi 6
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Duuu
@AngelusKapinga-rz3qo
@AngelusKapinga-rz3qo Жыл бұрын
Naamini lisu anaongea kuhusu dr magu ni emotional tu
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Жыл бұрын
Tundu acha porojo zako ww jamaaaa unajishushia heshima nyie mnaonewa lakini wengine wahalifu hizo ndo Siasa za maji taka
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
We unafki umekjjaa nawatanzani wamekujua
@juniormgema6090
@juniormgema6090 Жыл бұрын
Mabomu yameharibu watu ebu kujeni muone😂😂😂
@YoutubeYoutube-to1jo
@YoutubeYoutube-to1jo Жыл бұрын
Shoga huyu hata hajielewi. Shahawa zimemuaharibu
@immanuelinvocavith1498
@immanuelinvocavith1498 Жыл бұрын
Huyu mwandishi huwa ametulia Sana na maswali yake no critical,, hii movie ya sabaya tusubiri
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
True,he is very smart
@eliasjillanga3158
@eliasjillanga3158 Жыл бұрын
Duuuh,,,🥹🥹
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 Жыл бұрын
We fanya urudi Ubelgiji bwana kelele hizi hazina maana. UMENIPATA?😆😆😆🤣🤣🤣🤣
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Na yeye hapaswi kuwa Tanzania ni arudi huko UBELGIJI
@charlesmurimi765
@charlesmurimi765 Жыл бұрын
Aisee tunaomba hii clip yote,mbonammeweka fupi dakika 9
@frankleopord-qu4kp
@frankleopord-qu4kp Жыл бұрын
Duniani hakuna haki
@RichardCossan-rk1ub
@RichardCossan-rk1ub Жыл бұрын
Sazma asemwe sana kama anafeli mama🤔
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Hatari jamanj ncjhi tuipenda tupenda amani
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Nadhani hata yeye kama hata samehewa na watanzania hatakuwa salama nadhani kama mahakama imeamua awe huru yeye nani apinge ina maana yupo juu ya sheria Tundu lisu badilika na uwe unapata hata muda wa kusali na kutubu kwa kauli unazotoa wakati mwingine ni mtazamo tu
@saimonwatanzaniatanzania1436
@saimonwatanzaniatanzania1436 Жыл бұрын
Kabisa
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Sabaya analindwa na mfumo tu matendo yake ayajakugusa ndio maana unaisi labda anaonewa
@lucymussaabinego1753
@lucymussaabinego1753 Жыл бұрын
Hatubu ukweli?
@tengarashid4703
@tengarashid4703 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@wilsonmasaindiammasi2779
@wilsonmasaindiammasi2779 Жыл бұрын
Mliendesha nanyi maandamano yakaua watu hata ninyi hilo ni jinai
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Huyu mwandishi namkubali sana lakini uulizaji wake hampi mtu uhuru. Umeuliza tulia upewe majibu. Bora uulize swali moja lichambuliwe kesho uje interview nyingine uulize seali lingine
@mariosigala8760
@mariosigala8760 Жыл бұрын
Jibu swali la msingi ulilo ulizwa
@mwitahassan1934
@mwitahassan1934 Жыл бұрын
Inauma Sana Kuna ndugu zetu wako jela kwa kuiba kuku tu au muhogo nchi hii Haina usawa kabisa
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Жыл бұрын
Walioko jera wengi ni sisi na ni ndg zetu tuliomaskini kwa hiyo ndg
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 105 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 17 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 46 МЛН
POLISI wamuandikia TUNDU LISSU barua hii, Awajibu jukwaani
12:37
Mwananchi Digital
Рет қаралды 72 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 17 МЛН