TWAHA KIDUKU AMALIZA UTATA KUPIGANA na MWAKINYO, SAKATA la DULLA MBABE - "UTAKUJA KUFIA ULINGONI"

  Рет қаралды 21,114

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

7 ай бұрын

TWAHA KIDUKU AMALIZA UTATA KUPIGANA na MWAKINYO, SAKATA la DULLA MBABE - "UTAKUJA KUFIA ULINGONI"
BONDIA Twaha Kiduku baada ya kupoteza pambano lake mkoani Mwanza amerudi tena na anatarajia kupanda ulingoni Desemba 26, 2023 dhidi ya Mohamed Sebyala katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar.

Пікірлер: 29
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 7 ай бұрын
Inabidi tuwaandae washabiki wetu kujikumbusha mara kwa mara juu ya Tanzania kwanza.kumekua na mtindo mgeni akionyesha upinzani kidogo hata kama kapigwa dhahiri washabiki wetu akitangazwa mwenetu utasikia bondia wetu kabebwa.na mgeni akipigwa KO wanasema bondia wetu kaletewa kiazi.Tumefika mahali tuna maradhi ya ajabu yakuwaombea nakufurahia wageni washinde.Champion Alimkosea kidogo sana yule bishoo kwa kumruhusu achezee nje sana.Amemaliza kishujaa sana fight yake.Marefa walipotangaza mshindi alipokea matokeo bila kinyongo hakika yeye ni jasiri sana na mwenye tabia njema ndani na nje ya ulingo.Inapasa kumpa moyo nakutokariri kupoteza kwake.Badala yake tumuonyeshe kua anaweza na nihakika kua anaweza.Mola awe nawe champion na azibariki juhudi zako zote
@tusajigwe7491
@tusajigwe7491 7 ай бұрын
Kauli thabiti Twaha big up sana
@ramadhanihamadi6304
@ramadhanihamadi6304 7 ай бұрын
Nilikua namchukia huyu mwamba kimihemko lakini kumbe hana shda na mtu
@hamisimshamu8968
@hamisimshamu8968 7 ай бұрын
Unaweza siku ukenda kufa kwenye Ring 😂😂
@SelemaKidundo-ii2pz
@SelemaKidundo-ii2pz 7 ай бұрын
Mwakinyo nambari moja tz Hadi afrika
@kismatinational8270
@kismatinational8270 7 ай бұрын
Mshikaji Twaha yuko poa sana ❤
@Gwax-hm3jl
@Gwax-hm3jl 7 ай бұрын
Wellsaid KIDUKU👊👊
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 7 ай бұрын
Tunduma tupo kujenga mnara wako Twaha kiduku##heshima kwako brother Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwako ##
@adilhabib8988
@adilhabib8988 7 ай бұрын
Twaha mm nakukubaliii
@mokitaa8750
@mokitaa8750 7 ай бұрын
twaha kajibu vizuri anaenesha ukomavu wa akili alafu haoneshi kinyongo hii safi ata mwenye kinyongo nae atakunjua na mabondio wajefunze kwa twaha na ata akipigwa ajali anarelax na watu wake ... MWAKINYO WE NIWA NYUMBANI LAKINI SAMTIME UNASHINDWA KUJI KONTRO KWENYE MANENO JIREKEBISHE MWAMBA UNAJUA FANYA KWELI KAMA FADHILI MAJIHA
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 7 ай бұрын
Safi sana broo
@RachaelJackson-xy7ct
@RachaelJackson-xy7ct 7 ай бұрын
Twaha kiduku hata apigwe miaka miaa Mimi namkubari na ndio bondia wangu namba mojaaa duniani hapa
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 7 ай бұрын
Wasikushonganishe ukapoteza kipaj chako bro
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 7 ай бұрын
Twaha tunakupenda sana lakin ungana na mwakinyo usonge mbele acha kusikiza maneno ya watu nenda chukuwa trending bro mwakinyo nimzur kwa tanzina tuwache ubishi
@user-hv6qw2zw2y
@user-hv6qw2zw2y 7 ай бұрын
Acha ujinga atubembekezi vichwa PANZI 😮
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 7 ай бұрын
umeonge kwel kabisa mwakinyo yupo vizuri sana
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 7 ай бұрын
Unahekima usiwe Kama mfaume
@kazumarihamisilikumbato9213
@kazumarihamisilikumbato9213 7 ай бұрын
Waandishi wa habari mbona mnakuwa mahayawani hivi mnaanza tena kumchonganisha mabondia mwanzo mlianza hivihivi kumuhoji Twaha kiduku kwa maswali ya uchonganishi bila twaha kujijua kuwa anachonganishwa akaingia kichwakichwa Mwakinyo kavumilia sana hadi kachoka kaanza kujibu wakaanza kumshambulia mabondia wengi alivyokuwa anajibu mashambulizi watu wakaanza kumuona mbaya yeye bila kuangalia nani kaanza. Ushauri; Waandishi wa habari kuweni na uweledi wa kazi zenu musiwe vyanzo au sehemu ya ugomvi na mifarakano katika jamii, hii haileti taswira nzuri katika tasinia yenu ya uwanahabari, mnatakiwa kuwa wapatanishi na wajenzi katika jamii na sio wabomozi, Kwa upande wamabondia, mnatakiwa muwe makini na hawa wanahabari uchwara wasiojitambua nini wanafanya dhidi ya maswali yao, msikurupuke kujibu tu bila kuangalia madhara ya swali hilo pamoja na jibu lake, mkifanikiwa kufanya hivyo mtajikuta mnajenga umoja ndani ya tasinia yenu ya ngumi na hatimae kuwa ni mchezo pendwa ndani ya jamii na ninyi kujikuta mnafika mbali sana kimafanikio. Ahsante.
@KitasaWaaction-gm9zr
@KitasaWaaction-gm9zr 7 ай бұрын
Tatizo ni mwanahabari alaf mshabiki hilo tatizo
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 7 ай бұрын
Mwakinyo ni bondia acha ukuma wew utafananiza na wesenge
@mot.tvmsamvu6770
@mot.tvmsamvu6770 7 ай бұрын
mbona matus
@midompemba9647
@midompemba9647 7 ай бұрын
Bondia mwepesi tu yule labda we mwenyewe ujichenge
@KitasaWaaction-gm9zr
@KitasaWaaction-gm9zr 7 ай бұрын
Mtangazaji huyu hana weled wakuhoji unahoji kama mshabiki,bro unapohoji simama kuhoji sio km mshabiki
@shehanimzee9953
@shehanimzee9953 7 ай бұрын
Twaha kupigana hujui bhana hata Mimi nataka pambano na ww
@paschalemiri9944
@paschalemiri9944 7 ай бұрын
Nyie nini acheni mambo hyo champen ndino amemtoa twaha shamba la bibi taifa hyo we unaweza kupigana na baba yko
@mohamedally-cu8si
@mohamedally-cu8si 7 ай бұрын
We kuma usiongee tena ukuma km huuu
@adilhabib8988
@adilhabib8988 7 ай бұрын
Mtu akipigwa wacha apigwee tuuu
@KitasaWaaction-gm9zr
@KitasaWaaction-gm9zr 7 ай бұрын
Mtangazaji huyu hana weled wakuhoji unahoji kama mshabiki,bro unapohoji simama kuhoji sio km mshabiki
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 7 ай бұрын
Mwakinyo amefungiwa
BANGI NIBANGUE
15:27
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 179 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 14 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 58 МЛН
Учу Стефа крутить 🏀
0:33
Kirill Fire Freestyle Basketball
Рет қаралды 397 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
0:13
Power Slap
Рет қаралды 24 МЛН
Майк Тайсон НЕ НУЖДАЕТСЯ В ОХРАНЕ #shorts
0:30
Тайна ММА
Рет қаралды 2,2 МЛН