Ushauri wa Mama Lymo kwa Anae Anza Ufugaji wa Kuku Chotara

  Рет қаралды 72,981

Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

Күн бұрын

Пікірлер: 94
@jibabealhadjy1637
@jibabealhadjy1637 Жыл бұрын
Kazi nzuri mwalimu.nipo mombasa kenya.nakufwatilia
@MercyTarimo-pj3yc
@MercyTarimo-pj3yc Ай бұрын
Asante sana mwalimu limo nataka vifaranga wa kroiler nawapataje niko hapa Dar
@hesbornmahero7699
@hesbornmahero7699 10 ай бұрын
Mwalimu mama mfugaji wa kuku chotora hongera kwa kazi njema. Mbona naona kama mle ndani Kuna joto jingi. Kuku Wana onyesha
@DastanMgina-w6z
@DastanMgina-w6z 11 ай бұрын
Hongera kwa mafundisho mazuri, kwa pamoja tutajenga uchumi mzuri
@emasilagomi2629
@emasilagomi2629 Жыл бұрын
Asante sana mwl. Nataka kukuona. Naomba mawasiliano nipo dar
@GeoffreyNyakoiro
@GeoffreyNyakoiro Жыл бұрын
Niko Nairobi Kenya,naomba vivaranga vyia chotara
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri
@Happyemmanuel-m4i
@Happyemmanuel-m4i 29 күн бұрын
Asante san mwalimu naomb namba yako
@StephenKalenzi-fg3km
@StephenKalenzi-fg3km Жыл бұрын
Dada lymo mimi nataka vifaranga majogoo tu,napaje naomba ushauri
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Shukran sana kwa somo mi nahitaji sana elimi kwani ninandoto ya ufugaji wa kuku
@sajdashariff
@sajdashariff Жыл бұрын
Asante kwa ushauri namba ya ssimu
@MariamDilla
@MariamDilla Ай бұрын
Mama Lyimo naomba namba Yako tafadhali
@shantiMickel
@shantiMickel 7 ай бұрын
Congole dada 👏🙏👏👏👏❤❤❤❤😂😂😂😂
@yahayahassani7627
@yahayahassani7627 Жыл бұрын
namba yako tafadhali..
@eliphaznkurunziza7405
@eliphaznkurunziza7405 Жыл бұрын
Nipo Mbali sana Burundi
@happymerry8675
@happymerry8675 2 ай бұрын
Naomba namba ya simu
@magogompemba8882
@magogompemba8882 Жыл бұрын
Naomba namba yako tafadhali
@agesag.m2476
@agesag.m2476 Жыл бұрын
Good information 👍.
@PartickShauritanga
@PartickShauritanga Жыл бұрын
Nakupata vzr
@GoodLuck-x9i
@GoodLuck-x9i Жыл бұрын
Weka namba zako za simu utusaidie kwa urahisi zaidi
@JulianaRobi-v1l
@JulianaRobi-v1l Жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri nashukuru. Naweza pata vifaranga? Japo niko Kenya mpakani kehancha
@aminaseha5043
@aminaseha5043 Жыл бұрын
Mimi nataka vifaranga Niko tanga Asante sana dada
@alphoncelondo6586
@alphoncelondo6586 Жыл бұрын
Upo wapi mama Tanzania au wapi? Na namba yako ya simu NI ipi
@AmosSniper
@AmosSniper 5 ай бұрын
Hawa jogoo ni aina gan?
@VickyMsuya-ho1if
@VickyMsuya-ho1if Жыл бұрын
Nataka vifaranga vya kuroiler niko moshi nitawapataje? Na nijue bei ya kuku kwa umrii tofauti
@mussakombo2564
@mussakombo2564 5 ай бұрын
Brilliant
@ShelterKijo
@ShelterKijo Жыл бұрын
Arusha wakala yupo? Ili tupate vifaranga?
@IsmailMngazija
@IsmailMngazija 9 ай бұрын
Kweli Dada umeongea vizuri sana
@MaprosMrsOphiry
@MaprosMrsOphiry 6 ай бұрын
Asant kwaushauri mzur sana
@soumareoumar1631
@soumareoumar1631 Жыл бұрын
Please can you make a video concerning kuroilers for meat purposes? Thanks ❤
@MusaKivamba
@MusaKivamba 3 ай бұрын
Unauzaje vifaranga mhesh
@gynambena8779
@gynambena8779 7 ай бұрын
Naomba kuuliza kuku kuroiler 200 wanakula kiasi gani cha chakula kwa siku?
