Nikweri ira watanzania ukimwambia aandae hera yote watasindwa cc wababa isaji
@LailatAbdullah-w9d7 ай бұрын
Na ukitaka kulia au kupata wazim ingiza hawa kuku bandani ukiwa Huna mtaji wa kutosha😢😢😢
@lilianmahenge90532 жыл бұрын
watu wa mbeya tunaweza kujenga Banda la hivi kwelii
@ZennaKhalid Жыл бұрын
Kaka Asante kwa kutufundisha
@violetndibwire43382 жыл бұрын
Je broilers wanaweza kufugiwa kwenye kichanja chenye wiremesh au ni lazima wawekwe chini kwenye maranda?
@TusekileMwaswapu2 ай бұрын
Ahsante naweza pata namba yako
@teddymatasha46396 ай бұрын
Elimu nzuri emeniimgia vizuri.Keep the going pace for more discoveries
@endeshyamat67735 ай бұрын
Asante sana 🎉
@StephaniaNevele-ql8bn5 ай бұрын
Naomba badget ya vifaranga 100 broiler
@stellamgaya2988 Жыл бұрын
Napenda kufuga kuku WA broila
@fanuelygusse76232 жыл бұрын
Nice
@LailatAbdullah-w9d7 ай бұрын
Sante
@alexmtasiwa3497 Жыл бұрын
asante sana
@beatricemmari63058 ай бұрын
Kwa kuanzia kuku 100 unatakiwa kuwa na shs ngapi
@hildakamugisha1135 Жыл бұрын
Unapatikana wapo natakaafunzo na ushauri
@TasnimFadhili Жыл бұрын
Campuni gan ni Bora ya kuku
@BrendahKangai-c8z Жыл бұрын
nafanya kazi yakupiga kuku wa broilers naomba no Yako please
@yasmeenaal41913 жыл бұрын
Naomba namba yako
@TusankineNzowa-yi7pn15 күн бұрын
Napataje namba yako boss
@TusekileMwaswapu2 ай бұрын
Je kwahuku mbeya unaweza kujenga bada kama hili
@GloryMushi-cc3yu Жыл бұрын
Samahanii napenda kuuliza Banda la kuku 100 wa nyama linatakiwa liwe na urefu kiasi ganii na upana kiasii gani
@OthmanHassan-tg6bn Жыл бұрын
Chakula bora cha kuku wa kienyeji
@santinachalamila68792 жыл бұрын
NAHITAJI vifaranga Bora nawapataje
@saudamjape49735 ай бұрын
Kama naitaji kuingiza kuku 300 niwe na tsh. Ngapi? Pia nylon unazozunguzia ni zipi?
@JudithMilanzi-v3h Жыл бұрын
Je nilazima kuwapa dawayakukausha kitomvu
@shebygtonlinetv44983 жыл бұрын
Naomba namb zako na alaf kwa mtaji mdog kabsa km shilling ngap uenazo??
@NeemaRobert-hr4jp Жыл бұрын
Habar. Naomba nije unifundishe kufuga . Uko wap
@matildachalachim-wu7stАй бұрын
Na fider ngapi za chakula au maji?? Zinatakiwa ziwe ngapi?? Kuku 400
@filipinadaud8853 ай бұрын
Samahani hizo kilo mlizosema ni kwa kuku wangapi?
@GloryMushi-cc3yu Жыл бұрын
Je unatakiwa uwe na mtaji wa shingapii ili niweze kuwafuga hao kuku adi mda wakupelekwa sokonii
@winfridamwamban10783 жыл бұрын
Asante
@YassiraliMuhidin4 ай бұрын
Ayo mapolo matatu kwa kuku wangapi
@juliusmyovela42743 жыл бұрын
Je hawakuku naweza kutengenezea wakawa juu ya nyavu
@saajuma3741 Жыл бұрын
Nataka kufunga naeza pata wapi vifaranga
@mtalesophia38302 жыл бұрын
Asante Sana kwa elimu nzuri ya ufugaji numefanya nitamani kufuga je ninawenza kuanza na kuku 50 Kwanza?
@ThomasMarealle-vd5ll Жыл бұрын
Anza na kuku 200
@stewartnairo48972 ай бұрын
Asante lakini wakati wa baridi au usiku wanalala na uwazi huhu
@saumujuma61724 жыл бұрын
Nataman san tu kufunga kuku jamn naomba maelez zaid plz
@JacklineKimbawala4 ай бұрын
Mtiririko wa cjannjo mpaka wamatoka prez Navipi kuku Mia Wana kula mifuko mingapi
@eltonkingdusabe16434 жыл бұрын
Mbona hapo zinabanana sana? Simakose?
