SHEHE ATINGA KANISANI NA KANZU TABORA,ATOBOA SIRI NZITO ZA MAJINI~Shehe Omary Mnyeshani

  Рет қаралды 77,565

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 345
@StephenSelelya
@StephenSelelya 5 ай бұрын
Hongera Mtumishi Omary kwa mafundisho mazuri! Nashauri uandae vitabu kwa masomo haya.
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
I like when he goes fast to the point rather than spending all his air timing with many exemples. Most of time I will start but can't finish Yaani inaondosha uwepo.
@hardd2497
@hardd2497 3 жыл бұрын
Yuko vizuri Sana katika delivery of the massage.
@amossamwel4699
@amossamwel4699 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana ila wenye roho za jiwe hawataelewa, barikiwa na bwana
@KoomeNzima-e2v
@KoomeNzima-e2v 6 ай бұрын
Ameni ubarikiwe sana
@joycedaudi8765
@joycedaudi8765 5 жыл бұрын
Amina Sana utukufu Kwa Mungu aliye juu.
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Karibu sn kwa YESU! Umebarikiwa sn kwa kuijua njia ya kweli.
@brendanasenya3663
@brendanasenya3663 Жыл бұрын
Asante kwa siri hizi za rohoni
@cypmkutubi3109
@cypmkutubi3109 5 жыл бұрын
Huyu Sheikh ni muhimu sana katika kuwabadilisha wanadamu walio potea!
@marygaspary199
@marygaspary199 5 жыл бұрын
Karibu Kwa Yesu, ujue kweli na kweli ikuweke huru !
@dorismasakia9839
@dorismasakia9839 5 жыл бұрын
Asante, tutumie zaidi semina za Sheikh Omar
@Hshshsueue
@Hshshsueue 4 жыл бұрын
Kweli wewe ni mwalimu brother mungu akupe hekima zaidi 🙏🏼
@shishshikoh4979
@shishshikoh4979 5 жыл бұрын
Yesu anaokoa ... Yesu ndiye njia ya kweli
@t7zkc5tpxgim28
@t7zkc5tpxgim28 5 жыл бұрын
AMEN, Mungu akubariki sana mtumishi
@tabithakabirimo747
@tabithakabirimo747 5 жыл бұрын
be blessed brother continue doing the good work of God
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 5 жыл бұрын
Namkumbuka sheikh alitoa ushuhuda ktk kanisa la gwajma Mungu akubariki sana kaka
@aishamustapha7381
@aishamustapha7381 4 жыл бұрын
Shekhe na kanisa wapi na wapi .kweli siku za mwisho tutaona mengi
@husseinissa7118
@husseinissa7118 3 жыл бұрын
@@aishamustapha7381 kanisa limegeuka bongo movie na makondoo wanasikiliza
@maryjustertarimo6269
@maryjustertarimo6269 5 жыл бұрын
Niwasaidie tu ninyi waislamu mnaosema duniani Hakuna kuokoka ,kuokoka ni mbinguni mnajidanganya, kuokoka ni hapa duniani(jua kwanza nini maana ya neno kuokoka) hiki ni kitendo cha kiroho, kuzaliwa Mara ya pili kiroho baada ya kuzaliwa na wazazi wako, nikitendo cha kiimani cha kumkiri Yesu kristo kuwa ni Bwana Na mwokozi wa maisha yako, na ukisha kiri hii unatakiwa kutenda mambo mema yanayompendeza Mungu hapa duniani .
@lastborn8954
@lastborn8954 5 жыл бұрын
Na ukirudia kutenda mambo mchafu itakua bdo umeokoka ? Mungu wetu anatwabiya (Faman zuhzia aninnar waudikhila lljana fakad faaz) yule atakae epushwa na moto na akaingia peponi huyo ndo atakae fuzu maana ndo kaokoka .Na ukiangalia neno kuokoka nikuepushwa na kitu kibya sasa ww sema nimeokoka wakati hujajua mwisho wako utakuaje
@maryjustertarimo6269
@maryjustertarimo6269 5 жыл бұрын
@@lastborn8954 Kwa Yesu kila Goti litapigwa na kila ulimi utakiri yakuwa Yesu Kristo ni Bwana,namuomba Mungu akuokoe wewe kwa njia yoyote atayopenda, na wewe uwe wa kwanza kushuhudia kuwa kuoka ni hapa hapa, Minguni ni hukumu
@lastborn8954
@lastborn8954 5 жыл бұрын
Sawa ila jitahi kuaangalia sana vitabu vya mungu kwa undani vinasemaje na utafute ukweli ni upi kumbuka tunapokwenda ni kuzito na hakuna kuru sisi waislam tunamuamini yesu km ni mtume km walivyo mitume wengine
@ahmadakishingo1935
@ahmadakishingo1935 5 жыл бұрын
Sio waislamu tu wanaopinga kuokoka Hata wakristo walio wengi wanapinga kuokoka na huo ndio ukweli
@khumayraabdul3259
@khumayraabdul3259 4 жыл бұрын
Naomba niambie kuokoka umetoa wap wap yesu kasema lazima uwokoke
@estellesichone7413
@estellesichone7413 5 жыл бұрын
Ameeen,asante Yesu,kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kwamba Yesu ni bwana.
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 жыл бұрын
Yesu sio jike kwa sababu ametahiriwa... Sivyo unavyoamini wewe... Soma Yohana 17 3
@estellesichone7413
@estellesichone7413 5 жыл бұрын
Bahati mby sinaga muda kubishania imani
@lutufyodixon9997
@lutufyodixon9997 5 жыл бұрын
@@jumajaffary9698 jifunze kuelewa
@husseinissa7118
@husseinissa7118 3 жыл бұрын
@@lutufyodixon9997 kila got litapigwa kwa mungu tu sio kwa mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke na Akatahiriwa
@lutufyodixon9997
@lutufyodixon9997 3 жыл бұрын
@@husseinissa7118 Usilazimishe Mungu Atafsiriwe Utakavyo Wewe. Kwa Imani Yenu ni Ngumu Mungu Kuja na Kuishi na Watu Lakini Kwa Mungu Wetu anayejali Mahusiano na wanadamu, hushuka duniani na kuishi na wanadamu na amefanya mara kadhaa kwenye Biblia. Soma Mwanzo Sura ya 3 aya ya 8 pia kitabu cha Mwanzo sura ya 18 Aya ya 1 hadi 5. Kuna Sehemu kwenye Biblia Mungu Alishuka kwa Utukufu wake wenye Nguvu na Utiisho, Wanadamu walikimbia na Kuogopa Sana. Hitimisho Hapa n Kuwa Mungu Wenu Hawezi Kuja Duniani Lakini Wa Kwetu ni Rafiki Yetu hivyo anaweza kuja duniani na Kuishi Pamoja Nasi na akatufundisha yale tuyapasayo kuyajua na akaondoka na Kurudi alikotoka.
@dorsandollah3384
@dorsandollah3384 5 жыл бұрын
Wanambwembwe hawa,nilikuwa huko niliteseka sana ila asante YESU kuniokoa, bado mume wangu tuu.
@suleimanali8317
@suleimanali8317 5 жыл бұрын
Dorsa ndollah :pole sana
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 5 жыл бұрын
@@suleimanali8317 😀😀😀😀😀😀
@furahinimbise1804
@furahinimbise1804 5 жыл бұрын
Amen
@J4UPro
@J4UPro 5 жыл бұрын
Pole sana
@mosesmwingira3780
@mosesmwingira3780 5 жыл бұрын
Kkkkk
@jefwakalama4336
@jefwakalama4336 6 ай бұрын
Okay good
@barakajuma2085
@barakajuma2085 5 жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@roseokongo3229
@roseokongo3229 5 жыл бұрын
Glory be to God, waiting.
@rehemaabdallah5306
@rehemaabdallah5306 5 жыл бұрын
Pole kwa kuabudu mungu alizalilishws msalaban na mung ametahiriws
@allymamlo252
@allymamlo252 5 жыл бұрын
Angetaja Na kazi ya haki inayomuingizia kipato
@salehesengiyanka5397
@salehesengiyanka5397 5 жыл бұрын
La ilaha ilallah, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ALLAH. ww hata ukipotosha ukwel utabaki palepale
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 5 жыл бұрын
Hongera umechagua fungu jema
@muyatvonline312
@muyatvonline312 5 жыл бұрын
Maisha magumu sana,okoka tu si lazima utukane uislamu.Wewe si shkh ila mchungaji coz shkh haingii kanisani.Hata usingevaa kanzu ungepata umaarufu tu.Mbona Yesu alivaa kanzu na alitawza kwa maji kwenye ibada.Wewe mchawi wa kilokole ulielaaniwa.
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Ukweli kabisa kakangu,hawa ndio wale wahuni wakuwapoteza watu,wacha awapoteze wakristo ambao ni wepesi wakupotoshwa kwa kila jambo...alaaniwe kabisa
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 жыл бұрын
Afadhali umemshtukia
@mosesmwasanga4697
@mosesmwasanga4697 5 жыл бұрын
Amina Mtumishi!!!
