MAUAJI YA KIKATILI YA MTOTO DODOMA, POLISI YATAJA IDADI YA WATUHUMIWA

  Рет қаралды 29,866

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 18 сағат бұрын
Naomba mungu arishike mkono jeshi vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama apatikane mharifu iri asiende kudhuru sehem nyingine
@NassormasoudHilal
@NassormasoudHilal 17 сағат бұрын
Pole mdogo wangu mungu akutie nguvu katika kuipindi hiki kigumu.Mungu ampumzishe kwa Amani Malaika mdogo huyu😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 14 сағат бұрын
Binaadam hawana huruma wanamuua mtoto huku wanamuangalia anavyoliakwauchungu na kuangaika mpaka roho inatoka😢 subuhanallah. ,,aliefanyahilotukioakikamatwa. Nae auliwe
@Kidera-w8s
@Kidera-w8s 12 сағат бұрын
Uyo mama ni mjinga kweli
@Mwanaidshaban-i4o
@Mwanaidshaban-i4o 14 сағат бұрын
Yesu atusaidie 😭😭
@AbdullahHilal-b4t
@AbdullahHilal-b4t 16 сағат бұрын
Inalilah waina ilaih Rajuun. Poleni kwa Msiba wa Mtoto mdogo Mzuri. Polisi imara watajua wauaji Makatili hawa kuua Mtoto
@AminaTanzania
@AminaTanzania 16 сағат бұрын
Nyie mnasematu kitu kikipangwa weachatu hata angeendanae ingetokeatu
@shabanimbega40
@shabanimbega40 16 сағат бұрын
Polisi wasubiri kwanza huyu mama amalize msiba ili naye aisaidie polisi kumpata mtuhumiwa inawezekana ana mabwana chungu mbovu, wakamate simu wataweza kujua alikuwa akiwa na mawasiliano na watu gani kwa siku hiyo na hata kabla wote watiwe watiwe lupango na mchujo ufanyike wakiwa cell
@mercykagaruki
@mercykagaruki 15 сағат бұрын
Huyu bwana aliyenaye mmmm achunguzwe
@LenathdeujiLendeuj
@LenathdeujiLendeuj 14 сағат бұрын
Mungu atulindie awawatoto Mimi naishi na Mtoto ambae sio Wangu niwawifi yangu na mmoja wa Mume Wangu sijawai waacha pekeao kila sehem naenda nao siwaluhusu kutoka ata nje yageti japo majilani wanasema nawatesa nawashindisha ndani lakini sijali maana dunia imebadilika
@desineytv8406
@desineytv8406 12 сағат бұрын
Mungu akubariki dada wachache wanaweza kuelewa malezi bora unayopatia mtoto kuzurura kila mtaa cyo kupendwa
@neemabright3635
@neemabright3635 16 сағат бұрын
inaumiza sana kweli unamwacha mtoto na.bodaboda sio ndugu.yako wala 😢😢 maisha ya sasa sio kumwamini mtu tu sio damu yako aisee alafu sikukuu unaondoka kwenda kusherekea unamwacha mtoto wako.nyumbani kweli.😢😢😢
@monalisapaschal7362
@monalisapaschal7362 16 сағат бұрын
Very stupid lady Alitakiwa awe chini ya ulinzi pia
@MarereireneMarere-qf2ip
@MarereireneMarere-qf2ip 3 сағат бұрын
hapo tu kwann asiengeenda Asubuhi anaenda usku na anamwachia boda jmn uwiiiii me nisingepa Amani uko😭😭😭
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 17 сағат бұрын
Yani hawa watoto, wanaopata watoto wakiwa watoto shida ni Nini Yani kweli wasaa huu unamwachia mtu mtoto huogopi hata mtoto kulawitiwa inauma inauma Sana mtoto Mdogo kama Huyu
@ZekaniS
@ZekaniS 15 сағат бұрын
Uyu boda sijui alimbaka Kwanza ndo akaona atasema Bora amuue😭😭😭😭mtoto Hana kosa tusimlaumu Sana mama jaman pole dada
@RamadhanMakunja-i5m
@RamadhanMakunja-i5m 14 сағат бұрын
Poleni sanaaa wazazi wa marehem mwenyezi mungu Amrehem sote niwake na kwake tutarejea
@jobdismas1947
@jobdismas1947 11 сағат бұрын
Pole Tena Wazazi wa Marehem? Huyo Mama Yake Hafai Hata Kurumangiwa.Unamuacha Mwanao Kwa Boda Wew Unaenda Kudanga
@mpefu_4936
@mpefu_4936 15 сағат бұрын
Ila Dodoma nayo inatisha Kwa mauaji
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 17 сағат бұрын
Nyinyi yooh lakini huyo jamaa haja ua inaonekana Kuna mtu Mwingine alii uwa au huyo boy friend
@MohammedSeleman-o7o
@MohammedSeleman-o7o 13 сағат бұрын
Ee mungu utusaidie kwawatot wetu polen kwamsiba
@herrymathayo1159
@herrymathayo1159 12 сағат бұрын
Duuu Kwa kweli mungu hatusamehe tu hivi wanapata nn ao wauaji jamani.
@salamuushawji2044
@salamuushawji2044 2 минут бұрын
Pole mama wa mtt,,lakin hivi unamuachia mtt dereva boda c ndugu ,dahh sasa hivi binaadam wana roho za kinyama sana, ,mate mbez ya kucha mtt umemuachia mtu tu ,haya uchunguz uendeleee itajulikana tu damu ya mtu hiyo
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 14 сағат бұрын
Kuna kitu nimenotes: 1. Kuna namna mtoto alikuwa anawabana kwenye starehe zao. 2. Bwana aliyenaye achunguzwe huenda alimpenda dada ila hakutaka kulea mtoto asiye wake. 3. Bodaboda Kelvin abanwe make yeye ndiye aliyeachiwa hivyo anajua situation zote za nini kilichokuwa kinaendelea mpaka mtoto akauawa Mwisho nasikitika kwa ukatili mkubwa namna hii, mtoto mdogo asiye na hatia yoyote kumnyang'anya uhai wake kwa kweli Mungu aingilie kati!
@LaurenciaKitauli-or8rr
@LaurenciaKitauli-or8rr 14 сағат бұрын
Dunia ya sasa hivi c ya kumwachia mtu mtoto . Kuna haja gani kwenda kwenye starehe halafu mtoto unamtelekeza ! Yeye amwombee huyo malaika wala asilie !
@RwegereleRwebilumi-kb9ms
@RwegereleRwebilumi-kb9ms 12 сағат бұрын
Shemeji yetu NTUZU poleni sana.
@wachimbavisima
@wachimbavisima 4 сағат бұрын
leo ndo nimegundua kwanini Baba wa Taifa alijenga Hospital ya mirembe Dodoma
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 14 сағат бұрын
Ss hivi wanaumewengi. Wabakaji wauwaji yeye.ilikuaje.kumuamini kumuaachiamtoto. Aundiyo kifo hakinakinga. ,,,Allah akupe subra mdogowetu. Na mtihani mzito
@asifiwekimaro4873
@asifiwekimaro4873 14 сағат бұрын
Nimelia sana nimeumia hata km mama alikosea lkn huyu aliemuua mtoto hiyo roho ya kikatili hivi mtoto hana kosa Mungu akashughulike na aliehusika
@Marry-u8m
@Marry-u8m 14 сағат бұрын
Mimi ninacho uliza kwani huyu mdada hana wazazi ange wacha mtoto kwa nyanyake aki😢😢😢😢
@Mohammedyasia
@Mohammedyasia 14 сағат бұрын
سبحان الله Yaan watu wana zambi mtt huyo amekosa nn mpk auliwe jmn mbn watu wamekuwa makatili sn
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 15 сағат бұрын
Huu ni uzembe wa mzazi daah ee Mungu nilindie watoto wangu waliko
@AndreaMauki
@AndreaMauki 6 сағат бұрын
Tunaamini polisi watakuja na majibu,ila wewe mama huna uchungu na mtoto,yako mengi
@shabanimbega40
@shabanimbega40 16 сағат бұрын
Daah sasa hii kali unamwacha mtoto mdogo wa umri huo na kwenda kupiga starehe hii hatari mabinti hawakuwi bora angempeleka kwa bibi yake, hatulaumu maana mwenyezi Mungu ameshatuandikia kila mmoja namna ya kwake wote tutaenda mpendwa wetu katangulia sisi tutakuja kuungana naye
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 8 сағат бұрын
Wazazi tuombee sana kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu 🙏🙏🙏 mtoto kazaa mtoto,hivyo wazazi tucsahau kuwacmamia Hawa😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@LaurenciaKitauli-or8rr
@LaurenciaKitauli-or8rr 14 сағат бұрын
Wanaumre kuweni makini ! Oa mwanake mwema ! Na sio mzuri . Ukiwa nae chumbani mmelala anakutoroka !
@janejoel2465
@janejoel2465 16 сағат бұрын
Jaman si.angepeleka hata kwa bibi yake mwee roho inaniuma
@mariamshibanda3358
@mariamshibanda3358 12 сағат бұрын
Dunia inatisha jamani mbona mi naogopa sana
@libeberu
@libeberu 18 сағат бұрын
Ni huzuni lakini kuna very high degree of ignorance, how comes umwache mtoto wa miaka sita na bodaboda, iweje uende matembezi uache mtoto kwamba ni matembezi yalikuwa ni eneo watoto hawawezi kufika posibly. kwamba hakuna hata dada alokuwa akimlea kwa usaidizi?
@Fatimamedia255
@Fatimamedia255 14 сағат бұрын
Hv kweli mtoto unamuacha na bodaboda tofaut na kutokea hili kuna ma2kio mengi ya ukatili wa kijinsia , mabinti km hamko tayari kulea msizae mapema
@joharikitundu
@joharikitundu 14 сағат бұрын
Hivi kila siku vyombo vya habari hadi serikali wanatuwasa tusiwamini hata ndugu Inakuwaje umwamini mtu baki kila siku tunajirudia makosa Ukweli anayo hujua mungu Ama KEVINalikuwa anakula mzigo na dada hasira zikampanda akamlipiza kisasi
@HaznaAbdallah
@HaznaAbdallah 16 сағат бұрын
Dodoma kuna nn jaman
@emmilemalewa4257
@emmilemalewa4257 13 сағат бұрын
Hii inaweza kuwa chanzo ni mahusiano yamepelekea kuwafanyiwa ukatili mkubwa huyu innocent .
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 15 сағат бұрын
Wanapenda starehe sanaa
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 12 сағат бұрын
Hivi unaonsoka nyumbani unaenda Kula maisha unamuachanadereva toyo kweli
@annafrancis7313
@annafrancis7313 17 сағат бұрын
Aiseeee ni huzuni. Huyu mama shetani kweli
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 10 сағат бұрын
mimi nawaza iv hapa duniani tafuta kuishi na amani na watu wote siwez jua ni nini hasa chanzo ila nahisi huenda ni kisasi mzazi kafanyia watu ubaya wakaona kulipiza kwakuua mwanae sina uhakika lakin wazaz mchunge sana kuna mda unawez ukfanyia mtu jambo malipo yakawata uzao wako soo Kuna mda aman ni bora kuliko haki sooo jarib kutenda mema zaidi
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 14 сағат бұрын
Apumzike kwa Amani inauma Ila sasa ukweli utajulikana Tuu Damu ni nzito kuliko maji
@godwinkidio4676
@godwinkidio4676 12 сағат бұрын
Apumzike kwa amani
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 15 сағат бұрын
jamani sasa hivi hali ni mbaya tusiwaachie watu watoto hovyo hali ni mbaya jamani
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 14 сағат бұрын
Uzinzi na anasa si jambo jema,mcheni Mungu! Jesus Christ is coming soon, let us all get prepared for his second coming soon!
@RamadhanMakunja-i5m
@RamadhanMakunja-i5m 13 сағат бұрын
Aisee kweri binadamu hatari sanaaa sasa uyo dogo kakosa nini mbona bado ajajua chochote jamani hata kama wazazi wake walikukosea ndiyo ulipe ubaya kwa mtoto mdogo kama huyo Narahani kitendo icho
@frankkihamo8208
@frankkihamo8208 13 сағат бұрын
Kwa namna yoyote ilivo watu watatu watasaidie police kupata ukweli kwanza boda , waliomuachia boda mtoto nafikili aitazid week nahukumu tunaomba itoke mapema hata kabla ya mwaka mpya ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia za kishetan kama hizo nafikil hukumu iwe kubwa kuliko kwa sababu wamemaliza feuture ya mtoto
@shabanimbega40
@shabanimbega40 16 сағат бұрын
Mabinti mjifunze hii si sawa starehe haziishi, tayari hasara mara mbili kwanza kajivunjia heshima yake, pili mtoto kapoteza mabinti acheni hizi
@RehemaKipanga-k4l
@RehemaKipanga-k4l 15 сағат бұрын
Hivi dunia hii ya kumwamini mtu kumwachia mtt wakati vitendo vya ukatili tunavisikia kila kukicha. Huyu mama alipata wapi ujasiri huu
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 18 сағат бұрын
Jamani wamama kuna muda hukifika tukubali matokeo mambo mengine tuwache yapite tuuu tulee watoto 😭😭😭😭😭😭😭😭mtoto mxury
@FloraJoseph-xd2kw
@FloraJoseph-xd2kw 18 сағат бұрын
Yani mama japo umefiwa lkn wewe ni kiumbe cha ajabu sana,unahacha mtoto wako saa sita usiku,kisa raha ya siku moja,jamani huu ni upuuzi mkubwa sana,kama mama imenifikrisha sana,kama kunadharula kweli,kweli wewe mama jitafakari sana,na sisi kina mama kuna somo tumepata
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 14 сағат бұрын
Mimi sijui nafeli wapi. Hivi kuna watu wanaendaga kwenye starehe saa 6 usiku kumbe?
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 15 сағат бұрын
HOFU YANGU NI JUU YA KUPATIKANA KWA MIMBA YA HUYO MTOTO, INAWEZEKANA ALIZAA NAMME WA MTU MKEWE AKAAMUA KUFANYA HUO UNYAMA.
@AminaTanzania
@AminaTanzania 16 сағат бұрын
Dada ungeendanae jamani daa
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 12 сағат бұрын
HUYO NI BODA WALA C LINGINE JAMANI APATE MATESO ILI ASEME YOTE ATASEMA TUU ASIACHIWE JAMANI
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 16 сағат бұрын
Starehe gharama
@EmanuelMbandi
@EmanuelMbandi 14 сағат бұрын
Nyie mbona mnakinbilia bodaboda
@RwegereleRwebilumi-kb9ms
@RwegereleRwebilumi-kb9ms 12 сағат бұрын
Mjukuu wetu pumzika kwa amani.
@Ammykurunge-q8y
@Ammykurunge-q8y 13 сағат бұрын
Inaniuma jmn af niko na mtoto mdogo itabidi tuachane na vitu vya hovyo tuwalinde watoto kama mboni af tusipende kuamini watu hovyo . MUNGU amuangazie mwanga wa milele mtoto huyo
@christophertanu1880
@christophertanu1880 18 сағат бұрын
Mama yake mjinga, unamuacha mtoto saa sita usiku kwenda kwenye starehe kweli?
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 17 сағат бұрын
Ila hajasema mtoto wake auliwe
@christophertanu1880
@christophertanu1880 16 сағат бұрын
@@zaytunhijja6771 ni kweli hajasema lakini si sawa kufanya hivyo. Huwezi kuacha mtoto saa sita usiku kwenda kula starehe. Siku hizi watu hakuna unawezaje kumuachia bodaboda? Kweli unaacha mtoto saa sita usiku unarudi asubuhi
@HassanAhmed-gp5jt
@HassanAhmed-gp5jt 18 сағат бұрын
Du poleni sana kwakwelii binadamu wengine ni wa ajabu sana
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 19 сағат бұрын
Walikita mlango wazi aubona majanga
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 15 сағат бұрын
Sikukuu watu watulie majumbani na familia zao na siyo heka heka za starehe
@LeticiaMwonge-f3q
@LeticiaMwonge-f3q 16 сағат бұрын
Jamani pole mtoto mnzuri
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 19 сағат бұрын
Aliwafanyia nini jamani awa wauaji uko disco mbona inatisha
@josiamwambona2785
@josiamwambona2785 17 сағат бұрын
Unamuacha mtoto uzinzi tu
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 16 сағат бұрын
Nyege na kisimi kilikuwa kinamuwasha sana
@SaidyFaranda
@SaidyFaranda 17 сағат бұрын
Mbona unajinga'ta tu
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 15 сағат бұрын
Mama ake ndo mjinga hayuko makini na mtoto wake
@RamadhanMakunja-i5m
@RamadhanMakunja-i5m 13 сағат бұрын
Kuwa makini na maneno yako
@Kidera-w8s
@Kidera-w8s 12 сағат бұрын
Uyo mama ni mjinga kweli
@wachimbavisima
@wachimbavisima 4 сағат бұрын
leo ndo nimegundua kwanini Baba wa Taifa alijenga Hospital ya mirembe Dodoma
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
MTOTO ALIYEUAWA KIKATILI DODOMA MJOMBA AFUNGUKA MAZITO
4:19
Uhondo TV
Рет қаралды 25 М.
SHUHUDA AELEZA POLISI WALIVYOUAWA 'MUUAJI ALIKUWA MZOEFU'.
3:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 25 М.
UN JUGE RECONNAÎT UN AMI D’ENFANCE AU TRIBUNAL, CE QUI SUIT VA VOUS CHOQUER !
21:52
Incroyables Histoires de Vie
Рет қаралды 547 М.
NIMEKUTANA NA MUME WANGU ONLINE | WAZUNGU WAISLAM WAPO WENGI
51:56
Official Dating Assistance
Рет қаралды 6 М.
Soomaali Qudhunwayn, Meel Walba Dagaal Bay Ka Oogeen #somali
33:31
Fatxiya Cabsiiye Show
Рет қаралды 6 М.