UFARANSA yajibu mapigo kwa URUSI, yafanya jaribio la bomu lake la Nyuklia

  Рет қаралды 12,906

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 76
@abdulahmed7111
@abdulahmed7111 29 күн бұрын
Wa kwanza leo tunaoikubal SNS gonga like 👍 yko hpa
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht 29 күн бұрын
Top one asantew kwa ufafanuzi WA kinaa WA taarifa mnazo tupatiaa
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 29 күн бұрын
N.korea akifanya majaribio na Iran ya nyuklia wanawekewa vikwazo lkn wao hakuna wa kuwakemea😢😢
@atutweve4160
@atutweve4160 29 күн бұрын
Sababu wao viranjaaaaaa🤣
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 29 күн бұрын
Mfaransa bado ana maumivu ya kupoteza makaloni yake ya zamani huko Africa magharibu
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 29 күн бұрын
Asante sana mchambuzi
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 29 күн бұрын
Naona wanajitekenya kisha wanacheka wenyewe
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 29 күн бұрын
MBONA HII SAUTI KAMA YA MWENYEK I TI WA BAVICHA😮😮😮
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 29 күн бұрын
Kombora lenyewe ni super-Sonic akati warusi wana hypersonic...bado sanaaaaa wajipangeee😂😂😂
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 29 күн бұрын
URusi amemuaribia sana Ufaransa kwenye nchi za Sahel Anapigana vyovyote URusi URusi asishinde hivi vita vya Ukraine..
@atutweve4160
@atutweve4160 29 күн бұрын
Hawezi kushinda 🤣💪🏿
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 29 күн бұрын
​@@atutweve4160ashinde mara ngapi wakati maeneo ya Ukraine anayachukua tu siku hadi siku
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 29 күн бұрын
@@atutweve4160 hawezi kushinda na ameshachukua Robo ya Ukraine
@user-es7jn7cp5d
@user-es7jn7cp5d 29 күн бұрын
Hongera muchambuzi ama kwel dawa ya moto ni moto mrusi alisema dani ya wiki moja atakuwa kashamalinza vita dani ya Ukraine kaz bado
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 29 күн бұрын
Kenge wewe unafikiri pale Ukraine kwamba urusi anapigana na Ukraine pekeyake au na nguvu kutoka NATO Kila siku anapokea msaada wa silaha ,fedha,mamluki na intelijensia
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 29 күн бұрын
Sasa unakasikira nini,wakati anatamba ataipiga kwa siku kadhaa alikuwa hajui kama kuna nato​@@shaurimtanda8285
@user-es7jn7cp5d
@user-es7jn7cp5d 29 күн бұрын
@@shaurimtanda8285 kwani yeye urus yuko peke yake kuna china Iran na Korea kazkazn
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 29 күн бұрын
Kichwa maji pamoja na wachambuzi wote kukuelimisha bado huwezi elewa.Ukraine hana jipya siraha za msaada ndo zinampa uhai alio nao sasa hivi.Vita iliisha zamani na mrusi ndo mshidi unaumia ukiwa wapi😂😂😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 29 күн бұрын
​@@africanmandetraveler2847ww ndio unateseka,kwani huyo urusi kashinda hiyo vita?
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 29 күн бұрын
Apo sawa urusi asione yeye anajua sana kuliko wote
@user-tw9wu2gz4g
@user-tw9wu2gz4g 29 күн бұрын
Wanajitafuta Urusi habari nyingine. Ndomana hakuna wa kumgusa. Kafuatilie vzr utaelewa sio fata mkumbo.
@atutweve4160
@atutweve4160 29 күн бұрын
Tumemvumilia mrusi tumemchoka embu tumuoneshe na sisi kina nani 🫣🤣
@atutweve4160
@atutweve4160 29 күн бұрын
@@user-tw9wu2gz4gurusi hana loloteeee 😜
@johngerald4677
@johngerald4677 29 күн бұрын
​@@user-tw9wu2gz4gurusi sifa zisizo na uikweli
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 29 күн бұрын
Ufaransa haina jipya ina maumivu ya kupoteza makoloni yake ambapo mrusi ndo anakaribishwa
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 29 күн бұрын
❤❤❤😮😮😮
@NuhuHamisi
@NuhuHamisi 29 күн бұрын
Ufalansa anafanya yote hayo lengo kubwa nikuhakikisha urusi 🇷🇺 haishindi kbs koz ufaransa wanawakosa wakoloni wao wa Africa ya maghalibi
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 29 күн бұрын
Ufaransa ni my kwa urussi 😅😅😅
@atutweve4160
@atutweve4160 29 күн бұрын
ndoto 🤣🤣
@dan-konjembe5913
@dan-konjembe5913 29 күн бұрын
Wimbo ulihosikika ni wanani? Please
@josepheriah5977
@josepheriah5977 29 күн бұрын
Bdo la Ujerman aja test
@Uwezohussein-me2gp
@Uwezohussein-me2gp 29 күн бұрын
Ufaransa ndo nin ka nchi kanyewe ni kama mkoa wa morogoro...bomu moja tu nchi yote imefutika
@zaexplore
@zaexplore 29 күн бұрын
mzee west europe nchi kubwa kwa ardhi ni france
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 29 күн бұрын
Ufaransa nikama mandonga URUSI nikama mwakinyo so nivitu viwili tofauti
@Soon815
@Soon815 29 күн бұрын
Hujui unachoongea mabomu ya nuclear nguvu ni ileile
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 29 күн бұрын
@@Soon815 asiye juwa chochote ni wewe kama hujuwi nuclear zinatofautiyana. kamahujuwi uliza . Urusi ina nuclear tofauti tofauti LEARN OR PERISH
@ShabanKarim-tv3vn
@ShabanKarim-tv3vn 29 күн бұрын
Hawana jipia hao wafaransa
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 29 күн бұрын
Mh Ufaransa jificheni huyuwamba sio mwafrika mtapigwa
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed 21 күн бұрын
Wacha wqjitafute wqtajipata sio mbali
@kwisa4899
@kwisa4899 29 күн бұрын
Ufaransa imesahau kilicho kikuta kwene ww II
@atutweve4160
@atutweve4160 29 күн бұрын
Mmeaza kuhaha 🤣
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 29 күн бұрын
Hawa nao watupumzishe
@user-mm9qr7em8k
@user-mm9qr7em8k 29 күн бұрын
Anajihashua mrusi .amemshika pabaya.sn.anamfilisi kila Kona 🤣🤣🤣🤣🤣
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 29 күн бұрын
Wanatishia kujamba tyu huku wanaharisha
@apollobupolo9884
@apollobupolo9884 28 күн бұрын
Ufaransa anahasira na Putin sababu Putin ameshawishi AFRICA wamkatae ufaransa ndio maana kwenye makoloni yake ya afrika magharibi yaani FRANCOPHONE Anafukuzwa kila kona kwahyo anahasira mbaya na Putin
@aishaarusha894
@aishaarusha894 29 күн бұрын
Mvua nyesha tuone tunapovuja jamani wewe😂
@mangiclaus
@mangiclaus 29 күн бұрын
Na bongo tujaribu combora chuga moto. Tunajaza bangi tukiwapiga wapinzani wanalewa miezi mitatu😂
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 29 күн бұрын
Vipi ataekewa vikwazo kama Korea kaskazini
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 29 күн бұрын
Huyu hawekewi vikwazo. Ni super star
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht 29 күн бұрын
WA KWANZAAA
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 29 күн бұрын
Kila mmoja mwenye nguvu nyukilia akitaka kujaribu nini kitafata si ni vurugu tu mimi binafsi naona Ufaransa anasahau anaemtisha hatishiki angetulia muda wake bado awaache wenye nguvu wapimane wenyewe maana anaweza akapigwa moja tu mara chali miguu juu
@footballlove.2305
@footballlove.2305 29 күн бұрын
vita ya nyuklia hakuna mbabe wote watapata madhara hata sisi tutapata madhara tuache ushabiki waajabu kweny vita...vita hii haitakua na mshindi bali ni madhara tu hapa duniani
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 29 күн бұрын
Hivi unacheza na ufaransa ee.ufaransa ana silaha za nyuklia hatari sana
@user-oh8ig2cy9q
@user-oh8ig2cy9q 29 күн бұрын
Watu wanazo sema hawana majisifu
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 29 күн бұрын
Una unachojua ww
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 29 күн бұрын
Wanamchora tu putin
@gtzrreception5532
@gtzrreception5532 29 күн бұрын
Huyu mutu macron anataka kututaftia vifoo sisi wengne embu tulia😂😂😂 mavi yako ww unafanya mazoez gani mtu putin ana kila aina ya silaha ya maangamizi anapigana na nchi zaid ya 50 vikwanzo elfu mmoja bado yote hayo yameshindwa hata kumgusa tu ww unaleta uchepe😂😂😂 kaaa pembeni bhana mbuzi wee mwizi wa afrika
@josepheriah5977
@josepheriah5977 29 күн бұрын
Nil wambia kila mtu analo
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 29 күн бұрын
Si kila mtu analo urusi anayo maana ni mengi na yenye ubora
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 29 күн бұрын
​@AjiaMohamed-rt5pb una uhakika urusi anayo peke yake yenye ubora?mbona unajipendekeza vibaya namna hiyo?ulikagua ufaransa na urusi ukaona ya urusi ndio bora?acha umbeya.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 29 күн бұрын
Ufaransa wameshindwa na Ibrahim Traore je Putin watamuweza?
@footballlove.2305
@footballlove.2305 29 күн бұрын
putin anasumbuliwa na ukraine atamweza mfaransa
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 29 күн бұрын
​@@footballlove.2305 Kwani Ukraine Nguvu ya ufaransa haipo? Pili ni bora kupigana na wafaransa ambao wanapigana wabaki kuliko Waukreini wanaopigana ima awe mshindi au afe.
@Awatee
@Awatee 29 күн бұрын
​@@footballlove.2305😂😂😂mfaransa walimshinda kunguuni akafunga hadi shule
@sonnyr1899
@sonnyr1899 28 күн бұрын
@@footballlove.2305 Hahaha punguza kusikiliza cnn watakuvuruga 🤣🤣🤣🤣🤣
@jumashedafa
@jumashedafa 29 күн бұрын
Marekan ndio kamtuma mfaransa afany hivy ye kazi yake nikuwatoa wenzak kafara na wao wanafuata ila naamin ipo cku watakuj kupgan wenyew kwa wenyew kama si kujitoa mmoja baada ya mwingin kweny umoja wa NATO...Na hap ndio litakuj kutokea anguko la marekan
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 29 күн бұрын
Wale wana umoja sana na sio wanafiki kama sisi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 29 күн бұрын
Na pia wana nyuklia kama urusi na bahati mbaya kwa urusi ni kuwa NATO iko mipakani mwa urusi na washamtageti tayari ,akirusha tu kombora la nyuklia atachakazwa vibaya sana
@josepheriah5977
@josepheriah5977 29 күн бұрын
Putin afe
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 4,5 МЛН
1 класс vs 11 класс  (игрушка)
00:30
БЕРТ
Рет қаралды 4,2 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 115 МЛН
Super gymnastics 😍🫣
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 103 МЛН
Falling For the Can-Am Maverick R...
0:17
CAN-AM OFF-ROAD
Рет қаралды 17 МЛН
PINK STEERING STEERING CAR
0:31
Levsob
Рет қаралды 22 МЛН
LIFE HACK: If you don’t have BRABUS🤑🤫
0:18
Ibrokhim ps
Рет қаралды 2,5 МЛН
Choose a truck for Mom ♥️ #shorts #viral #truck #cars
0:12
Fastlane
Рет қаралды 6 МЛН