Ufafanuzi: Kweli meli za Mizigo haziji Tanzania na Kenya sababu ya waasi wanaoshambulia Suez Canal?

  Рет қаралды 27,076

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 9 ай бұрын
Mungu azidi kuwapa nguvu Yemen.. ❤❤
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 9 ай бұрын
Safi Sana, Mutawajua Wabaya Wenu Hivi Karibuni... Na Wala sio Hao Houthis, kama wenyewe munavowaita Waasi...
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 9 ай бұрын
Wapumbavu wanawaita waasi lkn wenye akili wanawajua wanaosababisha mpaka yanatokea haya ni kina nani, Bado mpaka mseme, yaani mpaka muache kuwaua wapalestina bila sababu wao ni binaadamu wanahitaji kuishi mnawezaje kuwaua halafu na ninyi Huku mkiendelea na biashara zenu?
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 9 ай бұрын
Sio waasi rekebisha usemi wenu huo mnawaona wazungu watu wa maana kumbe ni adui mkubwa wa maisha yetu..
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 9 ай бұрын
Sio waasi wale ni pambania dunia.waasi ni eu na Marekani
@jumakassim8718
@jumakassim8718 9 ай бұрын
Swadakta
@birianination7097
@birianination7097 9 ай бұрын
Waasi wakubwa mnoo
@josephlyakurwa
@josephlyakurwa 9 ай бұрын
Uko vizuri
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 9 ай бұрын
Tena subirini wazifyekee na hizo nyaya tukae kwa kutulia
@idrisakasuwi7865
@idrisakasuwi7865 9 ай бұрын
😄😆😆 na ndio plan ipo hawataki mchezo
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 9 ай бұрын
@@idrisakasuwi7865 😂😂
@Joshuajereman
@Joshuajereman 9 ай бұрын
Afu nawewe unataka uanzekuchoka wale siyo wahasii sema Yemeni acha ujinga
@Fgldesigns
@Fgldesigns 9 ай бұрын
Wabongo washapata sababu ya kuongeza bei ya mafuta na sukari.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 9 ай бұрын
😂
@salimahmadi-fg8sw
@salimahmadi-fg8sw 9 ай бұрын
Sio waasi ndugu rekebisha matamshi houth forever free Palestine
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 9 ай бұрын
Kweri kbs
@Sandra39823
@Sandra39823 9 ай бұрын
Kweli kbs
@birianination7097
@birianination7097 9 ай бұрын
Waasi wakubwa hao
@afyabora3207
@afyabora3207 9 ай бұрын
Hii ni kweli 💯 mimi nasafirisha container la vitu toka Sweden- Tanzania kwa sasa ni shida sana … na gharama zimepanda mara 2
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 9 ай бұрын
Gharama zitaongezeka kwa mizigo inayotoka Europe kuja East Africa. Lakini kutoka China and other Asian countries, sielewi kwanini iwe ghali kupitia East Africa wakati we on the way to that long route route through Cape of Goodhope!
@wadantz123
@wadantz123 9 ай бұрын
​@@joycekisamo4896alaf mizigo ya china imekuwa kipengele sana nchini kwetu cjui tatzo liko wapi
@pauloscar6271
@pauloscar6271 9 ай бұрын
Hii sio kweli, mashambulizi ya Houthis ni eneo lati ya Djibouti na Nchi ya Yemeni panaitwa Bab al-Mandab Strait. Hii ipo kwneye Red Sea na sio Suez Canal. Japo ni kweli Suez Canal ndipo meli zinatoka lakjni mashambulizi hayafanywi Suez.
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 9 ай бұрын
Wale sio waasi wale wanapambania maslahi yao ya nchi yao
@mchezoyakite4326
@mchezoyakite4326 9 ай бұрын
Wewe mwenyewe muasi acha matamshi yako ya hovyo hovyo
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 9 ай бұрын
Walikuwa wanashabikia sana vita hiyo ya hamasi na wakata kuandamana wawa unge mkono hamasi.Wapalestina wamewachukia sana hamasi mpaka juzi hamasi wanawauwa wapalestine wenzao .cctunajiingiza kisa islamic ideology.sasa hakuna meli zinakuja
@idrisakasuwi7865
@idrisakasuwi7865 9 ай бұрын
@@samwelmatemu8873 Acha ujinga na acha uzayuni angalia vzr hbr
@MohamedChengula
@MohamedChengula 9 ай бұрын
Iyo ni uzushi na propaganda ya wazayuni
@josephlyakurwa
@josephlyakurwa 9 ай бұрын
Masahihisho kidogo, Houthis hawashambilii mfereji wa Suez, huo upo juu sana kule. Wao wanashambulia bahari ya Sham (Red sea). Of course lazima kupita Suez canal kuingia red sea. Pia hao Houthis hawana shida na meli za mataifa mengine, wao wanalenga meli zinazosafirisha Cargo za Israel. Western Mainstream Media hawaripoti ukweli wote
@kimbwapulekig8126
@kimbwapulekig8126 9 ай бұрын
daaah shida sana
@khamisshaa7820
@khamisshaa7820 9 ай бұрын
Sio waasi na nyinyi mshaanz kutiwa sumu
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 9 ай бұрын
Hacha Uongo Mfereji wa Suwez siyo unashambuliwa bali ni Bahari ya Sham pia Mfereji wa Suwez upo mbali na Yemen
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 9 ай бұрын
Sasa Suez canal inapita wapi? Kuna mahali Suez canal inaunga sham ndio itokee upande wa juu
@williamkeita1519
@williamkeita1519 9 ай бұрын
Houthi sio waasi watake radhi😢kilichopo ni magaidi wa marekani wameshambulia maelfu ya watu wasio na hatua huko ghaza Yemen na kwingineko,hao wameamua kujilinda tu tena tunapaswa kuwaunga mkono hatufi pasipo marekan,Vizazi vijavyo huku afrika vitashuhudia unyanyaswaji uliotokea pale Yemen pale ghaza kwasababu ya malighafi madini nk.USA taifa ovu na hatari sana dunian
@mohdkharousy704
@mohdkharousy704 9 ай бұрын
Wasi ni wa israel na marekani ndugu wa yemen sio waasi .rekebisha kauli yako ndugu mwana habari
@MohamedChengula
@MohamedChengula 9 ай бұрын
Hakika
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 9 ай бұрын
Waasi hao kwanin habadilishe na kasema wazi
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 9 ай бұрын
HAO SI WAASI. NI WATU NA AKIKIZAO TIMAMU WANAOPINGA USHENZI NAKUPIPIZA KISASI JUU YA USHENZI UNAOFANYWA NA WAMAGHARIBI JU YA NDUGUZETU WA BINADAMUWENZETU PALESTINA.
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 9 ай бұрын
Lau netanyahu na serikali yake igelitumiya hekima na busara ayo yote ayangeli tokeya ama kutusibu
@MwakokolaTwifu
@MwakokolaTwifu 9 ай бұрын
Gaid ni mtu wa namna gani maaaan tunakalilishwa ujinga tu ugaid si ule anaoganya netanyau ugaid ni ule anafanya marekani kule iraq kule libya
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 9 ай бұрын
Us Israel ni waratibu ushoga usagaji na watu wa Mungu wanachapa meli zao zinazoleta condom Africa
@abdallahnamuha3357
@abdallahnamuha3357 9 ай бұрын
Oa Mwamba nakukubali sana unanipa lecture ambayo nakosa class
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 9 ай бұрын
Hii vita naiishe tuu jamn Waafrica tutakoma
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 9 ай бұрын
Acha tukome taifa teule lipo kazini
@baizoboy1719
@baizoboy1719 9 ай бұрын
Hawa waasi wa Yemeni hatari sana nakumbuka wakati nipo Jeddah Saudi 2022 walilipua kisima cha mafuta halafu haikuwa mbali na sehemu niliyokuwa nakaa takribani 1km, but sijawah sikia kama wanavamia meli za mizigo tuache uhasama nao maana wana vitaa juu ya serikali ya Saudi Arabia na Marekani na sio mengne😠
@rashadally6871
@rashadally6871 9 ай бұрын
DJ sma we baba lao haya yote ulishayaeleza hii ni mipango ya mataifa makubwa.....😢
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 9 ай бұрын
umeona ee kila kitu kipo wazi
@gamalielialoni5538
@gamalielialoni5538 9 ай бұрын
Proud to be mk wap
@twahaissack7887
@twahaissack7887 9 ай бұрын
solution ni kuaa na viwanda vyetuuuuu wenyewee
@Iam_mgahivevo
@Iam_mgahivevo 9 ай бұрын
Leo Hapa ndio nimepata majibu kwa nini bajaj zimepanda
@abdulazizimbwana1586
@abdulazizimbwana1586 9 ай бұрын
Nishingapi now.
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 9 ай бұрын
Inafikirisha kidogo bajaji zinatoka india na meli hazipitii Suez canal Bali zinakuja MOJA KWA moja Tanzania
@FeruziIsa-nc5vo
@FeruziIsa-nc5vo 7 ай бұрын
UKIMUULIZA MTU ANAEISHI UINGELEZA HAWEZI KUNYOOSHA MAELEZO
@Baya.enterprise
@Baya.enterprise 9 ай бұрын
God help us❤
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 ай бұрын
👍✌️👊.
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 9 ай бұрын
Africa tutakoma sasa
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 9 ай бұрын
Watu wanatafuta njia za kupandisha vitu bei
@e11said23
@e11said23 6 ай бұрын
Waasi tena smaa ebu mfaamishe
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 9 ай бұрын
Inawezekana ila hem weka sawa nan anazuia meli icpite
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 9 ай бұрын
Hii yote chanzo ni Marekani na nchi za Ulaya kuendelea kuunga mkono upelekaji siraha Israel na Ukraine hii isingetokea
@Juma-z5j
@Juma-z5j 9 ай бұрын
Millard tunaeshimu uelewa wako ila unataiwa ujue nn kinaendelea huko dunian na ujui houth sio wahadi pumbavu zenu
@sulaimanabdullah-qp8vs
@sulaimanabdullah-qp8vs 9 ай бұрын
Wachakuwa waasi.je Netamyau.atakuwa.nani.
@Happy-be8hh
@Happy-be8hh 9 ай бұрын
Washenzi tu hao wa EU
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 9 ай бұрын
Free Palestine 🇵🇸 🇾🇪💪
@wasafitvofficial5217
@wasafitvofficial5217 9 ай бұрын
Swizz canal
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 9 ай бұрын
Vita Bado mbichi
@khamisshaa7820
@khamisshaa7820 9 ай бұрын
Nilikua n wakubal san taarif zetu sem mshaanz kuleta ushamba n propaganda waasi hamuwajui
@GalaxyA-yw7eg
@GalaxyA-yw7eg 9 ай бұрын
Wana pambania taifa lao eti waasi Mungu anawaona
@thinktwice7176
@thinktwice7176 9 ай бұрын
Wahouth kwani ni Wapalestina hadi wapambanie Taifa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 ай бұрын
si bendera ya tz inatumika kusafirisha silaha za vita
@AbuuKajembe-yy8dj
@AbuuKajembe-yy8dj 9 ай бұрын
tutengeneze vyakwentu
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 9 ай бұрын
Sio na irani hata na tanzania waisilamu wenzetu tu vumilie tuu.naomba zisije kabisa tunge mkono hamasi.
@gamalielialoni5538
@gamalielialoni5538 9 ай бұрын
Ww
@MursalLusinde
@MursalLusinde 9 ай бұрын
Mhm mhm tuuunge mkono hamasi😮😮.? Ndgu unakurupuka kutoa maoni kisha unatoa ushauri wa aina hii sidhani kama unakijua ulicho kiandika. Hao wapuuzi washenzzi wakubwa ndo wanatuchafulia dini na kuonekana uislamu ni dini ya magaidi wakati sio kweli bali wanatumika wachache kuchafua uislamu ili ionekane ni dini isiyo faaa halafu wewe unakuja kusema tuwaunge mkono.? Jitafakari upya na ubadili mtazamo wako.
@thinktwice7176
@thinktwice7176 9 ай бұрын
Serikali na DINI WAPI NA WAPI, KWANINI UNAINGIZA UDINI WAKATI NI ISHU ZA UTAWALA
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 9 ай бұрын
Mbo mbo ngafu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 9 ай бұрын
Propaganda,juzi ndo mujua
@sondice3364
@sondice3364 9 ай бұрын
sio waasi hujui unaongea nin
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 9 ай бұрын
Simulizi na Nasuti unachFua jina lako kua muanzi wa habari zako ilikua nakuelewa lkn sasa kusha anza kuniangusha nahisi kama unatumika ivi na Mashoga
@svt3
@svt3 9 ай бұрын
@nassorkhamis6233: mimi kama sijaona anachafuwa wewe kama inaona anachafua nenda zako wana SNS tuko wengi ukiona hauelewi SNS wewe ondoka usipangie watu habari za ku tangaza
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 9 ай бұрын
REKEBISHA KAULI NINYI WATANGAZAJI WALE SIO WAASI , WAASI NI MAREKANI NA WASHILIKA WAKE , BADO HAMJUI NINYI WATANGAZAJI KUWA MALEKANI UKIWA UNAITETEA NCHI YAKO UNAITWA MUAASI
@criminalminds7723
@criminalminds7723 9 ай бұрын
Sky rekebisha kauli yako ndugu,houthi sio waasi,ama ww pia ni muisrael ??houthi ni freedom fighters bana
@MustafaMiraji-s1v
@MustafaMiraji-s1v 9 ай бұрын
Mjinga wewe muasi mama ako usiwaite waasi hujui habari
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 9 ай бұрын
Ni waasi ww unataka waitweje? We shoga SI ndio.
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 9 ай бұрын
😂😂😂😂 nilijuwa tu hamuwezi kukosa sababu matapeli naona swala la sukari mmelipatia uvumbuzi
@idrisakasuwi7865
@idrisakasuwi7865 9 ай бұрын
@@miltonjohn9779 kama hamas ni waasi je wayahudi wakiongozwa na bibi Satanyau nao ni watu gani???? ebu nijibu nikufahamu vzr
@kwaleboy6064
@kwaleboy6064 9 ай бұрын
Why do you call them waasi.😢
Подсадим людей на ставки | ЖБ | 3 серия | Сериал 2024
20:00
ПАЦАНСКИЕ ИСТОРИИ
Рет қаралды 610 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 111 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Why This Country Was Erased From History
16:50
Johnny Harris
Рет қаралды 1,6 МЛН
Новости дня | 16 декабря - вечерний выпуск
11:42
Euronews по-русски
Рет қаралды 30 М.
NINI KIPYA KATIKA BOTI MPYA YA BAKHRESA ZANZIBAR?
6:29
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 118 М.
Подсадим людей на ставки | ЖБ | 3 серия | Сериал 2024
20:00
ПАЦАНСКИЕ ИСТОРИИ
Рет қаралды 610 М.