Wanadhimu wakuu wastaafu leo hii walipewa nafasi ya kumshauri Mnadhimu Mkuu Mpya wa JWTZ, Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed. Sikiliza wosia wao
Пікірлер: 46
@alloycejames52853 ай бұрын
Mzee Ndomba yuko vizuri...
@obillaezra62055 жыл бұрын
Chief of Staff wetu wote wapo vizuri kwenye Speech!!! Ndomba unafaa kuwa Mhadhiri na utawakuwa Mzuri zaidi
@jisamjoseph45582 жыл бұрын
Our dady was very charming,pia alikua mkali sn ukizingua
@mkemiamagege84772 жыл бұрын
Samia alimpiga jicho vibaya Yule aliyesema "Chafu chafu na sio uchafu" dah! Samia aliumia sana tokea mwanzo na anaonesha kuwa alikuwa na mipango na mikakati ya muda mrefu.
@froma37322 жыл бұрын
Kwa hivo unaweza kusoma kitu gani wanafikiria kwa nini huwi mgaga wa kienyeji
@danielsato65283 жыл бұрын
Naipenda nchi yang nalipenda jeshi lang jwtz
@pastorgodsonjohn85622 жыл бұрын
Wazee kuongea hawajui ila vitendo 💪 zaidi Big up jeshi letu
@allygoodboytzsdoneintanzan39703 жыл бұрын
Good sana jwtz lipo vzr Sana speeches good magenero wote
@barickjonce30094 жыл бұрын
Jeshe letu Mungu libariki
@barickjonce30094 жыл бұрын
Naipenda Tanzania. Naipenda JWTZ
@sifathyunusu8712 жыл бұрын
MH Rais hayati MAGU tutaendelea kumkumbuka daima milele
@newforcejv97215 жыл бұрын
Mungu Anakupa Anachotaka cyo Unachotaka ametaka wewe kuwa hvyo kuwa hvyo ulivyo usirudi nyuma
@johnnyoni25645 жыл бұрын
Nimependa mawaidha yako mzee wetu Mzee Ndomba
@jumahamis2272 жыл бұрын
Wanajeshi wa zamani hawa walikuwa very bold, hekima nyingi sana na misimamo balaa 😂.
@stephenjonas4866 Жыл бұрын
ndomba yupo smart mnoo
@raphaelmwamakimbula96422 жыл бұрын
Nimependa sana nasaha za huyo afande Ndomba🙏♥️
@saidmakange28192 жыл бұрын
Vizur luten Ndomba upo vizur
@mwasisobajohan76412 жыл бұрын
Ndomba 👏🙌
@stephenjonas4866 Жыл бұрын
ndomba ni mwisho
@khamisilyasa43356 жыл бұрын
Asahte Sana kwana rais wetu na jwtz
@raphaelmwamakimbula96422 жыл бұрын
Aise,sawa kabisa!
@J4UPro5 жыл бұрын
Hongera sana rais
@mkemiamagege84772 жыл бұрын
Mwakiborwa MZEE wa M23 na Ndomba wameongea vizuri sana.
@mwasisobajohan76412 жыл бұрын
Mnadhimu mkuu mstaafu Luteni Jenerali Mwakalindile 🔥
@jabarmalid53932 жыл бұрын
Awa wazee ukikaanao inaonesha wanakuaga na stori sana.
@maigechagu73243 жыл бұрын
Songea moja!!!!!
@victorbaleke24225 жыл бұрын
Jeshi ni adhina pekee kwa sasa
@mwasisobajohan76412 жыл бұрын
wanadhimu wapo vizuri
@Ambagaye2 жыл бұрын
Mwakibolwa anaonekana alikuwa kamanda mtemi sana, Halafu Ndomba alikuwa mtu wa logic sana.
@sembosayenda71826 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mh.rais wetu
@mwasisobajohan76412 жыл бұрын
Luteni Jenerali Mwakibolwa mzee wa M23
@deniskasekenya16345 жыл бұрын
NDOMBAA
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Safi sana
@msomimosomy98123 жыл бұрын
Mama samia ulishilikishwa kilakwenye jambo sasa unakwamawapi kufanyaya jpm?