@MMUNGAHOSEA
@MMUNGAHOSEA 5 жыл бұрын
Wewe Karibu San Mtumishi
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 5 жыл бұрын
Mungu akusimamie ninalafiki yangu mhisram anatak nae abadili din kbs
@lissochacha5218
@lissochacha5218 5 жыл бұрын
mkazanie sana arudi kwa YESU KRISTO
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 5 жыл бұрын
We fisadi akiingia kwenye huo moto atajijutia kwa Allah( s.w)
@lutufyodixon9997
@lutufyodixon9997 5 жыл бұрын
@@wadimtwana7286 wewe jifunze kuelewa ukweli
@rahmahamisi7604
@rahmahamisi7604 5 жыл бұрын
Hallelujah
@MsAggie5
@MsAggie5 5 жыл бұрын
Rahma Hamisi Amen 🙏🏾
@feristerkumbuka1837
@feristerkumbuka1837 5 жыл бұрын
Njooo kwa yesuuuuu kuna uzima
@alikhamisog3422
@alikhamisog3422 5 жыл бұрын
Subhanallah Innalillahi Wainnaillayhi Rajjiun
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 5 жыл бұрын
Hongera kaka
@latfahaule127
@latfahaule127 5 жыл бұрын
Tunangoja nyingine barikiwa sana mtuwamungu
@rashidyusuf8509
@rashidyusuf8509 5 жыл бұрын
Subhana llah wala haula wala kuwata illah billahi l aliyul adhwim uislam ni dini ya haki hata mulete ujanja
@miriammwambungu9744
@miriammwambungu9744 4 жыл бұрын
Inaukwel gan nyie porojo kwa Yesu kunalipa na change inabak
@sadickwalker2795
@sadickwalker2795 5 жыл бұрын
Mungu nimwema be blessed.
@fadhili2293
@fadhili2293 5 жыл бұрын
Sema ulikuwa shekhe mchawi maana Ata wachungaji wachawi wapo. Mtangaze Yesu itapendeza
@fransicamassawe8894
@fransicamassawe8894 5 жыл бұрын
Kwa Yesu kila goti litapigwa
@nawihadj6674
@nawihadj6674 5 жыл бұрын
Got litapigwa kwa Mungu tu
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
@@nawihadj6674kubali kataa uwezi fika kwa Mungu bila kupitia kwa Yesu ata ubishe ila maandiko yapo ivyo.
@husseinissa7118
@husseinissa7118 3 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 huyu muhubiri ni muongo hata ukisikia matamshi yake hakuwahi kuwa muislamu huyu ni muigizaji aliyefeli mapema.
@husseinissa7118
@husseinissa7118 3 жыл бұрын
@@nawihadj6674 kweli goti litapigwa kwa mungu na sio kwa binadamu aliyezaliwa na mwanamke
@miriamlotti7297
@miriamlotti7297 3 жыл бұрын
Jesus is King
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 жыл бұрын
Matayo 19 24 Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni.” 25 Wanafunzi wake waliposikia haya walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi anaweza kuokoka?” 26 Lakini Yesu akawatazama akawaambia, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu kila kitu kinawezekana.”
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Wacha wakristo wajidai kuwa wataiona pepo kwa huo ukafiri wao
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 5 жыл бұрын
Tuwekee hiyo semina mtumishi,barikiwa na Bwana.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
inakuja
@ukhutysalmaah1463
@ukhutysalmaah1463 5 жыл бұрын
Kama ni sheikh kweli aseme kasomea chuo gani sio porojo tu
@richardkaogo3433
@richardkaogo3433 5 жыл бұрын
Safi shehe YESU juu
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
ASANTE YESU
@maryjustertarimo6269
@maryjustertarimo6269 5 жыл бұрын
Hatujali Kwa majina mtakayotuita (kafir Na mengineyo, mkijihesabia kuwa ninyi ni bora na wenye haki, Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe, hatujali majina mtakayotuita yote yatapita, Bali Jina LA Yesu litakuzwa ktk nchi na ktk mataifa, Yesu juuuuu.
@bekakinamna4253
@bekakinamna4253 4 жыл бұрын
Huko nkukosa elimu bibilia mwaisoma kesha hamuielewi wapi yesu anasema ingieni makanisan mkaabudu?
