TULIYOYAPITIA KATIKA GEREZA LA KIFO MSUMBIJI TUKANUSURIKA KUNYONGWA KWAAJILI YA UISLAMU

  Рет қаралды 24,096

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

22 күн бұрын

LEO USTADHI SHAFII AMETUBARIKI NA MOJA YA HISTORIA NGUMU KWENYE MAISHA YAKE ALIYOPITIA ALIPOENDA KUFANYA MHADHARA KATIKA NCHI YA MSUMBIJI

Пікірлер: 57
@user-li2el5vb8w
@user-li2el5vb8w 19 күн бұрын
Mash Allah' Shekh' SHAFII' ALLAH Akujaalie Afya naakupe mwisho mzuli ufe ukiwa umetoa shahada.
@IddyMbarak
@IddyMbarak 15 күн бұрын
Alla awafahamishe hao maqafili
@SafiaOmar
@SafiaOmar 9 күн бұрын
Allah akujaalie mwisho mwema. Na akujaalie pepo ya Firdausi sheikh Shafi
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 күн бұрын
amin
@immtm4930
@immtm4930 6 күн бұрын
Allah awalipe kila la kheri duniani na akhera.. poleni sana walimu wetu .. bidhaa za M.Munhgu ni ghali sana,.. hakika bidhaa ya M.Mungu ni pepo! Bishara Njema!
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
Uchafu wote wameubandikiza UISLAM,JAMANI TUTAFUTENI ELIMU KWA WATU WENYE LENGO LA ALLAH WALA SIYO KWA MASLAHI YA MTU MWENYEWE....MAUSTADH WENYE ELIMU NA IKHLASWI...
@JosephMwamlima-j5i
@JosephMwamlima-j5i 6 күн бұрын
Asee hii simulizi inasikitisha sana
@OHAAOHAA
@OHAAOHAA 8 күн бұрын
MaashaAllah ALLAH atakulipa kheri Mimi nataka namba za ustadhi shafi
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
Umeengea vizuri sana Shekh wetu ,bikhusus ulovyoelezea jihadi ....Mashallah...Ahsantum....
@myself4128
@myself4128 13 күн бұрын
Akili yako haina akili
@issarashid7707
@issarashid7707 20 күн бұрын
MaashaAllah Allah atupe mwisho mwema
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 20 күн бұрын
safi sana sheikh shafi usikatetama kupiganiya dini ya Allah ❤
@harshkirit6780
@harshkirit6780 12 күн бұрын
@@innocentndikumana8928 Ameen
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
Allah kuwanusuru..poleni sana Allah awape ajri ya yale yote mlosubiri....ni mtihani khaswa.😢
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
NAKUOMBEA MWISHO MWEMA SHEKH WETU...
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 19 күн бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚
@abdululiza392
@abdululiza392 19 күн бұрын
Assalamualaikum umeongea vizuri sana sheikh ila nawaomba wahadhiri msigombane
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
Umeamsha wengi na wengi wasiokua hata waislam wamezinduka....
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 12 күн бұрын
Polen sana ndugu zetu wa islamu
@sukumaganga2613
@sukumaganga2613 19 күн бұрын
Pole Sana kaka kwa mtihani
@SwahibuAthuman-yv2mn
@SwahibuAthuman-yv2mn 16 күн бұрын
Pole sana sheikhee
@mwanaidikellner7653
@mwanaidikellner7653 11 күн бұрын
Napenda masimulizi ya huyu Baba❤
@user-nm2pr1xz6u
@user-nm2pr1xz6u 13 күн бұрын
Pole sana Sheikh wetu
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 16 күн бұрын
Upo sawa shekhe
@amoschacha2885
@amoschacha2885 19 күн бұрын
Simuluzi Mimi nawafuatilia sana toka mbogo alivyoongea na Shafy , mbogo wakati anaongea kaongea vizur sana na yeye kasema alikuwa kiongoz na shafiy hapa anasema alikuwa kiongoz hebu mtafute Hamidu nae atueleze ukweli wake hapa naona kila mtu. Anavuta kwake
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 19 күн бұрын
@@amoschacha2885 sawa
@ahmedmpimbi9684
@ahmedmpimbi9684 18 күн бұрын
@@amoschacha2885 kaka nafikiri wewe mwenyewe unaweza kuona mhadhiri na anaemsaidia kusoma nani ni rahisi kua kiongozi, mfano ktk debate nyingi utaona labda dr. Sule na Ndacha afu Hamidu anakua msomaji
@allyway999
@allyway999 20 күн бұрын
Allah akujaalie sana shekhe shafi
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
Wanatuhumu sana watu na Mashekh wanaojua kuunganisha watu na uislam ,na MAGAIDI WA KWELI HAONEKANI NA HAWATAJWI ILA WANAWATUMIA WATU WENGINE WASIOJUA HATA NINI DINI ? NA NINI UBINADAMU....MLIKUA MWAWINDWA BILA KUJUA...KWA KTUMIA DOCUMENTS ALLAH AWAHIFADHI MUBALIGHIN WA KWELI NA WALA SIO ....ALLAH NDIYE MWENYE KUJUA NA NDIYE MWENYE KUHIFADHI...
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
Wanaojificha katika DINI YA UISLAM WANASABABISHA KUHATARISHA MAOSHA YA MAULAMAA WENGI NA KUUCHAFUA UISLAM...😢😢
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 17 күн бұрын
Huku kwetu uisilamu nikuwa kwingi ndio kuingia peponi , aisee hii dini ni hatari maqlishababu
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
Wamechafua Dini na kuwadanganya wengi wasojua ,ahsantum kuna kitu wengi hawakijui ....jamani wafundishwe watu wajue huo siyo Uislamu ,maana hata kafiri hafai kuuawa ,...
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel 6 күн бұрын
Kwahiyo kuuwa bila holela kunauhusiwa? Dini ya shetani hiii .Mungu anasema usiuwe halafu nyie eti muue yaan nyie wote ni finally jehanam
@maestro9618
@maestro9618 14 күн бұрын
Ila imam shafii😂😂dah kun mda lazima akuchekesheee 😢😢😢ila maashallah
@muznazahra455
@muznazahra455 20 күн бұрын
Kiongozi mwenye busara ndiyo misk ya nafsi za watu....
@lucaswanyonyi4037
@lucaswanyonyi4037 5 күн бұрын
Ila tu.s hekhe hujui.niko kenya
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel 6 күн бұрын
Nje mnasema hivi ndani mnasemq ukiuwa mkristo unaenda peponi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 күн бұрын
@@Pelegrinoemanuelww mjinga nanikasema ukiuwa mkiristo unaenda peponi wwmnafki sana ucha ubwege waislam hatupohivyo hatufanyihivyo
@edwinismail9401
@edwinismail9401 10 күн бұрын
vita ya albadri mtume alifukia visima, vita ya mtaro mtume aliamrisha wayahudi wote wakiume wauawe wawe watoto au lah.
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 17 күн бұрын
Ule upande wa moenda kuna maeneo kuna migodi ndicho wanacho gombea na nyuma yake kuna mtu mweupe akiwemo na mportugues
@armindodamiao3201
@armindodamiao3201 15 күн бұрын
Docta sulle alinshitua majini yake
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 19 күн бұрын
ulimchapa sule vikali...leo unakuja kuonyesha jinsi gani unamkubali...na kumbe alikichukulia kama mdogo wake katika daawa😊
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 19 күн бұрын
Mwenye dini ni Allah, kwa hiyo mtu yeyote anayekosea katika dini atakosolewa hata na ndugu yake, Hai maanishi watu wamekua maadui.
@AbasMabuli
@AbasMabuli 18 күн бұрын
Tumia akili basi, Hapo anaelezea story na mchakato ulivyokua, We unaleta ushabiki maandazi apa, Kwahiyo Sulle alikosea aachwe kwa sababu dini ni mali yake au!
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 18 күн бұрын
@@AbasMabuli imebidi nicheke 😄😄🙃
@ramahassan5515
@ramahassan5515 17 күн бұрын
Kunakitu hujaelewa kwakua alimuita mdogo wake akikosea lazima arekebishwe hata kama Kawa mkubwa
@maase2023
@maase2023 13 күн бұрын
Huyu jamaa fix sana
@mbalilax162
@mbalilax162 19 күн бұрын
nice story....sema waislam ni makatili huo ndio ukweli.
@sultansallah8772
@sultansallah8772 18 күн бұрын
Tatizo hujui maana ya neneo islam
@mbalilax162
@mbalilax162 18 күн бұрын
@@sultansallah8772 nimeenda kuangalia maana yake....nimegundua ata wewe unaweza kujilipua alafu useme ni "submission to the will of God"
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 күн бұрын
Uzima umakichwani kwahiyo siokosalako kusemahivyo polesana
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 күн бұрын
Uzima umakichwani kwahiyo siokosalako kusemahivyo polesana
@user13375
@user13375 19 күн бұрын
Kulipiza nako ni ushetani tu😮😮
@mashakamwinula3797
@mashakamwinula3797 19 күн бұрын
Haayo nimaneno yako hatufuati mtu bali kitabu
@user13375
@user13375 19 күн бұрын
@@mashakamwinula3797 msikilize shehk anavosema jihadi ni kulipiza kisasi🤔🤔🤔
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 18 күн бұрын
Qur’an ni tofauti na Biblia.. Ninyi mnafundishwa "akupigae shavuot la kulia, mgeuzie na la kushoto".. (maumbile yanakataa) ... sisi sio punda. Sisi Waislamu, "Jino kwa Jino" ... 🎉 ..
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 16 күн бұрын
Dini yetu haitaki unyonge,ni jino kwa jino,kisu kwa kisu,upanga kwa upanga,yaani hakuna kukaa kizembe
#MOVIE SIKU YA QIYAMA INATISHA! (KISWAHILI)
1:08:33
Seyfullah Online Tv
Рет қаралды 6 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 8 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 96 М.
MAISHA YA BARZAQ  JEE ROHO INAPOTOLEWA HUENDA WAPI ?
1:47:08
arkas online tv
Рет қаралды 2,1 М.
Mchungaji wa barabarani aleta hoja ya msalaba mwisho aelewa kimeeleweka leo
1:09:53
SNAKE BOY | ep 27 | SEASON TWO
32:35
CLAM VEVO
Рет қаралды 808 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН