We really need Mother Mary's help in Kenya right now. Mother Mary pray for us your children.
@josephinebiringanine71134 жыл бұрын
Namagogwa niponye Mama, kwa Jina la Mwanako Yesu, naye Roho mtakatifu haimarishe nguvu yangu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥 Mtuzi wa huu wimbo Bikira maria hakutetee siku yaukumu hakupe Neema ya kifo kizuri 🙏 hakukinge na hatari na mateso🙏
@stephenmtsalanu80814 жыл бұрын
Nyimbo za ustaarabu na za kudumu. Kenya tumebarikiwa sana na nyimbo hizi.Ubarikiwe mwalinu
@barnabasshemelelwa57304 жыл бұрын
Mungu awatunze waimbaji kwa kutambua umuhimu wa huyu Mama katika mpango wa Ukombozi, asanteni kwa kuimba kikatoliki. Mzee Mwarabu, nakuombea kila jema. Naomba watunzi na walimu muige huo mfano, mbaki wakatoliki, muimbe na kutunga kwa TAFAKARI.
@monicagabriel43884 жыл бұрын
Hongera mtunzi na waimbaji mungu awatunze daima.
@niclos Жыл бұрын
Ndakunda ako karirimbo k'Umuvyeyi Bikira Mariya From🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@rwm18855 ай бұрын
Absolutely beautiful. Calms my spirit, makes me meditative.
@juliuswanjohi27444 жыл бұрын
Loves the song. Na wameimba vizuri kabisa
@AmosBPeter4 жыл бұрын
Dah hapa namwangalia mpiga kinanda kinavyolia kwa hisia na kila saut kusikika pumzik kwa aman Mwl.Steve limila n pengo kubwa San ila ni yake Mungu ......hongeren wanakwaya wa BBM VITUKA pia barikiwa sana hazina ya kanisa katolik kupitia nyimbo za bikra maria Mwl. P.f mwarabu nyimbo zako ni za zinatufunza mengi
@elizabethmusyoka89715 жыл бұрын
Umsihi mwanao Yesu Maria, anitoe mashaka yote.....nionee huruma mama
@carolynembinya73804 жыл бұрын
Umsihi mwanao Yesu, Maria, asamehe makosa yangu Anitoe mashaka yote, Maria, yaliyomo moyoni mwangu Maria unisaidie Maria, Maria uniokoe Mimi mwanao mwenye dhambi Nionee huruma mama, mimi niliye mpotevu Mwili wangu ni dhaifu, kwa sababu ya dhambi zangu Na magonjwa niponye mama, kwa jina la mwanao Yesu Naye Roho mtakatifu, imarishe nguvu zangu
@mihayobupamba46275 жыл бұрын
Hakika Mama yetu Bikira Maria Mama wa Mungu ndiye Msaada wa daima wa Wakristu! Hongereni sana kwaya ya BMM Vituka
@robert.maganya10515 жыл бұрын
P F mwarabu Neema na maombez ya Maria yakuongoze popote ulipo, nasi tubarikiwe kwa nyimbo za Maria mama yetu
@kiplangatcheruiyot49064 жыл бұрын
MAMA Maria utuombee kwa mwanao Yesu sisi wenye dhambi Amen.
@AnnieDungule Жыл бұрын
Asate sana kwa nibo safi
@manyakuulaompondelo44194 жыл бұрын
Asante mtunzi, asante waimbaji na asante mcheza kinanda. Mbarikiwe nyote.🙏
@AffectionateBambooForest-qb6ylАй бұрын
Very nice song I love it
@mercymacline6585 жыл бұрын
BMM vituka mko juu sana, mungu aendelee kuwapigania
@victoronyiego36766 жыл бұрын
Wimbo unao hiburudisha nafsi yangu. Long live BBM
@marychristiansen29905 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa uzinduzi huu mpya wa kisasa,ndizo nyimbo nilizokuwa nazo enzi za kaseti, Mungu awabariki na hongera kwako Fr. Mwarabu na roho ya limila izidi kupumzika kwa amani🙏
@julianawaithira9554 жыл бұрын
Stella Maris...Star of The Sea our Mother ♥️♥️
@simonmwajombe49194 жыл бұрын
Mzee Mwarabu Mungu akupe kheri na baraka tele
@ritaachieng11605 жыл бұрын
Maria unisaidie Maria uniokoee mimi mwanao mwenye dhambi
@josephbutele6224 жыл бұрын
Touching the soul...Mother Mary, pray for us.
@fundieddy91645 жыл бұрын
MILELE AMINA. Duh! Hongera P. F. Mwarabu (naam, kwa utunzi wako huu, kwenye akili yangu ninakuona u MBEGU BORA ILIYOBARIKIWA); HONGERA BMM Vituka (ktk kazi yenu hii, hakika ndani ya akili yangu ninawaona kama ARDHI YENYE RUTUBA ILIYOBARIKIWA). MBEGU BORA + ARDHI BORA = MATUNDA (UJUMBE WA KWAYA) BORA. Namuomba BWANA ambariki mtunzi P. F. Mwarabu, awabariki wanakwaya wote wa BMM Vituka na atubariki wasikilizaji wote wa BMM VITUKA (Tusisahau ku'like' kazi zao). AMINA.
@agneschepkorir86095 жыл бұрын
May our good Lord bless you abudantly
@princesspeter486 жыл бұрын
Wimbo mzur sana,,,,,Bikira Maria Msaada wa Daima Utuombee
@emmanuelmalenga4966 жыл бұрын
Huyu mzee Mwarabu da akifa namuombea kwa Mungu Asioze maana utunzi wake haufi kila wakati unabadilika kulingana na wakati
@princesspeter486 жыл бұрын
emmanuel malenga Amina
@kevingathitu48986 жыл бұрын
Twamushukuru kwa nyimbo za mama Maria zinatuguza sana
@benjaminkinoti6 жыл бұрын
P. F MWARABU MUNGU AENDELE KUKUBARIKI
@zuhuraseif81994 жыл бұрын
Mimi ni Islamic ila hizi nyimbo nazipenda san
@elizabethwanyonyi6095 жыл бұрын
Ningependa wimbo -Siku Ile ya kufa kwangu _urejeshwe hapa.
@mariamfaicalhassan28904 жыл бұрын
Naupenda sana
@fabianmpangala43975 жыл бұрын
Hakika inapendeza sana
@andrewmsunga94255 жыл бұрын
Nyimbo nzuri zenye kutufariji,
@edwinmatozi74515 жыл бұрын
P.F. Mwarabu ni hatari sana
@audreyo32436 жыл бұрын
More of this songs please. So calming
@josephatlyaheja30876 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana. Hata ukiwa unaimba unajua kuwa upo kwenye sala
@antonyomollo98536 жыл бұрын
Relaxing song mother Mary my intercessor always
@sultanrugome98735 жыл бұрын
maria unisaidie
@faustinemlebya84516 жыл бұрын
Mmefanya kitu cha tofauti sana wa BMM, hamuendi na upepo unaovuma. Asante sana kwa kumuenzi Mzee wetu P.Mwarabu, mnatupatia nafasi ya kumuona mtunzi ambae ameandaa nyimbo nyingi za Mama yetu Maria, Binafsi nilipokuwa naona Jina La Mwarabu nilifikiri ana asili ya kiarabu, kumbe ni tofauti kabisa. Nimefurahi sana kumuona kwa mara ya kwanza kupitia kazi alizozifanya.
@marychristiansen29905 жыл бұрын
😃nimependa hapo ulidhania kuwa Ana asili ya kiarabu kumbe ni jina tuu😜
@ritaachieng11606 жыл бұрын
Na upenda huu wimbo sana sana..mmbarikiwe kwa talanta yenu..
@jacquesmaombi71346 жыл бұрын
Aksanti kwa wimbo huuri wanakwaya. Maria Utuombee
@vincentcharles43855 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristo
@dottokisendi77536 жыл бұрын
Kazi nzuri ajabu hasa katika zama hizi ambapo mziki halisi wenye radha ya kikatoliki unapotea.HAKIKA MUNGU AMEWABARIKI SANA. Vipi huku Morogoro dvd zenu nazipata wapi
@cyrilologe6 жыл бұрын
Wimbo unatuliza kweli
@flowerkimario34476 жыл бұрын
Mbarikiwe sna wapendwa katika bwana
@justineamanyisye2726 жыл бұрын
malkia wa mungu utuombee
@deomomburi61366 жыл бұрын
Mbarikiwe BMM Vituka mko vizuri
@vestinagabriel75526 жыл бұрын
mko vizuri sana
@zenosaki18276 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SAANA.. IMEKUJA WAKATI MUAFAKA.. Amen....