UCHAGUZI MKUU 1985 :NYERERE ALIVYOMKATAA MAALIM SEIF KISA UKABILA

  Рет қаралды 203,956

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

4 жыл бұрын

Aliwaambia mamia ya wananchi waliokuwa wakimsikiliza kuwa amepata habari kuwa baadhi ya Wapemba wangependa mgombea Urais wa Zanzibar awe Seif Sharif Hamad (kwa wakati huo Maalim Seif alikuwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar ambaye ni mzaliwa wa Pemba), badala ya Abdulwakil ambaye aliteuliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM.
Abdulwakil alichaguliwa kuwa mgombea pekee wa Urais wa Zanzibar baada ya kupata kura 85 ikilinganishwa na kura 78 za Maalim Seif.
“Halmashauri Kuu ya Taifa ingemchagua Hamad, nina hakika kungekuwa na mgogoro Unguja,” alisema Mwalimu Nyerere.

Пікірлер: 191
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 3 жыл бұрын
Nyerere yeye ndo alokua na nia ya kuigawa Zanzibar sio maalim seif, maana maalim seif uhai wake wote alioigania Zanzibar iwe na mamlaka kamili na sio kua colony la Tanganyika. Nyerere na maalim wot wameshatangulia nafkir kama una akili timamu utajua nani mwenye nia njema na Zanzibar baina ya maalim na nyerere, bila shaka nyerere hakua na nia njema na Zanzibar maana uchumi wa Zanzibar ulianza kuporomoka siku hadi siku baada ya muungano kupitia TRA. Maalim seif yeye hakuwa na mashaka na muungano ispokua alitaka muungano wa haki na hii ndio sababu ilomfanya atimuliwe CCM.
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 жыл бұрын
Yeye nyerere ameshakataliwa na mungu
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 жыл бұрын
Hmm mambo yameaza kale kumbe
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 3 жыл бұрын
Mimi Napita tu
@yuzarsfsharf4838
@yuzarsfsharf4838 4 жыл бұрын
Asante mwananchi kuonyesha jins gn mlianza kututuwala wanyamwez
@baluhyajr.913
@baluhyajr.913 3 жыл бұрын
R.I.P Maalim Seiph Sharif Hamad
@allyomari7529
@allyomari7529 3 жыл бұрын
hayawan
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 3 жыл бұрын
Hasbiya Allah wani'mal wakiil
@nassoursaleh3144
@nassoursaleh3144 3 жыл бұрын
Mungu alilani tena na tena milele huko aliko na wote wadhalim wa nchi yetu hii na hawa wsliobakia wanaofatamkumbo huo huo waliohai katika serekali hii m ccm midudu hii
@godisgreat1845
@godisgreat1845 3 жыл бұрын
seif hakukataliwa na nyerere ilana mungu ndie aliyemkataa kuwa raia wa zanzibar na akawaepusha na Shari zake
@hajjism
@hajjism 3 жыл бұрын
Nyinyi wananchi media wacheni unafiki. Kwanza Znz hakuna kabila, pili nyerere hakusema eti seif au wapemba wana ukabila na tatu Muna maana gani kuweka picha za John Okello nk hapo wakati haziendani na mada yenu? Inaonyesha Seif na Waznzibari wanawachoma sana aah? Mumechekewa
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 4 жыл бұрын
Melville meeana
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 жыл бұрын
Hasbillahu wanemal wakeel zamani hizi dhulma subhanallah
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 3 жыл бұрын
💚💚💚💚
@alihemed4484
@alihemed4484 3 жыл бұрын
kuliwa kwa karume ni dalili za kulazimisha kutawala zanzibar kwa kivuli cha muungano , kama muungano huu mnauona ni mzuri nyiyni basi sis tunahiari arejee uyo mkoloni alienoka tena tunahiari mkolomi mara laki moja kuliko huo fck muungano wenu,
@kantonankwera4658
@kantonankwera4658 4 жыл бұрын
Nawakubali
@ahmedawadh9988
@ahmedawadh9988 2 жыл бұрын
Umesema mara ngapi zanzibari!
@elisha5693
@elisha5693 4 жыл бұрын
Duu
@salimkombo1017
@salimkombo1017 3 жыл бұрын
Ww
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Nimemuona marehemu Kenyatta wa Kenya kwa pic mwaka huo 85 ilikua sijazaliwa duh
HISTORIA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD/KIONGOZI MWENYE MSIMAMO USIOYUMBA
15:09
KAMATI YA MARIDHIANO SIX MAALIM SEIF HOTUBA BWAWANI 2010 KUTANGAZWA UCHAGUZI
10:55
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 91 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
13:52
#MIZENGWE.Njia ya muongo.
15:34
ITV Tanzania
Рет қаралды 112 М.
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
Gombani Pemba OCTOBER 2014
27:13
Maalim Seif Shariff Hamad
Рет қаралды 9 М.
22 Maovu ya Mapinduzi
12:26
MzeeBarwani
Рет қаралды 46 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 91 МЛН