DUUH! HUU UBUNIFU NOMAA! MEENA ALLY NDANI YA KIBANDA WAZI/GARI ILIYOTENGENEZWA NA MTANZANIA.

  Рет қаралды 153,147

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 жыл бұрын

Ripota wa msimu wa Tigo Fiesta Meena Ally amekutanana na Mtanzania aliyetengeneza gari lake mwenyewe mjini Sumbawanga.

Пікірлер: 82
@hellenamasinjisa5448
@hellenamasinjisa5448 3 жыл бұрын
Hongera Sana watanzania serikali iangalie hizi kazi wawape support wafanye vitu vikubwa zaidi
@furahahappe1641
@furahahappe1641 4 жыл бұрын
Woooow! Sisi tupambane kutafuta hela ya kununua sasa. Jah bless
@mickyevaristy6265
@mickyevaristy6265 3 жыл бұрын
Mzeeh mseo salute kwako fund wetu wa namanyere
@mabubakitambi1612
@mabubakitambi1612 4 жыл бұрын
Safiii sana minaa,,tumemuonaa katuinxper
@godsonshoo9867
@godsonshoo9867 Жыл бұрын
Hongera kwa ubunifu
@magrethkisamo594
@magrethkisamo594 4 жыл бұрын
Waooh blessed man
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 4 жыл бұрын
Haaahaaaa. Eti "Fundi huwa anameza moyoo"washahili taabu sana
@ahmmadaaly5112
@ahmmadaaly5112 2 жыл бұрын
Meena ally na ww uko vizuri sana kwenye ubunifu
@footballlife7288
@footballlife7288 4 жыл бұрын
wakwanza naombeni like zangu
@charleswaraka821
@charleswaraka821 2 жыл бұрын
Nakubali mzee ongeza juhudi utafanikiwa
@juhudiacademy2170
@juhudiacademy2170 4 жыл бұрын
Hebu serikali ijaribu kuwezesha vijana wenye vipaji kama hawa Tanzania tutafika mbali sana.
@albinusthomas8342
@albinusthomas8342 3 жыл бұрын
u
@albinusthomas8342
@albinusthomas8342 3 жыл бұрын
iyjjk
@albinusthomas8342
@albinusthomas8342 3 жыл бұрын
7uyy
@japhetikongo453
@japhetikongo453 3 жыл бұрын
Hakuna jipya hapo Jamani, Katengeneza au kaunganisha vyuma Chakavu Na vipya!
@Galinzaog
@Galinzaog 4 жыл бұрын
Nakubali sana meena we nimotoooo
@denisnyalus1419
@denisnyalus1419 4 жыл бұрын
Noma
@hamadshein8272
@hamadshein8272 4 жыл бұрын
Hii gari ukianguka nayo ukifa. Unakuwa umejinyonga kwa kujitakia.
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 4 жыл бұрын
HHahah iyo ndio sumbawanga akuna kinacho shindikana mpk baiskel ya miti unapata uko
@amanant3143
@amanant3143 3 жыл бұрын
Nakubali sana!!!
@nixonjohnson6346
@nixonjohnson6346 2 жыл бұрын
Umetengeneza au umeunganisha..sijawaelewa maana kutengeneza ni ishu
@merrynancesimoni2728
@merrynancesimoni2728 4 жыл бұрын
🙏❤️❤️❤️❤️😘😘
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 жыл бұрын
Mmmm gari iyo miaka minne,,,bora ata Angelima apate mavuno auze
@uwezowamunguutendaokazi3043
@uwezowamunguutendaokazi3043 3 жыл бұрын
AMEN AMEN.
@enockdaniel290
@enockdaniel290 4 жыл бұрын
inafanana molinga 😂😂
@robbywingle3323
@robbywingle3323 4 жыл бұрын
Mbona kila kitu ni cha Mzungu apo
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
Duh leo nmeona tena BAGADU!
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 2 жыл бұрын
Hajatengeneza yeye ameundaunda ,kutengene maana yake kuanzia engine na chuma kupitia kwenye proces kiwandani
@philippeter198
@philippeter198 2 жыл бұрын
Dah taratibu hivyo hivyo ataweza
@oscarmadoladolaoscarmadola2136
@oscarmadoladolaoscarmadola2136 4 жыл бұрын
BaBa Sumbawanga sio poa
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
😁😁😁 positive one
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 4 жыл бұрын
Munira Ahmed heee wee munira kila nnapo pita nakukuta wino wako du
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 4 жыл бұрын
😂🤣
@fredjohntanzania3881
@fredjohntanzania3881 4 жыл бұрын
KIBONGO BONGO UKIFANYA HIVI UNAONEKANA MBWA TUUU
@hussendadi1911
@hussendadi1911 3 жыл бұрын
Kama wewetuuu
@francisnyaji5000
@francisnyaji5000 4 жыл бұрын
Duu noma
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Umeachana na ungoport sio?? Hahahahahaa mi napenda sana ule usafiri wa ungoport.hahahaaa
@barakajosephbaraka1620
@barakajosephbaraka1620 4 жыл бұрын
Nc
@evaristmrope
@evaristmrope 4 жыл бұрын
Daah safi saana Meena kupitia fiesta kwa kumtangaza huyu jamaa
@alijuma6502
@alijuma6502 4 жыл бұрын
Akinunua kicheko mtata itapendeza!
@kimsamir965
@kimsamir965 4 жыл бұрын
Wewe dada unaetangaza nakupenda sasa muda mrefu umo moyoni ila mpaka sasa sijui nitakupataje
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Du hilo chopa ni atari lina sura ngumu. Kweli sura sio roho
