Kazi nzuri sana hii. Hatuwezi kusherehekea Siku ya Mashujaa bila kuwafahamu mashujaa wenyewe. 😊👏🏾
@edsonnelson44646 ай бұрын
Asante kwa makala nzuri na umetukumbusha mbali na kujenga uzalendo, ninachoomba wale walioshiriki vita hiyo ya Kagera yaani wapiganaji wenyewe wanawaenzi namna gani, hata kama alifia vitani au alipata ulemavu walienziwa namna gani, hapa umewataja viongozi, ambao baada ya vita walitunukiwa hayo uliyoyataja lakini waliofia vitani waliokatika mikono , miguu, wengine masikio yaliziba walisaidiwaje, maaana kuna mmoja nilimwona kwenye Tv alipata ulemavu vitani ana maisha magumu sana hata nyumba anayolala ni shida na kutokana na huo ulemavu hata alishindwa kutengeneza familiar. Sasa sijui hao wanajeshi wenzie walimwona na inawezekana wapo wengi
@saidbakar-qo6ri6 ай бұрын
Vita yoyote duniani hukumbukwa wote kwa ujumla kama mashujaa lakini kwa walioingoza vita hiyo wana kumbukumbu na sifa maalum kwani kama tanzania ingeshindwa vita hiyo wangelaumiwa makamanda wakuu viongozi wa kijeshi na amiri jeshi mkuu wapiganaji hufuata maelekezo ya wakuu wao mfano kamanda mkuu na mkuu wa majeshi ya Rwanda RPF alikuwa kagame waliposhinda vita sifa zote zikaenda kwa kagame japo wapiganaji wengi waliuwawa
@stephanSandika2 ай бұрын
Ndugu hao ndy wapo wengi Baba yangu mzazi Wajomba wawili Mama yangu mzazi
@TibihikaGerad2 ай бұрын
Kaka nimekukubar wew ni mchambuz hodar sana Nyie ndio tunao wataka sio wale mbumbumbu wa kuzushia watu vifo wakat wako hai safi kaka♥️💯📌
@tatutumbi46406 ай бұрын
Mungu Amlaze mahali pema poponi. Mume wangu mpiganaji. Na wengine wote waliotangulia mbele ya haki. Kazi mliifanya. Mpewe Maua yenu.🙏🙏
@thechanzo4 ай бұрын
Amina na pole sana
@thechanzo4 ай бұрын
Habari, kama utapenda tunaomba tupate simulizi kutoka kwako kuhusu vita ya Kagera na hasa kuhusu shujaa mume wako 0753815105 (The Chanzo)
@Babylon_Must_Fall2 ай бұрын
Fanya mpango uandike kitaab!
@stephanSandika2 ай бұрын
Pole
@fadhilkalembo56763 ай бұрын
Hapo wa kumi na tisa s.s kalembo.mungu aendelee kumpa afya njema baba yetu .
@Babylon_Must_Fall2 ай бұрын
Yupo wapi kwa sasa? Mhoji upate cha kuandika kesho, ikiwemo na picha! Namtakia Kila la kheri!
@margarethpolepole74386 ай бұрын
Mungu awalaze mahali pema peponi akiwemo Mume wangu mpigani wa vita hiyo
@tuzonyava83066 ай бұрын
Pole na Mungu awalaze mahala pema pepon
@jeremiahmalasusa39976 ай бұрын
Mungu amlaze peponi.
@magigesabai86746 ай бұрын
wengine bado wapo akiwemo Kikwete
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
@@magigesabai8674 kuna watu wengi hawafahamu kama Kikwete ni mjeda na alipigana hiyo vita💥💥💥💥
@thechanzo4 ай бұрын
Pole sana, tungependa kupata simulizi ya vita ya Kagera na shujaa mume wako kama utapenda. Unaweza kuwasiliana nasi kwa 0753815105 (The Chanzo)
@jeffmap40385 ай бұрын
Brig Gen. M. M Rajabu muhandisi wa Daraja la Kagera mmemsahau.
@SaidPazi4 ай бұрын
Asanteni viongozi wetu kwa kutupambania wajukuu zenu amiiin
@abdulhajiahmed87356 ай бұрын
Sababu za kumpiga tunayo, uwezo wa kumpiga tunayo, tunataka dunia ituelewe hivyo kazi iliyobaki ni mmoja kumpiga tuu !! Vita si lelemama. Kagera war Mwalimu Nyerere 🇹🇿🇹🇿⚒️🇺🇬🇺🇬
@hassanmfaume45226 ай бұрын
Matokeo yake uwezo hatukuwa nao tena kila kitu kikawa shida tupu😅😅😅 huyu aliyesema apigwe nduli Amini ningekuwa karibu yake ningemzaba makofi hii vita ilichakaza uchumi wetu 😅😅😅.
@abdulhajiahmed87354 ай бұрын
Kumbuka kuwa hayati mwalimu Nyerere alisema mapema kuwa ni lazima tufunge mkanda na vita si lelemama. Kumbuka hata Marekani ilibidi watoke mbio na kuacha zana zao za vita ikiwemo helicopters na vifaru Afghanistan
@AbinelyBasiri6 ай бұрын
Namkubali sana general mike malwa, aliongoza kikosi nilichopigana Mimi,, aliwai kusema, anaendakumkamata amini Kwa mikono tu , Hana bunduki, we acha tu, huyo . Mwamba,
@thechanzo4 ай бұрын
Habari ndugu, tungependa kupata simulizi ya vita ya Kagera kutoka kwako kama utapenda, unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0753815105 (The Chanzo)
@Dr_Heart.6 ай бұрын
Mpewe maua yenu, nice story of our own history researched and presented in artistic and fantastic style, Muchas gracias the chanzo
@isackbilali79276 ай бұрын
Rest Easy Uncle Maj Gen. Rowland L. Makunda umewahi kunihadithia mengi sana kuhusu hii vita na leo nimeshuhudia ukitajwa kwny hii simulizi tamu ya The Chanzo
@josepharcado5 ай бұрын
Hongereni makamandi wetu tutazidi kukuenzini
@IsackIbrahimu-j3k5 ай бұрын
Ongera kwa kimbukumbu nzuri
@King_Of_Everything6 ай бұрын
History to remember.✌️
@unganivictor8176 ай бұрын
Viva mashujaa wote wa vita vya kagera
@fahadalismaili65466 ай бұрын
Kisha waliporudi wakapewa asante kwa kazi nzuri dadadeki
@Youngchimodzi8236 ай бұрын
That is the time we had had battle hardened, patriotic and highly disciplined soldiers , God bless them for standing against Idd Amin and other foreign infiltrators and Emperialism
@roudhamahmoud7636 ай бұрын
Asante sana kwa history
@gadielshedaffa33336 ай бұрын
Safi sana
@benjaminlazaro-o6eАй бұрын
Viva msuguli rest easy dingi
@WariobaMasunga-z9z22 күн бұрын
waislam huwa hawapendi kuiadisia story hii
@msafirially7849Ай бұрын
Interested
@EdimundKamsonko3 ай бұрын
Mungu alinde nchi yet isipate majanga Kama haya tena
@lovenessvisent94086 ай бұрын
Msuguri ni huyu huyu ninaemuita mzee wangu hapa mbezi au ni yupi msaada jamn
@petermabada56286 ай бұрын
Hapo hapo mbezi palikuwa kwake
@lovenessvisent94084 ай бұрын
@@petermabada5628 alaaaah
@stephanSandika2 ай бұрын
Namsikia baba mkubwa hapo jems luhanga
@georgekimako68406 ай бұрын
🔥🔥
@benjaminlazaro-o6eАй бұрын
Badla waden
@shadrackmashishangapeter8216 ай бұрын
Tuliopigana vita hiyo hatujawahi kuitwa wala kualikwa na bado tuko hai wanakaribishana wenyewe na kugawana posho
@ibrahimomari24586 ай бұрын
Iabla vita hivyo havikuwa halal...na vilisababisha leo tuwe hapa kimaendeleo....kwa sababu hizo kwann mkumbukwe...
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
@@ibrahimomari2458 tena walienda kumpiga Idd Amin na kumsingizia vitu vingi vya hovyo
@thechanzo4 ай бұрын
Habari ndugu, tungependa kupata simulizi ya vita ya Kagera kutoka kwako kama ukipenda, unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0753815105 (The Chanzo)
@danstanpanga84905 ай бұрын
Gen. Silas Mayunga "Jenerali Mti Mkavu".....….Gen Musuguru "Jenerali Mtukula" .... Gen John Walden..."Black Mamba"
@momylaviel6 ай бұрын
Viva mashujaaa
@VisentJohn-r3r3 ай бұрын
Umechapia
@lawskuli98766 ай бұрын
Natamani ungetuambia kila mmoja kati ya hao makamanda kama yupo hai au ameshafariki.
