Fahamu namna ya kuondokana na ukosefu wa Ajira au kuongeza kipato kwa kufuga sungura
Пікірлер: 6
@marymichael51988 ай бұрын
Ogela kwa ufugaji,mimi nafuga kwani wakizaa wanakuf
@yaliyojirionline4108 ай бұрын
Mazira yao ya Usafi yapoje?
@yaliyojirionline4108 ай бұрын
Hakikisha panakua pasafi Kila wakati, bila kufanya hivyo watapata mashambulizi kutoka kwa vimelea vinavyotokana na mazingira machafu hivyo kushindwa kustahimili na kufa, ukizingatia kuwa wakiwa wadogo kushambuliwa ni rahisi..