URUSI yazidi kuibana UKRAINE, mabomu ya NYUKLIA yazungumzwa, POLAND aonywa ‘Jaribu Utaumia’

  Рет қаралды 43,801

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 123
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 2 ай бұрын
Jamaa anachambua vizuri mno
@atutweve4160
@atutweve4160 2 ай бұрын
Hongera kwakuombea vita ziishe 🤲🏿🤲🏿🙏🏿🙏🏿Ubarikiwe sana kwakuchambua ukweli na kuombea Amani sababu wanaokufa ni watu, nampenda sana huyu mchambuaji, anachambua kibinadamu 🙏🏿he must be christian tumelelewa imani na huruma 🤲🏿
@lodricophd728
@lodricophd728 2 ай бұрын
Anaitwa ally
@user-ex6sh1rl4d
@user-ex6sh1rl4d 2 ай бұрын
Yaan nyinyi dah angemsifia muislam mwenziwe mungemuita mdini
@abduljuma7807
@abduljuma7807 2 ай бұрын
Sio vita vya Urusi na ukren Bali ni vita vya Urusi na NATO
@aidandamian2566
@aidandamian2566 2 ай бұрын
Naipenda urus ,asante Mungu vita inapigwa na uchumi unapanda
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 2 ай бұрын
Hapo tusipende kokote wote washenzi
@jumashedafa
@jumashedafa 2 ай бұрын
Sema putin yup poa san bas tyu magharib wana hitaj kufa ...Huyu Jamaaa itakuwa anazalisha silaha za kupga NATO wote pind wakilianzisha...ukiplus na rafik zake itakuw balaa huku China na Iran nao wanatisha...Babu kiduku naye ndan ni atar na huyo ni russia tu apgan na NATO, Je wakiungan?
@pongezimwakyoma5505
@pongezimwakyoma5505 2 ай бұрын
SNS mko na watu makini sana huyu ally masubi ni wamoto kama djsma Bro Sky hongera kwako kwakuwa na timu makini kwenye hii industry
@ramy-k7932
@ramy-k7932 2 ай бұрын
Ally Masudi ur the best kabisa mzee wangu
@GeorgeMagadula
@GeorgeMagadula 2 ай бұрын
Hakika sio kolo dj sma
@user-ex6sh1rl4d
@user-ex6sh1rl4d 2 ай бұрын
​@@GeorgeMagadulaAcha izo ww kma mapenz yko ypo kwa huyu usimfuje mwengine mtoto wakiume ww sio kazi yko kutia kasoro tu tabia izo waachie walioleft na kina dada
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 2 ай бұрын
​@@user-ex6sh1rl4dni kwel kabisa, kila mtu ana ladha yake ya uchambuzi, na wote wako vizuri sana, sio sawa kumponda mwingine. Kila mtu ana utofauti na ubora wake.
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 2 ай бұрын
Anaitwa Ally Masubi sio Masudi. 🤣🤣
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 2 ай бұрын
Hana jipya! Anaibeba sana Russia kama DJ sma. Uchambuzi wake Uko biased sana
@Mjukuuu
@Mjukuuu 2 ай бұрын
mh, hakuna sehemu Mrusi amesema anataka kuishika Chasov Yar kabla ya May 9.. Weupe na vyombo vyao vya habari ndo vinasema ivyo ila Mrusi hajasema aisee
@deokalonga127
@deokalonga127 2 ай бұрын
Hongera Urusi wa kujihami dhidi ya mabeberu
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 2 ай бұрын
Wewe mzungu mzungu
@zagadat1129
@zagadat1129 2 ай бұрын
Ally mnyama ........
