#ZIFAHAMU

  Рет қаралды 66,911

Uhamiaji Tv

Uhamiaji Tv

Күн бұрын

#OnTrending #UhamiajiUpDates
#Credit @Icon Tv Tz

Пікірлер: 160
@AstridaNdovanga-tz6vj
@AstridaNdovanga-tz6vj 10 ай бұрын
Nashukuru sana kiongoz Mimi binafsi nilipata mapema shida watu tumezoe Shortcut
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Жыл бұрын
Shukrani kwa taarifa kutoka wizara, nilifika Wizara ya uhamiaji watumishi ni wa karim sana, mungu awabariki
@Toptenherbs
@Toptenherbs 7 ай бұрын
Kwa kweli kabisa huduma zenu ni nzuri sana!! Na hakuna urasimu hata kidogo... Nilifika kurasini saa 4 Hadi saa 7 nilikuwa nimehudumia Kila kitu!!! Ukiwa na documents zako zote muhimu Wala hawana shida Hawa jamaa!!! Hongereni Sana kwa kazi nzuri
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 6 ай бұрын
Urifanikiwa ndugu nakutekeleza safar yako?
@SarahFrank-pz4lo
@SarahFrank-pz4lo 20 күн бұрын
Documents zinazotakiwa zote ni zipi?
@SHADOTUBETZ
@SHADOTUBETZ Жыл бұрын
Mnapiga kazi vzr, safi sana. Sijawahi pata huduma nzuri lama uhamiaji
@stevenrichard189
@stevenrichard189 13 күн бұрын
Sehemu pekee yenye watu yenye costomer care apa Tanzania ni UHAMIAJI hakika mnapiga kazi kwa ufanisi.
@idrisafadhili9029
@idrisafadhili9029 10 ай бұрын
ukienda ofsini utaambiw system haipoo
@KADALAtv255
@KADALAtv255 6 ай бұрын
Hongera Serikali ya Tanzania Hongera Mama Samia Rais wetu Hongera Uhamiaji kazi yenu njema. Mimi nakuja ofisini wiki ijayo kuilipia nami niipate.🔥🔥🔥🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪
@yolonimojohn7792
@yolonimojohn7792 Жыл бұрын
Asante sana mkuu kwamaelezo mazuri
@HamadiMwashiuya
@HamadiMwashiuya Ай бұрын
Mungu awabariki mno
@bensilem121
@bensilem121 Жыл бұрын
Asante sana mkuu🙏🙏
@fatumaibrahim8973
@fatumaibrahim8973 2 жыл бұрын
Ahsante Tanzania
@FarajaSijali
@FarajaSijali 9 ай бұрын
Nashukulu mungu awabaliki mulinptia bila shida
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Ulibahatika. Huku mikoani kuna sintofaham za kutosha.
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 9 ай бұрын
Maneno mazuri ila amna kitu
@priverpriva98
@priverpriva98 2 жыл бұрын
Thanks 😊
@NeemaKumila-gx3nz
@NeemaKumila-gx3nz 5 ай бұрын
Ahsante
@HattaHatta-pk7hr
@HattaHatta-pk7hr 6 ай бұрын
Nashukuru Mungu nilipata kwa mda
@HawasilverShamba
@HawasilverShamba 15 күн бұрын
Kila kitu ni shi ngapi galama zake kwa ujumla
@wariobamussa2462
@wariobamussa2462 Жыл бұрын
Asante Kiongozi kwa Taarifa hii muhimu
@MichaelSimba-nk7mu
@MichaelSimba-nk7mu Жыл бұрын
Kwa kweli Uhamiaji Dar es Salaam wako active.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Nisaidie Namba zao za simu
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 9 ай бұрын
Hapa mnasema vizuri lkn mtu akija mnawapa watu rushwa mnawapa haraka lkn wale wanaotumia njia ya halali mnawazungusha
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Kweli kabisa.
@Khadijah-gy7ju
@Khadijah-gy7ju 3 ай бұрын
Kweli kabisa Mimi nilizungushea mwenzi mzima mpaka nilipojiongeza ndyo nikapata
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
*Unaongea tu mkuu lakini vishoka ndowanarahisha sana kuliko Hao watu ZAKO bila vishoka IMMAGRATION kwa asilimia 80 Mambo hayaendi*
@johnbidya119
@johnbidya119 Жыл бұрын
Kichwa chako ni kigumu
@AidathRweyongeza
@AidathRweyongeza 5 ай бұрын
​@@johnbidya119sio ngumu Kama huna mtu huko utazungushwa mpaka
@majestyjames6499
@majestyjames6499 4 ай бұрын
Safi sana
@salminmbembela9701
@salminmbembela9701 2 жыл бұрын
Na vipi mzazi kama hana cheti cha kuzaliwa..wengne wazaz wapo ndan sana huko.anaejuabadala anambie tafadhali
@priverpriva98
@priverpriva98 2 жыл бұрын
Nakujibu
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 Жыл бұрын
@@priverpriva98 naomba unisaidie, baba kafariki , mama ni WA kijijini Hana cheti Cha kuzaliwa, nasaidikaje
@boas_bj
@boas_bj Жыл бұрын
Nenda nae mahakaman akale kiapo kama ni raia wa tz watakupa form ya kiapo (affidavit) ndio utaenda nayo uhamiaji
@AidathRweyongeza
@AidathRweyongeza 5 ай бұрын
​@@boas_bj Sasa huko mahakamani jamani wazazi wetu ukute yangu akue hajawahi fika umpeleke kwa Ajili ya kiapo😊😊
@fatmaathmani9406
@fatmaathmani9406 9 ай бұрын
Mmmh yan baraa uko uhamiaji kama mie hadi leo sijapata passpoti yangu 🙏🙏
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Wanazingua sana. Watendaji wanadai fedha za ziada sana.
@SaddyKhateeb
@SaddyKhateeb 4 ай бұрын
Baadhi ya watendaji wenu ndio wanafanya mipango na hao vishoka
@RirikGharib-rg9df
@RirikGharib-rg9df Жыл бұрын
Upo sahihi afande
@yasssiniswaffy-oc4hc
@yasssiniswaffy-oc4hc Жыл бұрын
Nimeipenda iyo
@PauloTumaini-b3s
@PauloTumaini-b3s Ай бұрын
Mimi nimezurumiwa pesa na passport sijapata mpka leo naitwa riziki George kiboye
@moseskimaromoseskimaro5934
@moseskimaromoseskimaro5934 Жыл бұрын
Pia ni Pesa ngapi Arusha, maana tunaweza ambiwa hapa ni sh 150000,kufika kule ni Zaidi ya hiyo pesa, nifanyeje nipate maana nataka Sana.
@obedingilisho
@obedingilisho Жыл бұрын
Vishoka wanarahisisha mambo.. Urasimu ni mwingi sana katoka ofis za serikali ya jamhuri. 😢
@GosbertNgemela
@GosbertNgemela 3 ай бұрын
Baba na mama hawapo hai vyetivyao sina nafanyaje?
@stellamuleba109
@stellamuleba109 Ай бұрын
Sasa hivi kunatatizo la stamp boda tunaibiwa pesa na mafisa wenu weka namba ya simu niwape matukio yenu ya wafanyakazi wenu
@IsabellaTarsis
@IsabellaTarsis 8 ай бұрын
Ni uongo maana muda mwengine wanakuuliza we kwenye akaunt una sh ngap alafu kama wanakukebei vyote unaweza kuwa umekamilisha ila utazungushwa mpk basi
@JamalSeif-yn5ro
@JamalSeif-yn5ro 8 ай бұрын
Passport ni Ruswa kwenda mbele has ukiwa unarangi ranging wape klila kitu wanataka ruswa ni wabaguzi wa rangi wamewazidi hata wazungu mimi nina miezi 8 na failili ninalo ruswaruswa
@Aisha-t2q
@Aisha-t2q 3 ай бұрын
Tatizo ukifwata njia hii unasuguaa gaga sana. Kwanza utapigwa maswali mpaka utakata tamaa ya kusafir
@rahmasahala95
@rahmasahala95 5 ай бұрын
Habar nnachangamoto niko botswana na hakuna ubalozi wa Tanzania je naweza kusaidiwa vipi kwa kesi ya kupokonywa passpot
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 4 ай бұрын
Ndani ya siku saba mtu anapata passport wapi?? Mimi nimekuja tangi mwezi wa nane mpaka leo sijapata na natokea dar es salaam
@mpundempunde1722
@mpundempunde1722 2 ай бұрын
Kulikuwa na tatizo la kimtandao maana mimi nilipata pasport ndani ya siku tano na hivi karibuni mwenzangu aliomba pasport amesubiri kwa miezi kadhaa kama 4na walimjulisha kuna tatizo kimtandao so yupo sahihi kabisaaaaaaaaa
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 9 ай бұрын
Bado achngamoto zipi juz tu kudhinda jana mdigo wangu laki nne kisa baba kafariki mama hana bath certificate na bado kaambiwa atoe laki huko dar fike lake likawekwe mbele , kaenda pale na nida bath certificate,batua ya mwekiti wa mitaa SubhanaAllah kaambiwa lete barua ya anaekuita unakataka kwenda badala kumuelekeza wanataka kukutoa hela mtu mwenyewe màskin mitihan nchi hii ruswa zipi sana migration 😊
@zawiajuma715
@zawiajuma715 3 ай бұрын
Nikweli kabisa watu waache uwoga nibora kwenda mwenyewe kuliko kuliko kumtumia mtu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 2 жыл бұрын
UHAMIAJI UKIFUATA UTARATIBU MASWALI MENGI FORM HUPATI NA ZOEZI LAKO HALITA KAMILIKA NA SWALA LA PASSPORT SIO MBAKA USAFIRI HII NIHAKI KWA KILA MWANANCH DUNIANI KOTE ILA TZ YETU MBAKA USAFIRI
@beatricedavie1827
@beatricedavie1827 2 ай бұрын
Si kweli hapo ni kipengele, nina miezi miwili na passport sijapata
@EdithMnyawami
@EdithMnyawami Ай бұрын
Weee kweli??
@FabianAmandusi
@FabianAmandusi 2 ай бұрын
Jambo afand mm tangia mwez wa nane mbaka leo sijapta na mbaka leo na hapo hapo mbaka maafsa wako wanataka wanataka hela na mm mbaka jina na mjua na lisiti zote ninazo
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 Жыл бұрын
Changamoto nyingi zipo Kila sekta tuache mfumo wa rushwa turidhike tunachokipata mama samia katuchagua tumsaidie atafanya mangapi mungu ibariki tanzania ameen
@rajabudayo2954
@rajabudayo2954 3 ай бұрын
Tunafanyaje tusio na wazazi?
@mohamedsuleiman2785
@mohamedsuleiman2785 Жыл бұрын
Yanii mangu kwenye passport alitumiza sana kutoka elfu 50 mpka laki na 50 angalau engelifanya laki moja
@JohnMalengua-jh6ps
@JohnMalengua-jh6ps 3 ай бұрын
Je kama wazazi wako alikwisha rafiki utafanyaje?
@robertdominic7298
@robertdominic7298 2 жыл бұрын
Hapa kwenye vyeti vya mmoja wa wazazi ndio vishoka mnapowakaribisha, mzazi wng ikiwa amefariki au wamefariki nafanyaje?
@Witnessvlog
@Witnessvlog 2 жыл бұрын
Onyesha document
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Uwongo uwongo mwingi kama kweli hivi utaisikia mtandao unasumbua hovyo kabisa
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
hao wanaoitwa vishoka, kwann msiwaziboit?
@erickdaniel610
@erickdaniel610 Жыл бұрын
msiwaziboit ndio nini
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
@@erickdaniel610 msiwazibiti
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Utaratibu wa kupata passport huku mikoani unazingua sana.!! Nimetuma maombi na kukamilisha malipo wiki nne zimepita mizengwe kibao...!!
@josephisingo8198
@josephisingo8198 Жыл бұрын
Huyu jamaa nilimkuta,nikamwambia nilishakamilisha kila kitu online mpk stamp lkn,anataka rushwa,eti nionyeshe account statement,sio watu wazuri ntastaafu tuu,kila kitu kina nwisho
@jacksonjacob3986
@jacksonjacob3986 Жыл бұрын
Ndugu za jumapili mm Jackson j nnko nahitaji kusafiri nje ya nchi nitakuja ofisini dar
@JamalSeif-yn5ro
@JamalSeif-yn5ro 8 ай бұрын
Mama samia ubaguzi wa rangi ndio unaongoza magreshen wanatutesa nina miezi 8 nimewapa kila kitu nawalaumu wazazii wangu kwanini waliza na mwarabu rangi yangu inaniponza
@KwendaKwenda-e9z
@KwendaKwenda-e9z 27 күн бұрын
Rushwa imetawala na ulasim
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 4 ай бұрын
Mimi wanzanzi wangu wote walikufa miaka 27 iliyopita, itakuwaje mkuu
@YasminOmary-m9g
@YasminOmary-m9g 3 ай бұрын
Tanzania yetu tunaishi kwa rushwa nchi zawenzetu sikumojatu unapata paspot lakini huko utasugua gaga
@ImanijosephMhozya
@ImanijosephMhozya Жыл бұрын
naomba jibu nishahangaika
@immanueljoseph7190
@immanueljoseph7190 Жыл бұрын
Namba ya nda tu mtihan je iyo passport inakuaje hii nchi bora Rais angekuwa joti
@sumamwashamwasha3286
@sumamwashamwasha3286 3 ай бұрын
Nina mwezi wa pili sasa nimekamilisha kila kitu sijapata pasport yangu bado malipo kila kitu tayari nini tatizo jamani
@عاىشةالصبحي-م6ه
@عاىشةالصبحي-م6ه 7 ай бұрын
Pasport mnatuambia laki na amsini mimi nimepata pas kwa lakisita ila list inasoma laki na thelathini pamoja nafom alfu ishilini jumla laki na amsini jee nyingine ziko wapi
@NuruBayyo
@NuruBayyo 4 ай бұрын
0:22
@anithashio
@anithashio Ай бұрын
ni lazima uwe na ivyo vyeti original au copy tu inatosha
@MikidadiSadala
@MikidadiSadala 3 ай бұрын
Shida wafanyakazi wa hapo wanasumbua hata umekamisha kilakitu ni uongo tu
@HusenShukran
@HusenShukran 7 ай бұрын
Naitaji nida
@HasinaSaidi-u8q
@HasinaSaidi-u8q Жыл бұрын
Mungu atusaidie kwa hili ni mtihani mkubwa asikwambie mtu ukihitaji unasumbuliwa mpaka unataka kukata tamaa ila nihaki yake kila rajya wa Tanzania
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 3 ай бұрын
Labda kwa sasa ndio kuna urahisi ila mm zangu zote nilisota hadi kishoka ndio nikafanikiwa mgoja nione hii yakaribia kujaa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Wanasema vizuri lakini huku kwenye utekelezaji ni vurugu tupu
@ImanijosephMhozya
@ImanijosephMhozya Жыл бұрын
je kwenye mzunguko ote kunasehemu ya mwanasheria kuweka mhuli
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Жыл бұрын
Sidhani zaidi ya hizo document
@YusuphJafari-mw7ep
@YusuphJafari-mw7ep 10 ай бұрын
Mimi sina namba ya nida na naitaji pasipoti
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 10 ай бұрын
Huwezi pata
@herbertgunga695
@herbertgunga695 6 ай бұрын
Uhamiaji wasumbufu kuna mtu anaenda mwaka wa tatu passport hajapata hasa watu wa kigoma wanaonewa sana pale kurasini mtu maomba passport wakasema wanatuma watu kwao wakajiridhishe kama ni raia mwaka jana walienda na kumpa majibu kuwa uraia hauna shaka lakini hadi leo wanamzungusha, ila vishoka siku mbili tu wanakuletea passport
@MohamedHassan-t9e
@MohamedHassan-t9e 9 ай бұрын
Makufuli alitufanyia jambo sio rafiki kutupandishia passport beii ya juuu mama tushushiee passport angalau laki moja
@aishaz1
@aishaz1 Жыл бұрын
Kama niko kenya nafanyaje plz sina kitu chochote kuhusu wzazi sina hata cha mzazi
@soundmale
@soundmale Жыл бұрын
Oya vip huko Kenya mambo yanaendaje hawana ubaguzi boy.
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 2 жыл бұрын
Siku moja mmmmh tunajua palivyo hapo
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 Жыл бұрын
SAMAHANI MUHESHIMIWA VIGEZO ULIVYO ELEZA HAKUNA KINGINE CHA KUWASILISHA UHAMIAJI NJE NA VIGEZO ULIVYO SEMA ILI KUPATA PASSPORT? ASANTE
@Chaotic-c2p
@Chaotic-c2p 10 ай бұрын
Sisi ambao baba zetu ni wazungu na mama zetu ni watanzania tunapata tabu sana .kila nikienda naambiwa ni coparate bila hivyo sipewi .sasa mimi huwa nimezoea tu kucoparate sina jinsi .tena bado ntasumbuliwa kupelekwa kwenye mahojiano kila gorofa mbali na kutoa kitu
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 4 ай бұрын
Nilikuja ofisini kwenu nikafanya kila kitu mwezi wa nane mpaka leo sijapata passport.. Na magonjwa tu ndiyo imefanya nitafute hiyo passport...
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Wahanga tupo wengi
@WilsonSanare-nq6li
@WilsonSanare-nq6li 8 ай бұрын
Huku.arusha.hatupati.na.tukihitaji.lakinne.eti.mpaka.iletwe.daressalam.tumechoka.sikuhizi.tunaenda.nrb.kenya.kwa.honqo.ya.sh.1300.kurudi .sh.1500
@nahiriali1405
@nahiriali1405 Жыл бұрын
Bora kutumia vishoka kuliko nyie mkitaka vishoka wasitumike badilisheni yani mtu unahitaji pasipoti lakini unasumbiliwa kweli hata kila kitu unacho, nawashauri watu watumie njia wanazojua, ukimsikiliza huyu kirahisi kwa maneno yake lakini vitendo zero uhakika pasipoti ataisikia tuu
@JamalSeif-yn5ro
@JamalSeif-yn5ro 8 ай бұрын
Kama nitaenda takuru nitawapeleka wengi lakini ni watoto wa wakubwa wako huko takuru hawana meno ndio wanafanya watakalo nchi hihi ikisha ruswa labda kiyama
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
TAKUKURU ina watu wake. Ukweli vizingiti katika upatikanaji wa passport ni vya kutosha. Hiyo laki na nusu ni ya ofisi kunyonyolewa kwa kufuatilia ni zaidi ya nusu ya hiyo 150 !!
@ShabanMkumbange
@ShabanMkumbange Жыл бұрын
Nimeona kazi mbali mbali na mishahara yake ila kazi ya fundi umeme iklje kaka
@AnitaMfinanga
@AnitaMfinanga Жыл бұрын
Je mfano ukawa unatumia majina mawili tofaut yaan jina la kusomea likawa tofaut na jina la ndoa likawa tofaut apo tunafanyaje mkuu
@sirizamwili
@sirizamwili Жыл бұрын
Majina yafanane na kwenye vyeti
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 Жыл бұрын
Unaongea tu mkubwa lakini longolongo nyingi sana kwa watendaji wadogo.
@blockchain1203
@blockchain1203 Жыл бұрын
Passport ni Haki ya Kila mtu Sema TZ ujinga Mwingi na Ukweli Nilitumia Vishoka Napata Haraka Kuliko Mtu akija mwenyewe Ofisi na Doc Zake zikiwa Hali..Sasa mnataka uthibitisho wa nje Sina uhakika Hata wa VISA Uhamijia mizinguo tu..Yaani Kuongea ni Rahisi Sana na Nzuri ila Kiuhalisia Uhamiaji Nyieee Mnazingua...Ujinga ni Pale unaenda Ku Renew Passport alfu unaambiwa leta Doc Sasa Najiuliza Mlinisajili na Nini..?Bongo Mizinguo Eti Siku 7-14 Aseee hayo ni Maneno tu Vitendo 0
@KatongaSign
@KatongaSign Жыл бұрын
ndugu yangu kazi mojawapo ya uhamiaji ni kutambua pia wahamiaji haramu....hivyo usikasirike unapoambiwa leta doc kila inapobidi....sababu watu wanafoji document na wanakuja kutambuliwa baada ya miaka hata 10... ko wanafanya hivyo pia ili kubaini vitu kama hivyo..
@elikamtumishi
@elikamtumishi Жыл бұрын
Oy vp mzeee
@MunguMwema-m4l
@MunguMwema-m4l 8 ай бұрын
Kwani kuwa napasspot lazima uwe unassafili nilijua nihaki ya mwananchi kuwa napassppt maana nchi zingine mtoto akizaliwa tu anakuwa nahati yakusafilia
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
Mi nataka passport please nisaidie....
@sirizamwili
@sirizamwili Жыл бұрын
Ingia kwa website yao www.immigration.go.tz
@EzekielMwishehe
@EzekielMwishehe 4 ай бұрын
Kwa muombaji AmBAR amefiwa na wazazi wake na hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa itakuwaje? Walete Nyaraka Gani?
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Kiapo tu kwa wakili
@JamalSeif-yn5ro
@JamalSeif-yn5ro 8 ай бұрын
Shida wakukatalie toka a mwazo kwamba hujakamilisha wanachukuwa pesa wanaanza kukubababaisha
@AyoubPapiy
@AyoubPapiy 9 ай бұрын
Kwanini nchinyengine hawana vyeti vya kuzaliwa na wanapata paspot mojakwamoja"? Mtu alizaliwa tu, anakua na paspot
@mheshimiwampagasi-te5zr
@mheshimiwampagasi-te5zr Жыл бұрын
Kama serikali, Hao vishoka mmewachukulia hatua gani,maana wanatuibia sana.
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 3 ай бұрын
Mimi ni Simbarakiye- Abdul from Burundi. Lakini ni naishi Amsterdam Netherlands mwaka 40 .pia Nina passport ya Holland nimeoa mke wangu 2021 pia tuna mtoto umoja wakike mwaka 3. Kila nikija nasumbuliwa sana upewa permit ya mwaka 2 naomba mnisidie njia ya kufanya Asante sana
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 Жыл бұрын
Na wasomali mnawajaza mnaiaribu nchi hii
@motivational_leader
@motivational_leader 16 күн бұрын
Acha ubaguzi
@saidjuma7796
@saidjuma7796 2 жыл бұрын
kwani paspoti si ndio haki ya mwananchi tokea anapo zaliwa anapaswa kuwa nayo yani hio ipo dunia nzima hapa kwetu tu
@edwardkishiwa3296
@edwardkishiwa3296 2 ай бұрын
Mbona KATIBA yetu Tanzania Inasema PASSPORT Ni Haki Ya Raia? Sio Lazima Niwe Na safari, Ni Haki Yangu Niwe Nayo Hata Kama Sijui Nitasafiri Lini Bhana!,
@JamalSeif-yn5ro
@JamalSeif-yn5ro 8 ай бұрын
Sio nida ambayo hutakiwi hata uulizwe swali hata uwe na namba ya rais wanataka ruswa daa tunaishi nchi ya zulma na rushwa hakuna magreshen atakeenda peponi
@Marthamkala-st2ck
@Marthamkala-st2ck 9 ай бұрын
Na kama sina nida ina kuajeee
@moseskimaromoseskimaro5934
@moseskimaromoseskimaro5934 Жыл бұрын
Arusha ninaweza pata, na je itachukua muda gani mbaka wanipe.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Nenda Uhamiaji pale utapewa fomu za kujaza kadri utakavyoijaza mapema na kurejesha ndiyo utakavyoipata Passport yako Kwa haraka
@itisallaboutfootballandent8250
@itisallaboutfootballandent8250 2 жыл бұрын
Kwa mtoto chini ya umri wa miaka 18 anatakiwa ajaze vipi kwenye sehemu ya kujaza nida?
@sirizamwili
@sirizamwili Жыл бұрын
Inajazwa taarifa ya mzazi
@lgdnce8309
@lgdnce8309 9 ай бұрын
Sasa mm ni murundi hila nimezaa na m tz ni mijifungua hospital ya mwa nyanamala 2010 na yveti Vipo vyote vya mtoto hila baba yake tumeachana mwaka 2015 ikabidi mtoto nije naye kwetu Burundi mutoto amekuwa je akija tz ataweza pewa passport cz familia ya baba yake ipo tz kimara hila kishwaili cha tz hajuwi.
@lgdnce8309
@lgdnce8309 9 ай бұрын
Baba yake amefariki 2017
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 Жыл бұрын
Kiukweli ni process ndefu yaani imekua kama hii ni haki ya kundi maalum tu.
@sanzeclassic
@sanzeclassic Жыл бұрын
Hapo kwenye cheti cha kuzaliwa cha mzazi ndio mtihani ,
@amilipitson-si6xn
@amilipitson-si6xn Жыл бұрын
Mom natak passport yakwenda Zambia
@amilipitson-si6xn
@amilipitson-si6xn Жыл бұрын
Mom sina namba
@faustinisirili2395
@faustinisirili2395 4 ай бұрын
Wewe unaongea nini mbona hata sikuelewi,
VIGEZO NA SIFA ZA MWOMBAJI WA PASIPOTI MPYA YA KIELEKTRONIKI
9:20
Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania
6:03
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
#uhamiajiupdates:Fahamu kuhusu Pasipoti ya TANZANIA na Uraia Pacha
20:37
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН