ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94

  Рет қаралды 335,920

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 313
@chandengao8795
@chandengao8795 5 ай бұрын
Kiswahili zaidi Jamaa ni mkweli sanananana Bibi alikua muuza gongo na yote yanayohusu Barikiwa sana mkuu
@fullvictorytz4597
@fullvictorytz4597 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤y
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 2 ай бұрын
Mbona. Sasa .husaidii.shule za Tanga .mjini. GARANOSI.na.MASIWANI..inaanguka..wasaidie. muheshimiwa.
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 6 ай бұрын
Kaanza kazi na miaka 20? Rudi nyuma JKT mwaka mmoja, kidato cha tano na sita miaka miwili, kidato cha kwanza hadi cha nne miaka minne, miaka saba ya shule ya msingi jumla miaka minne. Tufanye alianza darasa la kwanza na miaka sita na hakukariri darasa. Kama alianza 1981 ina maana alianza na miaka 7 kuna gap ya mwaka mmoja. Tuwe waangalifu kwa sababu hii ni kumbukumbu na haitoweza kuwa altered kote inakopita hasa kwa mtu mwenye matazamio.
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 5 жыл бұрын
Wewe ulisoma kitajiri sisi tulisoma bila viatu, lubisi gongo pombe zilitusomesha.
@zenamshana6852
@zenamshana6852 5 жыл бұрын
Aisee umetoka mbali kaka usikatae tamaa zote zinazotokea ktk maisha nichangamoto ila mm naamini utafika mbali sana sababu unafaham maisha halisi ya mtanzania
@ROBERTMAXIMILIAN
@ROBERTMAXIMILIAN 2 ай бұрын
Inspirational interview
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 6 жыл бұрын
OK brother nimekusoma
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 5 жыл бұрын
Sure God will reward you for that service to the old religious monks
@IDRISMKWlNDA
@IDRISMKWlNDA 5 ай бұрын
Kwa namna yoyote baada ya Mama wetu kipenzi Dr Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake wewe gombea urais tutakupa
@AmoniMiyami
@AmoniMiyami 2 ай бұрын
Huna lolote mwizi kichefuchefu tu washirikina wenzio ndio wanao kupaisha tu ile awamu ya mapigo takatifu kaeni sasa na baba ako wa kambo mle jasho la wanyonge.
@enocksumbamhuli1125
@enocksumbamhuli1125 5 жыл бұрын
Hongera kwa ufafanuzi mzuri bro ,hata ule utata wa jina Bashite ulikuwa unatakiwa uwe wa wazi kama huu.
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf Ай бұрын
Ulikuwa unatutesa na umeme kumbe unayajua maisha ya kawaida ya mtanzania ila mwafrica nimwafrica tu akili nindogo sana anawaza uwizi tu ndo anachojua kwenye uongozi
@AlphonceMbassah
@AlphonceMbassah 2 ай бұрын
Province ya makamba Kuna wilaya ya mabanda,nyanzarake unapitia kumugina
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 жыл бұрын
Now nimeelewa kwa nn unabehave ulivyo,daa Kuna kitu umekibeba Broo One day utakuja kuwa mtu mkubwa zaidi ya hapo
@Jean-fruit-t6n
@Jean-fruit-t6n Ай бұрын
Hey..... napenda saaaana . NGO gani ulitumikia ??
@elifurahastanley2164
@elifurahastanley2164 6 жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA, JANUARI MAKAMBA AMEUZA GONGO NA BIBI YAKE, LEO HII NI WAZIRI. DAAH, MUNGU NI MWEMA
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 жыл бұрын
Elifuraha Stanley duh we have something in common hata sisi tulipelekwa kwa bibi kilosa kweli Mungu ni mwema
@MajaBalole
@MajaBalole 2 ай бұрын
Tatizo comments za babake wazuri hawafi je baba yk na make hwajafakm wamekufa walikuwa wake wabaya au wazuri makamba Yusuf ulikosea cha kusikitiisha hukuomba msamaha
@ابوأزهدالليثي
@ابوأزهدالليثي 5 жыл бұрын
Ok ... Bila ya hizi interview unaweza kumdharau mtu SALUTE TO U ...
@aishathabit3732
@aishathabit3732 5 ай бұрын
#mh! Mwaka 2000 babako amesha kuwa mkuu wa mkoa halafu unatuambia hakuna uliye kuwa unamjua serikalini?
@meriannamorris8623
@meriannamorris8623 5 жыл бұрын
January kumbe maisha unayajua sana.aise mtu asiyekujua hawezi amini.Umeishi maisha yote,hongera sana mh.Tuna cha kujifunza toka kwako.
@GeorgeSagumo
@GeorgeSagumo 2 ай бұрын
Chama kimewatoa mbali nasasa unapigania uprzdaa
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
Singida ina historia ndefu kwa viongozi na watu wengi maarufu.
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 2 ай бұрын
Mko na muheshiwa halafu umeme unakatika?🤣🤣🤣
@ramadhanibakar
@ramadhanibakar 6 ай бұрын
Huna mpango jimbo la mbumbuli limekushinda
@noelnoel4916
@noelnoel4916 2 ай бұрын
Nimependa life history yake
@fintaniferx9535
@fintaniferx9535 5 жыл бұрын
Umeni toa machozi maisha yako kama yangu ila mi si kupata bahat ya kusoma ata dalasa moja mama alikufa nikiwa mtoto sana baba nae akuwa na ela ata mia kwaiyo sikupelekawa shule kabisa bwana mungu uwalisha ndege wakati awalimi wala awana gala lakini uwalisha kwetu kamachum bukoba kagera sija wai kumwombea MTU kitu na asikifanikiwe ivo kaka j kuna2 mungu ata kitenda kizuli sana tuwe pamoja katika maombi ukija kulala shukulu na ukiamka omba maombi mafupi
@abdikoroa5527
@abdikoroa5527 5 жыл бұрын
January hongera. hata mtoto uliemzaa sikumoja anaweza akakukataa baba yake. kwaiyo hongera kwa ukomavu wa siasa. hii ndio demokursia ya nchi yetu
@bernardnyoni3927
@bernardnyoni3927 5 жыл бұрын
January,you life story is very interesting. But keep quite now.
@carlosmdemu4840
@carlosmdemu4840 6 жыл бұрын
HAYA MAJIBIZANO NI HAMASA YA KIPEKEE KWA VIJANA, MH JANUARY MAKAMBA NI MFANO WA KUIGWA NA KILA MMOJA WETU. HAKIKA NI HAZINA KUBWA YA UONGOZI KWA TAIFA LETU. MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA SAFARI HII.
@IDRISMKWlNDA
@IDRISMKWlNDA 5 ай бұрын
Ndiyo maana wapumbavu wanakuchukia
@Crownvalz
@Crownvalz 5 жыл бұрын
This is my next President 2025 Sifuti comment ili ikifika mpate ushahidi....
@japhetmalahuleokilangi9872
@japhetmalahuleokilangi9872 5 жыл бұрын
Thubutuuu!!! Akiwa Prezda Ntakunya Mavi Mafungu Mafungu Kuanzia Dar Mpaka Moro
@muzamiluabdallah9511
@muzamiluabdallah9511 3 жыл бұрын
Big up mzee makamba katuretea msomi bumbuli mahezanguru oyeeee
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/nYKreJabmZppiLcsi=U_dFrE0x54eLjRuJ
@yasinshaban4933
@yasinshaban4933 5 жыл бұрын
Dah inasisimua sana lkn imekujenga kuwa kiongoz mwenye nidhamu..!!! Pia Mkapa Mungu amjalie afya njema
@petermaonga6123
@petermaonga6123 5 жыл бұрын
Karibu mbelei wananchi wanakusubiri
@chrispinechristian238
@chrispinechristian238 5 жыл бұрын
nimeipenda historia yako broo
@allyabdallah2965
@allyabdallah2965 5 жыл бұрын
Daymondi
@gilbertsamuel2144
@gilbertsamuel2144 3 жыл бұрын
Mshahara wake wakuanza umesemwa hapa 13:08. Gonga like
@ismailamran2477
@ismailamran2477 2 жыл бұрын
Historia ya Maisha yako inafundisha ,Hamasisha,Leta funzo ... Leo nimekufutilia wewe na baba yako na Mzee wetu mzee Makamba. Kwa hakika nimejifunza Mengi Sana.
@elipidtesha5466
@elipidtesha5466 3 жыл бұрын
Very good inspiring story never give up.men and women life is about fighting infact.ever one of us do meet the same life .Now mr makamva should prepare himself for .a ledership.position of high position in the next coming years ahead as he know the real day yo day life of common citizen
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 6 ай бұрын
Mwizi tu huyu ndio hanautaka huraisi
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 5 ай бұрын
Father alikuwa na kipato lkn hujataja mahala alipofadhili chochote kitu ukiwa chuo, siasa nzuri sana
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 5 жыл бұрын
Oooh! Mamako nimesoma naye masomo.ya juu ya uuguzi afya jamii huko Tanga Korogwe. Namfahamu vizuri sana.
@castonkya3648
@castonkya3648 5 жыл бұрын
Kijanaaaa VP
@abdallahjuma8968
@abdallahjuma8968 5 жыл бұрын
Margareth Solomon Hata mimi nakufahamu😂
@localguidetanzania1749
@localguidetanzania1749 5 ай бұрын
Lubisi vp mheshimiwa ni tamu
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 5 жыл бұрын
Dah story nzr sana mkuu, hakika unastahili pongezi
@emmanuelkasoga3251
@emmanuelkasoga3251 5 жыл бұрын
Nilifikiri amekulia pizza na baga kumbe ni mtu aliekulia maisha ya kawaida big up brother Makamba
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Emmanuel huyo mbona hajasema kama kasomea morogoro pia muulize musiba atakupa data zake zote
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 жыл бұрын
Kwa elim yako na ukawa WAZIRI WA NISHATI JAMEN ......... KWA ELIM YAKO HUJUI HATA UMEME UNAZALOSHWAJE DUNIA HII TUPO MBADALA KABISA
@samuelmmassa7213
@samuelmmassa7213 5 жыл бұрын
hongera sana mh january makamba kumbe ulitugawia chakula kambini safi sana wakati huo nilikua na miaka 8
@naomifrank3411
@naomifrank3411 5 жыл бұрын
Samuel M'mass
@mashakakasanga2175
@mashakakasanga2175 3 жыл бұрын
Nimeamini mwenye nacho huongezewa yaani ulilipwa DOLLAR 2000 ×Tsh.2300=4,600,000/= nahapo ilikuwa mwaka 1996 :""Nakuzi umetoka kuteuliwa kuwa waziri wa NISHATI
@abdulkuluwia6525
@abdulkuluwia6525 5 жыл бұрын
Babaako kakuponza
@MegaMtanzania
@MegaMtanzania 6 жыл бұрын
Unatisha sana Brother Makamba!Sala za Makasisi uliowatizama miaka miwili zitakulinda Daima milele na milele.Amina
@nanubob1969
@nanubob1969 6 ай бұрын
Ana roho kama ya paka? Licha ya kudhihirika kwa uwazi kabisa kuwa hapendwi na watu bado anajing'ang'aniza ku-aspire kuwa kiongozi mkuu? No please!!!
@martonsemuguruka1276
@martonsemuguruka1276 5 ай бұрын
Umetusaidia kumjua kwa sehemu Mhesh January. Endelea kutujuza. Mwishowe umuulize kuhusu kichwa kukosa nywele.
@aronjoseph4739
@aronjoseph4739 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 akafanta
@omaryirro9285
@omaryirro9285 5 ай бұрын
Waliozaliwa Singida wewe Makamba Ridhiwani Nape Mwigulu Mo Diweji Ongezea viongozi wengine
@janegeogre3234
@janegeogre3234 5 жыл бұрын
Hongera sana king'ang'anizi!... hata biblia inatufundisha kung'ang'ania! tazama Yakobo alimganda malaika kulipokaribia kukucha hadi akambariki! SURE NEVER GIVE UP!!!..
@alhabibhamis3599
@alhabibhamis3599 5 жыл бұрын
daaaah kumb ulisoma HGE nakubali sanaaa NIPE LIKE ZAKO UTAYEISOMA COMMENT HII
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 5 жыл бұрын
GOD is great.Cha muhimu maishani,ni mtu asikate tamaa haraka maishani.Moral lesson,it pays to be stubborn/pushy in life.Asante sana for sharing this inspiring story.
@elishajeremiah8240
@elishajeremiah8240 Жыл бұрын
ndio mheshimiwe... nina imanı kwa hayo uliopitia... utawatumikia wananchi vizuri..
@jamalomalisaid7150
@jamalomalisaid7150 Ай бұрын
JAMALI OMARI
@hassanhassan1184
@hassanhassan1184 5 жыл бұрын
Maduka ya ushirikaa January na malorry ya Nmc nakumbuka Sanaa nikiwa Korogwe
@johnmkenga4340
@johnmkenga4340 5 жыл бұрын
Hassan Hassan duuuu
@colemanandrew9062
@colemanandrew9062 6 жыл бұрын
Voice ya kitangazaji broo
@kiluviasamia6328
@kiluviasamia6328 5 жыл бұрын
Masha Allah historia yako inasktsha sana na inavutia .Allah atakuongoza
@janegeogre3234
@janegeogre3234 5 жыл бұрын
ubarikiwe sana kwa kuwatunza wazee Mungu akubariki jmm January! uwe na maisha marefu sana kaka!
@EdwardJohn-ri2gk
@EdwardJohn-ri2gk 6 ай бұрын
Safi sana,Kwa kweli unastahili kuwa zaidi na vivyo ulivyo saidiwa nawe saidia wahitaji waloko shule/vyuo wasio na uhakika wa Ada na meals
@ludovickshiganga8133
@ludovickshiganga8133 Ай бұрын
Brother naongea maisha ya kweli ya villager nakumbusha mabali sana vitu vingi ongera sana brother
@margarethbilinga6167
@margarethbilinga6167 5 жыл бұрын
Historia nzuri sana yenye mafunzo
@fikirmabula9665
@fikirmabula9665 6 жыл бұрын
dah.. safi sana broo nimeipenda history yako
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 5 жыл бұрын
Safi uko vizuri
@mariammtiniko2177
@mariammtiniko2177 5 жыл бұрын
kama umesikia eeeeee nyingi like
@juliusjohn9453
@juliusjohn9453 5 жыл бұрын
Quite interesting. Mungu akuimarishe, akuongoze katika Njia yako
@edenezekiel5715
@edenezekiel5715 5 жыл бұрын
Hapo Makamba....??? baba yako alikuwa mtumishi .kada mzoefu wa chama ndio maana umekwenda kihivyo. angekuwa mvuja jasho.......asingeyaweza hayo....acha tuu mshukuru Mungu...si vibaya ukaa kimya. nafikiri wakati huu ni wakati sasa mwingine .zamu ya wengine kwa hawamu hii.
@andrewbaluhya4089
@andrewbaluhya4089 5 жыл бұрын
Historia nzuri ya maisha yako kiongozi wetu,haina kona kona kabisa.Unastahili kabisa kuwa kiongozi ktk nchi yetu. I SALUTE TO YOU.
@adenmayala9298
@adenmayala9298 5 жыл бұрын
Safi sana
@fadhillshineni8413
@fadhillshineni8413 5 жыл бұрын
Big up brother
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/nYKreJabmZppiLcsi=U_dFrE0x54eLjRuJ
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 Ай бұрын
very interesting
@kisirigaswalehe1175
@kisirigaswalehe1175 5 жыл бұрын
Ni mfano mwema kwa vijana wengi sana nchini
@drtheresiakaruhanga3543
@drtheresiakaruhanga3543 6 жыл бұрын
Kupiga upande mbona ndo maisha tumeishi???? Bora we ulikuwa na viatu. Sie wengine tulipiga umande bila viatu. Yaani wewe unajua maisha haswaaa. Hadi rubisi uaijua😁😁😁
@japhetmombia
@japhetmombia 5 жыл бұрын
Nimependa sana historia yako Mr.Hon
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Japheti hata kama umeipenda historia yake kachukua pesa za nssf arudishe wastaafu wanakosa haki zao
@majirdmasare2236
@majirdmasare2236 6 жыл бұрын
safi sana stori hii imenikumbusha mbali sana
@pungopungo411
@pungopungo411 3 жыл бұрын
Yote hayo ya nini broo mkitujulisha mishahara yenu itatusaidia nini sisi walala hoi au tunafundiswa nini hatuhitaji kujua mnachopata tunachohitaji kazi iendelee .ili tuweze kwenda kutafuta hilo bamia kwa amani tunawaombea mapolisi wetu wanaohakikisha tunalala kwa amani
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 2 ай бұрын
Ankoooo👍👍👍👍
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 2 жыл бұрын
Mashaallah una historia ya ujasiri mkubwa na mimi nlikuwa nasikia makamba lakini nitafauti nlivokuwa nafikiria kwani nilijua ni mzee lakini mashaallah kijana nasaha yangu ningekushauri ubadilishe dini toka ukristo kwenda uislam nakuhakikishia utaipamba vizuri zaidi historia yako
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 6 ай бұрын
Acha ukabila wewe ndiye ubadili
@MtuSafi
@MtuSafi 5 ай бұрын
kwani ni mkristo huyu si Islamic?
@maselejacob8370
@maselejacob8370 5 жыл бұрын
Tunaomba iendelee part 2
@SalimuMakono
@SalimuMakono 5 ай бұрын
Salimu makono
@costantineernest745
@costantineernest745 4 жыл бұрын
Nakupenda makamba
@benedictmuhiri
@benedictmuhiri 4 ай бұрын
🎉
@valentinemtei2927
@valentinemtei2927 6 жыл бұрын
kumbe kuanzishia nursening hom ya kibongo tumechelewa tu, Ni dharau?
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 6 жыл бұрын
watu kama hawa ndo wa kupewa nchi sasa
@suzanakoroti1098
@suzanakoroti1098 6 жыл бұрын
Mh hongera sana nimekukubali, mimi nilienda shule bila viatu nilisoma kwa kilimo cha tumbaku
@peterantony5890
@peterantony5890 5 ай бұрын
Mwaka 1995 baba yako alikuwa mkuu wa mkoa wa Kigoma,nadhani ndiye aliyekuunganisha kufanya kazi katika kambi ya wakimbizi.
@drkalokola5861
@drkalokola5861 6 ай бұрын
Uongo. Galonos aligushi mitihani ya form IV akafutiwa majibu ya mtihani ya form IV.
@Mumewangu
@Mumewangu 6 ай бұрын
Wewe usie foji umefika wap
@tabuselemani6869
@tabuselemani6869 5 жыл бұрын
huyu kaka mstarabu sana yani hata ongea yake ni nzuri sana mungu akulinde kila pande broo
@luluamri370
@luluamri370 5 жыл бұрын
Huyu gaidi🙄
@josephmkodo8538
@josephmkodo8538 2 жыл бұрын
Safi muheshimiwa lkn hii inatuonesha kua nidhahiri gongo imewalea wengi
@hamamtv46
@hamamtv46 5 жыл бұрын
Good story mkuu
@abdallahjarufu5638
@abdallahjarufu5638 2 ай бұрын
EQ re
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Umelipa pesa za nssf ulizochukua za wastaafu wanakosa haki zao hujui hatutaki longo longo zako
@longinokamuntu1431
@longinokamuntu1431 5 жыл бұрын
Umejifunza maisha ya Bk kweli nimecheka sana sana
@martinkigua8627
@martinkigua8627 2 жыл бұрын
Nonsense
@msangazimsangazipapaandomb8761
@msangazimsangazipapaandomb8761 5 жыл бұрын
Duh, Masiwani Tanga karibu na Nyinda Bar.
@shadiamaharoq706
@shadiamaharoq706 5 жыл бұрын
Mashallah hongera januwari umetoka mbali
@festohisaya3963
@festohisaya3963 5 жыл бұрын
Makaba nimekukubari siwegine abao wamejaa matusi viywanimwao natamani kuoba naww karibu bukoba nikuguse nipoke kama iyo ekima.
@samkanju2467
@samkanju2467 5 жыл бұрын
BG up kwake bt alikua na hope coz njia ilkua imefyekwa tayali. Wengine wamekwama coz hakuna wa kuwasafishia njia....!!
@yusuphamani8015
@yusuphamani8015 Жыл бұрын
Ulijifunza wizi kwani umeshindwa kusamini ulipo zariwa
@juliuszellah1004
@juliuszellah1004 2 жыл бұрын
Aisee Comrade January, umenikumbusha mbali sana maisha ya miaka 80, kusubiri mgao wa sukari na chumvi, kuuza pombe , kuchunga etc. Very interesting history. Muhimu umefanikiwa kumwenzi baba yako Mzee Yusufu Makamba.
@formelakanyika233
@formelakanyika233 6 ай бұрын
P
@DadialiDadi
@DadialiDadi 6 ай бұрын
😂😂😂😂 gongo na ulanz navikumbukaa sanaa mpwpwaaaa😅😅😅
@charlesmihuwa6287
@charlesmihuwa6287 3 жыл бұрын
Big up Muheshimiwa unafaa kuongoza kwangu sababu kubwa unaijuwa nchi yako vizuri na unajuwa matatizo yetu Watanzania vizuri. All the best
@SamwelSimon-tf6oo
@SamwelSimon-tf6oo 2 ай бұрын
Hana lolote
@nzigecharles5279
@nzigecharles5279 6 ай бұрын
MAKAMBA HA HAJAZUNGUMZIA MAISHA BABA YAKE AKIWA MKUU WA WILAYA KASULU, NA KULE DODOMA MAKAO MAKUU MPAKA KUWA MKUU WA MKOA KGM TENA
@kiramaanyonya6886
@kiramaanyonya6886 3 жыл бұрын
HONGERA SANA MH HISTORIA YA KUSISIMUA MUNGU AZIDI KUTUBARIKI NIMEJIFUNZA VINGI HAPO .MILARD AYO HONGERA
@bhokemwita8585
@bhokemwita8585 3 жыл бұрын
Kumbe umehaso maisha bro, Mungu akusaidie wewe ni mpambanaji
MTANZANIA ALIYEKUWA WA MWISHO DARASANI ATOA MTAJI WA MILIONI 10
32:25
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,8 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
Hotuba ya January Makamba ya Kutangaza Nia Kuomba Nafasi ya Urais
1:51:18
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Mwananchi Digital
Рет қаралды 301 М.
Salamu za Mzee Makamba
9:50
KKKT DKMS Online TV
Рет қаралды 159 М.