@BenedicktoMbilinyi Жыл бұрын
3:48
@MorrisonOscar-u6l5 ай бұрын
Garcia William Jackson Kenneth Hall Richard
@peterkombo1625 Жыл бұрын
Makadirio ya kuza kwazia kg1
@GloryMushi-cc3yu Жыл бұрын
Nahitaji vifaranga Bora wa kuku wa kisasa nawapataje
@suleimanmohd.71973 жыл бұрын
Naomba namba yako mtoa post.
@AngelRaphael-cl3em Жыл бұрын
Kifaranga kinauzwa shingapi?
@thegirlfromafrica572611 ай бұрын
1800
@stellajambo9984 жыл бұрын
Habari. Joto hujafafanua linatakiwa liwe nyuzi ngapi kwa vifaranga na ngapi kwa wakubwa?
@changamkiafursa4 жыл бұрын
Wakubwa inatakiwa nyuzi joto 25 - 26 °C Vifaranga wa wiki 1 ni 35°C Vifaranga wa wiki 2 ni 32°C Vifaranga wa wiki 3 ni 29°C Vifaranga wa wiki 4 ni 26°C
@korossocharles4192 жыл бұрын
@@changamkiafursa
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
Mbona wanachukua wiki nyingi hivyo ,WA jirani wanatumia siku 28 tyu anaanza kuuza 😅
@sofiarajabu8149 Жыл бұрын
@@changamkiafursanahitaji mnapatikana wapi?
@victaboy7273 Жыл бұрын
Kg1.5 hapana .. hawa kuku wananunuliwa wakiwa na uzito wa kg 1
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
😅😅😅nasikia hawa Jamaa wanakula ila wanafaida sana 😊jirani yangu anafuga aseee raha 😊kuku 400 akitoa hasara ,mtaji .manunuzi kila.kitu ,faida ni 600,000 nyie yaani
@nawaalhabsy985211 ай бұрын
Natamani nijue ili nianze hata leo
@irenelyamuya546611 ай бұрын
@@nawaalhabsy9852 wenzako tunakaribia kuvuna 😊awam ya Pili ,Kila kitu ni utayari tyu ,na Ukiwa na mtaji wa kutosha .
@MwanaminaHasani9 ай бұрын
Naomb namb yako
@JacklineKimbawala4 ай бұрын
Wee akuje atupatie mbinu
@matildachalachim-wu7stАй бұрын
Naomba bajet ya kuku 400
@leonidaongola42893 жыл бұрын
Mpo wapi naomba namba yenu
@zabibumbaruku84303 жыл бұрын
Habar nahitaji kufuga kuku ningependa kujua namna ya kuanza
@joycemujungu43152 жыл бұрын
🙏🙏
@anthonymakongwa34282 жыл бұрын
Kwa siku wanaongeza uzito kiasi gan au kwa wiki
@joycekerenge36059 ай бұрын
Mwl ninashukuru
@hajishake13523 жыл бұрын
nipi kisiwani pemba nitawapata vipi
@onenieliud77763 жыл бұрын
Nzuri hiyo
@frollaemany65593 жыл бұрын
Kaka naomba nabayako ili unipe somo vizur
@bajirengeblaise61984 жыл бұрын
Poa sana kaka ndaweza pataje bifaranga vya week mbili aje ?
@ezekielsangari96754 жыл бұрын
Nitafute 0743539874
@mariamhajji51953 жыл бұрын
Panda unalisafisha kwa siku ngapi
@akidasalim38594 жыл бұрын
Asante sana
@Amina-x3p Жыл бұрын
Kwema nisaidiye bajeti ya kuku 200 nataka niyanze
@angelasudi7104 жыл бұрын
Parental line is Ross or Aviagen?
@zakiarajabu69354 жыл бұрын
Naomba no yako
@saidiissa29923 жыл бұрын
Ninahitaji niwe mwanafunzi wako ninakupataje
@wilckstenyaboke78294 жыл бұрын
Uko nji gani
@rashidkalabi82124 жыл бұрын
Kuku mia chakula kinakuwa kiasi gani kwa wiki ya Kwanza ya pili yatatu na ya nne
@zaytounerzahran75532 жыл бұрын
Nahitaji contact zenu WhatsApp
@AUGUSTINKAMBALE-ok5pf Жыл бұрын
Asante
@ShillahShillah-rp5oo Жыл бұрын
Nice
@juliusmyovela42743 жыл бұрын
Je hawakuku naweza kutengenezea wakawa juu ya nyavu