Soloist anajua kumiliki nyimbo anazosolo it's like she owns them ❤❤
@gedskims833311 ай бұрын
Hawa wanajua tena wanajua sana hongereni sana
@SarahChiteri11 ай бұрын
Na mungu awainue,nabarikiwa sana na nyimbo zenu
@ZiadaMhepela Жыл бұрын
Uimbaji wenu unanibariki mno.wish to meet you all.sololists wa choir hii mko makini mnajua mnachokifanya.nawapenda mno
@ElviraMwalukasa6 күн бұрын
Mungu akuonekanie,,ila unajua sitaki kusema sana moyo wako unajua
@rizikilubula407811 ай бұрын
Bwana awabariki Watumishi wa Bwana!
@gloriousnp Жыл бұрын
Nasemajeee??? Nyinyi siyo wa dunia hii ….🙌🏾🙌🏾🙌🏾🇹🇿😍👌🏽
@YonaSonelo15 күн бұрын
Soloist nakupongeza sana umeimbisha vizuri sana sana tena umeuvaa wimbo wewe ni wa kimataifa
@HappinessMocha10 ай бұрын
I'm blessed kama Kuna mtu amebarikiwa azidi kuwaombea uzima hawa wanaotangaza neno lake yeye alie mkuu zaidi Kwa njia ya nyimbo
@Pattie-io7dz4 ай бұрын
Anaezitunga hizi nyimbo zenu Neno la Mungu limemjaa, nyimbo zenu nzuri sana zina maneno ya nguvu mno. Na uimbaji it is perfect kwa Utukufu wa Mungu
@onecalinternationallimited2298 Жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo zenu. Mungu awabariki...soloist number 1
@TrishaJacky11 ай бұрын
The best song ever
@HellenMaren16 күн бұрын
Congratulations, ❤ this
@neemaalphonce109 Жыл бұрын
Dada rasi sauti iyo hakikisha unamwimbia Mungu ad mwisho wa uhi wako Mungu wa mbingun azd kuwainua kwa viwango vyengne
@christinenyongesa2196 Жыл бұрын
One song brought me to this channel. Ya'll guys are grounded on God's word. Keep doing this for God.
@carolcarolyn8928 Жыл бұрын
Where has this choir been? Aahhhh.. mayGod shine your light to the world❤
@widsonswalala9696 Жыл бұрын
Amina, hakika tunapaswa kumkabidhi Bwana njia zetu
@EstherJerald-tc6ct4 ай бұрын
Mungu awabariki kwa uimbaji wenu na step pia
@janesudayjanesuday73204 ай бұрын
Hongereni sana ila wakaka msikubali wadada wavae kama mvaavyo
@karashj1 Жыл бұрын
The soloist in this song is incredibly talented and it is obvious her talent exceed other soloists in the group. I'm loving her and the energy of the choir...watching, listening, worshiping together from Louisiana .
@FrankMputa11 ай бұрын
Mungu ni. .mwema
@enockmakanga6844 Жыл бұрын
The best lead Choir Soloist, well balanced with the Choir! Great command of the choir and song. Well done and may God bless you and the choir
@milliumjohn8955 Жыл бұрын
mwambie vizurii saana,,mungu azid kuwabriki n kuwainua viwango vingne
@Neema-v4q Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mungu awatumiekuwafikishia watu ujumbe amina
@agnesalex8461 Жыл бұрын
Da Tina jmn❤❤❤❤❤❤
@ZiadaMhepela Жыл бұрын
Beautiful.blessed abundantly
@hannayohana1177 Жыл бұрын
Amen nabarikiwa sn na nyimbo zenu, Mungu aendelee kuwabariki watumishi, hongeren sn kwa kumtumikia Mungu
@mandidavidmdlalose992910 ай бұрын
The song n the singer's are so smart praise God n can you visit RSA to introduce your language in music as you sing Eish I love it every day I listen to your song
@lydiambwele7026 Жыл бұрын
An amazing choir
@jujujoseph66386 ай бұрын
Kwenye kuimba tu Tina umebarikiwa mnooo
@ruzacap6628 Жыл бұрын
Tunaomba muupload Wimbo ule wa Sifaaaa sifa sifa twakupa Yesu......🙏🙏
@franswamwandenuka6853 Жыл бұрын
Amen Choir Mungu azidi kuwabariki saana na saana zaidi. Nimebarikiwa na uimbaji wenu
@mosesmboka6520 Жыл бұрын
Black dressed soloist is killing it big
@karashj1 Жыл бұрын
She is absolutely the best soloist in the choir. I have yet to hear another that is better.
@matakasa9 ай бұрын
Congrats! Stay blessed!.
@lilianmuoki9197 Жыл бұрын
My favorite choir doing a great a job 👏👏👏❤️keep doing the good work
@emmyandrew Жыл бұрын
You're really a blessing be blessed too
@andrewkivuyo5454 Жыл бұрын
Njia hii inafanya wale ambayo hawamjui Mungu wamkombilie Mungu
@SaidiJuma-j3z8 ай бұрын
Siku zamwisho mtaonyesha kwmngu nywere zabandia pamoja narangi ariumba nani
@gifftygabriel-n4z11 күн бұрын
Hunalolote Wewe umekamilika😂😂😂😂
@robertlohonauman84677 ай бұрын
GBU..
@salmaally97872 жыл бұрын
Ajapojikwaa hataanguka, Bwana humshika mkono 🙏
@paulinagodfrey-vh6uk Жыл бұрын
Good song I love it.amazing
@samuelmasonge Жыл бұрын
Producer alihakikisha amenasa sauti kwa ustadi. Studio inaitwaje? Maana mixing iko vizuri sana ❤❤❤
@eliask8047 Жыл бұрын
Mama uko na sauti Hamna anayeweza kukufikia
@japhetseko563 Жыл бұрын
NIUENI!! KWENYE HII KWAYA SITOKI.....✍️
@sashalemmoh326411 ай бұрын
Ameni❤
@paulsimontz Жыл бұрын
Wonderful work
@tinakasimba45642 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana watumishi wa Bwana
@benjaminrutamu9126 Жыл бұрын
Mungu awabariki kabisa nyimbo zenu nazipenda sana
@RahabuNgonga8 ай бұрын
❤
@berthkaswile4476 Жыл бұрын
Mko vzr
@josbebs7mulwa382 Жыл бұрын
Waaauuu the best song ever
@rithamassawe35572 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu
@eliufoosimonchuri416011 ай бұрын
Tina Marego? Au wamefanana
@rostaruvanda286010 ай бұрын
Ndiyee
@lydiambwele7026 Жыл бұрын
Upi zaidi "UFU UO" au "NGAO YANGU:
@danieltuitoek9656 Жыл бұрын
Waaaah ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 1:21
@rockyvlogs2214 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@joelmumo9256 Жыл бұрын
I am blessed
@joshuajustustz2 жыл бұрын
Nice 👍
@danieltuitoek9656 Жыл бұрын
Amen❤
@SaidiJuma-j3z8 ай бұрын
Nikweri sowadunia iyi Mana kuvaa kwao nikwakishetani ata kujipamba kwao kwakishetani midomo miekundu Kama uchi kazi yashetani iyo
@AishaHassani-eh2gw3 ай бұрын
Umekosa Kaz ya kufanya et kuwakosoa watumish wa mungu