UCHAWI WA MALILA JAMBAZI|UNAONGOZWA NA JESHI LA WATOTO WAFU WANAOELEA ANGANI-Shehe Omary Mnyeshani

  Рет қаралды 16,097

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Katika mwendelezo wa somo la Malila,leo mtumishi wa Mungu Shehe Omary anaeleza aina nyingine ya uchawi ambao unafanyika katika jamii na namna ya kuushindwa kwa maombi.

Пікірлер: 29
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 4 жыл бұрын
Uislamu na uchawi ni ndugu kutokana na shuhuda za Mtumishi wa Mungu
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 5 жыл бұрын
Naomba kwa kila mbinu mguvu za giza wanazotumia ungetupa hits za kupambana nao kiroho yan maombi mazito au ya namna gan yanayoweza kuwamaliza na nguvu zao
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 5 жыл бұрын
Deep wickedness.. Ô lord !.. Why?? Kimbiliyo yangu ni YESU CHRISTU akuna mwingine jamani🤔...
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 5 жыл бұрын
Mhh malila jeshi.muumba ni mmoja lakini waharibifu ni wengi.hivi watakwenda jibu nini mbele ya mungu,wanachokifanya ni kufuru.
@samuelnduati9792
@samuelnduati9792 5 жыл бұрын
Mungu tusaidiane jamani.
@kiuwamhina2802
@kiuwamhina2802 4 жыл бұрын
Guys have you watched "IT CHAPTER TWO" its what this man narration, floating people assembled by that demon
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 4 жыл бұрын
Jamani tuokoke jamani
@marygregory7566
@marygregory7566 5 жыл бұрын
gharama wanazolipa wachawi ni afadhali wangekaa kwa Yesu anayetupenda bure tu.
@azizaz1628
@azizaz1628 5 жыл бұрын
Ndiyo ni kazi ya shetani wachawi ni mawakala au vibarua Kiswahili chepesi
@azizaz1628
@azizaz1628 5 жыл бұрын
Chakufurahisha Sasa, hakuna mchawi aliyeajiriwa wooote ni vibarua
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 5 жыл бұрын
Nani mwenye namba ya Sheikh Omari Mnyeshani
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
0755025821
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 5 жыл бұрын
@@PromovertvTz Ubarikiwe sana
@janegeogre3234
@janegeogre3234 4 жыл бұрын
daaah! asa mtumish me nauliza je km kaburi ni la kujegea na mfuniko wa sment wachawi hufanikwa kuchukua?
@kabebowakabebo5889
@kabebowakabebo5889 5 жыл бұрын
Kwa nini yule mbwa wa malila abweke saa 8:45 na sio pungufu au zaidi sana ya muda huo?
@mauvaisecompagnie951
@mauvaisecompagnie951 5 жыл бұрын
Umetu danganya
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 5 жыл бұрын
Kila kitu kina formula yake hata unapopika maandazi ili yaitwe maandaz yalima uweke amira usubir yavimbe ndio ukate then ukaange ndio yaliwe hata uchawi unafomula na ndio hiyo lazima abweke masaa na DKK izo ndio kazi inakuwa imekamilika
@andersonmwanga6414
@andersonmwanga6414 5 жыл бұрын
Naomba namba yako
@joromimwanga3274
@joromimwanga3274 5 жыл бұрын
Je? Hizo ni kazi za shetani?
@azizaz1628
@azizaz1628 5 жыл бұрын
Yarishanikutaga mm nili fiwa mtoto nikamzika ck ya ijumaa kesho yake jumamosi nikampeleka mamamkwe akapaone nikakuta kaburi limedumbukia sanda na kanga viko juu
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 жыл бұрын
Pole dear
@melkizedeckdunda4638
@melkizedeckdunda4638 5 жыл бұрын
poole saan
@samuelmoses9243
@samuelmoses9243 5 жыл бұрын
Pole sana
@azizaz1628
@azizaz1628 5 жыл бұрын
@@melkizedeckdunda4638 asante
@azizaz1628
@azizaz1628 5 жыл бұрын
@@samuelmoses9243 asante
@sospetermasanja3224
@sospetermasanja3224 5 жыл бұрын
Hii elimu hata mkemia wa taifa hawezi kufaulu kuchanganya hizo dawa!
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU UCHAWI WA MALILA JESHI/JAMBAZI-SHEHE OMARY
33:16
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 12 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,7 МЛН
JINSI MTOTO WA DAWA ANAVYOPATIKANA,INATISHA!-SHEHE OMARY MNYESHANI
40:59
NYISAKI CHAULA USHUUDA WA JEHANAM NAMBA 2
8:21
PASTOR NYUNDO
Рет қаралды 4,2 М.
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part-3)~Shehe Omary Mnyeshani
30:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 22 М.
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 1)~Shehe Omary Mnyeshani
34:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 68 М.