@jumaseif7514
@jumaseif7514 2 ай бұрын
Wanachokitak watakipata..Allah inusuru dunia kuharibk kutjn nahii vita
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc 2 ай бұрын
Good
@williamdaud9153
@williamdaud9153 2 ай бұрын
Duhh htr san
@technicalgearboxenginebysc1360
@technicalgearboxenginebysc1360 2 ай бұрын
Mchambuzi mzuri djsma piriod
@davismuzahula907
@davismuzahula907 2 ай бұрын
Ningekuwa Urusi jingepiga eneo la karibu na alipo D. Cameroon iliazimie kwanza
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 2 ай бұрын
😢😢😢 hi mbaya sana
@ShabannamadLada-vz1hg
@ShabannamadLada-vz1hg 2 ай бұрын
Uraaaaa team urusi
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 2 ай бұрын
Kwa ukraine kubadilisha matokeo ya kivita ni ndoto ya abunuasi
@szympo99
@szympo99 2 ай бұрын
Let's keep finger crossed for the win of Ukraine! 😁
@user-nu4xr6ik5n
@user-nu4xr6ik5n 2 ай бұрын
​@@szympo99Wewe najuwa shoga
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh 2 ай бұрын
Ukreine na NATO mtakuja kupata matatizo makubwa kwa mrusi
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 2 ай бұрын
Kazi nzuri putin ❤🇷🇺🇷🇺💪💪
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuimarisha nguvu kwa mrusi aichape iyo nato inayo leta choko choko duniani cwapendi basi tu
@papybenshi2463
@papybenshi2463 2 ай бұрын
❤❤❤ Russian vivvvaaa Tuko pamoja na urusi💪🏼
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 2 ай бұрын
Peke yako
@charlesmwita7484
@charlesmwita7484 2 ай бұрын
Jamaaa anajua sana hyu aongezewe mshahara
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 ай бұрын
Kbsa
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 2 ай бұрын
Kweli mwalimu mzuri sana anaelezee mpaka unasikia laha
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz 2 ай бұрын
Asanteni kwa habali uruss kaza but piga hoo mbuzi bira huruma
@zuberrymaabaddy5584
@zuberrymaabaddy5584 2 ай бұрын
Wana sns huo wimbo mwishoni kabisa habar ikiisha naupataje mzur
@stevenmahinda657
@stevenmahinda657 2 ай бұрын
Tumia Shazam app
@geomangi6123
@geomangi6123 2 ай бұрын
jina la wimbo mwisho plz
@OkotaEkeleze
@OkotaEkeleze 2 ай бұрын
Sns salut
@jordanmwinukatz
@jordanmwinukatz 2 ай бұрын
Tunaomba muwe mnatuwekea video ya Mchambuzi hata kama hayupo studio kuna mbinu nyingi za kumuunganisha kuongeza zaidi Mvuto.
@AliAli-hs8si
@AliAli-hs8si 2 ай бұрын
Naam
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 2 ай бұрын
Herikubwa Sana Kwa rashia
@jairoshamisi3266
@jairoshamisi3266 2 ай бұрын
Kama urusi uchumi wake umekuwa nayupo vitani mojakwamoja mbona sisi uchumi unayumba natunaambiwa sababu ni vita ya Ukraine na urusi
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 2 ай бұрын
Wenzetu wana viwanda ndugu yangu, Tanzania inazalisha nini? Hamna!!
@MohamedSalum-kr6nz
@MohamedSalum-kr6nz 2 ай бұрын
❤❤
@obo_Baddest
@obo_Baddest 2 ай бұрын
Huyu jamaa na Dj Sma fanya mpango wawe wanarecodia mic nzuri...maana watu washayapenda makala na uchambuzi wao.
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 2 ай бұрын
Excellent mchambuzi
@ibba8082
@ibba8082 2 ай бұрын
MAKOMBORA YENYE AKILI😂😂😂😂
@AyubuSamson-go4yc
@AyubuSamson-go4yc 2 ай бұрын
Nipo upande wa urusi
@user-zk7sc7fg1s
@user-zk7sc7fg1s 2 ай бұрын
Kwanini sky huwa hamaliziye tena simulizi mwenyew?
@SalumMrisho-vd3cx
@SalumMrisho-vd3cx 2 ай бұрын
Safi sana urusi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
👊✌️🙏.
@SijaOlomi-cm4cw
@SijaOlomi-cm4cw 2 ай бұрын
Ali masudi unachambua kama mchambuzi wa bbc sns raha sana
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 ай бұрын
Ona huyo jamaa WA Ukraine anavyo ongea na hao wazungu akitia huruma maskini 😴😴😴😴
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 2 ай бұрын
Aaaaaah
@toymadebho7048
@toymadebho7048 2 ай бұрын
My favourite mchambuzi
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 2 ай бұрын
Vita ya tatu
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 2 ай бұрын
Yarrabiii ee mungu😢😢
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 2 ай бұрын
Putin chuma
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 ай бұрын
Bwana we wapigane na nyuklia tuone nani mmbabe 😊
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 2 ай бұрын
Punt baba lao ❤❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@PaurothyMedia
@PaurothyMedia 2 ай бұрын
Nataman kusikia kuhusu brics na mipango imefikia wapi..?? Lakini pia nimeona kuna kampuni imetengeneza invisible suit.. nataman kusikia makala yake
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv 2 ай бұрын
Marekani mpumbavu sana yeye anauwa watu alafu yeye asumbuliwi lakini wenzake anawaekea vikwazo jinga sana marekani
@user-eb7oi2bx6s
@user-eb7oi2bx6s 2 ай бұрын
Ally unachambua bomba sana siyo kama dj smaa anauchambuzi wakishabiki sana kifupi unakera 😢 anatufanya goi goi sana mpeni makala za waraabu huko🤔
@abdillahjuma8474
@abdillahjuma8474 2 ай бұрын
Kwa ushauri tulikua tunahitaj kuona maeneo ya hivo vijiji kwa njia ya MAP ili kupate kuelewa zaid wapi Russia Amechukua
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 2 ай бұрын
Urusi ni laxima ishindwe,kwani watu wa nato wao wanamsubirisha.wakati wa kufanya maandalizi yao.
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 2 ай бұрын
Akishindwa ujue analipua nuclear. Kwahiyo sahau katika maisha yako kushindwa kwa Russia. Hawa ni maboss. Kwanza unaambiwa Russia anazalisha silaha mingi zaidi ya mara 10 ya nchi za NATO. Upo kijana.
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 2 ай бұрын
Huho souchumbuz hatakdogo bali nichuki yawazi wazi mbonahamasi wanavyo jiteteakule tunawaunga mkonowote kwapamoja bilakujali wanavyo pigwa rakini nichuki nichukitu yawaziwazi naukren
@user-pi4et2cc7s
@user-pi4et2cc7s 2 ай бұрын
VITA ISIISHE KABRA YA URUSI KUDHIND
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 2 ай бұрын
Camerooonn nishoga anajulikana
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 2 ай бұрын
Urusi anaota ndoto za mchana kuichukua Dunia , watapigana Wala mshindi hatapatika
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 2 ай бұрын
Tatizo uchambuzi wa masudi kama anaegemea upande mmoja
@DevyMtanza-fc2nn
@DevyMtanza-fc2nn 2 ай бұрын
Acha wakalizame wazungu zamu Yao Africa tupume kidogo
@user-ye3xp1lf7i
@user-ye3xp1lf7i 2 ай бұрын
Porandi perekazanahizo .rashia tuonetunasubiri tuone
@jaymandy8136
@jaymandy8136 2 ай бұрын
Nyie mtachukulia kama ndoto lakini vita hii ya Russia na Ukraine inaweza kusababisha vita vya tatu vya Dunia.
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 2 ай бұрын
Hiyo ni kweli
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 ай бұрын
Ni NATO si Ukrain
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 2 ай бұрын
Staki viishe vita vita isonge mberetoo🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇨🇳🇷🇺🦹🦹
@saidiyusufumuhode3159
@saidiyusufumuhode3159 2 ай бұрын
Huyu Putin anaweza kuchukua nchi yote ya Ukraine kama huyu mchekezaji ataendelea kua rais
@user-es7jn7cp5d
@user-es7jn7cp5d 2 ай бұрын
Hapo ni urusi kutoa manjeshi Ukraine watu wawe huru na inchi yao mbana hii dunia haitanji ubabee
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 ай бұрын
Na shanga munasema munaipenda Urusi
@user-fe9qp9oo1v
@user-fe9qp9oo1v 2 ай бұрын
Uyu rais wa ukraine akili zake ni km mtt wa miez sita nawahurumia raia wa ukrain na hiki ni kigezo tosha tunatakiwa tuchague rais mwenye akil yake sio mweny akili ya kuendeshwa
@daslamonline4665
@daslamonline4665 2 ай бұрын
Putin anajua vita aisee
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 ай бұрын
Ukrane yashambulia urus Belgorod
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 2 ай бұрын
Wewe siyo mchambuzi,bali wewe ni mzhabiki wa urusi
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 ай бұрын
Ges ya urusi na visima vya mafuta vya lipuliwa
@user-lv1ki7nn7t
@user-lv1ki7nn7t 2 ай бұрын
Vyalipuliwa na shoga wewe au nani hasa labda acha ndoto za mchana huu ndugu nchi zenu za mashoga kamwe hazitafamikiwa dhid ya urusi hata siku Moja futa ndoto hiyo Russia sio kama Libya au Iraq Mzee tulieni doze iwaingie ya putin
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 ай бұрын
Ukraine itashinda vita hii maana haijawaitokea mchokozi kushindana vita
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 2 ай бұрын
Wewe siyo mzima si bure, aliyeanza kumchokoza mwenzake kumbe hata humjui unajiongelea Ovyo. Kwakukusaidia Ukraine ndiye aliyekuwa akiuwa Raia wa Urusi waishio Ukraine. Kisha wakazi wa ile Miji wakataka kujitenga na Ukraine wakawa Ukrein hawataki. Kwahiyo Russia ameingia Vitani kwenda kuwakomboa watu wake. Pili Ukraine ilikuwa ni jumuiya ya Soviet na siyo NATO. NATO ni Maadui wa Urusi. ATI Ukraine anataka kujiunga na NATO. Sasa hapo ni nani Mgomvi??Na suala la ukraine kushinda hii vita ni Ngumu sana sababu mrusi mpaka sasa hajatumia silaha zake na jeshi lake. Na nguvu anayotumia Kupigana na Ukraine ni Ndogo Sana. Yaani ni sawa na sukuma mlevi. Urusi ana mabomu ya kuichakaza Ukraine Kwa siku moja na kuwa Majivu.
