Ufeminia ni Nini? | Jenerali Ulimwengu Exclusive On The Chanzo S12

  Рет қаралды 1,722

The Chanzo

The Chanzo

9 ай бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 15
@DamasiusPetro
@DamasiusPetro 2 ай бұрын
Dah! Nashukuru Dana Mzee zjJenerali kumleta huyu. mwanamke. Nimependa Dana sana sana Hoja ya ushndani na kutopenda kuhurumiwa! Hapa Kuna mjadala mzito sana Aitwe Tena. Natoka Kagera.Nafuatilia sana Naona Mzee umefurahi sana
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 9 ай бұрын
Hayo mambo ya kuwa na haki sawa ni mpango wa kishetani hili ndoa zisiwepo
@heroone4187
@heroone4187 9 ай бұрын
mwanamke anataka awe anapanga zamu ya kupika na mume wake😂😂
@ramansitv3292
@ramansitv3292 8 ай бұрын
Nimesikiliza kwa umakini maelezo ya huyu dada, hapana nimeona kuna mambo yanaleta mkanganyiko, mbali na dini amabzo zinasemwa zinamkandamiza mwanamke lakini tunazo tamaduni za kiafrica ambazo zilikuwepo uwepo wa dini tulihisi umekuja kuondoa hizo changamoto, nadha tunalazimika kupitia tena mafundisho ya dini ishu ni kwamba hatusomi baada ya kufundishwa hivyo ulimwengu unatupeleka tuishi bila imani, kwa mujibu wa huyu dada anashaka na imani yake na mafundisho yake hayajamuingia vyema, mimi binafsi sikatai wanawake wanapitia changamoto lakini kwa namna kubwa dini imelidha utu na thamani ya mwanamke changamoto ni elimu ya dini husika, sababu hata walioleta dini waliitumia kutunyonya. kuna haja dada akapitia tena dini kwa udani kwa kusoma mwenyewe sio kusikiliza, mwanamke anaweza kuishi kama malkia kama atajitambua lakini sio kuhakikisha anamshusha mwanaume that age will never come.
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 9 ай бұрын
Mwanamke akianza kutafuta haki fulani kutoka kwa mwanaume ataishi kwa mateso sana
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 9 ай бұрын
UMETUMWA
@mr.bikeman.lg2024
@mr.bikeman.lg2024 9 ай бұрын
Namkumbusha kuchana nywele kwanza.
@zonko0488
@zonko0488 9 ай бұрын
Dada kabila gani huyu?
@alijuma8009
@alijuma8009 9 ай бұрын
Hawandio wanao tumiwa na mabepari
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 9 ай бұрын
@deniskg310
@deniskg310 9 ай бұрын
Kwa heshima ya Jenerali, nikachagua kusikiliza kwa makini maana hata mimi nimekua na ukakasi kuhusu feminism. Kwa kweli Dada amefafanua vizuri sana na nimeelewa. Tofauti kidogo ni kwangu binafsi dini izo izo alizoeleza kama chanzo cha mifumo ya kumkandamiza m/ke, mimi ndizo ziliniamsha kuiona nafasi ya mwanamke sio ya chini kama jamii inavyochukulia. Napendekeza dada upitie kitabu cha dini kiitwacho Adventist Home, ili uweze kueleweka zaidi na waumini.
@DamasiusPetro
@DamasiusPetro 2 ай бұрын
Kinapatikana bookshop,?
@DamasiusPetro
@DamasiusPetro 2 ай бұрын
Naomba kipengele hiki Cha ushndani kikatwe na kuwekwa Kila mahali
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 20 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA GANZI, DALILI NA MATIBABU YAKE.
18:36
MUHIMBILI MLOGANZILA TV
Рет қаралды 87 М.
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 9 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 20 МЛН