@AllyMohamed-w5x6 ай бұрын
Viva
@festokemibala58325 ай бұрын
Hizi kumbukizi zingekuwa zikifanyika rasmi katika eneo la tukio baada ya wiki nzima ya kusafisha makaburi ya wahanga huko Kaboya pia kuwatembelea mashujaa waliopo na hata familia zao majumbani na kuwafariji/kuwapongeza kwa hali na mali. Hii mara inafanyika Dodoma mara Singida wakati wahusika wala hawajawahi kuyashuhudia makaburi ya mashujaa yalivyopangana huko Kaboya wanaazimisha historia tu, hapana. Watembelee pia mpaka wa Uganda na Tanzania na ikibidi waende Chotera, Masaka, Mbarara washuhudie mabaki ya vifaru na mizinga iliyotumika ktk vita hivyo. Ni ushauri
@SubiraLuoga-de1id2 ай бұрын
Kazi nzuri lkn Sayore alistaafu na cheo Cha luteni jenerali km sikosei
@DemetriosByabato6 ай бұрын
Sijamsikia Meja General Msuya aliyeikamata Kampala.
@samsonmwijage18696 ай бұрын
Sawa kabisa kipindi cha vita alikuwa na cheo cha Kanali. Huyu Kanali Benjamin Msuya ndiye aliyeongoza kikosi kilichoteka mji mkuu Kampala. Alistaafu akiwa na cheo cha Meja Generali. Mwishoni mtangazaji amesema wazi wapo makamanda wengine wa vikosi asingeweza kuwataja wote ameona awataje hao 20 ambao wengi wao waliongoza Brigedi na baadhi yao waliongoza vikosi. Kila brigade ina vikosi 3 au 4 na kila kikosi kina kombania 4 na kila kombania na Platuni 3. Kwa hiyo Brigedi ni pana sana na ina askari wengi kama alivyowataja mtangazaji.
@Amosmsechu6 ай бұрын
Kabisaaa na aliitawala uganda siku 3
@saidbakar-qo6ri6 ай бұрын
amekwambia kulikuwa na wapiganaji wengine na makamanda kwenye taasisi za jeshi walioshirikiana na waliotajwa kuna waliorudi na waliotangulia walikuwa wakipishana pia ndio maana hajatajwa mkuu wa kikosi cha anga
@thechanzo6 ай бұрын
Msuya wakati wa vita alikuwa na cheo cha Luteni Kanali akiongoza moja ya kikosi, japo badae akiwa Uganda alipandishwa cheo na kuwa Kanali. Pamoja na kutambua historia kubwa ya Msuya, hapa kwenye list yetu tumewataja Makamanda wa ngazi ya Brigedi na Divisheni waliiongoza vita na sio makamanda wa vikosi vilivyokuwa chini ya Brigedi.
@anthonygikuri5 ай бұрын
Kazi nzuri sana. Historia hii inatakiwa kuandikwa vizuri iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo!!!!
@MohamedKidwaka-y4o6 ай бұрын
Ulitakiwa kutupa history nzuri ya john burder Walden black mamba
@BakarAliy6 ай бұрын
Wazanzibari ukitutajia nyerere .tunaumia
@LucyNgowi-m5z6 ай бұрын
Kwanini?
