No video

UKIOTA UNATEMBEA USINGIZINI | AU UNAMIGUU MINGI NINI MAANA YAKE? | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

  Рет қаралды 25,284

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Ulimwengu Wa Njozi
Ukiota unatembea nini maana yake.
#MasjidMtoroTv #Ulimwengu_Wanjozi

Пікірлер: 35
@zahiruhamisi4182
@zahiruhamisi4182 3 жыл бұрын
We nazngua sana na unatumalizia bado,badala ya kwenda kwenye point unaweka vionjo kibao mpaka unaharibu.
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
😃
@hawaramadhan6385
@hawaramadhan6385 3 жыл бұрын
😂😂😂😉😉
@bupejohn2926
@bupejohn2926 2 жыл бұрын
Isee anamaneno mengi sana, mpaka inakera
@fadhilaburuhani1774
@fadhilaburuhani1774 2 жыл бұрын
Yaani. Mungu atusamehe na atupe subila maana naona wengi wetu hatuna subila😄😄😄
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 3 ай бұрын
Sogeza clip mbele kama huwezi kusubiri, sheikh anatoa elimu pia!
@RajabuMwakasege-mc4pi
@RajabuMwakasege-mc4pi 11 ай бұрын
Bando limekuwaje ghali sana punguza vionjo hivo ,tunapendana kufatilia lkn vionjo vingi nenda kwenye point tujue
@user-hp6we4qt7h
@user-hp6we4qt7h 10 ай бұрын
Allah akupe heri na akuzindshiye ellm iNshaAllah nime jifuza mengi kupitiya chanell hi
@oman1oman179
@oman1oman179 4 ай бұрын
Amon,amin,amin,amin
@dab8859
@dab8859 3 жыл бұрын
A.alaykum shekhe mm nimeota natembea naogpa mna nliskia kwja polic ssa lkua naogpa ogpa alfu kwnye nyumba klkua n mtto w kiume anaeniangalia akiwa n mnyonge uyo mtto nmjua....alfu shekhe nkuulze N dhmbi gni ambyo ukiifnya mungu akusameh hta ukitubia
@user-hp6we4qt7h
@user-hp6we4qt7h 10 ай бұрын
Salam alaikum warahmatullahi wabarakatuh shee niliona jozi Niki Jenga bara bara
@tumainkaduma1864
@tumainkaduma1864 Жыл бұрын
Amin
@maryammarjan4015
@maryammarjan4015 2 жыл бұрын
mm naota sana hii ndoto
@mwahijahassani7965
@mwahijahassani7965 2 жыл бұрын
dah shekhe unaboa duh
@Angel-k8b8v
@Angel-k8b8v 20 күн бұрын
samahani naomba unitafsirie nimeota nipo na mtoto mdogo tunavuka barabara lakini tunasubiri magari yapite kila tukitaka kuvuka mara gari mala pikipiki
@TpPt-do5vg
@TpPt-do5vg 3 ай бұрын
Ila shehe unaongea Sana kuliko point punguza kidogo
@mwanamisihamisilibondo9541
@mwanamisihamisilibondo9541 2 жыл бұрын
Asalamu aleikum sheikh m sanasana napenda kuota namiliki mtoto au mama yangu anamtoto wakat m niko saudia kikaz na mamaangu ashamaliza kuzaa mwao wa mwisho anamiaka 14 lkn mara nyi namuotea ana mtoto ama anaujauzito maana ykr nini naomba unifafanulie sheikh wangu
@perusephares1239
@perusephares1239 2 жыл бұрын
Asalam alyko ukiota unatembea naukakutana nawatu wanajenga mkasalimiana ukaendelea mbele ukakutana nammewako kabebajiwe akaliweka nawew make ukaokota jiwe moja ukamuongeza nn maana yanjozi hiyo
@neemagauso1630
@neemagauso1630 4 жыл бұрын
Mi nimeota natembea
@zainabulove436
@zainabulove436 3 жыл бұрын
Uwe unafikia kwenye mada
@nkubzimanaabubukar5480
@nkubzimanaabubukar5480 3 жыл бұрын
Aslam alaykum ww. Mimi Niko askali. Nimeoto niko pomoja nakundi kubwa la jeshe nikawa naliomgoza. Nakusaidia wajeshi wangine nini maana yake?
@user-yi2jy6qc3w
@user-yi2jy6qc3w Жыл бұрын
samahani mfasiri wetu, naomba unipe maana ya kuota unatembea na mtu amevaa miwani myeusi, wewe unamfurahia ila yeye hakuchangamkii
@tumainkaduma1864
@tumainkaduma1864 Жыл бұрын
Kuota mpo wengi mnatembea kwenye bonde
@sahilyali7648
@sahilyali7648 4 жыл бұрын
Mm nimeota baba yangu amefariki
@marcocharles1360
@marcocharles1360 3 жыл бұрын
Sheikh nimeota natembea nikakuta kuku na kanga wana mayahi mengi Apo ndo nikaanza kuweweseka namna ya kuyachukua mayahi
@sabihajuma1558
@sabihajuma1558 3 жыл бұрын
Mi nimeota natembea baharini na maji yametoka kiac kisha kuna mlango naomba tafsri
@irenesimiyu6997
@irenesimiyu6997 3 жыл бұрын
Kuota unatembea alafu babarabara ikaisha nikiutazama chini nimbali ikabidi nirudi nyuma
@johariswai4753
@johariswai4753 3 жыл бұрын
Sheh naomb unitafsirie nimeot natembea nikafik mahali kitu kikanizuia inamaanish nn
@marthamessu7709
@marthamessu7709 3 жыл бұрын
pia naomba kujua nimeota nimelala lakini mume wangu akiinita sauti yake ikishilia shimoni akiniita inamaana gani shekhe na Yuko police
@alpq-sx6sr
@alpq-sx6sr Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe dada yangu simama imara uombeee bwana yako akuna kisichowezekana Kwa mungu
@froridaanthony3278
@froridaanthony3278 3 жыл бұрын
napenda kuku skiza lakini sikuelewagi nimeota matembea pemben mwa bara bara sasa unatafsili kidoga
@bupejohn2926
@bupejohn2926 2 жыл бұрын
Ata mimi uwa simuelewi ana maneno mengi sanaa
@marthamessu7709
@marthamessu7709 3 жыл бұрын
mm nimeota natembea lakini nikamuona mumewangu Yuko kwenye difendar km mfungwa
@user-yi2jy6qc3w
@user-yi2jy6qc3w Жыл бұрын
samahani mfasiri wetu, naomba unipe maana ya kuota unatembea na mtu amevaa miwani myeusi, wewe unamfurahia ila yeye hakuchangamkii
@johariswai4753
@johariswai4753 3 жыл бұрын
Sheh naomb unitafsirie nimeot natembea nikafik mahali kitu kikanizuia inamaanish nn
UKIOTA NDOTO YA MOTO KATIKA NJOZI YAKO | JIBASHIRIE HAYA | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
44:43
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,5 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
kumchunga  Allah katika matendo yetu
29:30
jamal siha
Рет қаралды 8
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 42 М.
Mallam Adam ibrahim akarami   /LITTAFIN TAUHIDI
1:24:27
NURULISLAM tv
Рет қаралды 15
WITO/KUITWA KATIKA NDOTO NA MAANA ZAKE PR/SHEIKH: JAFARI MTAVASSY (R.A)
30:36
NDOTO NYINGI NI ZAKWELI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:05:14
arkas online tv
Рет қаралды 29 М.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 106 М.
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН