UAPISHO, Jionee Tukio la Kuapishwa Mkuu wa Majeshi Jacobo Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi

  Рет қаралды 59,972

Ulinzi Channel

Ulinzi Channel

2 жыл бұрын

#Uapisho #wizarayaulinziMkuuwaMajeshi #MnadhimuMkuuwaJeshi #jwtz

Пікірлер: 29
@amosjohn2873
@amosjohn2873 2 жыл бұрын
Kila la kheri mkuu katika uongozi wako....Mungu akuongoze vyema
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 жыл бұрын
Big Up Majeshi yetu, jitahidini Tanzania iwe na jeshi bora Africa.
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 жыл бұрын
Mungu awape kila la kheri mkuu wa majeshi mnadhimu na Raisi Samia suluhu Hasan,muweze kuimarisha jeshi la Tanzania kuendana na majeshi ya ulinzi yaliyo piga hatua.
@marylibaba2589
@marylibaba2589 2 жыл бұрын
AWIIII AWAAAAA!!!!! KARIBU SANA MKUU WA MAJESHI .
@Sadock_artist
@Sadock_artist Жыл бұрын
Mungu azidi kulinda jeshi letu amin
@abbassalum1864
@abbassalum1864 2 жыл бұрын
Mungu ambariki kwa kazi yake Mpya CDF wetu.
@elizabethmvumu1881
@elizabethmvumu1881 2 жыл бұрын
Mungu awaongoze viongoz wetu
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 2 жыл бұрын
Nimetamani sana kuwa mwanajeshi basi tu
@dd-yc1mw
@dd-yc1mw 2 жыл бұрын
Ila mtunzi wa huu wimbo wa taifa letu la Tanzay,Mungu ambariki sana tena.
@PeterZacharia-zh7dd
@PeterZacharia-zh7dd Жыл бұрын
duh!! Co pw
@elizabethmvumu1881
@elizabethmvumu1881 2 жыл бұрын
Mama Samia naomba uangalie swala la ajira kwa jicho la tatu maana Sasa hv tunaitwa kwenye interview lkn watakao ajiriwa tayar wanajulikana kisa tu wanawatu wakushka mikono na kiwavuta,Tusio na watu huko juu tunateseka mama,From 2014-2022,mtu huna ajira kweli jaman,So sad.
@josephisack8787
@josephisack8787 2 жыл бұрын
Nchi ya hvyo sana watu wanatetea matumbo Yao tu,.
@emmanuelierasto8750
@emmanuelierasto8750 2 жыл бұрын
Tzd yenye uhulu
@isayamapolu1638
@isayamapolu1638 2 жыл бұрын
Mavi
@gabrielmuchangi7318
@gabrielmuchangi7318 Жыл бұрын
Embu
@MahidAli-jm6ey
@MahidAli-jm6ey 4 ай бұрын
Good
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 4 ай бұрын
Umefanana na wa South Africa 🇿🇦 coz mamdera and Nyerere walkua friends
@ismailjuma9972
@ismailjuma9972 2 жыл бұрын
Yaan tunaburuzwa kwel Africa 🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️ angalau wangevaa wakiw spital pia inatosh mana uko kw mabeberu tunaowafata wanafanya hivyo saiv
@josephisack8787
@josephisack8787 2 жыл бұрын
Wananchi wanataka maendereo bhna ,.hzo nyota bila maendereo na uzalendo ni sawa na kaz bure
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
Kwaiyo ulitaka mkuu wa majesh avalishwe maendeleo au? 😂 Mbona vitu haviusiani?
@bennyceaser8796
@bennyceaser8796 2 жыл бұрын
si ndio hapo!? yaan ndio tatizo la kuvamia tukio tu bila kujua anaongea nni
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 жыл бұрын
Kichwa kibovu, kazi ya jeshi ni kukulinda sio kukuletea mandeleo. Unataka maendeleo kwanini usilime? Mashamba hakuna?
@ismailjuma9972
@ismailjuma9972 2 жыл бұрын
Jamaniiii Tanzania tunamuiga nan saiv🤔🤔🤔🤣🤣🤣 au Korea kaskazin 🤔🤔🤔 mana uko ulaya kunako ayo magonjw ya korona hawavai mask saiv
@Eldiablo_69
@Eldiablo_69 2 жыл бұрын
Nchi huru hii unafanya utakayo. Usivunje sheria tuu
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
Kwani mwanzo mlikua mnamuiga nani? Yani hamtak kuamini kua nchi ipo kwa kiongoz mwingine saizi😂
@isayashayo4777
@isayashayo4777 2 ай бұрын
Rais ni kiongozi mkuu Sana ila kwenye kikao naye anaongozwa hakika BWANA NDIYE MUNGU
@daudirobert7385
@daudirobert7385 2 жыл бұрын
Mh Makamu wa Rais sijamuona Nakupongeza mkuu wa majeshi kwa kuapishwa kwako kulitumikia Taifa letu pendwa
TAZAMA Mapokezi ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda
15:15
Ulinzi Channel
Рет қаралды 119 М.
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 11 МЛН
WOSIA KWA MNADHIMU MKUU MPYA - AZAM TWO
16:26
Azam TV
Рет қаралды 157 М.
Weidel wünscht sich Trump als US-Präsidenten | ZDF-Sommerinterview 07.07.2024
20:20