@allyawadh8492
@allyawadh8492 4 жыл бұрын
Yaani wakristo kwakua elimu yao ndogo nahawa wachungaji wao ili wapate kuaminika kwa waumini wao tena kwasababu uislamu siku zote hauendeshwi kwa shuhuda na tena nidini ya mungu ndiomaana hawa wachungaji wanatumia kama daraja la kufikia malengo yao,hawa jamaa ukiwaskiliza wanzo wa maneno yao mwanzo mbaka mwisho hagusi kabisa maandiko ya biblia yaani wanachofanya wao ni hadithi na maneno anayoyatoa kichwani kwake na kwasababu wakristo hawana elimu ya mungu wanaona jamaa anaongea maneno makubwa tena wanamuona anaelimu kubwa,hebu niwaulize swali wakristo toka mmemsikiliza mwazo hadi mwisho kuna andiko llte alilotoa ili aweze kuwashibisha habari kuhusu mungu ili muweze kuujua utukufu wake?
@calorinymrsdeeper9830
@calorinymrsdeeper9830 5 жыл бұрын
Yote ni maisha anayejua kweli yote ni Mungu peke yake ,,,,mi ata s comment ,,,,
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 5 жыл бұрын
Safi sana
@fgbeatricegg145
@fgbeatricegg145 5 жыл бұрын
Mungu saidiya watu wako
@bayombejean3959
@bayombejean3959 3 жыл бұрын
Tabora mji mkongwe na alie ugombowa ni mbembe kutoka congo mbavu moja
@ramadhanijuma9933
@ramadhanijuma9933 5 жыл бұрын
Everyone will be accountable for his or her own intelligent given in the day of judgment.Hunger and disaster is our test
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Thats according to ur book not the holly bible
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Hunger isnt a real test for spiritual matters even tho fasting uplifts a spirit but not fasting at all isnt even a sin eventually
@SAM_163
@SAM_163 5 жыл бұрын
Hunger??? Spiritual test?? What about those who fasting? A big lie🤔
@ramadhanijuma9933
@ramadhanijuma9933 5 жыл бұрын
@@SAM_163 hi! Fasting is not hunger brother" hunger means a desire to eat but no food or u don't hv money to buy food ......whereas Fasting Means the food is there but you deprive yourself to eat for a certain time as a command of God or your Will..it is true that hunger is among the test ....foristance most of ivil in the world has rose due to hunger ie robbery ,prostitution ,corruption ,jealous ,ant Christ follower etc
@gladnesssidiu4922
@gladnesssidiu4922 3 жыл бұрын
@@ramadhanijuma9933 who is ant christ
@glorytoGod639
@glorytoGod639 5 жыл бұрын
Tunawezaje kumpata live mtu wa Mungu hivi vitu anavyoongea vya msingi sana ,naomba kujua kama ana Vitabu na namna ya kuvipata
@wardawarda3427
@wardawarda3427 5 жыл бұрын
Kanenepa mashaalla.
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 5 жыл бұрын
Kashatua majini atakondaje
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 5 жыл бұрын
Kwa yesu kunenepa nje nje
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Muasi hunenepa,na pia sadaka za kanisani si yuazila
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 5 жыл бұрын
@@nooordubem2802 kwa yesu kunalipa majini yalikuwa yanamnyonyaaaaaaaa
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
@@vumiliahalimeshi3133 kwa yesu ndipo atanyonywa vizuri kwa sababu kule kanisani ndiko kiti cha enzi chao kiliko🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️
@ibrahimibra3771
@ibrahimibra3771 5 жыл бұрын
Nimekuelewa kaka
@khaityzahoro6094
@khaityzahoro6094 5 жыл бұрын
unaonekana we we nimganga mzulisana nielekeze kilingechako kilipokakanije maana unayoyasema nikama uchawituu akunamambo ya mungu atakidogo duuh mtihani pesaizi jamani
@susynjambi
@susynjambi 5 жыл бұрын
Twangoja sana
@yohanabanya2389
@yohanabanya2389 5 жыл бұрын
Ujambo suzan
@susynjambi
@susynjambi 5 жыл бұрын
@@yohanabanya2389 sijambo
@piusthobius9057
@piusthobius9057 4 жыл бұрын
Umekua mkubwa sasa kitambo sana rafiki yangu mt
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 5 жыл бұрын
Majina 100 Karibuni kwa Yesu
@davidchoka4954
@davidchoka4954 5 жыл бұрын
Sote ni bin Adam, leo shehe kesho padri au askofu, kwa nini tuumize kichwa kwa malumbano na kukoment usio yajua!
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
@@davidchoka4954 amna padre au nan apa njia ni moja tuu Yesu ivyo ndivyo maandiko yalivyo sema
@sabrinaislam4200
@sabrinaislam4200 4 жыл бұрын
Poleni kupotežewa mda hapo sasa anawafundisha nini
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 5 жыл бұрын
Waiting for the next part
@calorinymrsdeeper9830
@calorinymrsdeeper9830 5 жыл бұрын
Caroline Talam wow m so proud of you I'm Caroline also
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 5 жыл бұрын
@@calorinymrsdeeper9830 Thank you, am from kenya 🇰🇪 and you?
@calorinymrsdeeper9830
@calorinymrsdeeper9830 5 жыл бұрын
Tanzania
@نايفالشمري-ط3د
@نايفالشمري-ط3د 5 жыл бұрын
I don't care work of darkness upon our life . Jesus him self overcome devil I come against darkness an its mission in command of Jesus i declare heaven to consume fire over the gathering of witchcraft in Jesus name Amen
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 жыл бұрын
Timothy 2:5 English Standard Version (ESV) 5 For there is one God, and there is one mediator between God and men, the man[a] Christ Jesus, Footnotes:
@Happey-lx3rl
@Happey-lx3rl 5 жыл бұрын
Kama umeamua kutusi thafadhali andika kiswahili safi watu wasome vizuri
@maryjustertarimo6269
@maryjustertarimo6269 5 жыл бұрын
CV ya maisha yako (matendo mema) unaitengeneza wewe mwenyewe hapa duniani ,ukiwa marehemu haifai mbinguni hakuna kuokoka ,kuokoka ni hapahapa ,kule Mungu atasoma CV yako ikiwa ni ya kuridhisha utaingia mbinguni hairidhishi moto utawahusu ,maana yake mbinguni vinaingia vitakatifu tu vivyosafishwa Kwa Damu Ya Mwanakondoo (Yesu)
@mocranaburugi3486
@mocranaburugi3486 5 жыл бұрын
Mbona link ya grp la whatsup inakataa
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1lDtufLd2LPIP Kama inaendelea kugoma tuna neno niunge kwenye 0764004602
@pamelajohn9699
@pamelajohn9699 5 жыл бұрын
Huyu ni mhubiri mkubwa sanaaa
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 жыл бұрын
Huyu shehe alikuwa anasalisha msikiti gani naona anazungumza maneno matupu sisi waislamu tunaongozwa na qur ani na sunnah toa aya toa hadithi tukujibu ayo mambo ya uchawi unoyataja kama ni mada basi ktk uislamu uchawi ni haramu na ni ktk mambo yenye kuangamiza sasa siju ww unojiita wakati unauhusisha uislam na uchawi
@shebbywanammurun9612
@shebbywanammurun9612 5 жыл бұрын
Mpaka naondoka katika post hii cjajifunza kitu kutoka kwa huyu msanii...
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Utajifunzaje wakati umekuja kujaribu??? Kaa huko huko uliko uendelee kuabudu na majini yenu,,,,,nasikia mtume wenu alirogwa???
@husseinissa7118
@husseinissa7118 3 жыл бұрын
@@myself4128 kurogwa sio hoja hata nabii daudi mtume wa mungu alilogwa na shetan akaugua magonjwa makubwa.can god be killed by some peaple act?
@nellyk2560
@nellyk2560 Жыл бұрын
Only jesus can
@digalaahmad6314
@digalaahmad6314 5 жыл бұрын
Mungu akuraan akuazbu apa dunian nakesho akhera na uwongo wko
@ngasamoc1401
@ngasamoc1401 5 жыл бұрын
Usihukumu kwani utahukumiwa piah
@omarysadiki9923
@omarysadiki9923 5 жыл бұрын
Kwakweli njaa ni mbaya sana,.. Wanaomsikiliza hapo kanisani na anayeongea wote ni makafiri tu. Wewe sheikh was msikiti upi. Kula tu ngurue hatuna kesi nawewee sisi
@calorinymrsdeeper9830
@calorinymrsdeeper9830 5 жыл бұрын
Omary Sadiki sote watanzani usitembee na pepo mfukoni mwako ,,kwa kuita wenzio makafiri ,,ivi we unahakika na maisha uako?
@calorinymrsdeeper9830
@calorinymrsdeeper9830 5 жыл бұрын
maisha yako
@nabiiesterdonald4205
@nabiiesterdonald4205 5 жыл бұрын
mtumishicmbona una mambo mengi j ni ibada au hadithi .nenda kwenye mada inayohusika
@barutmsofe5279
@barutmsofe5279 5 жыл бұрын
Huyu jamaa kinacho msumbua ni njaa na hakun njaa mbay kama njaa ikipand kichwan na nyie wakriso mmezoea kudanganywa Sana ngoja na huyu awadanganye kwaiyo kila anaevaa kanzu tu ni Shehe .kuweni makini na wauza maneno kama kweli ni shekhe awape aya angalau 3 tu huyo alikua mganga wa kienyeji kafir mkubwa huyo laanakum llah
@athumanikaroyo5999
@athumanikaroyo5999 5 жыл бұрын
Uzuri makanisa ndio yanayochezewa msikiti ujinga kama huo nawashaangaa wakristo anapelekwa tu amjiulizi mbona maskofu awaendi kuubiri msikitini ila kanisani jitambuei mnaonesha udhaifu wa ibada yenu
@feristerkumbuka1837
@feristerkumbuka1837 5 жыл бұрын
Wandish mnasema katinga na kanzu iyo sio kanzu ni vaz la heshma na ndo alovaa tajir lazaro
@messimessi7255
@messimessi7255 5 жыл бұрын
Lazaro gan
@nawihadj6674
@nawihadj6674 5 жыл бұрын
Na hloo pajab ni miguo ya kihindi sio kanzu wala nn
@issayahyaally4946
@issayahyaally4946 5 жыл бұрын
Ukitaka ujue uongo wa mwisho kbs embu jaribu kuckiliza shekh asoweza kujiita shekh ati ajiita shaikh huo ni uongo wa mwisho kbs
@ukhutysalmaah1463
@ukhutysalmaah1463 5 жыл бұрын
Ata anachoongea hakieleweki basi wakrito wanafurah duh hamtuweza kuzima nuru endeleni kudangwa mara aongelee uchawi mara vibaka yan mada hakieleweki kwendeni huko
@hamzamwilaphy2902
@hamzamwilaphy2902 5 жыл бұрын
Sisi tunamuelewa nyie hamuwezi kumuelewa
@khalifamahondo1587
@khalifamahondo1587 5 жыл бұрын
Mnatumia nguvu nyiingi kutafuta mbinu za kuumaliza uislam lakini hamtaweza, hayo ni maigizo tu, we ongea baadae upewe sadaka
@minaziparasu3352
@minaziparasu3352 5 жыл бұрын
Saw akijana pambana upige hela Usawa mgumuhuu mudandio huuhuu ukichelewa imekulakwako
@ashurakambangwa14
@ashurakambangwa14 5 жыл бұрын
Mmmh
@graceshayo5763
@graceshayo5763 5 жыл бұрын
Jmn tunaomba sehemu nyingne wapendwa
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 5 жыл бұрын
Duniani kuna mambo jamani,ee Mungu tulinde tusikutane na majini kama hayo.
@sabrinaislam4200
@sabrinaislam4200 4 жыл бұрын
Nyoo Ata kuitamka shehe huijui
@sospetermasanja3224
@sospetermasanja3224 5 жыл бұрын
Ninasubili ushuhuda wake hapa youtebe: Marikiwe sana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
Ushuhuda wake unakuja,kaa tayari
@mocranaburugi3486
@mocranaburugi3486 5 жыл бұрын
Mi natamani hayo masomo aliyotoa
@yvonneamekakaombeniwimbomu8312
@yvonneamekakaombeniwimbomu8312 5 жыл бұрын
Mtu aki okoka ana amini kuwa Yesu ana mulinda hana aja ya ulinzi wa mabondiya kumu linda.
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 5 жыл бұрын
Vitabu vya dini vimeandika jilinde nami nitakulinda, ukibisha hodi nami nitakufungulia
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 5 жыл бұрын
Mbona nyumba za ibada kama makanisa au msikit vinalindwa na walinzi nawakati ni nyumba za ibana?
@iliyasamanzi5667
@iliyasamanzi5667 5 жыл бұрын
Dini ya uislamu ni dini mzuri dini ya haki dini ya nabii IBRAAHIMU (baba wa imani ya kweli)uislamu nidini ya maumbile ndio tunao kua ili mtu asiwe muislamu lazima wamtoa (wam batize) kumtoa katika asili yake ya uislamu,uislamu ni amani, uislamu ni dini ya upendo ,uislamu nidini ya kuelezana ukweli (haki)karibuni katika uislamu dini ya muumba wa mbingu na ardhi muumba wa viumbe vyote,Na huko ndipo tutapata uzima wa kweli wa milele.
@jennraphael2923
@jennraphael2923 5 жыл бұрын
Jamani nahitaji kujifunza zaidi kwa kuwa nilipatwa na shida ya kukutana na MTU wa namna hili na namujua ila nikajua hili baada ya kuanza kuomba mungu anijuze kitu gani kimenipata maana moyo ulishtuka ghafla kwake japo alichokitaka hakukipata maana jina LA yesu lilinipa majibu
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 жыл бұрын
Jina la Yesu halina chochote wacha uongo
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 жыл бұрын
Yohana 5:30 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 30 Mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe. Mimi nahukumu kufuatana na jinsi Mungu anavyoniambia. Na hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti kufa nya nipendavyo, bali nafanya mapenzi yake yeye aliyenipeleka.” Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
@khamisjuma6175
@khamisjuma6175 5 жыл бұрын
Wakristo hata sijui mpaka leo munakwama wapi, kwa sababu sijui mpaka lini mutaendelea kudanganywa kwa maslahi ya wachache ambapo kwamba baada ya muda tu huwa wameshachuma. Kwani hii dini yenu haiendi mpaka mudanganywe? Kwa mwenye akili timamu atajua kuwa huyu jamaa anaporoja tu, lkn wengine wao hushangilia tu. Dah! Innalillah.
@marygaspary199
@marygaspary199 5 жыл бұрын
Khamis Juma :Kakiri mwenyewe, kuwa alitokea Uislam kwa cheo cha Shekhe, kuja kwa Yesu. Hatuna budi kumpongeza mambo yakuchambua dhambi zake tumuachie Mungu. Kama anadanganya anatapeli mwizi nk :
@khamisjuma6175
@khamisjuma6175 5 жыл бұрын
@@marygaspary199 kuweni makini na wa2 km hawa
@khalfanomar7665
@khalfanomar7665 5 жыл бұрын
Ndugu zangu kwa nini mnakubali kudanganywa ?
@signfriedjoji5587
@signfriedjoji5587 5 жыл бұрын
Kwahii movie hata director atakufa !, polen wenye nywele chache ,nimesikiliz sijaelewa nikajitahid kukaza macho picha inixaidie ila bado ,All muslim Allah atuongoze katki njia iliyo nyoka kama alivyo tuelekeza. Qruan suratul fatiha: 5 ,
@salehesengiyanka5397
@salehesengiyanka5397 5 жыл бұрын
Ww cyo shekh hata kidogo kwanza ongea yako haina hata rafudhi ya koran, ila kwakuwa unataka kueneza ushetan na kujaza kanisa uko sawa
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 5 жыл бұрын
UISLAMU unahimiza Elimu, usiseme jambo/neno ambalo huna elimu nalo. Huyu ni mchawi tu hata mada yake haipo ktk mpangilio!
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Nasubiria waislamu watakavo mkosoa na kumkataa🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️ hata wale wasiojua juzuu moja tu watakwambia wanamzidi elimu ya dini😂😂😂😂na watadai kanunuliwa au hakuwa muislamu😂😂😂 #HAKUNA WOKOVU KATIKA UISLAMU
@zawadiommary8593
@zawadiommary8593 5 жыл бұрын
Me? Ha ha ha hamna kituhapa
@nawihadj6674
@nawihadj6674 5 жыл бұрын
Hyoo choko tuu hajawahi kuwa shekhe makuuu tuu hyooo
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 5 жыл бұрын
Wasijichoshe kwa yesu Kila goti litapigwa labda kama waislam hawana magoti
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 5 жыл бұрын
@@nawihadj6674 mbona nyie mnaaminigi mtu akisema alikuwa mchungaji akasilimu ila sio shehe kubatizwa? Mnafeli wap?
@SAM_163
@SAM_163 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆
@karumekarume3634
@karumekarume3634 5 жыл бұрын
Wewe unaonyesha kabisa ni muinjilisti sema ulikua mchawi njaa imekupiga umejisalimisha ukawaibie sadaka kanisani
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 5 жыл бұрын
Shetani lazima afichuliwe.. Ilishaandikwa kwenye Bibilia
@suleimanali8317
@suleimanali8317 5 жыл бұрын
muislamu wa kweli hawezi kuingia kwenye ukrito, mtu haokoki duniani acha kujidanganya mwenyewe
@MsAggie5
@MsAggie5 5 жыл бұрын
Suleiman Ali kuna shuhuda nyingi humu youtube toka kwa waarabu jaribu ku search utaona. Nilimuona Mama mmoja alikuwa anaumwa cancer akapata maono, Yesu alikuja kumponya akapona (ni mwarabu kiislamu) sasa hivi ni muhubiri mkubwa sana anamtangaza yesu.
@suleimanali8317
@suleimanali8317 5 жыл бұрын
Aggi Bibi Angel : sio waraab wote waislamu,wapo imani tofauti bible za kiarab pia zipo
@MsAggie5
@MsAggie5 5 жыл бұрын
Suleiman Ali na fahamu, nilichosema hao walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi gani walivyotoma uislam kujiunga na ukristu ndo nikakupa mfano wa huyo mama aliyepona cancer. Search humu KZbin utaona waislaamu wa kiarabu.
@jacksonnchimbi308
@jacksonnchimbi308 5 жыл бұрын
Wewe subiri ukaokoke ukifa utaona kama kuna uokovu ,na nukuu maneno ya yesu Kristo alisema hivi mtu hawezi kuja Kwa Baba yangu bila mm ,mm ni njia ya kweli na uzima.
@suleimanali8317
@suleimanali8317 5 жыл бұрын
Jackson Nchimbi : alikua anaongea na wana wa Israel Mathayo 15:24 matendo ya mitume 13: 23 jitathmini kama ww muisrael
@nswilayella3295
@nswilayella3295 5 жыл бұрын
Ukristo raha jamaa kanenepa
@swalehkiuga167
@swalehkiuga167 5 жыл бұрын
Kula mangurue c lazima anenepe uchafu MTU
@bekakinamna4253
@bekakinamna4253 5 жыл бұрын
Acha anenepe jahannam ikafaidi
@nswilayella3295
@nswilayella3295 5 жыл бұрын
@@bekakinamna4253 kwa elimu aliyokua nayo kuhusu dini yako ningekua mm ningemtafuta anifundishe kwa nn amelitad lkn kwa 7bu tumekua wepesi kuhukumu anakwenda motoni tutazidi kupotea . Nakushauri kuwa mtu wa kuchunguza sio kutoa majibu mepesi kwenye masuala magumu
@allyomari680
@allyomari680 5 жыл бұрын
kwani nyinyi wakristo mnakawia kudanganywa mtu akivaa kamzu tu nishekh ngoja nikuambie mm muisilamu ukitamka tu neno utajua tu huyu anaekti eti mm Shekh nimeokoka nyoooo piga hela baba mapoyoyo umetajirika kaka haloooo
@karumekarume3634
@karumekarume3634 5 жыл бұрын
WEWE UMESOMEA VITABU VYA UCHAWI WA KISISINA WALA UISLAMU HUUJUI WEWE ULIKUA MCHAWI MPIGA RAMLI HATA KURANI INAKATAZA UCHAWI
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 5 жыл бұрын
Ingekataza waganga wa kienyeji wangetumia?
@ابنعثمن
@ابنعثمن 5 жыл бұрын
Ni kweli,. Nashangaa Wakristo wanatumia nguvu nyiiingi lakini matokeo ya nguvu na juhudi zao ni hafifu. Kama hapa, inaonekana wazi ni unafiki
@SAM_163
@SAM_163 5 жыл бұрын
Povu la nini?
@hawakiza6067
@hawakiza6067 5 жыл бұрын
Hata unavyotamka majina Inaonyesha wewe ni mkristo uliopangwa Et uonekane umetoka kwenye Uislam Sio kweli wewe ni mkristo tangu zamani acha kudanganya watu kwa kuwa peleka motoni Umepata hasara ya duniani na kesho akhera
@eddyjustin5890
@eddyjustin5890 5 жыл бұрын
Wewe haukua muislam nikafar ambae umetengenezwa ili kuudhalilisha uislam , Ninaekujua zaman Sanaa toka upo kijana mdogo Na uijui quraan hata chembe unababaisha watu tuu
@shaloboy3861
@shaloboy3861 4 жыл бұрын
Njaa inamsumbua
@messimessi7255
@messimessi7255 5 жыл бұрын
Muendelezo wa video hii uko wapi?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKCbfJJ3aJhsg9E
@messimessi7255
@messimessi7255 5 жыл бұрын
@@PromovertvTz shukran broh🙏
@jamesswai6583
@jamesswai6583 5 жыл бұрын
Tunangoja nyingine!
@rahabnjoroge8005
@rahabnjoroge8005 5 жыл бұрын
Next
JINSI MTOTO WA DAWA ANAVYOPATIKANA,INATISHA!-SHEHE OMARY MNYESHANI
40:59
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 33 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН