Msimu uliopita timu hizi hizi zilikuwa zinatusumbua sana kila mechi kwetu ilikuwa fainal. Sasa hv wanasema sio levo zetu tunawaonea ndio mjue mnyama sasa hv amebadilika ni moja ya hatua kuzionea hizi timu.
@omarimziya3902 ай бұрын
Zamoyoni anachuki binafsi na simba kuna wachezaji wakistaaf wanalazimisha wapewe nafas ktk vilabu vyao isipotokea hivyo bas chuki inachukuwa nafasi yake🎉
@hassanabdala73832 ай бұрын
Sahihii kabsa sio hao 2 hata viongozi wa zamani baaddhi yao wanachuki
@KoroshoKorosho2 ай бұрын
Akili yake haina akili
@hassanrashid94362 ай бұрын
kweli kabisa chuki binafsi zinamtesa tu
@lydiathomas29052 ай бұрын
Mimi Simba, ila gari bado halijawaka. Likiwaka mtaongea sana na bado.
@AshaShariff-lr6ry2 ай бұрын
Sasa mbona yanga mnaisifia bila kujua wamecheza na nani. Sifa tele ila simba wamecheza na vibonde wkt vitalO na hao wapinzani wa leo wapo bora klk hao vitalO
@adamiddymbali4022 ай бұрын
yani kuna watu km matako kweli......simba ikishinda magori mengi timu bado ila yanga ikishinda ata moja inaonekana imekutana na timu nzuri acheni ufala.......mtu akipata matokeo mazur mpen maua yake.... acheni unafki
@hassanrashid94362 ай бұрын
sahihi kaka wanafiki tu hao
@thobiasmwambeta69902 ай бұрын
Mzee ndio walewale anachuki na simba
@EmmanuelKiamba-o9b2 ай бұрын
Tunakuheshim sana zamoyon ila usibeze ivo tim yetu
@lydiathomas29052 ай бұрын
Kweli, hawa wadogo hawatuwezi.
@nkoydavid96582 ай бұрын
Mukwala ni mgeni hii ligi mnapochambuwa mpira mlikumbuke na hilo.. kinachowasaidia Yanga na nikwamba washambuliaji wake wanauzoefu na hii ligi hata mashaka hana ugeni na hii ligi mm naimani kubwa na Mukwala atawanyamazisha tu soon..
@why-ir8zl2 ай бұрын
Upo sahihi golden boy endelea hivyohivyo ili wasibweteke
@MuslihiHassan-bi2nj2 ай бұрын
Zamoyoni mjinga mjinga sana
@TumainiMwalugaja2 ай бұрын
Mogera kwani ni nani mbona kama akisilani atulie jayanti yupi kwani vepe mashaka Yako yaweke kwenye familia Yako 😊
@matindeofsa2 ай бұрын
na bado nyinyi semeni tu siku mtanyamaza,,, hakuna mafanikio ya mnafki
@januarysungura81192 ай бұрын
Wewe ndio wale wanaotaka kila kitu wale wao, mpaka unafika mahali unasahau kuwa timu ziko ligi moja na daraja moja na tofauti ni ubora tu , maana hata apr tulipomfunga alionekana hana lolote ila alipomfunga azam ameonekana ni bora sana ,sasa mtuache
@therock72572 ай бұрын
😮 2:19
@RudonongoR-ub9et2 ай бұрын
Huyu ni mchome aliechangamka
@hassanrashid94362 ай бұрын
kabisa
@dalalfundikila5072 ай бұрын
Hapo bado hatujakaa sawa
@adamiddymbali4022 ай бұрын
mngeenda kucheza nyinyi km ni rahisi
@ANTHONYBULENGELA2 ай бұрын
We zamoyoni,si kweli.mda wako ulicheza mpira wa hivyo?wote mlikuwa wote wa'TZ' tu.
@HasaniKitumba2 ай бұрын
Zamuyuni moyo wake siyo simba diyo hatuwataki hao
@IddyMzuri2 ай бұрын
HAPO MOGELA KIFELI KUSEMA SIMBA WASIJISIFU, YANGA KAMFUNGA MTU HANA KWAO WAMESIFIWA
@shukranionesphoro77442 ай бұрын
Huyu zamoyoni ni mzee kiakili
@SophiaJumbee2 ай бұрын
Uyo zamoyoni fala tu mchawi wetu huyo
@thobiasmwambeta69902 ай бұрын
Azamu wanakamia
@derrickmbaku47682 ай бұрын
Kwahiyo ligi ni azam, simba na yanga tu, mbona aibu sana kwa uchambuzi huu kutoka kwa mchezaji mstaafu
@aminaomari23122 ай бұрын
Ila amesema ukweli,ligi ya Tz ni Simba,Yanga na Azam tu ingawa Simba haijapata mshindani sahihi sio daraja la simba.
@athmanimkangara92902 ай бұрын
Tunajenga simba mpya tulieni
@rashidgogo55582 ай бұрын
Sasa hawa hawa mwakajan walitutoa jasho leo mwasema vibonde jaman wabogo
@ikulunimahalipatakatifu76422 ай бұрын
NI KWELI BADO MAPEMA TUWAPE MUDA SIMBA WAJENGE TIMU
@vaxminja9053 yes yanga bahasha ndio tabia Yao sugu, ilianza na kuendelezwa na Issa Makorongo katibu mkuu wa wakati huo. Na hadi sasa inaendelezwa nyuma mwiko ni bahasha tu.
@aminaomari23122 ай бұрын
@@sadih5333acheni chuki za kijinga kwa hiyo yanga wanahonga hata club bingwa?
@Emanueli-vz6fd2 ай бұрын
@@aminaomari2312waambie
@georgelazaro39402 ай бұрын
Kwanini mchambua kishabiki kwani simba ndio itafugwa tuu Utopolo je
@ernestkamata25552 ай бұрын
Kwani APR ni siyo bora zaidi ya AZAM unayoisubiri ikutane na simba. Kituo hovyoooo kabisa
@aminaomari23122 ай бұрын
Apr amefungwa na simba kwenye sherehe ya simba haikuwa mechi ya mashindano.
@ernestkamata25552 ай бұрын
Wewe huwezi uchambuzi kabisa
@georgelazaro39402 ай бұрын
Huyu naye sijamulewa ina maana ligi ni ya timu tatu au
@makamelila2 ай бұрын
Usiseme jamaa wakauharibu maana hawachelewi
@RichardNgumbulu2 ай бұрын
Tunakumbushana tu hakuna bahasha au maan asije yanga ashinde nying muanze kusema bahasha
@HusseinHussein-f7n2 ай бұрын
k mziwanda alikuwa anamtafuta aliye mleta jobe sasa mi namtafuta aliyemleta debra