UOZO HUU WAMCHEFUA RAIS SAMIA, AWA MBOGO BALAA, AMTAJA MAKONDA KWENYE HILI

  Рет қаралды 52,385

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 105
@IsraelUrasa
@IsraelUrasa 3 ай бұрын
Kweli makonda siyotuu mkuu wa mkoa Arusha ila nimtumishi wa mungu
@SalumChema
@SalumChema 3 ай бұрын
Hadi.vijiji.mgobe.lewa.msambiazi.kalekwa.welei.kwambaazi.god.sheni.nakwambia.mamakamahujui.na.vinahati.lakn.hawataki.watuwamezuiliwa.kulima.wanapanda.miti.mkoa.wa.Tanga.wilaya,,korogwe..mkoa.Tanga.nakadizimerudiswa,na.wanavijiji.tunaombalifanyiekazi.Toka,75.vijii.vipo.kilatunapoendatunakwama.wakatu.tuliletwa.Na.nyerere
@ArnoldMbulawa
@ArnoldMbulawa 6 ай бұрын
Mama kwanini usibadilike ukawa kama mama wa kambo??? Usiwe mpoele watanzania wanataka wapekekeshwe kama punda, kuwa kama King "magufuli"
@josephudoba5563
@josephudoba5563 6 ай бұрын
Mama mpole sana badilika kidogo uonyeshe sura ya mama mkali ndie mlezi Bora
@marymgimwa
@marymgimwa 6 ай бұрын
Mungu aliyemuumba makonda amlinde yeyote aliyekinyume nae kufa na afe
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 6 ай бұрын
Sasa mama baaday ya kuwabain hao wez unawachukulia hatuwa GANA tatzo mama unalalamika tu mbona watu wenye njaa wanaiba vyuma vya reli mnawachukulia hatua je hao wanaoiba mabilion nashangaa unawaangalia tu kama vp tumpe makonda nchi hii au kasbu Majaliwa Ndo awanyooshe
@hamishatibu699
@hamishatibu699 6 ай бұрын
Hawa wezi tunashidwa kuwashughulikia aswa wa vikundi feki kwa ajili ni wana CCM ifike wakati hii roho ya ccm ife kabisa tunachekeana xna, Alafu tunafunga safari za Nje kuomba misada na mikopo ndani tunashidwa kusimamia rasilimali zetu, umasikini utadumu adi Yesu aludi
@EzekieliKatigizu
@EzekieliKatigizu 3 ай бұрын
Mama unasema kweli kunamajizi yanavuruga tunakusingizia wewe yabane mama yetu
@JohnOkechi-m7b
@JohnOkechi-m7b 3 ай бұрын
Raisi analipwa mshahara munge alipwa mshahara nk lakini viongozi wa ngazi ya kijiji na kitongoji hawalipwi chochote na wao ndo walinzi niwao ndiyo chanzo cha migogolo ya aridhi na mengi hayana haki kwasababu viongozi wananunuliwa
@hamishatibu699
@hamishatibu699 6 ай бұрын
Hao watu wanyongwe tu Mama mtoto usipo mchapa anazoea vibaya.
@KipajiMgalula1
@KipajiMgalula1 6 ай бұрын
Mama kasulu ya kigoma wanaichi tuishi Kama sio watanzania mlima sunzu diwani na timu yake wanatupora aridhi na hatuna msaada kila kiongozikaonjeshwa maslahi tunsmba msaada uchunguzi ufanyike wa mgogoro huu
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 6 ай бұрын
Tunamtaka Alhapi Bwana kwanini hamtaki kumteuwa, faha sisi wanne kwa furaha sikweli watu wanaishi kwa uchungu ivi aliye sema muongo kabisa
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 3 ай бұрын
Ww uwe unawasikiliza wananchi shida zao kama mtanguliz wako unawatuma watu wez kazi alaf unawabembeleza w mama ww huoni tatzo nenda mwenyew
@restitutalucian78
@restitutalucian78 6 ай бұрын
Jamani kwani madini tena hamna? Hizo maliasili imebaki historia. Mhh7😢
@IsraelUrasa
@IsraelUrasa 3 ай бұрын
Mama aridhi imeleta maumivu kwa watu mama samia
@jesusnametv4935
@jesusnametv4935 6 ай бұрын
mama anaupiga mwingi halafu anaibiwa kila siku ,
@success-only
@success-only 6 ай бұрын
Ingelikuwa yakweli unayoyasema usingekuwa Una wabagua wamasai ktk kanda ya kazkazini Lkn huwa unazungumza hiki na kufanya jingine kiukweli Wananchi tumekochoka
@hasanichengula68
@hasanichengula68 6 ай бұрын
Sema wewe siyo wanainchi misijamchoka bado namwitaji
@godsonishengoma5378
@godsonishengoma5378 6 ай бұрын
@@hasanichengula68 asilimia kbwa ya wananch tumemchoka.. Nashangaa kmkbal hali hata dini yako haimruhusu.. Kmbk yey ni mwanamke kapewa saut ya kbembeleza hata aongee kwa ukali vp hawez ms2ua m2 ndo mana anachoagza kwa wasaidizi wake hakzingatiwi..
@josephmchila6467
@josephmchila6467 3 ай бұрын
Aksante kulegeza kikokotoo,lakini warudishe denominator kwenye formula urudi 540, Kama itakuwa hii 580, haitasaidia
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Mama ukienda hivi watakuvua mpaka vidani ulivyovaa, ni mpole mno! Mhe. Magufuli alikuwa akizungumzia wizi aliimanisha na kimsingi bila kunyonga Mafisadi hadharani hatutakwenda popote.
@AllyBachu-k3p
@AllyBachu-k3p 6 ай бұрын
Mama wanakuchukulia poa 2025 wanatoa ushinde ili waendelee kuiba mama fata nyayo za JPM tumbua majipu Bila hivyo KWA maneno huwawezi Hilo ni kundi hatari kikulacho linguini mwako
@mashaurimageme2678
@mashaurimageme2678 6 ай бұрын
Asante mama kwa kuona makonda Anafanya kanzi zuri
@sheilamarandu2750
@sheilamarandu2750 6 ай бұрын
Mama chukulia watendaji wa ardhi sheria ni wabaya mno unauliza kiwanja kipo wapi mbezi ukiserch wanasema kipo morogoro watendaji wako wa ardhi wanakuangusha mno
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 6 ай бұрын
Watieni watu jela. Wanyongeni maharamia hawa. Kuwaomba watendaji waende wakafanye kazi umeomba sana. Washukie sasa mama Samia . Binadamu inaelekea haendi mstari ulionyooka hadi mijekedi. Wagonge hawa wavaa tai na suti wanaoitafuna hii nchi. Lawama dhamana dhima iko kwako. KUWA MKALI
@KipajiMgalula1
@KipajiMgalula1 6 ай бұрын
Mama kasulu ya kigoma wanaichi tuishi Kama sio watanzania mlima sunzu diwani na timu yake wanatupora aridhi na hatuna msaada kila kiongozikaonjeshwa maslahi tunsmba msaada uchunguzi ufanyike wa mgogoro huu
@user13375
@user13375 3 ай бұрын
Na ww upo😮
@ERNESTAMAHENGE
@ERNESTAMAHENGE 3 ай бұрын
shikamoo
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 6 ай бұрын
Inawezekana Rais sio mbaya kama wananchi wanavyomfikiria inamaanishabwatendaji wake ndio wanajinufaisha na kufanya Rais achukiwe na Wananchi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Mbona huwafukuzi kama hayati magufuli alivyokuwa anawafukuza wewe unawalea mama mijizi fanya kweli
@mangesajoseph5284
@mangesajoseph5284 6 ай бұрын
Mama na rais wetu wa jamhuri ya Tanzania ipo siku utashinda tuzo ya normal .watanzania tunaimani na wewe mama upo vizuri utashinda kwa kishindo 2025
@aminaosman3315
@aminaosman3315 6 ай бұрын
Sema mama huku tanga mama mjane kazulumiwa haki zake na taasisi moja ya kidini mwisho mahakama nayo ikawapa taasisi hiyo hospitali ya mabilioni inateketea wakuuwamkoa WA wilaya wapo
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 6 ай бұрын
Rais ao watu usiwaombe kuwa waadilifu ao ni kuwalazinisha wawe sawa na wasipokuwa ivyo watimue na atakae onekana anahaki za watu lazima azitoe na sio kumtoa sehem 1 kwenda nyengine
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 6 ай бұрын
Yani nchi yangu hilivyo na utawala,uongozi wa ovyoo imagine raisi kiongozi wa nchi hanakubali kuna wizi na ubadhilifu kwenye serikali yake...ccm ni chama cha wezi na utawala wake ni ovyooo kabisa..katiba mpya ndio solution ya yote hayo..
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 6 ай бұрын
Kwa maana nyingine raia wajiandae kisaikolijia kulipa kodi...utendaji ukipimwa kwa makusanyo nchi hii, masikini wataumia sana.
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 6 ай бұрын
Wanauziana mizigo bila risiti za tra,na TRA pia wanahusika na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kariakoo, ndo maana waligomaa store zisisajaliwe,hebu mama mhe,rais uje uangalie.sasa hivi Magherafelt kariakoo zimekuwa magodawni
@willymgaya7618
@willymgaya7618 6 ай бұрын
MH. RAIS, HAO WEZI USIWAONGELEE TU JUKWANI. TUNAOMBA WAKAMATWE NA WASHITAKIWE. NDIPO CCM TUTAWAELEWA.
@HappyNkya-x9v
@HappyNkya-x9v 6 ай бұрын
Mama asante sana kwa kuwaeleza ukweli Mama tunamba ututazame pia kwenye swala la ukusanyaji wa Fedha za Taka Mama watu hatuna Amani sh 3000 MAMA kwa mwezi tunaomba tazama na hili Mama
@KhaleedHamad-vl7lz
@KhaleedHamad-vl7lz 6 ай бұрын
Sijawahi kuona serikali kama hii watu wanaupiga mwingi sana halafu wanamsifia hahaha kwa kweli chukua chako mapema soon uchaguzi
@SafariMsafi-um1pz
@SafariMsafi-um1pz 6 ай бұрын
Jifunzeni kwa magufuli alivyokuwa akifanya kwa majipu
@NzilentaIssa
@NzilentaIssa 6 ай бұрын
Dawinurodi
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 6 ай бұрын
Hizi makonda amazogawa zinatoka wapi jamani Rais wetu Mama yetu mpendwa, au ni mshahara wake ndio anaougawa
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 6 ай бұрын
Mama tuletee makonda wilaya yachunya tafadhari tunakuomba mama chonde
@aminaosman3315
@aminaosman3315 6 ай бұрын
,wakuu mkoa WA wilaya waliopita walikuwepo nawanajua lakini ndio hivyo
@PropKibali-f8d
@PropKibali-f8d 6 ай бұрын
LKN, KWA NN MNANG'ANG'ANIA KUTUTAWALA WKT KILA SIKU MNALALAMIKIANA KIUTENDAJI HAMUWEZI JAMANI, SI MTOKE?
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 6 ай бұрын
Hiii ni shida
@mangesajoseph5284
@mangesajoseph5284 6 ай бұрын
Utashinda tunzo ya norbel siku Moja mama nakukubali Sana mama
@elioimer8423
@elioimer8423 6 ай бұрын
Wamasai mnawanyang’anya ardhi , ng’ombe zao kila mahali katika nchi hii lakini , hivi mnataka waende wapi. Wakienda Zanzibar ni tabu kwa sababu mnawanyima kufuata mila na desturi yao. Waache wakae kwenye ardhi yao kwani mnawafanya watangetange kila kona. Ni tabular na manyanyaso katika ardhi na nchi yao
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 6 ай бұрын
Hongera Sana mama yetu 🎉kuna mjambazi na majangili yanawajangilia watu Ardhi zao ,kisha Wana matumbo kama vigoma vya asili,hatuna furaha kweli hawa watu wenye nafasi serekalini ,kwenye taasisi wanawajambazia watu ,tuko wakimbizi kwenye nchi yetu
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 6 ай бұрын
Matrilioni zinapotea kariakoo tuu,kwa seconds 0.05seconds mnaibiwa mitaani
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 6 ай бұрын
Shida hamuchukui hatua hilo ndio tatizo sasa watu wanafanya mchezo munachekeana sana
@melkizedekwiliam-hi7bz
@melkizedekwiliam-hi7bz 6 ай бұрын
Huyu mama tumpe kura. Anaonyesha uzalendo hasa.
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 6 ай бұрын
Mama Hao unaowambia nendeni mkafanyie kazi ni Hao hao unawaombia kila siku au unawabadilisha mama sidhani kama watabadilika😢
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 6 ай бұрын
Mama imarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani na uwalinde ili ukusaidie kudhibiti mianya ya wizi wa fedha za serikali.
@aminaosman3315
@aminaosman3315 6 ай бұрын
,hospitali ya mabilioni inateketea wenye haki yao wanazalilika
@FredHerman-vs8yw
@FredHerman-vs8yw 6 ай бұрын
Mama ao ndiyo wanaokufelisha usiwachekee
@AgustiAgustisabinisilayo
@AgustiAgustisabinisilayo 6 ай бұрын
Mama tunakupenda ila kuna wanao kuangushwa makomdaaa baba laooo
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 6 ай бұрын
Mh , Uko Vizuri Sana !, Msema Kweli ni Mpendwa wa Mungu .
@sheilamarandu2750
@sheilamarandu2750 6 ай бұрын
Sana mama mimi mjane nimedhulumiwa na wifi na ana mtandao mkubwa kila mahali nimeenda sijafaulu mama asante ninaenda kumuona waziri slaa
@danielkanso
@danielkanso 6 ай бұрын
Naam kiongozi umegusa. Mambo muhimu sana inahitajika ufuatiliaji wa hali ya juu sana Raisi baadhi watendaji wa serikali hawako sawa wanaonea sana watu
@selinalawala2270
@selinalawala2270 6 ай бұрын
Kweli wananchi hatuna Raha , tunatamani siku mmoja hii nchi ibadilike, haki za watu hazifanyiwi kazi vizuri.
@OswardMadege-gd7yo
@OswardMadege-gd7yo 6 ай бұрын
Wananchi kweli wamechoka na wizi wa wahudumu wa serikali Sasa wanadamu Hawa wamemwachia Mungu tu Hali ya wananchi ni ngumu
@AllyBachu-k3p
@AllyBachu-k3p 6 ай бұрын
Tunawasubiri 2025 tumewachoka
@fredyjoackimu-bk1tf
@fredyjoackimu-bk1tf 6 ай бұрын
Thank you Mama,ila wachukulie hatua hao wanaokukwamisha
@seifusengondo9170
@seifusengondo9170 6 ай бұрын
anatupa stori au atapambana nao hao majambazi wa kalamu
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 6 ай бұрын
Mama Mwaka 2025 kura zetu zinakuhusu, makonda kumrudisha MAKONDA CCM amewaamsha sana hai wavivu. Mungu akuweke
@edmundrutahiwa
@edmundrutahiwa 6 ай бұрын
Huna akili kiazi wewe
@aminaosman3315
@aminaosman3315 6 ай бұрын
,inshaalah mjane na watoto wake watano yatima Allah atawapa haki yao haki haipotei inachelewa
@aminaosman3315
@aminaosman3315 6 ай бұрын
,mashekh na maimamu imekuwa NI tatizo
@danielkanso
@danielkanso 6 ай бұрын
Wamasai vip jama mbona wanateseka sana nafikiri hawa watu watazamwe kwa jicho la tatu
@menelus911mene5
@menelus911mene5 6 ай бұрын
Waambie hawa unaowateuwa hawatupendi sisi wanyonge !!!
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 6 ай бұрын
Mtaa wa amana Kuna milori mikubwa Barbara zinaharibiwa
@YapukaHassan-i7l
@YapukaHassan-i7l 6 ай бұрын
Watendaji wako hawana lolote kazi kukusifia 2 mama
@OswardMadege-gd7yo
@OswardMadege-gd7yo 6 ай бұрын
Asiye na kitu basi tu ni mateso nchi hii rais unachosema ni kweli ila Hawa watu Hawana hofu ya Mungu kabisa
@omarijonny
@omarijonny 6 ай бұрын
hongera mama
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 6 ай бұрын
Badilisheni katibatu ndodawa 2
@GraceMkandawile-j5w
@GraceMkandawile-j5w 6 ай бұрын
Mama shkamoo , saf sana mwenyezimungu akupe maisha marefu
@irumvadonciella7937
@irumvadonciella7937 6 ай бұрын
Wapo busy nakuandika utafikilia wanenda kulitendea haki very sad
@AlbethaGasper
@AlbethaGasper 6 ай бұрын
Tena mama hao wanamchukia maklonda sana
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 6 ай бұрын
Angalia kwenye madini wanaochukua maliseni wananyanyasa sana
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 6 ай бұрын
Ndo maana wanataka ugombee Tena ili waendelee kuiba
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania 6 ай бұрын
Wewe ndio final say after God Mama.. angalia sheria inataka nini kisha watu hao sheria ifanye kazi yake. ..
@magorymara5515
@magorymara5515 6 ай бұрын
Sheria inafanya kazi mtu anapokuwa gerezani lakin hii ya kupangiwa kazi nyingne basi ujue sheria inalea uozo hawa jamaa wanaibiwa sana na wanaiba sana
@MunsiCosmas-tg2df
@MunsiCosmas-tg2df 6 ай бұрын
Ama kwel hapa du Kaz ipo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 6 ай бұрын
Ahsante mama kwa kuligundua hilo
@andrewmalamsha3042
@andrewmalamsha3042 6 ай бұрын
Rais anaumia sana ujue
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 6 ай бұрын
Ardhi hakuna mahakama mama
@DevidiCosmas
@DevidiCosmas 6 ай бұрын
Unawalea vibaya mama
@thetruth8979
@thetruth8979 6 ай бұрын
Hiyo kweli kabisa
@LengaiSerea
@LengaiSerea 6 ай бұрын
Ngorongoro kimezidi kunyang'anywa aridhi zutu
@magorymara5515
@magorymara5515 6 ай бұрын
Huko token token ili tupate maeneo ya utalii mkijenga huko tutatalii wapi
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it 6 ай бұрын
Wambie mamangu
@AyubuSaid-d5z
@AyubuSaid-d5z 6 ай бұрын
Kalimeni sio shamba
@sheilamarandu2750
@sheilamarandu2750 6 ай бұрын
Kweli mama
@kulwamaguzmaguzu2202
@kulwamaguzmaguzu2202 6 ай бұрын
Umeme mama vp
@DavisNchinga
@DavisNchinga 6 ай бұрын
Lukwa ichunguzwe
@VeronicaNangale
@VeronicaNangale 6 ай бұрын
Mitano tena kwa Mama. hasa wizara ya ardhi umetuvalisha nguo kwa kweli. Mungu mwema.
@mangesajoseph5284
@mangesajoseph5284 6 ай бұрын
Mama piga kazi na makonda yupo vizuri Sana wewe ndiyo rais wetu wanyonge Hadi 2035
@menelus911mene5
@menelus911mene5 6 ай бұрын
Mgogoro wa Ardhi mimi hapa nimepolwa nusu ya kiwanja changu ninacholipia hsti ysngu toka 1982kimepolwa na bint anaesema anafanya kazi kwa waziri mkuu hashauliwi namtu
@nemeskimbe376
@nemeskimbe376 6 ай бұрын
Sasa nani wa kusimamia kama hutokuwa mkali mama wanakuchukulia poa na maisha yanakuwa magumu kwa mwananchi
@RudelphZabron
@RudelphZabron 6 ай бұрын
Mheshimiwa Rais huwezi kuondoa migogoro ya aridhi kama bado Sheria ya aridhi bado inasema aridhi ni Mali ya umma na inahodhiwa na Rais kwa manufaa ya wananchi wote Mh.Rais badilisha Sheria ya umilikiaji wa aridhi.
@SelemaniAmiry
@SelemaniAmiry 6 ай бұрын
Abadil iweje
@aminibraisonngwiso3175
@aminibraisonngwiso3175 6 ай бұрын
Asante umetusemea kabisaa mama yetu,tunakushukuru sana
@aminibraisonngwiso3175
@aminibraisonngwiso3175 6 ай бұрын
Yaani kupitia maneno ya kuridhisha kama haya anayosema Mkuu wa nchi tayari tuna matumaini ya kupata haki zetu.na ni kweli kuna wababe wa ardhi sio mchezo ni hatari.lakini Hongera Mama kwa kuthamini wanyonge tunahisi unyonge kwisha habari yake.
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 75 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 102 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН