Nimebarikiwa sana na ushuhuda katika jina la Yesu Kristo
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Hakika tunapaswa kubadilika na kumrudia Mungu
@lilianluhasi50533 жыл бұрын
Barikiwa Sana Binti
@mtindamtinangi3463 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa
@AsumandewambutoDieu-merciMbuto Жыл бұрын
utukuzwe Mungu
@tinabonge53713 жыл бұрын
Nimebalikiwa sana na ushuhuda
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@Sp-gi9fk3 жыл бұрын
Waaah glory be to God
@nelsonsalumuclovis7533 жыл бұрын
Amena
@rabinzsinoya1434 Жыл бұрын
MUNGU atusaidiye sana
@felicitemihungo36003 жыл бұрын
Amen Mungu nimwema nashukuru sana
@SabinaEzekiel-vb5nh2 ай бұрын
Amina.
@THEDEMISEOFTHECITYOFDARESALAAM3 жыл бұрын
Umeskiliza shuda hii Kuna watu niliwaambia hapa kua Yesu anaijua SIKU ya kurudi. Yesu ndio Mungu MWENYEWE amejigawa mara 3. Aliposema hakuna ajuaye siku.. niliwaambia Yesu anaijua siku ya unyakuo.. na saa Bali andiko hili limeandikwa ili awapate walio wake tu kutenga ngano na magugu.wenye kuamini visivyoonekana Umeskia yesu amemuonyesha saa ya mbinguni na amemuambia hakuna malaika aliye wahi kuiona hii SAA.. Yesu angekua hajui siku wala saa wakati anayo..je.. malaika wanajiandaa kwa matarumbeta wameambiwa na Nani wajiandae... Kuna watu wanaendelea kubisha endelea kubisha utaelewa baadae au utachelewa Nilisema Kidunia muda ULIOBAKI unaona Ni miaka mingi sana lakini .. kiroho muda umeisha.hakuna mda
@LoFi_1203 жыл бұрын
Hallelujah
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Kaka naogopa jmn
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 kinachokuogopesha ni nini? Wakati ungefurahi ujiandae kwa ajili ya unyakuo!? Mbinguni siyo Marekani uzuri wake hauelezeki kulingana na biblia. Imagine sakafu ya mbinguni ni dhahabu safi hakuna udongo wala vumbi hakuna kufa wala kuzeeka hakuna kuugua wala kuchoka hapazoeleki kila siku ni kupya hakuna kununa wa kuchukia hakuna njaa wala hofu hakuna joto wala baridi nuru ya mbinguni ni Yesu mwenyewe. Kama hivi ndivyo ilivyo je majengo ya mbinguni yaliyojengwa kwa vito vya thamani!? Tujitahidi tuingie kwa kudhamiria
@THEDEMISEOFTHECITYOFDARESALAAM3 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 usiogope Bali kumshukuru Mungu. Kwa kujua ukweli utakaokuokoa na kuzimi
@gracecypilian65573 жыл бұрын
Kweli ndugu yangu katika Kristo Yesu ndie Mungu na anajua mambo yote na anakalibia kurudi tuzidi kujitakasa nakuomba toba
@kadunawewe72483 жыл бұрын
Ameen
@mwananyamalaz44272 жыл бұрын
Amen God bless you 🙏
@josephmtatilo23263 жыл бұрын
Amen
@michelmbaka69993 жыл бұрын
Yes Amen
@mwambakibucheche11192 жыл бұрын
Amen, jina la mungu liinuliwe.
@nellydeborah9433 жыл бұрын
May God forgive us .and let his grace lead us
@chancequeen47103 жыл бұрын
Nimebarikiwa 😭
@roselyneachieng76383 жыл бұрын
AMEN 🙏🙏
@jamilaezekiel61743 жыл бұрын
Ameen 🙏🙏🙏
@millicentayangokunting37283 жыл бұрын
Ushuhuda nzito sana
@suzanmndasha83152 жыл бұрын
Jamani huyu ni Mungu kabisa anaongea na mimi Ee Mungu Baba wa Mbinguni ninaomba unifundishe kuisikia sauti yako Jactan kaka na kundi lote la promover Mungu asiwaache kabisa
@magrethedson74453 жыл бұрын
MUNGU NA ATUSAIDIE SOTE TUWEZE KUMWANI YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ILI TUTUBU NA KUSAMEHEWA DHAMBI ZETU ZOTE. TUWEZE KUURITHI ULE UFALME WA MBINGUNI ALIOTUANDALIA.
@rodasamwel44613 жыл бұрын
Hakika siku zimekwisha,heri dunia ingeamka usingizini
@lydiamichael55093 жыл бұрын
AMEEN GLORY BE TO GOD
@billioneagervase89583 жыл бұрын
Ameeen . U
@billioneagervase89583 жыл бұрын
Ameeen.
@anaiskafilleaineedejesus36423 жыл бұрын
Bwana yesu christu asifiwe
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amina
@lutherstephano69103 жыл бұрын
Hakika yeye ni Alfa & Umega
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Nimeogopa balaa sina la kusema
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Usiogope
@medadiissa3243 жыл бұрын
Shalom mtumishi ! Naomba upate nafasi uje chanika kanisa la EBENEZER CHURCH SUPREME kuna shuhuda kutoka kwa nabii happiness alioneshwa na yeye mbinguni na hata jehanam na mengine mengi. Namba zake hizi hapa 0766223625. Hata mambo ya Tanzania anapewa sana yaani wewe mwenyewe utashangaa
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Shalom,barikiwa sana,kwa mapenzi ya Mungu tutamtafta