@bahiyalumelezy30166 ай бұрын
Meza panadol tu
@BataNamichongo5 ай бұрын
Wazanzibar ndo akina nani kwenye nchi moja Tanzania
@bahiyalumelezy30165 ай бұрын
@@BataNamichongo hawa wengi wao hawajizambui asil zao kwakweli,kuna wamakonde,wanyamewezi,wamatumbi na wengi kutoka bara,sasa kutokujitambua na kulazimisha uarabu ndy wanajikuta arabuni hawapo Africa wapo lkn wanajizima data,ni wakuwaacha km walivyo maisha yaendelee kwa amani tu,ardhi ipo Africa unforced iwe arabuni?kuwapotezea tu huku watu wanaendelea na kazi zao.muungano daima🇹🇿🇹🇿👍💯
@Wachoraji2 ай бұрын
@BakarAliy😢 TUNAKUSHANGAA UNAETAKA KUTUGAWA, WAZANZIBAR NI WAKINA NANI, SISI TUNAWAONGELEA MASHUJAA WATANZANIA, HAO UNAOWAITA WW WAZANZIBAR SISI TUNAJUA NAO NI WATANZANIA, PLEASE USIIGAWE NCHI YETU UTAISHIA PABAYA NA KAULI ZAKO, TUTAILINDA TANZANIA YETU, KUMBUKA ZANZIBAR NI SEHEM YA TANZANIA, USIRUDIE KUTULETEA UZANZIBAR KWENYE MAMBO YA NCHI, USIJARIBU KULETA KUTUGAWANYA, TYTAKUGAWANYA. KUWA MZAKENDO WA NCHI YETU YA TANZANIA,KAMA HUNA COMMENT NI BORA UTUKIE KIMYA😊
@Munyama6753 ай бұрын
Wakati wa Vita Musuguri alikuwa Brigedia na sio Meja Jenerali, sambamba na akina Walden wote walikuwa mabrigedia. Twalipo na Sarakikya walikuwa na cheo cha Meja Jenerali kabla ya baadae kupandishwa vyeo. Tuweke kumbukumbu hizi kwa usahihi kidogo
@babengarutta442 ай бұрын
Na wewe record zako hazipo sawa
@SaimonMisungwi2 ай бұрын
❤tanznia
@israelsimba49546 ай бұрын
Hingereni kwa kutimiza mJukumu yenu.
@111dudi4 ай бұрын
Vita iliirudisha Tanzania nyuma miaka 50. Kulikuwa na haja ya vita?
@amanyajohnson63414 ай бұрын
Are you serious?
@peterdshekiondo94446 ай бұрын
where is Tony Alfred's voice?
@DeusMbuge6 ай бұрын
Sayole Alistaafu Lt General sio Meja General
@thechanzo4 ай бұрын
Asante
@christiankambuga93386 ай бұрын
Safii
@musamwafongo34305 ай бұрын
Nilifanikiwa kuwa na Silas Mayunga/ na nilirudi SALAMA
@thechanzo4 ай бұрын
Habari Musa Mwafongo, tungependa kufanya mahojiano nawe kupata simulizi yako kuhusu vita ya Kagera kama utapenda. Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0753815105 (The Chanzo).
@WallaceMakunda6 ай бұрын
Ooh mbona picha ya brig mnauye sio hiyo , ni picha ya brig makunda
@thechanzo6 ай бұрын
Hiyo picha tuliyotumia, ilitumika kwenye tukio la kumbukizi ya kifo chake Nnauye. Sasa labda kama familia ya Nnauye ilichanganya picha. Ila nadhani umemfananisha na Makunda kwa sababu wote walikuwa wanavaa miwani.
@hafidhnzota21426 ай бұрын
Mejor Gen Msuya YUPO wapi KTK Idadi YAKO?
@thechanzo6 ай бұрын
Msuya wakati wa vita alikuwa na cheo cha Luteni Kanali akiongoza moja ya kikosi, japo badae akiwa Uganda alipandishwa cheo na kuwa Kanali. Pamoja na kutambua historia kubwa ya Msuya, hapa kwenye list yetu tumewataja Makamanda wa ngazi ya Brigedi na Divisheni waliiongoza vita na sio makamanda wa vikosi vilivyokuwa chini ya Brigedi.
@PauloKanoni-nu2bl6 ай бұрын
Wherebos Ben Msuya
@thechanzo6 ай бұрын
Alikuwa Kamanda wa Kikosi, hawa tumewataja ni wale wa kuanzia ngazi ya Brigedi. Historia kubwa ya Msuya ni kwamba Kikosi alichokiongoza ndio kilichoanza kuingia Jijini Kampala na yeye ndio alipewa maagizo ya kusimamia Uapisho wa Rais Mpya wa Uganda baada ya utawala wa Idd Amin kuanguka.
@samsonmwijage18696 ай бұрын
@@thechanzo:- Lakini pia umewataja ma - Kanali ambao waliongoza vikosi na siyo Brigedi na ndiyo sababu ya baadhi ya wafuatiliaji wa makala yako kuuliza Kanali Benjamin Msuya mbona hakutajwa.
@thechanzo6 ай бұрын
@@samsonmwijage1869 Makamanda wenye vyeo vya Kanali tuliowataja ni wale waliokuwa na madaraka kwenye ngazi ya Brigedi na Divisheni, na sio ngazi ya vikosi. Mfano, tuliowataja walikuwa Watendaji wa Kivita wa Brigedi, Divisheni na Kanali Tumbu alikuwa Mkuu wa Mizinga wa Divisheni.
@tulipotokazamani6 ай бұрын
Wapi Brigadier Martin Mwakalindile?
@kwelimohamedtrueman12826 ай бұрын
Siotu brigadier ni major general Martin Mwakalindile Mungu amlaze mahali pema, nadhani mwandishi arudie tena kupanga
@samsonmwijage18695 ай бұрын
@@kwelimohamedtrueman1282:- Sahihi kabisa pamoja na kwamba hawezi kuwataja wote lakini kuna ambao haiwezekani kusaulika katika simulizi hii akiwemo Kanali Benjamin Msuya aliongoza kikosi kilichoteka mji mkuu Kampala.
@thechanzo4 ай бұрын
Mwakalindile wakati wa vita kwanza hakuwa Brigedia, alikuwa Kanali, badae ndipo alipandishwa vyeo mpaka kufikia Luteni Jenerali. Kwenye orodha hii hatujamuweka sababu, hakuwa kiongozi wa Brigedi au vikosi vilivyokuwa mstari wa mbele. Mwakalindile alibaki makamu makuu ya Jeshi kufanya kazi za uratibu wa vita.
@thechanzo4 ай бұрын
@@kwelimohamedtrueman1282 Tatizo itakuwa hujasikiliza wala kusoma hii orodha imelenga watu gani, hebu tusaidie hapa Luteni Jenerali Mstaafu Mwakalindile aliongoza Brigedi au Vikosi vipi wakati wa vita?
@herilello45 ай бұрын
Msuya alitoka BN 19 alivuka mtoo na Mashua mpaka kuuteka mji wa jinja
@HeboniBabu3 ай бұрын
Vita ilikuwa aituhusu obote alikuwa lafiki wa nyerere
@abelmbijima43245 ай бұрын
Kimario kamanda mbogo
@mpegesaaswile65816 ай бұрын
Sijamwona PIUS MPEGESA
@thechanzo6 ай бұрын
Hapa tumeweka orodha ya makamanda wa ngazi za juu za Brigedi na Divideni.
@andrewdavid94616 ай бұрын
Acha uwongo
@khalilyjuma8136 ай бұрын
Benjamin Msuya alikuwa nani?
@thechanzo6 ай бұрын
Alikuwa Kamanda wa Kikosi, hawa tumewataja ni wale wa kuanzia ngazi ya Brigedi. Historia kubwa ya Msuya ni kwamba Kikosi alichokiongoza ndio kilichoanza kuingia Jijini Kampala na yeye ndio alipewa maagizo ya kusimamia Uapisho wa Rais Mpya wa Uganda baada ya utawala wa Idd Amin kuanguka.
@tulipotokazamani6 ай бұрын
@@thechanzo Umemuacha mtu muhimu sana sana. Kanali Ambrose Bayeke, yeye ndio alikuwa Mkuu wa mbinu za vita kwenye Vita hiyo ya Kagera. Baadaye wakati vita ikiendelea alipanda na kuwa Brigadia. Kwenye moja picha za video hapo anaonekana Bayeke akitembea na Mwalimu Nyerere huku akimpa maelezo fulani. Luteni Kanali Benjamin Msuya aliongoza Battalion namba 21 iliyouteka mji wa Kampala. Baadaye wakati vita ikiendelea alipandishwa na kuwa Kanali. Kwanini Maafisa walipandishwa vyeo wakati vita ikiendelea? Ni kuwa Brigedi kadhaa ziliunganishwa na kuwa Divisheni kwahiyo Brigadia Mwita Marwa alipandishwa na kuwa Meja Jenerali akaongoza Divisheni mojawapo, pia Brigadia Silas Mayunga nae akapandishwa na kuwa Meja Jenerali akapewa Divisheni nyingine. Ikabidi pia Makanali kadhaa wapandishwe kuwa Mabrigadia wakiwemo Kanali Takadir Kitete na Kanali Ambrose Bayeke. Pia Maluteni Kanali kadhaa wakapandishwa na kuwa Makanali akiwemo Benjamin Msuya.
@kwelimohamedtrueman12826 ай бұрын
Umetulisha matango pori, embu rudia tena upange list yako upya
@hamisikitwana79576 ай бұрын
Umekosea kuhusu Mayunga akuwakuwa barozi Kongo bali Ethiopia
@thechanzo4 ай бұрын
Ingia kwenye website ya Wizara ya Mambo ya Nje utaona orodha ya vituo vya kazi alivyofanya. Tumetumia taarifa ya Wizara.
@MorganMwaipyana-tz9vc3 ай бұрын
Nigeria
@tosh76716 ай бұрын
Kati ya vita ambavyo havikuwa na sababu yoyote ya maana. Mpaka leo miezi 18 ya kufunga Mikanda na umaskini inaendelea
@petermogha70256 ай бұрын
Kwa msuguri umekosea kusitafukwake
@thechanzo6 ай бұрын
Ingia kwenye website ya JWTZ uone wameandika alistaafu lini kisha urudi tena tujadili.
@abdallahiddy63335 ай бұрын
ndio maana nape amelithi propaganda za baba ake
@AbirahIssa4 ай бұрын
Mwongo wewe
@ahmadSeif8606 ай бұрын
Lakini IDI AMIN alikimbilia SAUDI ARABIA na akfarik huko na akazikwa uko, sasa kama ww muislam jiulze kulikoni!! Wakat nyerere tunajua alikua kafiri.
@edsonnelson44646 ай бұрын
Wewe nae unaleta mambo gani! Dah!
@irineemanuel97496 ай бұрын
Pole sana kwa kudumisha udini.ila uko nchi ambayo aliipigania ambaye una muita kafiri.katafute nchi ya watakatifu ukaishi huko
@samsonmwijage18696 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu mkubwa na ni kafiri sawa na kafiri mwenzio dikteta muuaji Id Amin ambaye hata hakupewa heshima kwenye KIFO chake hata nchi yake Uganda walishangilia KIFO chake. Lakini Mwl Nyerere alizikwa kwa heshima zote za KITAIFA na DOLA na dunia ilisimama. Anaheshimika Africa nzima muasisi wa Taifa letu. Miji mikuu yote Afrika utakuta barabara au mtaa unaitwa Nyerere huyo Amin hata Uganda kwao hatambuliki. Usituletee udini hapa. Mtoa makala anazumgumzia mambo ya msingi kuhusu mashujaa ambayo huadhimishwa kila Julai 25 halafu wewe unatuchanganyia habari za dini. Mbona waislamu wengi Wana akili timamu na busara ila mpuuzi kama wewe unawatia doa kama ni kafiri ni wewe. Idiot.
@samsonmwijage18696 ай бұрын
@@irineemanuel9749:- msamehe Bure huyo ni mwehu na kafiri mwenyewe. Alivyo mjinga anadhani dini yoyote ile ni kigezo cha kwenda mbinguni !!!!
@samsonmwijage18696 ай бұрын
Wewe mwenyewe kama mwenzio muuaji dikteta Id Amin ni kafiri na mpumbavu mkubwa. Mtangazaji katoa makala ya mashujaa ambayo huadhimishwa kila Julai 25 halafu wewe unatuchanganyia habari ya udini. Mbona waislamu wengi wana akili timamu na busara wewe mpuuzi unawatia doa. Baba wa Taifa Mwl Nyerere anaheshimika barani Afrika miji mikuu ya nchi karibu zote Afrika utakuta barabara au mtaa unaitwa Nyerere huyo Amin hata Uganda kwao hatambuliki hata hakumbukwi kwa unyama aliowafanyia raia wake. Mwl Nyerere alizikwa kwa heshima zote za KITAIFA na DOLA na dunia ilisimama na kila mwaka kuna kumbukizi yake. Huyo Id Amin hata kwao Uganda watu waliingia barabarani kushangilia kifo chake 2003. Amin baada ya kushindwa vita 1979 alikimbilia Libya kwa rafiki yake Gadafi lakini baada ya mwaka na kidogo Gadafi akagundua huyu mtu SIYO AKAMFUKUZA. Amin akakimbilia Saud Arabia alikofia. Changia hoja za msingi usijivunie dini. Matendo ya kumpendeza Mungu na kumcha MUNGU ndiyo kigezo cha kuona ufalme wa Mungu. Dini pekee haimpeleki mtu Mbinguni.