URUSI yalinasa kombora la Storm Shadow ambalo Ukraine anapewa na Uingereza kulifanyia uchunguzi

  Рет қаралды 23,957

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

17 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 57
@AbdillahRashidi
@AbdillahRashidi 15 күн бұрын
Hii tactic ya kukamata silaha ya Adui na kuifanyia uchunguzi ni tactic nzuri sana na kwa upande wa Urusi hii ni mara ya pili keshafanya kwa ATACMS(Army Tactical Missile System) ya Marekani na Sasa yupo na Storm Shadow ya UK....hii ni habari nzuri sana ,,Thanks SNS
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 15 күн бұрын
Leo mie wakwanza nawapata kutokea Bahrain 🇧🇭
@sautisevarino1656
@sautisevarino1656 15 күн бұрын
Russia anatisha aisse,yani wanasoma silaha zote za NATO😮😮
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g 15 күн бұрын
Kama umesoma mpaka darasa la saba towa ziro nadhani huwezi kuelewa urusi anapigana na marekani pamoja na Nato kupitia mgongo wa nchi ya Ugreni na pale pamekuwa pakufanyia majaribio ya silaha zao na nchi hiyo ikiteketea kwa makombora ya urusi lakini wenye malengo yao wala hawajali ndiyo kwanza wanamsifia ujinga
@abdullahnassor9433
@abdullahnassor9433 15 күн бұрын
Urusi itashiriki teknolojia hii na marafiki zake, china, India, Korea kaskazini na zaidi
@abuuabuu274
@abuuabuu274 15 күн бұрын
Wenzetu wana Tecnelogly kubwa sana
@bjngft4985
@bjngft4985 15 күн бұрын
Wanaenda China tu hapa kwa rafiki yao. Copy kama milioni 10..
@festohaule9716
@festohaule9716 15 күн бұрын
Russia watacopy na kuboresha mara dufu zaidi!!!
@isihakajongo4832
@isihakajongo4832 14 күн бұрын
Urusi inawanyoosha vizuri
@DeusRobart
@DeusRobart 15 күн бұрын
storm shadow kwisha abari yake aiwezikua tishiotena kwa urus
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 15 күн бұрын
Vita vimekua vinafaida sana kwa Russia hata vikiisha atakua na silaha zote za nato
@Happy-be8hh
@Happy-be8hh 15 күн бұрын
Mbona Urusi tayari has captured imekamata zamani tu kombora la British Storm Cruise Missile
@jkifutu7936
@jkifutu7936 15 күн бұрын
Wana na nakubali sana
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 15 күн бұрын
Hahaha Tumewaambia urusi atawanyoosha mashoga mbaka waache kujifanya hii dunia ni yao pekeyao
@STEVEN-f6g
@STEVEN-f6g 15 күн бұрын
Jack sparow
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 15 күн бұрын
tunakubali wakwetu...unajua masubi
@geoufo2858
@geoufo2858 15 күн бұрын
Vzuri
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk 15 күн бұрын
Wamagharibi akili hawana
@shaurisaidi7470
@shaurisaidi7470 15 күн бұрын
Hongera urusi
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 15 күн бұрын
Hii vita imekua kama kamchezo ka njoo nikupige, hapana, anza wewe uwone yaani full kuogopana,. Mataifa 32 yanaogopa mmliki wa Asia pacific, sema sio pw 😁
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 14 күн бұрын
Hahahaaaaa 😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 14 күн бұрын
@@Shehasweet-hy6xn 😂😂
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 15 күн бұрын
Mpelekeeni nyengine bado chopa ya f 22
@djmaxbeatztz
@djmaxbeatztz 15 күн бұрын
Wanawasoma na Gps😂
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 15 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤😢🎉🎉🎉🎉😮😊😊😊
@ibnujumanne4054
@ibnujumanne4054 15 күн бұрын
Nasikitikia Sana Ukraine nchi inayoongozwa na mchekeshaji pengine yeye bado anadhani wanafanya comed kumbe aniangamiza nchi yake
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 15 күн бұрын
Tunachotaka hashinde vta siyo utoto mnaoushabikia uwa kwan Ukraine hana silaa za urusi nyingtu mbona ktuchakawaida sana kukamata slaa za haduiyako yani tekenojia ya urusi marekani anayoyote kabla hatayavta tekenojia unaweza kuzpata hatakuptia majasus
@theempire4058
@theempire4058 15 күн бұрын
Umeongea ukweli sana sasa subiri sisi team urusi wenye ushabiki wa kipumbavu usio na maana tunachojuaga kushabikia ni oooh mashoga ao huo ndo utetezi wetu wakipumbavu
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 15 күн бұрын
@@theempire4058 hawa mbona mashabiki waugali wanasingzia ushoga sasa ushoga unakujaje wakat mada nivta kwani kunamtu wanamlazmisha kuwashoga mbona hata urusi kwenye mahoga wakuzditu yani izomidia za mitandaon kiraktu kinachofanywa na urusi nichasaii halafu nichamana yani mbaka kukamata slaa wanahona ktukikubwa sana slaa za urusi na zamagaribi zinauzwa kwaiyo kwa hanazoziitaj kuzpata raisi sana kama hanaela histoshe hata urusi kaznunua nakulingshia
@DEMSEY_TV
@DEMSEY_TV 14 күн бұрын
Urusi unajua uganda nn kamsome vzr urusi kwny vitabu utajua huyo sio mtu wa kubeza Tangu dunia iumbwe vita ya tecnolojia hajawai shindwa yeye ndio master wa silaha duniani ana salilaha nyingi had zina chacha ameivamia ukraine amechukua crimea au unajua crimea ipo kongo mwanetu ongea Fact sio muvi za lambo na adolf zinakudanganya 😊
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 12 күн бұрын
​@@theempire4058ww na huyo mwenzako wote mashoga
@hamisinamala
@hamisinamala 15 күн бұрын
safiiiii
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 15 күн бұрын
Urusi anafaida zaidi maana magharibi wote wanampa fursa ya kupata technology ya siraha zao pale wanapompa zelensky kisha urusi akayadaka pia itamfaidisha Irani pengine na China
@frosttgp1510
@frosttgp1510 15 күн бұрын
Bila kumsahau Kiduku
@valerianchamlungu7268
@valerianchamlungu7268 15 күн бұрын
Likisha fanyiwa reverse engineering tunapeleka iran 4 mass production
@mwlpierre
@mwlpierre 15 күн бұрын
Hamna kitu kama hiyo
@deusidaudi2477
@deusidaudi2477 15 күн бұрын
Storm shadow, atcams n.k, kwan Zko nchin Ukraine tu kanakwamba Russia apate kiu ya namna hii ya kuyachinguza. Hakuna nchi rafk na Russia ambapo makombora haya yaliuzwa uko Russia akashndwa kuyafkia na kuyakagua. Naona kama ni psychological warfare tu hii. Yan kutushia adui wasizid kupeleka makombora zaid
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 15 күн бұрын
Sio rahisi hvyo na haiendi hvyo unavyofikiria.
@directortwicep3028
@directortwicep3028 15 күн бұрын
Kumbe mrusi bado nae maana kila siku anajifunza wakati wen zake every day wanaendelea kutengeneza vitu zaid8 ya hicho
@Awatee
@Awatee 15 күн бұрын
Wee nawe acha kujizima data urusi inatengeza silaha mara 3 zaid ya nato
@academicsite8524
@academicsite8524 15 күн бұрын
​@@Awateeakili huna, umejaa ushabiki tu
@Awatee
@Awatee 15 күн бұрын
@@academicsite8524 kama ulivo jaa weye tafuta kazi ufanye ndugu 😃
@alextanzania
@alextanzania 15 күн бұрын
Bila fact zinakuwa ni kelele​@@Awatee
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 14 күн бұрын
Anaenda kufanya reverse engineering 😅
@godfrey3926
@godfrey3926 14 күн бұрын
Urusi ni majasusi wakubwa duniani, na ninavyosema Urusi nina maana ya Putin, raia wa Urusi wanadanganywa na serikali ya huyu jasusi na inavyoonekana mpaka kwenye nchi yetu nzuri kuna watu wanajaribu kuendeleza propaganda zao.Putin atakamatwa na kupelekwa kujibu yote aliyofanya.Nchi ya Urusi ina matatizo ya ajabu, nyumba zinadondoka zenyewe, lift za kwenye magorofa zinaanguka zikiwa na watu ndani, ndege zinaanguka maana hakuna parts, wamepigwa marufuku kununua parts za ndege ambazo zipo Ulaya na Marekani. Hii nchi ya Urusi itakuwa masikini kuliko nchi za Africa na wataanza kuomba msaada.Kisa, huyu jasusi mpumbavu
@maroahkissiry4863
@maroahkissiry4863 13 күн бұрын
Hiyo inaonesha namna Russia hawana silaha nzuri. Western are the BEST
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 12 күн бұрын
Ww choko ndomana
@josepheriah5977
@josepheriah5977 15 күн бұрын
Na ukrane wanayo makombora ya urus
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 15 күн бұрын
jinga😂😂😂 hupo
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 12 күн бұрын
Ww choko
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 39 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 285 М.
Brake so hard#Short #Officer Rabbit #angel
0:28
兔子警官
Рет қаралды 8 МЛН
За что чабаны напали на байкеров?
0:59
New tfc sports car yellow colour kardya
0:27
Ruhul Shorts
Рет қаралды 3 МЛН
Когда только что купил авто с пробегом 🤔😁
0:58
Суворкин Сергей
Рет қаралды 2,5 МЛН
Мотоцикл за 10 000 рублей!!! 😳 до конца
0:29
Дарина Мяу
Рет қаралды 1,5 МЛН
казахи сделали мустанг🤯❗️
0:26
Профессор ПельменАрти💀
Рет қаралды 6 МЛН