Nko kenya lakini nimeipenda sana Tanzania kuliko nchi nyengine yoyote ulimwengu mzima...Maadili yenu yameuteka sana moyo wangu,naipenda nchi ya Tanzania kiukweli.Mungu awape amani milele AMIN.
@fahamibashiru79687 жыл бұрын
safi sana mungu ameibariki tanzania watanzania wanatakiwa kumshukuru mungu kwa kuwapendelea kinyume chake atakasirika na kuwapokonya baraka zake
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
Magufuli up up up!!! Kikwete, Mkapa down down down!!! Mkapa na Kikwete utawala wao ulijawa rushwa na wizi, viongozi hawa walikua wakiibia nchi yao. Unajua hata ukichek ktk history enzi za utumwa kulikua na watu weus waliokua wakiwauza weus wenzao kwa warab na wazungu! Black skin tumelaaniwa, wazungu wametudanganya na kutufanya tuchukiane sis kwa sis! Africans let fight for our continent!
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
Awape Aman milele na umasikini milele!!! Watanzania wanashindwa kupigania haki zao wanatishiwa na aman! Aman kwenye njaa!!! Halmashaur za mji sizielew zinafagia mavumbi barabaran badala ya kufagia uchafu plastic nk! watanzania waoga coz hawajui vita, na wanaogopa polis ba mabom ya machoz, wakat ni bora tufe watu 500 ili wengine waweze kuish vizur! Angalia nchi za north africa na west!
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
baraka gan una zungumzia pls?
@gidosalapion82226 жыл бұрын
Xhandyrah Banzi njoo tutakupa uraia
@kambibolongo753011 жыл бұрын
We are with you Mr. President. Your voice is the only voice of reason in this region. This is coming from a Kenyan!
@benny434510 жыл бұрын
The President represent the real Tanzanian nature. We like peace and it has become the culture of our people and the country at large. Our president may possibly have some problems but all I can say he is a man of integrity. You can see leadership in him! Thanks President Kikwete. We will always be with you!!!!
@suitbertmaro57925 жыл бұрын
Mkuu nakuona 🙈🙏🏽
@Nedjadist10 жыл бұрын
In this I support Kikwete. He plays it very wisely. People should not underestimate how Kikwete's speech helped to diffuse further tensions and avert a possible war. It seems the culture of violence, killing and war is so deep in Rwandese psych that they find a call to peace and reconciliation repugnant. If you listened to Kagame's threat and cockiness you would have thought Kikwete had done something really horrible to his (Kagame's) mother!
@gabriellubuva53516 жыл бұрын
Raising anajua mambo
@bableeomar306911 жыл бұрын
Wonderful n wise words frm Hon. Kikwete. God Bless Tanzania
@thelatestvideos62663 жыл бұрын
Behind the scene tulichomfnyia Mtusti Mungu nd anajua 😂
@dickisoniryoba39896 жыл бұрын
rais wangu msitaafu nakupenda sana kwa hekima zako na busara zako kweli unafaa kuwa raisi tena na tena maana kuwa kiogngozi sio mabavu au ubabe na udiktetar love u jakaya mlisho kikwete
@yeshuasweapon43843 жыл бұрын
Acha siasa chapa kazi
@bahatigwivaha96966 жыл бұрын
Hongera sana baba. Wewe ni mfano wa kuigwa kwa uongozi wa kuvumiliana. Umeilea demokrasia kwa gharama kubwa sana nadhani kwa gharama ya moyo wako. Wewe ulisemwa na kuandikwa vibaya sana. Lkn kwa hekima kubwa hukulipa kisasi. Wewe ni mwanadiplomasia bora kabisa wa karne hii. Nakuombea heri daima. So far nakukubali kwa dhati ya moyo wangu. Nakuombea heri daima.
@heraldloshi18645 жыл бұрын
One thing I have learnt from H.E retired president Kikwete is humility.Mvumilivu,kweli hula mbivu.Perseverance is indeed an asset that cannot be bought off the shelves.
@canoksancomprehensivelearn71827 жыл бұрын
I congratulate Kikwete because he has shown how we are as Tanzanians. we always love peace and not war, even our conflicts when we differ we prefer diplomacy to war. we don't like to use harsh words as the president Kagame did. who do you think if we could respond or be in war with you could gain? only the weapon industries and eventually you would make your country's peace to totally disappear. I once again support and congratulate Kikwete for his wise decision and I wish Makufuli will do the same. no need for harsh words and whenever we differ the only solution is to stick on peace talks till we all get the solution and not to insult each other.
@richardissaya501111 жыл бұрын
Ubarikiwe J. K Mrisho kwa busara zako nzuri. that' how the man do!!
@michaelissaya835911 жыл бұрын
ayaaaa" j -k uyu?
@raphaelphaustine94084 жыл бұрын
Angekuwa makomeo dah tungeongea mengine
@adamdaudi61913 жыл бұрын
Haha, unahisi tungekuwa tumempiga huyo bwana wa Rwanda?.
@JK29PITBULL11 жыл бұрын
Kikwete is a man of integrity.
@Bigwill2856 жыл бұрын
Always the eloquent statesman, President zKik A true statesman, very eloquent.
@FredAngelsMusika11 жыл бұрын
Katika hili namuunga mkono Kikwete. Mfano, RPF ikiongozwa na Kagame wakati huo wakijulikana kama waasi wa serikali ya Rwanda ikiongozwa na Habyrimana; serikali ya Rwanda ilikubali kufanya noa mazungumzo na yalikuwa yakifanyika Arusha Tanzania. Sasa leo Kagame anasema haoni ushauri huo ni wa maana ....mbona alikubali wakati wao walipokuwa waasi? Kagame naona kalewa umaarufu. Anafikri Waisrael na Wapalestina ni wajinga wanapoona kuwa mazungumzo ni moja ya njia ya kupata Amani kuliko kupigana?
@kwisa48992 жыл бұрын
Nimekupenda sana kaka unajua vizuri Historia u smart
@HansonBaliruno11 жыл бұрын
Am a Ugandan i had not understood what was going on but now i do !! TZ is a nation like Rwanda !! i swear to God you cant stay illigaly in Rwanda like that !! Rwanda shld understand TZ and TZ understand Rwandies too, we are all East Africans !! i think the Union as 1 Nation E A shld start from there we need each other
@hafidhbakari8109Ай бұрын
Moja ya speech ambayo hata nikilala huw inanijia ndoton kwa7b naipenda na imekuw ringtone yang "cyo kwamba sisikii au cyo kwamba siambiw au sion matuc na kejel ynayosemwa dhid yang kutoka kwa viongoz wa rwanda cjafanya hvyo kwa7b sion faida yake" dah ni busara ya kiwango cha kilele cha mlima wa kilimanjaro mana jk alikuw anashaur tu ndo ikaw chanzo cha shida zote kama ungekuw ww na nguvu unazo alaf mtu mdg anakuletea dharau ungekuw wa kwanza kuonyesha nguvu zako lkn ni busara iliyoje kutoka kwa rais wang wa muda wote watapita maraic wote lkn kwa busara zake nabak na jk
@kevinpelomgeni14452 жыл бұрын
Maneno haya ni yalazima sana, Rwanda ni nchi yenye fujo xaaana tu. Sisi wa Congo, nchi kama Rwanda inatusimbua mno.
@stephenmabiba8 жыл бұрын
rwanda 😅 a lito country tht z equal to one city of among 28 cities in Tanzania.. Rwanda is Lucky we had a good diplomatic president or else we would crash that Rwanda Region with only 20 Soldiers... 😬😠
The president is responding to the insults and provocations from Rwandese president and leadership on his suggestions for Rwandese to have a peace talk with the rebels. His point is sustainable peace is achieved through peace talk and reconciliations like what happened in Rwandese government when they were rebels, Mandela's peace and reconciliation, Palestine & Israel peace talks and many more!
@stevenjackson15826 жыл бұрын
Mweshimiwa rais mstaafu jk hakuna kazi kubwa uliyoifanya ktk inchi yetu kama kulipitisha hili jambo kwa usalama mungu akujaalie afya njema
@ebisalum88286 жыл бұрын
Steven Jackson kwa hivyo unamaanisha kaz zote zingine alizofanya ni ndogo ambazo hata wew unaweza kuzifanya? Unatiwa wew
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Lakini mzee hapo nilikuona shujaa wetu. Huwa nikikumbuka Rwanda ilichotaka kufanya sio kitu kizuri maamuzi uliyoyachukua kipindi kile unafaa kupewa tuzo ya Amani. Rwanda alituchokoza sanaaa. Hapo ndipo ninapokupenda hata mtu akikuongelea vibaya naumia sana. Hongera sana mzee
@AFRICA_D6693 ай бұрын
😁😂😂😂😂kitu ambacho hukijui nikwamba kagame sio muongeaj sana ila nimkorofi balaa ndo walivyo hao watu wabinafsi mno, kwahyo kwenye mkutano hakuongea chochote kama haikumgusa vile kumbe kakuweka kipolo 😂😂😂
@josephgomalo4111 жыл бұрын
Hate for truth is what drove the assassinations, both inside Rwanda and outside Rwanda of former RPF millitary officials (eg Rwigema) and failed assassination of Gen Kayumba in SA; as well as jail terms for Kagame's political opponents (Ingabire) and many. Genocide perpetrators have been convicted are still being brought to justice in Arusha. Despite Tanzania's commitment. It seems it isnt enough for power hungry Kagame;
@nyotanjema41096 жыл бұрын
Makubwa ht kuelekezwa pia dhambi.pole mh. kikwete mungu atustiri daima na mabaya ameen
@oscarkasalile83704 жыл бұрын
Mzee unabusara sana, kweli Rwanda walituchokoza, na mpaka kipindi hiki cha magufuli wanatutafuta wanasema tunakorona ila tumwachie mungu maana nchi ya Rwanda sawa na mkoa wa mwanza, lakini watakuja juta
@monica-eb7nr11 жыл бұрын
achana na hao wanya Rwanda bb wamezowea kuuwa tu ndozao vicha vyao vimezowea kumwanga damu.wanauwa ndugu zao sembuse watanzania.wanataka kuingiza inchi yenu kwenyevita kama wao wanavyochinjana bila kuwa na busala.
@nyembomajidi30272 жыл бұрын
sio raia ni waongozi wa Rwanda sijui huwa wanafikiri hakuna kifo tazama leo congo namna wanaovuruga tena maskini wacongo wenyewe wabwege sio wazalendo wanakufa kila siku
@mdabwaaissa49203 жыл бұрын
Asalam aleykum mungu akupe UMRI MREFU wenye amani ameen
@goodlucktalami31636 жыл бұрын
baba wewe umekomaa wewe ni diplomatic I really adore you u. hivi huewezi kurudia kugombea tena?
@mosesndahani89126 жыл бұрын
Sauti ya kuvutia nguvu ya upendo halisi, tunakuombea
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Sauti ya upendo au sauti kulialia
@fransiscotsii2671 Жыл бұрын
Lakini pia hatuyapuuziiii very intelligent president we have ever havee
@aleezgene45728 жыл бұрын
y0ur Tanzanian real calm bt if he needs s0, he must ask Uganda
Tanzania doesnt have to rephrase/apologize shit to Rwanda. Support for Rwandan genocide was clearly displayed by RPF by letting it happen to gain international support for power grabbing even when they had ability to prevent it. Besides Tanzania suffered financially and environmentally when caring for Rwandans who fled. Tanzania therefore has every right to tell it the way it is without micing words; as it desires to see peace prevailing in neighbouring countries.
@BrayMush9 ай бұрын
Nakupenda rais mungo akupe Maisha marefu
@kamanziwilliam32127 ай бұрын
Hapo sawa, lakini acha usengenyi.
@rodricklamar934910 жыл бұрын
Haha sounds like a Kiswahili teacher..Kenya
@Roho_ya_Utu Жыл бұрын
Huyu ndie mwanaume sasa! Kagame analopokwa kama mjinga!😂
@AFRICA_D6693 ай бұрын
Ka kagame nikakorofi mno 😂😂 kalikaa kmy kwenye kikao ila kakamuweka kipolo
@danielbrazius34694 жыл бұрын
Huwa nafikiri busara za Mzee kikwete natamani kuwa kama Yeye Ila si kwamba hawezi kuongea au kufanya kitu Rwanda wamuulize jirani Yao Iddi Amin Dada ambaye alikuwa akijifanya ubabe
@josephgomalo4111 жыл бұрын
He plotted and assassinated Habyarimana even when the later agreed on a peace process! Tanzania also hosted those talks! The current outburst by Kagame reflects the 1996 - walk out from the Burundi Peace Conference hosted by Mandela in Arusha; Buyoya and Kagame walked out of the meeting and it took a tough statement from Madiba that accused Buyoya of prolonging chaos for political benefit to bring them back into the peace process!
@alfonsnshenyera97856 жыл бұрын
I like it baba wewe Buna kosa ulifanya lililokupasa
@petersynto2043 Жыл бұрын
Una busara sana wewe jamaa mpaka roho imeniuma pole sana rais wangu 🙏 ni kweli wanalolao sio bure
@lawsofsucces57847 жыл бұрын
Kirwanda ni kinchi kidogo sana ni kama mkoa mmoja wa Tanzania
@kigwisimulindwaclemo85417 жыл бұрын
laws of Succes kwa hio?
@lawsofsucces57847 жыл бұрын
+Kigwisi Mulindwa Clemo Kagame angekaa akatuliza kipele badala ya kuleta kimbelembele angeongoza nchi yake na sisi akatuacha na nchi yetu
@lawsofsucces57847 жыл бұрын
Hii ni kwa sababu tu raisi wetu aliyepita raisi kikwete alikuwa mpole angekuwa raisi wa sasa raisi Magufuli au raisi Mkapa tungekipiga vibaya sana Kinchi cha Rwanda. Raisi Kagame kwanza alikuwa muasi aliyetokea msituni ndo akaja kutawala Rwanda. aombe Mungu sana Kikwete alikuwa mpole asiyependa fujo. atuchokoze tena kipindi hiki cha Magufuli aone balaa lake
@julessebintu65253 жыл бұрын
@@lawsofsucces5784 Tanzanie hamuwezi kupiga inkotanyi. biko bora kubazidi
@swaburyrwamlaza14797 жыл бұрын
Allah yupo karbu nawe my President jk
@josephgomalo4111 жыл бұрын
Mbweko wa mbwa koko isnt a big deal Major; ni kutapatapa kwa mfa maji tu; Kagame knows how much of a fraudster he is. The fact that he now fights the very comrades who fought along side him easily explains the nature of the man. Jamaa anaona ghosts all around him! And he rejects the only way which might put the past to rest similar to the Reconciliation that took place in South Africa that helped a transition without a civil turmoil despite global anticipation of the same!
@kelvingipson36837 жыл бұрын
icho kikagame akina akili timamu
@geofreynyigo-qy1hu Жыл бұрын
Akili nyingi saaana Mzee Kukwete
@RiseKesegeda-y7y5 ай бұрын
Tanzania tumekua wanyonge sana ndio maana tunaonewa
@nologomimi685311 жыл бұрын
Ila wanahabari wetu wa Tanzania wamelala iweje tupate Hotuba hii muhimu ya Mhe. Raisi kupitia mwandishi wa nchi nyingine? What going on Watanzania na habari, mbona kila saa tunakuwa nyuma! USINGIZI utaturudisha nyuma. Tuamke Jamani.
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
😊
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
Ok
@yusuphjilala846 Жыл бұрын
Kagame asijidanganye kuwa Tanzania nisawana Kongo!,awaulize Uganda enzi za idd amini,ajiangalie asije akaishi uhamishoni kwa shidaaa,TZinaviongoziwaliolelewakwamaadilindio maanaJk akamjibu kwa "busara"
@josephkangakolomasandi362811 жыл бұрын
Punching cannot always solve out issues and problems.I think that president Kikwete is right,Kagame came into power with a coup d'Etat whereas Kikwete has been elected.It's true that those people have committed genocide in 1994,now who shot down the Habyarimana plane?I think both Kagame and Fdlr have blood on their hands,the Fdlr is no longer a threat for the Kagame regime...he should accept them by the fact that they're all Rwandese
@Chocolat240411 жыл бұрын
I think Tanzanians are very good people but their leaders are so ignorant...What Tanzanians need is a revolution...Look how other countries are moving forward and yet Tz is being held back by the leaders...Think about it
@hamisihussein98519 жыл бұрын
Rwanda Presider anatakiwa awe na utu,na a jifunze human rights,na awe wise men, not badwiser
@sylvesterdaud30187 жыл бұрын
ukosawa rais wetu naunaonyesha jinsigan unabusara, tukopamoja na wewe kwalolote lile.
@burundishallsmile1day1094 жыл бұрын
✊🏾🇧🇮
@Caroline.17276 ай бұрын
Enda pana shauri kwa shisekedi na nsayishimiye ni waho wiko na ma tusi mabaya ,kagame ana education hautukane mutu
@petermwanyondo53703 жыл бұрын
Ila wemzee Allah akujalie xana unahekima mno
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
Mmmmm
@bompetibayenga1281 Жыл бұрын
Rwanda Ni Inchi ya Laana, Kwanini Wako Na Shida Na Majirani Wote????? Congo, Uganda, Tanzania, Burundi Kwanini Waoo Tu???????????
@stephanieuwase622511 жыл бұрын
mind ur business, Rwandans will sort out theirs, anda put down our president, we didn't call u to help electing him so yenu yamewashinda mnaanza kubung'aa even 1 time Rwanda will not seat and negociate with those monsters. remember that civilian of rwanda haven't sent u to speak on behalf
@tanzania25596 жыл бұрын
stephanie uwase 😂 Rwandaise people
@Caroline.17276 ай бұрын
Julias nyerere na Nandela walikuwa watu wazuri alakini ,wewe umengiya sana hauoni ,sasa unaenda congo kufanya nini ,ni kwajuu hauyuwe history ya Family ya 23 alakini ni wa tusi hauwapendi ,ile ni ongo Wewe Na ndayishimiye hamupendi wa tusi
@zahorsalum4976 Жыл бұрын
Ruanda asichezee nchi yetu tunaipe da sn .natunaumoja .wakutoshaa ht mtt atabeba silaha .tutaichukua yote Ruanda iwe Tz
@King_Of_Everything9 ай бұрын
👊👍✌️。
@thetreasure22306 жыл бұрын
JK is a leader.
@elfacechongera66485 жыл бұрын
Mr president Jakaya kikwete.
@yamashidasato68015 жыл бұрын
kagame ni mbwa ...usipomchapa mbwa atakuuma !
@bompetibayenga1281 Жыл бұрын
Wanyarwanda Niwa Nyama Saana
@INNOCENTNGIRABATWARE11 жыл бұрын
Unadanganya sana kama unataka uhusiano kwa nini una support wahalifu
mr president kikwete is very right, to me i support what he say, and actually president kagame is benefiting with the resources of congo sth which is not good and no wonder he provide the weapons to m23 rebel to defend his wellfares in drc,and i think both of them they cooperate together with ugandan......
@kasendelukadi2047 Жыл бұрын
Kagame anapenda umushauri avamiye congo pale ungeli kuwa rafiki mwema mjinga sana kagame hana adabu kabisa yeye congo amepewa zawadi nawa nani?
@Euph5911 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais JK umesema kweli yote nasi tunakuunga mkono na tunakutia moyo uwe na msimamo huohuo. Jambo kubwa ulilosisitiza na nililoondoka nalo katika hotuba hii nzuri ni kuwa "Yanayosemwa hatutaki kuya amini ila hatuta yapuuza". Na baada ya Rais kusema hayo yote basi nasi wa TZ tunaomba tusiongeze neno tena!
@eldabuberwa14176 жыл бұрын
Nsanya Ndanshau Rwanda na wanyarwanda ni watoto wa Tz kwa kujifaragua kwa viongozi wao ni ishara ya kuona kuwa serikali yao inaanza kutiliwa mashaka na wananchi na wanajua fika mwenye karata ya turufu kuhusu kubaki kwao madarakani ama kutoka ni Tz waache kutaka kuogelea maji ya kina kirefu wakati uwezo hawana. kaa chini na waasi muelewane kwani hiyo ndo style yenu kupinduana kimtindo
@ilungasalle11 жыл бұрын
he who has ears let him hear huyu ni kiongozi muungwana tena amesema hatuyapuuzi ikiwa na maana..................... mimi binafsi sijaona kosa hapo
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
Ipo siku Amani itatoweka kutokana na rushwa, kwan palipo na njaa Amani haitodumu miliziele, serikali si serkali , serkali wizi mtupu. Nchi ya Tanzania ilishauzwa kwa mikata ya ajabu ya rais mstaafu Mkapa na Kikwete, hao wapo Tanzania kimasilahi , viongozi wa Tanzania ni viongozi rushwa. Wanaingia serikalin kwajil ya kuibia nchi na wananchi.
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
umetoa wapi pumba zako hizi?
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
Unasemaje ww mjinga, mm mtusi sijui ww wa wap? Una kaa nyagwa? Kama hutambui ilo ama hufaham ama huon ilo ndan ya Tz ww ni TONTO! Hata vipofu wanajua coz ndo hali wanayoish!
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
Iyo njaa unayoiongelea wewe ipo wapi? au hushawahi sikia misaada ya chakula inaletwa Tz kwa ajili ya wazawa? Tz tuna lima nafaka afrika mashariki yote tunailisha hatuna ukame wala rift valley ni miaka kumi sasa. Mashirika ya kimataifa yanaleta chakula kwa ajili ya ndugu zenu nnaowauwa kila siku na kuwakimbiza huko kwenu kwa chuki tu na mipua yenu mirefu
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
Ninaposema njaa simahanish ukame! Namahanisha kuna watu hapo ndan ya Dar wanakula mlo mmoja mpaka miwil kwa siku na hawapat mlo kamili! Ingia Manzese, Mburahat na mwananyamara huone familia zinavyoteseka na kulala njaa coz hakuna pesa ya kula, hawana kazi!
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
sasa hiyo unayoiongelea wewe cyo njaa, njaa ni hali ya kukosa chakula kabisa hata kama unahela yako mkononi unakosa mahitaji muhimu kama chakula malazi au makazi kama ilivyo rwanda, burundi au central africa, ukiongelea secta binafsi hata US kunawatu wanamlo mmoja tu na hawana makizi binafsi
@Chocolat240411 жыл бұрын
I think you are from Burundi based on your lamguage...Smarten up
@Caroline.17276 ай бұрын
Ebda uko ,iyo umedangqnya bineonekana haupendi rwanda ,umeaema maneno mabaya tushirikiyane na watu waliuwa watu 1milioni FDRL imeuwa ,ayo maneno simazuru
@idrisskhalifa38556 жыл бұрын
The real president in Africa
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
he represents the real Tanzanian behavior (culture)
@kamanziwilliam32127 ай бұрын
Ushauli na waliofanya mauwaji ya kimbali kwetu Rwanda hayawezikani, nikuwapa hadhi wasioifa.
@nelsonpeter21122 жыл бұрын
Angekua mwamba Magufuli hiiii
@theemperor8229 Жыл бұрын
Rwanda ingeshachafuka mapema sana
@majorkazimoto145211 жыл бұрын
He suggested an approach that i 100% agree with my problem is he should have the balls to stand by his statement. For him to go around apologizing and begging dictators like Museveni who we educated with zero credibility to run our international affairs is pathetic and dangerous. His weakness infront of the international community is jeopardizing Tanzanias national security. Say what you mean and mean what you say otherwise keep your mouth closed
@INNOCENTNGIRABATWARE11 жыл бұрын
Wewe watu wameua watu ukiwa pale,hukusema kitu chochote sasa unajigeuza msemaji wa wahalifu
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
wewe ni bishop wa kuzimu?
@emmanuelmasangula647611 жыл бұрын
president kagame his thinking capacity is zero degree the end is coming much less rwand development is due to sabotage i hate this thin noise
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
kuliko kuendelea kuwachukia hao wenye pua nyembamba, kama kijana tafuta njia ya majadiliano ya amani ili uwasaidie nduguzako walioko Nyarugusu camp warudi nyumbani
@stephentossi26262 жыл бұрын
Ni maneno yenye hekima na busara hii ndiyo desturi yetu Watanzania
@jaydenbanga7 ай бұрын
asaiv wamerudia tena rwanda tumsikilizie mama anasemaje
@danielbrazius34693 жыл бұрын
Mzee mwenye busara na hekima huwa napenda kusukiliza sana unacho ongea kinanijenga hususa ni ni hii vidéo huwa napenda kuirudia
@zachariakazingo68268 жыл бұрын
u tube is good
@barakamathew86565 жыл бұрын
watusi wana visasi sana ndio maana, hakukujibu ukweli ulimuuma mheshimiwa.
@marysangula99745 жыл бұрын
Kwa kweli. Rais wetu mstaafu wewe ni baba na unaroho ya ubaba. Tunakupenda Sanaa . Mungu akutunze na kukulinda
@teyhar11 жыл бұрын
Can anyone please translate what Kikwete said?
@pastorstevenmdoe51435 жыл бұрын
Hivi sasa ndio maswahiba wetu wakubwa.
@uwayomisago56942 жыл бұрын
Acha ujinga wewe watanzania wanafiki sana Kama hao wenye unasema wakae na serikali ya RWANDA waongee Kama wajua walichofanya RWANDA hugewaunga mkono
@FredAngelsMusika11 жыл бұрын
Tusiwalaumu waandishi wa habari. We angalia serikali inavyowanyanyasa na kuwatesa, nani ataipenda? Issue ya mwandishi wa habari Mwangosi; waliomuua wanapandishwa cheo, angalia tena issue ya Absalom Kibanda; What do you think!?
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
Tanzania chafu sana, rushwa na wizi wafanyakaz wa serkal
@nologomimi685311 жыл бұрын
Can I put translation if u dont mind?
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
Nipewe mm urahis kwa muda wa miaka 5 tu! Mtaona Tanzania itakua wap hata jina twaweza badilsha, kiongoz yoyote mla rushwa ataenda Jela, tra, uhamiaj, tanesco, elimu nk watafurah
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
peleka roho yako yakitusi hukohuko kwenu!!
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
Roho ya kitusi !!! Wajinga ndo mliwao, wengi wenu ni wasindikizaji.... African, poor african angalien wa kenya! Kenyata yupo US ameitwa na Trump, sasaiv watakua na ndege toka kenyata direct to New York, tanzania wao eti Dar to Entebe, dar to entebe for what? Who gona travel?
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
kila mtu anaupande wake siyo lazima tuwe wazuri katika kila kitu, kenya wanafanya jitihada maana shirika limefanya kazi wa hasara takribani miaka mitano sasa hongera kwake
@gaganog729911 жыл бұрын
jamani sisi ni wajirani jamani ,,,naomba tu ieleweke fdrl interahamwe ni wauaji na kama wapo ambao hawakuuwa warudi nyumbani kwao kuna amani ,,kile kikundi sio cha siasa
@yamashidasato68015 жыл бұрын
wewe ni pumbafu
@makamboalimasi72972 жыл бұрын
Makavu live
@ngenzijules388511 жыл бұрын
Probably you need to define what is an apology. When Kagame talking of Kikwete and Tanzania, he wasn t apologetic. HHe was terse, angry and ready for a fight. Kikwete, is of low demeanor, apologetic and very very conciliatory. For sure, not as a man ready to punch if things go wrong
@shakurkimboka46216 жыл бұрын
war is not our way(we Tanzania's), in matter fact that was not our problem at all..if u want problem with us come take our land or send ur mercenaries M23 shits or