Ukifanya Haya Kila Asubuhi Utafanikiwa/ Umuhimu Wa Kuamka Alfajiri / Sheikh Walid Alhad / Darsa 2021

  Рет қаралды 311,952

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Ukifanya Haya Kila Asubuhi Utafanikiwa/ Umuhimu Wa Kuamka Alfajiri / Sheikh Walid Alhad / Darsa 2021
Mashaa Allah sheikh Walid Alhad Omar akielezea kwa uzur na ubora wa hali ya juu kabisa juu ya umuhimu wa kuamka Alfajiri na ukifanya haya kila asubuhi utafanikiwa tizama video mpaka mwisho usisahau kushare
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks

Пікірлер: 216
@SalmaAlrawhai
@SalmaAlrawhai 13 күн бұрын
MA SHA ALLAH JAZAKA ALLAH KHAYTAN SHEKHE WALEED JAMANI MWENYE KUJUA NAMBA ZAKE TUNA MASWALI TWATAKA UULIZA
@abdulgawyiseif383
@abdulgawyiseif383 3 жыл бұрын
Sheikh Walid hatuna cha Kukulipa ila Allah atakulipa meme Dunian na Akhera In shaa Allah
@mohamedkhamis5859
@mohamedkhamis5859 11 ай бұрын
allah akupe umri mrefu shekh walid
@yusuphmpenja3288
@yusuphmpenja3288 2 жыл бұрын
Jazaka allahu kheir allah awafungulie milango ya pepo wazazi wako nawe pia
@fadhilaassey2340
@fadhilaassey2340 4 жыл бұрын
Mashaa Allah shehe nashukuru leo umeniongezea jambo ambalo nilikuwa silijui ni hizo adhikar alhamdulillah Allah akuzidishie elim tupate kujifunza
@ZaituniHassan-d4e
@ZaituniHassan-d4e Жыл бұрын
Ma Shaa Allah...Mafunzo mzri..tumeilmika... Alhaamdulillah
@KABURAyusufu-wj4fq
@KABURAyusufu-wj4fq Жыл бұрын
Allah akulinde sana sana nasi Burundi tunakufatiya sana shekh akupe afya duniyani na akhera Inshallah
@sarakuchanda9605
@sarakuchanda9605 4 жыл бұрын
MashaAllah shukran Sheikh Allah akuhifadh kwa kutuelemisha
@A.S.H_Tv
@A.S.H_Tv 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah Sheikh Allah akuhifadhi inshaAllah
@omarinjiwa3945
@omarinjiwa3945 3 жыл бұрын
Darasa zuri shekh kwa kweli unaelimisha inshallah m/mungu akudumishe ktk hilo na akupe umri mrefu
@mariamkhamisi9357
@mariamkhamisi9357 Жыл бұрын
A, alaykumu shehe walidi napataje namba yako kunakitu nataka unifanyie
@mariammohammed9198
@mariammohammed9198 Жыл бұрын
MashaaAllah MashaaAllah xhekh wetu Allah akupe umri wenye baraka na uendelee kutuelimixha
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 Жыл бұрын
allah akujalie inshaallah walagh nimejifunza kwako kitu kikubwa sana naona matokeo allah akulipe ishaalah
@hasanomar9747
@hasanomar9747 3 жыл бұрын
Mashallah kikubw kufanyia kazi
@bakariayoosuleiman7934
@bakariayoosuleiman7934 2 жыл бұрын
MASHALLAH shukuran shake kwa mafunzo bora AHLLAHAMDULILAH AHLLAH akupe uhai mrefu INSHAAHLLAH uzidi kutupa mafunzo INSHAAHLLAH
@sakinamohamedy7506
@sakinamohamedy7506 3 жыл бұрын
Mashaallah nishainasa apo Yahayyu yaqayuum
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 3 ай бұрын
Maan shaallah shekhe❤❤❤🎉🎉🎉
@YahyaNuru-v7d
@YahyaNuru-v7d Ай бұрын
Masha Allah tujtahid swala ya Alfajiri
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 3 жыл бұрын
Yaa hayu ya qayuum la ilaha ila anta ....
@rajabuhassan1932
@rajabuhassan1932 9 күн бұрын
Inshallah shekhe ila tatzo elimu shekhe
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 3 жыл бұрын
Shukran sheikh inshaAllah tutajihid Allah atazd kutufanyia wepes biidhnillah
@fareedatrash665
@fareedatrash665 4 жыл бұрын
sahihi akhui kipenzi changu sheikh wangu allah akulipe kwa kila jema
@abubakarijuma9149
@abubakarijuma9149 4 жыл бұрын
Barakallahu fiikum wajazaakumullahu khairan.
@mohamedkhateeb5098
@mohamedkhateeb5098 4 жыл бұрын
Ma Shaa Allah,Shukran Sheikh walid;Jazzakallahu khayra... Hivi hao watu wanao Dislike Mawaidha muhimu kama hayo sijuinyinyi hata niwatafsiri vipi ? Ni chuki ama ushaitwani?..Mwenyezi Mungu aziongoe nyoyo zao hawajui wayafanyayo.
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
yani mtihani sana ila ni kuomba mungu sana
@wardabaruani2828
@wardabaruani2828 2 жыл бұрын
Ameen
@othmanally1230
@othmanally1230 2 жыл бұрын
chuki na kibri tu
@hajigahimbare579
@hajigahimbare579 2 жыл бұрын
Sio kila Mtu Ni Kipofu wa Macho, wengine ni Vipofu wa akili. ALLAH AWAONGOZE
@hakasikazi9053
@hakasikazi9053 2 жыл бұрын
Makafiri hao
@adibumakame6911
@adibumakame6911 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah...mungu akulipe kheir na ziada zake.
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 3 жыл бұрын
Barak'Allahu fiiQ wa Jazzaka Allahu kheir
@ag3044
@ag3044 4 жыл бұрын
MashaAllah Allah akubariki
@shuwekhamassoud3004
@shuwekhamassoud3004 2 жыл бұрын
Shukrani sheikh tunaomba darsa hii izidi kuendelea kwani tunafaidika n mengi
@zubeda-le4xr
@zubeda-le4xr 3 жыл бұрын
Mashall mashall mashall ukovizuri sheikh
@AsyaJumaSuleiman
@AsyaJumaSuleiman Жыл бұрын
Ahsante sana shehe wetu tutajitahidi mawaidha yko tutayafanyia kazi
@msarama5406
@msarama5406 Жыл бұрын
Sheikh asiye na malumbano na wenzie yeye ni kufundisha tu Allah amuhifadhi
@DarsaTV.
@DarsaTV. Жыл бұрын
Amin
@techosman2000
@techosman2000 4 ай бұрын
Naamini kila ktu, ALLAH azidi kutuongoza INSHALLAH 🙏
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka Rahmani
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 4 жыл бұрын
Allah ibarek sheikh walid
@muhammadmagtuf714
@muhammadmagtuf714 Жыл бұрын
Jazaka allahu kheir sheikh ahsant ❤❤❤
@maliamhotimaliamhoti5302
@maliamhotimaliamhoti5302 4 жыл бұрын
Allah akujaze kher sheikh! Shukran kwa elmu
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 3 жыл бұрын
Shukran jazakallahu khayr..shaykh wetu kipenzi ...
@ramadhaniathumanimwimi
@ramadhaniathumanimwimi 23 күн бұрын
جزاك الله خيرا
@piliramadan875
@piliramadan875 2 жыл бұрын
Shukran ostadhi kwa maeaidha madhubuti
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@benadethayunus3797
@benadethayunus3797 Жыл бұрын
MAASHALLAH ALLAH BLESS U INSHAALLAH.
@hassanmwalim3221
@hassanmwalim3221 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah Ahsante
@ZubedaMaulid
@ZubedaMaulid 5 ай бұрын
MashaAllah Tabarakallah
@mohammedkaisar83
@mohammedkaisar83 Жыл бұрын
Allah atuwezeshe yarabi tufanikiwe kwa Neema hiii yarabi🤲🙏
@raziaramadhan4855
@raziaramadhan4855 2 жыл бұрын
Allah akupee Afya na akufanyie wepesi wa mambo yako. Shukuran jazillah.
@habibuabdallah795
@habibuabdallah795 Жыл бұрын
Y
@Rama_Mwaguya-254.
@Rama_Mwaguya-254. 2 жыл бұрын
Najifunza kila siku, alhamdhulilah.
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 9 ай бұрын
Jazakkallahul-kheir
@omaryfaki9440
@omaryfaki9440 2 жыл бұрын
Maashalah mwenyezi mungu akulinde Sheikhe na fitna za shetwani
@MuhannadRavahi
@MuhannadRavahi 9 ай бұрын
Shukuran mashallah nimejifunza
@WemaBuhanza
@WemaBuhanza Жыл бұрын
Tunashukuru sana kwamawaidha mazuri yanatulainisha nafsi
@furahasix
@furahasix Жыл бұрын
Asante sana kwa ukumbusho Mungu akulipe heri
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 2 жыл бұрын
Masha Allah kwa mafundisho mema. Allah SW akulipe Pepo Yafiridausi
@bundalahamza8902
@bundalahamza8902 4 жыл бұрын
MASHAALLAH...shukran
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 4 жыл бұрын
Maashallah, jazaakallah lkheir
@rehimasaleh6648
@rehimasaleh6648 2 жыл бұрын
Shuklan sana sheikh
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
Mashallah!! Alhamdulilah kwa ufundisho! Allah atakupa jazaa yako
@FatmaSalum-p8f
@FatmaSalum-p8f Жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi
@mirajingokaasalamalaikum8823
@mirajingokaasalamalaikum8823 3 жыл бұрын
Asalam alaikum mashaalah Allah akufanyie wepesi
@ashaomar9196
@ashaomar9196 2 жыл бұрын
Masha Allah mawaith nzuru
@gamblilekamau129
@gamblilekamau129 2 жыл бұрын
Asalaaam Alaikum warahmatulah naipenda mafunzo yako na hii programme naomba Allah akuzidishie ili tuifaham dini yetu
@maryamibrahim4039
@maryamibrahim4039 3 жыл бұрын
MashAllah
@fatumakalombo392
@fatumakalombo392 3 жыл бұрын
Jazaka lwah kheri
@ukhtyanasabintimalikimalik7188
@ukhtyanasabintimalikimalik7188 3 жыл бұрын
Sawa sheikhe waridi
@kudrahussein-ko8bm
@kudrahussein-ko8bm Жыл бұрын
Maashaallah mungu akujalie afya njema Shekhe wetu uzidi kutukumbusha
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Jazzakallah khaillah shehe
@moridohome4790
@moridohome4790 4 жыл бұрын
MashaaAllah shukran
@halimakihame1744
@halimakihame1744 4 жыл бұрын
Baraka llahu fiqi
@jarajara7859
@jarajara7859 2 жыл бұрын
Maashallah tabaraka Allah
@kuruthumkilongo7902
@kuruthumkilongo7902 3 жыл бұрын
Mashaallah shukran sheikh
@AwenaSuleiman-l5x
@AwenaSuleiman-l5x 3 ай бұрын
Yaa hayyu ya qayuom lailaha illah anta
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Shukran sheikh kwa ukumbusho Allah akubariki na akuhifadhi
@alainrama5740
@alainrama5740 Жыл бұрын
Bark'Allahu fikum sheikh
@mohamedcharming7432
@mohamedcharming7432 Жыл бұрын
Masha Allah maalim wng
@tumajunior6080
@tumajunior6080 4 жыл бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu ustadh walid naomba unisaidie dua nnamatatizo ya tumbo lajaa huwa naota nala chakula mara kwa mara kuna kitu km donge kwenye koo nikimeza larudi hapa kwenye moyo kila nikimeza tumbo lajaa naomba msaada wako 😭😭😭naswali swala zote bt nafuu nakufatilia sana huenda ukanisaidia
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Doh pole sana inshaallah tutamfikishia ustadh salaam
@tumajunior6080
@tumajunior6080 4 жыл бұрын
@@DarsaTV. inshaallah 🤲🤲🤲
@IMRANSTORIES136
@IMRANSTORIES136 3 жыл бұрын
Pole saana Allah atakufanyiya wepesi, nenda spitali upimwe.
@Hinduhamza
@Hinduhamza 4 ай бұрын
Pendelea kumswalia mtume sana poa swali sunna tul istiharaa laka mbili usiki alafu mwambie mungu shida zako kisha umuambie allah akuoneshe dawa basi utaletewa majibu kwenye ndoto
@ahmedrashed7138
@ahmedrashed7138 3 жыл бұрын
Shukran sana shekhe wangu
@aminashaib6956
@aminashaib6956 2 жыл бұрын
MashaAllah Allah barik
@shakiramohamedmohamed2043
@shakiramohamedmohamed2043 2 жыл бұрын
Shukurani shehe,
@nshimirimanadjamilla7270
@nshimirimanadjamilla7270 3 жыл бұрын
Shukran jazaakallahu khayra
@hawaori5003
@hawaori5003 2 жыл бұрын
Mashallah 🤲 Allah humabarik
@qessarmarsha-vy6hz
@qessarmarsha-vy6hz Жыл бұрын
Shukran shekh
@hadijaismail7873
@hadijaismail7873 2 жыл бұрын
Masha Allah God bless you shekh inshallah
@emmanuelmudachi6508
@emmanuelmudachi6508 Жыл бұрын
MashaAllah.
@rahemaissa9867
@rahemaissa9867 2 жыл бұрын
Shukran shekh Jazaaka llahu kheiry kwa Sote Amiin
@nasraismail5367
@nasraismail5367 Жыл бұрын
InshaAllah
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 жыл бұрын
Swallalah Allayhi Wasalam Jazzakumllah Khery
@fatimambaruku1833
@fatimambaruku1833 3 жыл бұрын
Tutajitahid Inshallah
@MuhannadRavahi
@MuhannadRavahi 9 ай бұрын
Mashallah nimejifunza shekhe Allah akulipe heri
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 3 жыл бұрын
Mashaallah Mungu akuhifadhi shekhe walid mawedha yako mazuri nafuwatiliya sana..kutoka Kenya khadija said Nahdi mld
@jarajara7859
@jarajara7859 2 жыл бұрын
Assalamu alykum warhma tuaallah wabrkatuh shukran shekhe mngu akupe wepesi
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 2 жыл бұрын
Shukran Kwa ukumbusho sheghe Allah Akuhifadhi
@jamaldinabubakary9507
@jamaldinabubakary9507 2 жыл бұрын
حياك الله يا مصوب قلوبنا الشيخ بن شيخ
@MwajabuHussein
@MwajabuHussein Жыл бұрын
Mashaallh
@hassanijuma886
@hassanijuma886 3 жыл бұрын
Naomba kuuliza darsa za sheikh zile za kuuliza maswali zinakuwaga lini
@Bosskubwah4501
@Bosskubwah4501 2 жыл бұрын
Sheikh Walid usituache na DARSA ZAKO zinatupa manufaa sana
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 9 ай бұрын
Ya hayu yakayum la ilah ilaanta
@kimproduct8259
@kimproduct8259 2 жыл бұрын
Shukuran Sana
@mwanashamasudi9265
@mwanashamasudi9265 Жыл бұрын
Mashaallah jazakallahu khair
@bombolanyaseleman6338
@bombolanyaseleman6338 2 жыл бұрын
Allahu Akbar
@swabirissashalli1355
@swabirissashalli1355 2 жыл бұрын
Allah Akuhifadhi
@setiseti5281
@setiseti5281 2 жыл бұрын
Shukrani
@millenniumoiltanzanialimit1265
@millenniumoiltanzanialimit1265 4 жыл бұрын
KAZI na rizki ni vitu viwili tofauti ...kwa kweli sheikh
@Fofo-511F
@Fofo-511F 2 жыл бұрын
Jizaalk allh kheyr
@calicabqaricalicabqari6598
@calicabqaricalicabqari6598 4 жыл бұрын
MASHAALAH
@Shakila-t3c
@Shakila-t3c Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Jazakallah kheir 🙏
@heyumi2340
@heyumi2340 4 жыл бұрын
maashaallah maashaallah
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 132 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
JE WAYAJUA MADHARA YA ZINAA...? By (Mwl. Dimoso)
10:13
Mulhim Tv
Рет қаралды 3,9 М.
ILI KUFAULU MAMBO YAKO UYAFANYE KUA SIRI // SHEIH OTHMAN MAALIM
43:30
arkas online tv
Рет қаралды 29 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН