Mama Raya uwe muangalifu na mikono yako maana tunaona mapambo yako
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Shukran ukti nauliza ikiwa upewa talaka na uko Saudi Arabia kazini utafanyaje maana huku hatukutani na wanaume kimwili lakini twakutana kikazi Yani tunafanya kazi wake kwa waume hiyo Eda haitakya na tatizo
@abdallahmashaka34439 ай бұрын
Kivip ukhti fatma ramadhani swali lako haliko wazi fungua vizur
@abdallahmashaka34439 ай бұрын
Sijaelew
@mizamiza62234 жыл бұрын
MASHAALLAH jazakaAllah lkheir
@MwanakherMussa9 ай бұрын
naomba kujua mwanamke mweny eda ya kufiwa anatakiwa afanye nn na vitu gani asifanye
@fatumjumaa55634 жыл бұрын
Mashaallah mungu awaongoze muzidi kutufahamisha
@sheikhmungia86454 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@ashasudi88024 жыл бұрын
Shukran mama Raya kweli kabisa unayosema,Allah akuhifadhi insha Allah
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Amiin ya Rabby
@mwanaashamrima21414 жыл бұрын
Mashaallha
@rehemasalim45904 жыл бұрын
Mashallah
@fatmasaid70934 жыл бұрын
MashaAllah 💓💓💓
@adamyassinmaisha543610 ай бұрын
Asalaam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh Kuna kitu ukhti alisema sikuelewa naomba msada alipo ulizwa kuhusu kazi za ndani alijibu kuwa ni za mme wanawake wanafany tu ihsani. Nataka kujua zaidi maana ninavyozoea nilikuw najua eti kaz za ndani ni za mke
@osamashakeeb71944 жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤
@sheikhmungia86454 жыл бұрын
Aaaaamin thumma aaaaamin
@husseinhamisi52742 жыл бұрын
Assalaaam aleykum ningependa kufahamishwa ya kwamba eda ya kuacha kwa talaka 2 au 1 huwa inachukua muda gani mpaka kurejeana
@fatumamnyenze96962 жыл бұрын
Mama Ray mm mume wangu aliniacha akasafiri miaka mitatu alafu hajakuja akaniacha naruhusika kukaa eddah ameniacha na talaka mbili na sai yuwataka kuja kuniowa tena
@ZainabZainab-tv9ir4 жыл бұрын
Shukran
@sheikhmungia86454 жыл бұрын
Aaaaamin
@ShadyaAbdo-hb3zd11 ай бұрын
Assalamu aleikum mwenye eda ya kufiliwa afaa kkukata kucha
@starneshyinter19272 жыл бұрын
Binadamu ninkurekebisha Kwa kuambiza,, anapokuwa hayupo swa ilikufanya ibada, naomba nawewe ustiri manake twaona zaidi ya viganja vyako.. jisitiri Hadi kwenye shingo ya kiganja
@fatmasaid70934 жыл бұрын
Assalamu alaikum warhatullahi wabarakaatuh samahani mm sikuelewa hapa kwa eda yakuachwa yani ina means kama hedhi yangu ni siku 5 nihisabu ikifika tatu basi ama vipi naomba kueleweshwa please 🙏🙏
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Yani tarehe 24 mwezi wa Kwanza ,24 mwezi wa pili na 24 mwezi wa tatu na 24 mwezi wa nne umaliza Eda yako