Amen mtumishi wa MUNGU Nabarikiwa sana na mahubiri yako, MUNGU akuinue zaidi Tunakukaribisha South Africa utupe na kutufundisha neno la MUNGU Amen
@GhamalukuSalma3 күн бұрын
I'm abealiver God bless you
@MaryMugo-s9bАй бұрын
Mtumishi wa mungu barikiwa
@chaluuzamichael4361Ай бұрын
Mtumishi mwema,ubarikiwe kwa kuhubiri ukweli wa Neno. Uko vizuri roho ya Mungu Yuko nawe!
@agnestunu55274 ай бұрын
JAMAN NINGEPATA NEEMA NNGEKUALIKA KENYA UPELEKE HUU HUJUMBE LAKIN NI MTUMISHI GAN ATAKAWEZA KUNISKLIZA NKIONGEA NA YY WA KENYA UPELEKE ..HUU UJUMBE NI HADIMU SANA KENYA WANAUBIRI JUU JUU TU
@damarisnyaata4 ай бұрын
Amen Amen Dadangu tufanye jambo kwa kumwalika mtumishi wa Mungu kenya kwetu, please
@damarisnyaata4 ай бұрын
Waka kesho mwezi gani pastor niko kenya naomba niwe kw neema
@agnestunu55274 ай бұрын
@@damarisnyaata mm saii nko saudia arabia ndio nilikuwa nasema ningepata mchungaji kenya tupange huyu mtumishi aende kupeleka hii injili uko huyu ni wa kipekee sana kwa majira na nyakati hizi
@magrethmkemwa92874 ай бұрын
Mungu Unisaidie,Tutpataje kupona Tusipoujali Wokovu YesuAmeleta in
@Christopher-l1l2r4 ай бұрын
Yeah ni mahubiri ya matoleo peke yake😢
@ZachariaAyo-n2rАй бұрын
Mafundisho mazuri sana
@fulgencebagomwa50004 ай бұрын
Mtumishi wa Bwana barikiwa sana
@agnestunu55274 ай бұрын
BABA NIPO HAPA SAUDI ARABIA NAJIANDAA VILIVYO KWA UJIO WA BWANA YESU ..NABARIKIWA SANA
@lusubisyokyomo31514 ай бұрын
Pamba Mungu akubariki kwa jina la yesu
@SelentinoFrank4 ай бұрын
Agne mzm dada
@agnestunu55274 ай бұрын
@@SelentinoFrank mm mzima
@SelentinoFrank4 ай бұрын
@@agnestunu5527 mzm VP Hali yako ndgu yngu
@isharaMathumo-em8dx3 ай бұрын
Mungu atusaidie, neema yake iwejuuyetuuu
@EliyaKhombe3 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumishi kwa Injili ya kweli
@AbelyNtandu4 ай бұрын
AMEN AMEN MTUMISHI UBARIKIWE SANA
@BonifaceDavid-g3n4 ай бұрын
Ameem mtumishi wa Mungu
@EuniceShane4 ай бұрын
Uyu ndyo poster mzuri kwasababu ana hubiri Habari ya yesu...lakn wengine kazi yao ni kuhubiria wa2 kupata pesa nying na magari...God bless you poster mungu akupe nguvu nyingi
@AhimidiweJoseph4 ай бұрын
E Yesu utulehemu sisi wenye zambi usituache kwenye ujio wako
@lameckmnanka93303 ай бұрын
Ubalikiwe Baba yetu munzuli mungu akutunze akupe maisha malefu
@dorotheabadili45264 ай бұрын
Mungu atusaidie
@juliethasimbili87494 ай бұрын
Kwa mahubiri haya !tuendelee kujitakasa!
@watchnew76484 ай бұрын
YESU KRISTO AKUBARIKI
@cmoshi70144 ай бұрын
BARIKIWA SANA BABA
@TumpeNdondole3 ай бұрын
❤❤❤❤Amina pastor nabarikiwa
@KingKing-d2t4 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako
@vedastusmwilafi49224 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@janedavid14284 ай бұрын
Following from Nairobi Kenya
@TobyShayo4 ай бұрын
Mtumishi yesu kristo atuokoee
@MariJosee-um7oe4 ай бұрын
Amen amen amen
@Injiradennis3 ай бұрын
Amen am blessed pst may good God increase in you
@basilisamsaka84693 ай бұрын
Baba naomba no natamani nije kongamano la wanawake mwakani namwamini Mungu
@marylucy14554 ай бұрын
Haleluya barikiwa baba.
@NeemaHamissi4 ай бұрын
Nilikuwa nasubiria kwa hamu
@ToloAbasi3 ай бұрын
Mtumishi Sina uwezo wa kukualika ila Mungu akiridhia njoo Zanzibar utupe dawa Na pia nina mashaka na zehebu Langu la katoliki.Nabarikiwa sana.
Neno limepandwa tayari hapa sasa ni udongo upi ambao umepokea ili lifanye kazi
@angeliquekalenga51314 ай бұрын
Amen
@bishopanastarsonlinetv79484 ай бұрын
🎉Aise mbona kama darasa wamefundishwa Jambo ambalo hawajawahi kusikia😂😂 Yaani wamechachanganyikiwa hawako active kabisa! MUNGU akutie nguvu mwalimu daa!
@HappinessMwambapa3 ай бұрын
Jamani nimekukosa Mtumishi sikujua kumbe ulikua apa mbeya mjini????
Namshukuru MUNGU kwasababu mtumishi na jumbe za kweli,aliye tumwa na MUNGU.Mimi mwenyewe nilisoma kwa bidii kidunia.Uvimbe akilini,nikayasau.Sasa napokea NENO la MUNGU,nisije nikaangamia.
@rebeccarobert83194 ай бұрын
Nakataaaaa ctaenda vatikan bora niende huko jerusalem hata kama kuna vita bora nikafie huko kuliko kwenda vatikani na Mungu anisaidie
@josephservicechannel27344 ай бұрын
Hello mtumwa wa Yesu shikamoo nakufatilia sana kwa mafundisho yako hasa hili la kuja kwa Yesu ..naomba kujua hawa watu waluotajwa katika 2timotheyo 3:8
@JumaMohamed-y3c4 ай бұрын
Editer uwe unatoa visivyo na ujuumbe asifiwe yesu
@stevenstationary4 ай бұрын
Mfano
@MUHINDOKIHESISAMUEL4 ай бұрын
Tafazali, hata kwa siri munitajie zile inji 9 tu, zilizo ikubali Israeli. Kwau ile mukutano ambao Tanzanie nayo ilikataa Israeli kama inji nyingi zingi.