MWAKINYO: TWAHA KIDUKU MPAKA PIKO YULE/SIJATAFUTA 'KIKI' KUMTAJA ILI PAMBANO LANGU LIONGELEWE

  Рет қаралды 33,918

Dar24 Media

Dar24 Media

6 ай бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 63
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en 6 ай бұрын
Nakukubali sana mwamba wangu mwakinyo alafu usimuweke akilini mwako yule mpaka piko wa Moro kasha kuwa expired Kwa Sasa....Big up mhuni wangu....🎉🎉🎉
@mdosephayta8075
@mdosephayta8075 6 ай бұрын
Daaah mwakinyo eeeh endelea kutufumbua mabondia wadogo tuzid kujua haki zetu tusipelekeshwe tuu
@user-ge9je3hn6b
@user-ge9je3hn6b 6 ай бұрын
Nakubar sañ mwanang mwakinyo 2tongee shoga yule kelel zimezdy
@user-km8xp9gy8v
@user-km8xp9gy8v 6 ай бұрын
Penda sana mwakimyo mm ❤❤❤
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 6 ай бұрын
Miaka mingi imepita mtoto wa kitanga kaja kuwafungua macho kwenye mchezo wa ngumi na kipaji kipo,upepo wako hata wakipinga ..kidunia umechafua vyombo vya habari,piga hela...
@silvanusmahinda-ts3dx
@silvanusmahinda-ts3dx 6 ай бұрын
Taarabu nyingi kitendo 0,kaombwa mara ngapi ni muoga tu mtt wa kutanga,na ayuko levels za ju ...muingereza anaguswa kidogo aleta sababu ya viatu ndo bondia uyooo,asaini
@bwittozmjomba7019
@bwittozmjomba7019 6 ай бұрын
😅mm namkubali sana mwakinyo na majibu yake
@jumaissa-tm1su
@jumaissa-tm1su 5 ай бұрын
Shabiki namba 1 wa mwakinyo nakubali sana
@user-le6co6yv5i
@user-le6co6yv5i 6 ай бұрын
Nakubali mwamba mwenyewe point tupu
@dengeman4814
@dengeman4814 6 ай бұрын
We jamaa una akili sana ata kuongea unajua
@mudrickikasigo
@mudrickikasigo 6 ай бұрын
Dah kiukwel mungu akubariki saaaan
@gallosstanslaus2825
@gallosstanslaus2825 6 ай бұрын
Champez OneTyme Mwana wa ISOMBA, from MOGADISHU family nasir sana we mwanangu.
@lucasmdoya4390
@lucasmdoya4390 6 ай бұрын
Mwamba sn huyu mwanangu💪💪
@WillsOffuture-ux5tf
@WillsOffuture-ux5tf 6 ай бұрын
Somba usimfananishe mfaume kiduku na champez,,mwakinyo ni level nyingine kabisa ,,,ruler...uchawi pembeni..shabiki wa masumbwi mzalendo ni lazima umpende na kupenda kazi zake boxer anayefanya vizr..anayeiwakilisha nchi pia..mfano huu ni mfano hai kwan namzungumzia mwakinyo..mimpeheshima kubwa hapa tz...
@ahmadmohd3771
@ahmadmohd3771 6 ай бұрын
Licha ya yote mwamba anaeongea fact
@StevenMgassa
@StevenMgassa 6 ай бұрын
Huyo mwakinyo tunampa Mfaumemfaume cz Twaha kashuka kiuwezo
@user-ig7mj4ve9h
@user-ig7mj4ve9h 6 ай бұрын
Mwamba anajua kuongea kinoma apew mau yake🎉🎉
@nasraabdallah
@nasraabdallah 6 ай бұрын
Jamaa akili nyingi sana inter vew yake hauwezi kuchoka
@hassanissa4145
@hassanissa4145 6 ай бұрын
Nakubali
@jumaally8567
@jumaally8567 6 ай бұрын
Bonge la interview Hasani mwakinyo ni mmoja tyu😅
@SelemaKidundo-ii2pz
@SelemaKidundo-ii2pz 6 ай бұрын
Mimimwenyewe nakukubali nibingwawangumi
@HamisiMsami-ol3zk
@HamisiMsami-ol3zk 6 ай бұрын
Nakukubali sans mwamba
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 6 ай бұрын
Nimemisi kuona champiz ❤❤
@RamadhaniShabani-nc5ve
@RamadhaniShabani-nc5ve 5 ай бұрын
👑
@user-pr7pz1pu2u
@user-pr7pz1pu2u 6 ай бұрын
💪
@OmaryMohamed-nr4nk
@OmaryMohamed-nr4nk 6 ай бұрын
Nakukubali
@King-Buda
@King-Buda 6 ай бұрын
Viva bro
@abdillahnassir6646
@abdillahnassir6646 6 ай бұрын
Hahahahahahahahah😅😅😂😅😂😅😅😂😅😂😂😅😂😅😂 nimpenda sana apo mwisho kuusu mfaume na mwakinyo avomkazia macho somba, ikapidi Somba atoe shukrani iishe ivyoo tu 😅😅😅😂😂😅😅😂
@jumayahaya3001
@jumayahaya3001 6 ай бұрын
Yeye ni nakozz wa mwili mzima
@user-bn6we3nj6t
@user-bn6we3nj6t 6 ай бұрын
Champion
@user-qz5yh1dl1n
@user-qz5yh1dl1n 6 ай бұрын
Tunakukubali mtanga ila punguza ngenga unachonga saana
@EliaMwaijumba
@EliaMwaijumba 6 ай бұрын
Wewe ni no 1
@EliaMwaijumba
@EliaMwaijumba 6 ай бұрын
Tupigie uyo kiduku anatusumbua mashabiki wako kwamba unamuogopa ss tunajua umwogopi
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 6 ай бұрын
Afu umevaa kilemba😢
@user-kd6xn7ux4v
@user-kd6xn7ux4v 6 ай бұрын
hapo hamna bondia mwimba taarabu
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 6 ай бұрын
Mwakinyo ni bondia wewe wacha kabisa
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o 6 ай бұрын
Gumii unajua rakini nakuombaa ongezaa mazoezii kwaenye ngumi irii ngumi zakoo ziwee na nguvuu azinaa nguvuu Sana kwa sisi watuu waa bokxx
@user-wu2er7go9j
@user-wu2er7go9j 6 ай бұрын
Heee! 😂😂😂 Sahivi umekubari? Wewe ni bondia mzuri ila sema umeona kama kashuka kimchezo ila atakutoa jasho na anaeza kukupiga huyo mwamba Usimchukulie poa
@RamadhaniShabani-nc5ve
@RamadhaniShabani-nc5ve 5 ай бұрын
R.m.s fashion
@KimbilimaSocial-dy9cl
@KimbilimaSocial-dy9cl 6 ай бұрын
Nakozi siyo bondia LEVEL yake ndogo labda yule tembo Wa morogoro kidogo siyo Kwa mfaume mfaume hata mimi nikiingia mwezi kufanya Mazoez hatoki namkalisha round ya 2 au ya 3
@user-ls5iu7bf2e
@user-ls5iu7bf2e 6 ай бұрын
Huyu kaona Twaha kwasasa kashuka kimtindo ndio anajifanya anataka kupambana nae.
@user-ig7mj4ve9h
@user-ig7mj4ve9h 6 ай бұрын
Mgum pia anaweza
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 6 ай бұрын
Champres onetime.
@ahmadmohd3771
@ahmadmohd3771 6 ай бұрын
Seema asikariri bro
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 6 ай бұрын
Uyu simba na mwakinyo ni washikaji sana
@user-sv6oh4up9s
@user-sv6oh4up9s 6 ай бұрын
Tatizo lako mwakinyo unavijineno kama mtoto wakike
@jumabidery5051
@jumabidery5051 6 ай бұрын
Wanafki Ile mbaya na wanaswali swala tano
@chawalive
@chawalive 6 ай бұрын
Nipencial pia siyo piko😂😂😂😂
@Semtoto
@Semtoto 6 ай бұрын
Mfalme wa mwili mzima 😂
@hamisyeo1365
@hamisyeo1365 6 ай бұрын
Duh umekwisha broo umeshuka kiwango sana umekubali kupigana na twaha 😂
@user-wu2er7go9j
@user-wu2er7go9j 6 ай бұрын
Na pia kaona Twaha kashuka Sasa naanza kuamini kuwa alikuwa anamuogopa
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 6 ай бұрын
​@@user-wu2er7go9jkwann twaha kakubar kushuka?
@allykarupa1411
@allykarupa1411 6 ай бұрын
Uyomtangazaji hanakuuliza manenoyakinafiki
@hemediMbilikila-bc4gj
@hemediMbilikila-bc4gj 6 ай бұрын
We mshamba tu nyumba mganga nyumb shogoro mbona unamkwepa yeye anakutaka ww unamkwepa
@wazirimokiwa
@wazirimokiwa 5 ай бұрын
unajua mnapenda ushabiki wakishamba nyumba mganga nyumba shogoro ndionn TZ mashabiki mpo kama makuma ukiwa na kisimu Cha laki 2 unajikuta unaropoka washamba
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 6 ай бұрын
Ngumi hujui wanakuleteaga walevi ukiyakanyanga kwa mtoto wa moro utapotea kabisa kwenye ngumi we kwepakwepa tyu siku ukiyaganyaga utasimulia dunia
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 6 ай бұрын
huyu chalii yenu alisema hawezi kucheza na mabondia wa tz Sasa imekuwaje ameanza kujisogeza kwa twaha baada ya kuona ameshuka kiwango wewe jamaa unapenda miteremko 😅😅😅😅
@user-kw1ms4nz3q
@user-kw1ms4nz3q 6 ай бұрын
Safi Sana mpe ukweli wake alafu mwambie uyu ni mlugulu asijichanganye
@allyjuma4896
@allyjuma4896 6 ай бұрын
Kiki
@tnt5965
@tnt5965 6 ай бұрын
JAMANI NIWAAMBIE KITU, KWASASA MWAKINYO MUSIMLINGANISHE NA MFAUME, MFAUME NGUMI ZAKE ZIPO KWENYE MDOMO, KWASASA WAPIGANISHE MFAUME VC MBABE MWAKINYO VC KIDUKU MTANGO VC ??? KIDUNDA VC MAJIHA
@Khery-hi7rg
@Khery-hi7rg 5 ай бұрын
uyo kiduku si awatafute walevi apigane nao mwakinyo sio renk yake
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 29 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 188 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
YahStoneTown
Рет қаралды 259 М.
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 1
28:02
YahStoneTown
Рет қаралды 69 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 29 МЛН