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 ай бұрын
@@annassuleiman4508👌👌👌👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙌🏾
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 2 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu tu unapromote ushoga.
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 2 ай бұрын
Urisi hawezi shinda hii vita, Africa yote ipo upande wa Urisi but hawezi shinda kwa sababu ya support wanayopewa NATO
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 2 ай бұрын
@@christianrukurugu4341 jifunze kiswahili kwanza kisha Ndiyo uje kuongea na watu wenye akili
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 2 ай бұрын
Hakuna atakaye amini kitu mrusi atafanyiwa na EUR
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 2 ай бұрын
Hawana uwezo mbwa Koko hao
@Abdullah-hb6sf
@Abdullah-hb6sf 2 ай бұрын
Kwanza mziojua hii ni channel ya urusi na cc ni warusi weusi kama wewe sio shabiki wa urusi mlango upo wasi ni hivyo tu. Mashoga muende Israel
@user-eb7oi2bx6s
@user-eb7oi2bx6s 2 ай бұрын
Tukaenderee kuwafira baba zako waraarabu huko parestina🤣🤣
@malickabbas8271
@malickabbas8271 2 ай бұрын
Mwamba putin
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 2 ай бұрын
Mm najiuliza ukrein mpaka leo kuna ligi kuu imechezwa leo sasa wanachezea wap nchi krb yte inachukuliwa
@nizarrama225
@nizarrama225 2 ай бұрын
Maeneo yanayopiganwa vita ni miji iliyoko karibia na boda ya Urusi hvyo miji iliyopo jirani na Urusi imechukuliwa na Urusi, yani mfano hapa Tanzania Urusi iwe Kenya ianze kuchukua maeneo ya kaskazini kama Arusha, Kilimanjaro n.k halafu ni siku nyingi zinatumika mpaka kunyakua maeneo, hvyo kama ligi kuu inachezwa maana yake inachezwa maeneo ambayo yapo mbali na vita yani kama Pwani, Dar, morogoro n.k
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 2 ай бұрын
​@@nizarrama225ufafanuzi mzuri kbsa, kama hajaelewa bas tena
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 2 ай бұрын
​@@nizarrama225hapana urusi anapigana vita vya kistaarabu hawaadhiri raia ukitaka kujua tim kubwa zote za ucraine zipo upande wa mikoa yenye vita
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 ай бұрын
Acha kuchambua habar kiushabiki mbona unaisifia Sana urusi wewe mchambuzi?
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Yaani hii ni channel ya urusi tu mkuu, maana huu sio uchambuzi Bali ni sehemu ya chuki
@user-yn3ve7gi2r
@user-yn3ve7gi2r 2 ай бұрын
Mbuzi ww ulitaka achambue nn Sasa Russia ndio nchi pekee Dunian yenye upendo.
@OmaryOmary-lk7zc
@OmaryOmary-lk7zc 2 ай бұрын
​@@GeorgeAkasha-zx2rjTimu upinde lazima wachukiwe na watimuliwe
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 ай бұрын
Putin afe
@user-lv1ki7nn7t
@user-lv1ki7nn7t 2 ай бұрын
Uanze kufa wewe na mashoga wenzio wa magharibi na sio putin
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 2 ай бұрын
God bless russia 🇷🇺
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 2 ай бұрын
Huyu mchambuzi uchwara anaonekana ni kibaraka wa Putin kama DJ sma
@TeamKilimanjaro2024
@TeamKilimanjaro2024 2 ай бұрын
Na wewe ni kibaraka wa nani?
@Nuru-zr2yv
@Nuru-zr2yv 2 ай бұрын
Mtafirwa sana tulia uboo ukuingie
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 2 ай бұрын
Kwani ume lazimishwa kuifatilia
@elicktilia4430
@elicktilia4430 2 ай бұрын
𝚆𝚊𝚌𝚑𝚊 𝚠𝚊𝚎𝚗𝚍𝚎𝚕𝚎𝚎𝚎 𝚔𝚞𝚋𝚒𝚕𝚒 𝚜𝚒𝚛𝚊𝚑𝚊
@user-yn3ve7gi2r
@user-yn3ve7gi2r 2 ай бұрын
Usiseme anapigana na ukrein sema anapigana na NATO
What is ChatGPT doing...and why does it work?
3:15:38
Wolfram
Рет қаралды 2,1 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
НИЧЕГО СЛОЖНОГО
0:21
KINO KAIF
Рет қаралды 4,2 МЛН
小路飞跟姐姐去哪里了#海贼王#路飞
0:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 19 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
0:30
FASH
Рет қаралды 20 МЛН
Choices for your loved ones❤️
0:15
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 11 МЛН
HE’S BACK! 😰
0:11
HeyItzPuppies
Рет қаралды 14 МЛН