Jamani kunawatu wanaumia sana mnavyo chambua hao no 10 kunawatu watakubali tu
@hajmohamed1356Ай бұрын
Alaf kibu mbona haonekan
@robertphilip385Ай бұрын
Kibu Yuko marekani anakula bata
@charleskuyeko4400Ай бұрын
Yanga siyo kwamba wanaongezea nyama tu bali wanasajili kama Simba wanavyofanya. Sasa hivi wamesajili wageni 6 Simba 7. Tofauti ni nini.
@GOLDIANEDRICK-sm6xkАй бұрын
Wageni Simba ni zaidi ya kumi ndugu labda kama hufatilii
@muksinimbaruku1233Ай бұрын
YANGA wageni wangapi?@@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@muksinimbaruku1233Ай бұрын
@@GOLDIANEDRICK-sm6xkharakaharaka, Aucho, pacome, Aziz ki, Diarra, Dube, chama, max nzengeri, Boka, baleke punde atatambulishwa mkiwa na pesa za kumtoa mazembe kwa mkopo. Na hapo kuna wengine
@michaelthobias9967Ай бұрын
Wachezaji wapya ni boca ,chama,beleke,dube nani mwingine Hawa w tz inafahamika ni loco
@musamagulu2023Ай бұрын
Tofauti hujaiona?
@user-ce3tx7mr8vАй бұрын
KIBU ATATAMBULISHWA YANGA KUFUNGWA USAJIRI
@ezzepuritykamwene2121Ай бұрын
Mkataba wake na simba mbichi kbs hajautumikia hata simba day tu, je ikoje hii. 😅😅
@MickyAluis-y3mАй бұрын
Hahaahah KIBU AMESHAONHEZA MKATABA SIMBA MIAKA 2,,,utopolo mtakunya
@yohanadavid8055Ай бұрын
Mbumbumbu fc kibu goli 1 mechi 30, KOLO mlijaa ktk mfumo wa Kamwe
@user-ff1it9og8yАй бұрын
Avr imefungwa kwa Mkapa sasa kazi keao wanaosajiri wachezaji Gizani kwa kuwaiba ktk team zao wataumbuka tu chapu na haraka Pacome na wengine