@modimpoz7546
@modimpoz7546 4 жыл бұрын
Duuuu
@waleoofficial6816
@waleoofficial6816 4 жыл бұрын
Mmeambiwa gari yake ajaanza hata kupakiza familia yake nyinyi mmejijaza kwenye gari ,,Wabongo bhana
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 жыл бұрын
Uyo ameunganisha ajatengeneza
@alistidesgodfrey2123
@alistidesgodfrey2123 4 жыл бұрын
Hii ni hatariii
@muruswadally9273
@muruswadally9273 4 жыл бұрын
Katisha sana
@alrasheidahmed5792
@alrasheidahmed5792 4 жыл бұрын
kwel kuna watu wanataluma ila ndoivo uwezo wao mdogo
@barnabasngoma2248
@barnabasngoma2248 2 жыл бұрын
HONGERA
@Dj_Ezemle
@Dj_Ezemle 4 жыл бұрын
Jamn sumbawanga wana mmbo
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 4 жыл бұрын
Awa watu ndo waende bungeni sasa sio wale wengine
@Officalnaph
@Officalnaph Жыл бұрын
KAONGANISHA SIO KUTENGENEZA ACHANE UJINGA
@cosmasbassam3670
@cosmasbassam3670 4 жыл бұрын
Kwa elimu ya afya ya mwanamke tembelea @t
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
Iyo sio gari ni mkokoteni. 😀😀😀
@athumankambi483
@athumankambi483 2 жыл бұрын
gari tetenasi😂😂
@samcharzy4657
@samcharzy4657 4 жыл бұрын
Bongo kunavipaji kibao mazee....!!!
@youngfather3843
@youngfather3843 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@officialkamdudu
@officialkamdudu 4 жыл бұрын
sumbawanga ? Meena hapo unaweza ukawa ulikua umepanda fisi bila kujijua...
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 4 жыл бұрын
Duuu
@raymondlyimo243
@raymondlyimo243 4 жыл бұрын
katengeneza nini wakati vituvyote alivyotumia katoa ktk gari nyingine?
@jumampunde6443
@jumampunde6443 4 жыл бұрын
Hamna ubunifu hapo ila kunganisha vitu vilivyotenezwa na wengine ila hongera yake
@sir.hassankizwi4718
@sir.hassankizwi4718 4 жыл бұрын
na we unganisha tuonee
@hussendadi1911
@hussendadi1911 3 жыл бұрын
Oyaaa madada wabongo baadhi ni wamealibika
@hussendadi1911
@hussendadi1911 3 жыл бұрын
@@sir.hassankizwi4718 s
@hussendadi1911
@hussendadi1911 3 жыл бұрын
@@sir.hassankizwi4718dada umemjibu vizurisana
@hussendadi1911
@hussendadi1911 3 жыл бұрын
Hizo ninongwa tuuu angekuamwanao ungelisemahivyooooo
@montanamontana4032
@montanamontana4032 4 жыл бұрын
Hhhhhhhhh wao
@laymangoodmusictz3339
@laymangoodmusictz3339 4 жыл бұрын
inakuwa kama inataka kubomoka
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 жыл бұрын
Hahahahaha
@jobaisyrainer711
@jobaisyrainer711 3 жыл бұрын
kama yang vile
@saidilikwena7391
@saidilikwena7391 4 жыл бұрын
Nimeona famoco
@peterchuwa5880
@peterchuwa5880 4 жыл бұрын
haha ata mimi
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 4 жыл бұрын
Huyu bwana kama angepata chance ya kupitia kwenye mitandao naimani angechukua pia idea nyngne
@salehhamadi6070
@salehhamadi6070 4 жыл бұрын
Weye mtangazaji unafikiri utafika salama gari hiyo mbona hatar
@shabaniabdi2963
@shabaniabdi2963 4 жыл бұрын
kama umeona famoco gonga like
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Awrzeshwe tyuuu
@nyanzobelujapa5913
@nyanzobelujapa5913 4 жыл бұрын
Mbovu 🤣🤣🤣
@siwemaadam2
@siwemaadam2 4 жыл бұрын
POMBE, POMBE ANGALIA VIPAJI VYA WATOTO ACHA KUINGIA MITINI. UKIPENDA MADARAKA PENDA NA WAPIGA KURA.
@salummasambaji6289
@salummasambaji6289 4 жыл бұрын
Watu wanafikiria kutengezeneza Vifaa Vinavyokimbia SPEED YA LIGHT nyie mnatengeneza Utumbo huo na Media Juu Zinapost Pumba
@geraldmwakamele7441
@geraldmwakamele7441 4 жыл бұрын
Unaepinga kwamba hajafanya lolote, tupe wewe ubunifu wako basi.
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 4 жыл бұрын
@@geraldmwakamele7441 sawasawa
@prophetessmarylight434
@prophetessmarylight434 4 жыл бұрын
Fundi anameza moyo
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 52 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 23 МЛН
kwa Mavazi yako utatambulika Bishop Gwajima
1:48
UZIMA TV
Рет қаралды 3,1 М.
SHINDANO la GARI LINALOVUTIA  lakamilika ARUSHA MANGI aibuka  KIDEDEA
55:26
Global TV Online
Рет қаралды 126 М.
Kula Kumaliza Wafungua Sinagogi
2:01
Chuga Dance
Рет қаралды 460 М.
Vijana waunda magari Laikipia
1:58
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 60 М.
тгк: Логово FRIENDS
0:23
АлексДан
Рет қаралды 12 МЛН
I Can't Believe We Did This...
0:38
Stokes Twins
Рет қаралды 48 МЛН
В поисках семьи😢😱
0:56
Следы времени
Рет қаралды 9 МЛН