@HassanSanatu
@HassanSanatu 8 ай бұрын
Umeongea vizuri sana mama
@henrystonisma66
@henrystonisma66 Жыл бұрын
Naomba msaada wako sana nitafute ili tuwasiliane vizuri
@carolynemaulidi6834
@carolynemaulidi6834 Жыл бұрын
Hi nakutazama nikiwa kenya Thika natamani mafundisho
@obadiadaniel7274
@obadiadaniel7274 10 ай бұрын
hongera sana mwalimu
@TheresiaKimaro
@TheresiaKimaro 5 ай бұрын
Mwalimu lyimo shikamoo mama.kama Niko moshi naweza kupata vifaranga majogoo tuu?
@GetruderMfinanga
@GetruderMfinanga Жыл бұрын
Naomba no yako
@HadijaEdward
@HadijaEdward 11 ай бұрын
Mimi nakuku wawiri nataka niwe na kuku wengi nifanyaje ndugu
@NAKEMBWETWAROBARTMKUMBO
@NAKEMBWETWAROBARTMKUMBO 3 ай бұрын
Aaaah Jitahidi roho ya kukosa mboga,,,,isikufatee,,,,wataongezeka😂😂
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 2 ай бұрын
​@@NAKEMBWETWAROBARTMKUMBO😂😂😂😂😂
@clementinalotary4913
@clementinalotary4913 7 ай бұрын
Asante
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 6 ай бұрын
Mi natamani kufuga kwa ajili ya mayai, je soko linapatikana wapi?
@soniatarimo3253
@soniatarimo3253 Жыл бұрын
Naomb no yako dada
@VickyMsuya-ho1if
@VickyMsuya-ho1if Жыл бұрын
Tunaomba namba mama lymo
@SekundaMagangila
@SekundaMagangila Ай бұрын
Unauzaje kifaranga dada limo
@StephenKalenzi-fg3km
@StephenKalenzi-fg3km Жыл бұрын
Mwalimu darasa lako nilini?
@EmanueliMgalla-ne4jr
@EmanueliMgalla-ne4jr Жыл бұрын
Je unafuga kienyeji
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali 6 ай бұрын
Dada nimependa elim yako nataka kuwa mfugaji nipo iringa najiandaa kwa banda
@NeemaMtambo-m6f
@NeemaMtambo-m6f 7 ай бұрын
Tunaitaji namba yako
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 5 ай бұрын
Si hizo hapo kwenye video
@AdiaGhaib
@AdiaGhaib 10 ай бұрын
Naitaji vigaranga naomba mawasiliano nipo dar
@albat-lv6ts
@albat-lv6ts 9 ай бұрын
Naomba naomba yako
@EdsonBitesigirwe
@EdsonBitesigirwe 10 ай бұрын
Mime fulai kuwa kazi yako nzuli hubalikiwe
@StephenKalenzi-fg3km
@StephenKalenzi-fg3km Жыл бұрын
Nahitaji vifaranga vya kuroiler nipo segerea
@MasimbaWilliam
@MasimbaWilliam Жыл бұрын
Mim mama z naomba ushaur Nina kuku Wang wanatag pamoja isitoshe wanakula mayai naomba ushaur
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Umepotea kweli
@rachealmwirigi1643
@rachealmwirigi1643 Жыл бұрын
Nakufuata nikiwa Nairobi kenya.
@NeemaMtambo-m6f
@NeemaMtambo-m6f 7 ай бұрын
Mimi nahitaji vifaranga vya kuku napataje
@UpendoNdenuka
@UpendoNdenuka Жыл бұрын
Natokea mbeya nataka vifalanga nitapateje na nishilingi ngapi
@LuizaMkude
@LuizaMkude 4 ай бұрын
Unauzaje mayai ya kuroiler ya kutotoresha
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Жыл бұрын
nahitaji ufugaji na mimu
@nusaibaashraf2152
@nusaibaashraf2152 Жыл бұрын
vifaranga bei gani , ya brwlr unauza bei gani
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Teacher group zianze upya tunaku miss
@changamkiafursa
@changamkiafursa Жыл бұрын
😀😀😀
@delfinaalex3335
@delfinaalex3335 7 ай бұрын
Nahitaji broiler napataje
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah Жыл бұрын
Mwalim cjui anachangamoto gani mpaka anapotea kwa mda mref bila mawasiliano so inasababisha wanafunz wadogo kufeli ktk mifugo yao kwa kukosa msaada
@changamkiafursa
@changamkiafursa Жыл бұрын
Kweli?
@josephinenakei2697
@josephinenakei2697 Жыл бұрын
Arusha unapatikana wapi nataka nijifunze kuhusu kuku wa mayai na kisha ninunue vifaranga kwako
@ShelterKijo
@ShelterKijo Жыл бұрын
Nipo Arusha
@tabithananyaro9622
@tabithananyaro9622 7 ай бұрын
Arusha sehem gani ​@@ShelterKijo
@SophiaMlalila
@SophiaMlalila Жыл бұрын
Samahani mwalimu naomba nijue jogoo unaweza kumuwekea tetea wangapi
@mohamedhawanga2602
@mohamedhawanga2602 Жыл бұрын
Nahitaji mayai ya chotara
@husseinkiloko2153
@husseinkiloko2153 Жыл бұрын
Naitaji majogoo ya chotara
@happyyohana9881
@happyyohana9881 Жыл бұрын
Nakupenda sana nitakucheki kwenye sm
@petromikaeli3214
@petromikaeli3214 Жыл бұрын
Naomb namba zake asante
@amanmwamluku9772
@amanmwamluku9772 Жыл бұрын
unauzaje.vifarangawamwezi
@kwisa4899
@kwisa4899 8 ай бұрын
Sasa unaongea arafu uweki Details zako za kibiashara chini ya information tafuta mtu wa kukupangilia content wewe bakia kwene kazi ya kuku
@edwardmisigaro3790
@edwardmisigaro3790 Жыл бұрын
Nigempata mawasiliano yako Kijana wago anataka mafudisho.
@DastanMgina-w6z
@DastanMgina-w6z 11 ай бұрын
Hongera mwalimu
@husseinsika7344
@husseinsika7344 Жыл бұрын
Yale magrup ya whatsup bad yapo
@changamkiafursa
@changamkiafursa Жыл бұрын
Hapana
@MtumwaMakame-wh4gy
@MtumwaMakame-wh4gy Жыл бұрын
Nami naitaji kujiunga ktk group
@lucykibela-et8tp
@lucykibela-et8tp Жыл бұрын
Naomba kujua nitakapopata mashine ya incubator.
@SophiaMlalila
@SophiaMlalila Жыл бұрын
@@lucykibela-et8tp namba ya kujiunga niipi
@josmkjmkbusiness5872
@josmkjmkbusiness5872 Жыл бұрын
Nataka Ku tshukuwa Kuku 50 wa mtoto
@RoseMbwana
@RoseMbwana 10 ай бұрын
Mimi takaka kufuga nipo dodoma
@edwardmisigaro3790
@edwardmisigaro3790 Жыл бұрын
Turikuwa tunagusubili kwahamu mama lima
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Sema tulikuwa siyo turikuwa
@natalia95macharia58
@natalia95macharia58 Жыл бұрын
Can you supply chicks to Nairobi Kenya?
@FromenaDaud-ht5tn
@FromenaDaud-ht5tn Жыл бұрын
Mbona nilituma hela kwajili ya kujiunga kwenye grupu hamjanijibu
@PhabiolaMallya
@PhabiolaMallya Жыл бұрын
Vifaranga bei gani?
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Kroela wa mwezi unauzaji mama
@CalvinTemba-nv9px
@CalvinTemba-nv9px 6 ай бұрын
Vifaranga vinauzwaje
Sasa Nafuga Kuku Chotara Kibiashara, Zaidi ya Kuku 700 wa Rika Tofauti
7:02
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
ELIMU BILA MALIPO - BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU
28:36
Gangana Info Channel
Рет қаралды 174 М.
2025: ANZA NA IDADI HII YA KUKU ILI KUTENGENEZA FAIDA KATIKA MRADI WAKO
10:19
Baada ya Kustaafu Nikaingia Mazima Kwenye Ufugaji wa Kuku Chotara
9:27
Changamkia Fursa
Рет қаралды 78 М.
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI (HISTORIA YANGU)
12:54
Changamkia Fursa
Рет қаралды 42 М.
UFUGAJI WA KUKU SULUHISHO LA AJIRA
10:10
Amina Mollel
Рет қаралды 52 М.
Mzungu wa Kichaga
19:36
Mkulima Market
Рет қаралды 173 М.
SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
24:48
TBConline
Рет қаралды 203 М.