USHUHUDA WA VIJANA 7 WA COLUMBIA WALIOFUNULIWA MBINGU NA KUSHUHUDIA MAMBO YA KUSTAAJABISHA

  Рет қаралды 19,582

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 60
@joycemushi725
@joycemushi725 4 жыл бұрын
Ni heri kuamini hata ulikuta Mungu hayupo basi huna hasara, kuliko ukidharau na kutoamini then umkute Mungu yupooo, itakuwa hasara ya milele, nakushauri ndugu yangu amini Sasa, amini uokoke
@shakirasaidi8596
@shakirasaidi8596 3 жыл бұрын
Eeee mwenyez mungu nakuomba unifanye utakavyo mm na familia yangu ndugu zangu wote kwa ujumla tulipo kosea twaomba ee baba utuhurumie na kutuandika katika kitabu cha utukufw
@voctoriangombe6136
@voctoriangombe6136 Жыл бұрын
Mungu utusamehe zambi zote tunaxozijua na tusizozijua,tusafishe na damu ya Yesu,wafungue walofungwa,wapo ambao wanakataa mashuhuda haya,wapo wanaokufuru uumbaji na hawasikii wanajiremba,wanajichubua na wanasuka rasta Yesu watoe ganzi ya shetan ili waokoke waingie mbingun pale mauti inapowafikia
@jasonandjesuschrist4172
@jasonandjesuschrist4172 3 жыл бұрын
BWANA YESU KRISTO asifiwe MILELE ❣️ AMEN 😍❣️
@tumainigeofrey9702
@tumainigeofrey9702 4 жыл бұрын
Ajabu! Jina la BWANA YESU KRISTO libarikiwe sana sana! MUNGU akubariki kwa kazi hii njema! Amina.
@medadiissa324
@medadiissa324 4 жыл бұрын
Yesu Kristo ni njia ya uzima
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
Amen ..kwa kweli mbingu ipo na kuzimu ipo sasa ni mwanadamu amuwe
@sarahyvonne4580
@sarahyvonne4580 4 жыл бұрын
Mm na familia yangu tunachagua mbinguni ee mwenyezi mungu nisaidie
@musakasingo594
@musakasingo594 Жыл бұрын
Yesu Ni njia kwel na uzima wa milele.
@alinefeyi6731
@alinefeyi6731 4 жыл бұрын
Asante mtumichi Mungu akubariki kwa uchuhuhda
@AsumandewambutoDieu-merciMbuto
@AsumandewambutoDieu-merciMbuto Жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@mawazobayndulwa1909
@mawazobayndulwa1909 4 жыл бұрын
Amen Amena jina la bwana libarikiye Mungu ni mwema Aric Mungu hakubariki sana kwakweli hushuhuda huu umenibariki sana zaidi ni Asant
@joycemushi725
@joycemushi725 4 жыл бұрын
Kwakweli naomba usiku na mchana nifike mbinguni kwa baba
@jeannettelwaboshi1533
@jeannettelwaboshi1533 3 жыл бұрын
AMEN
@sarahyvonne4580
@sarahyvonne4580 4 жыл бұрын
MUNGU WANGU,MM NAKIRI MBELE ZA WATU WEWE NDIWE BWANA NA MOKOZI WA MAISHA YANGU YOTE,UNIONGOZE MM NA WATOTO WANGU UWAFANYE JINSI UPENDAVYO,MAMA YANGU NA NDUGU ZANGU WOTE,NAKIRI KWAKO SITAWAI TUMIKIA IMANI ZA WAGANGA, EE MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE
@everlinekemunto2700
@everlinekemunto2700 4 жыл бұрын
Mungu niongose hili nikuone siku za mwisho, pamoja na Familia yangu
@patrickombaga6708
@patrickombaga6708 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Mbingu ipo, narudia tena Mbingu ipo, kama huamini una bahati mbaya sana.
@sarahkaombwe7986
@sarahkaombwe7986 4 жыл бұрын
Namshukuru mungu kwa kupata neema ya kusikia shuhudà nyingi kwani zinanifanyà nikaze mwendo na kuishi kwa imani ili nimalize mwendo salamà amen.
@dianastemile6976
@dianastemile6976 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni atukuzwe haleluyah
@pauloropian8116
@pauloropian8116 4 жыл бұрын
Really vyote vilivyo duniani na mbinguni ni Mali ya bwana YESU
@phoustinekhaindi9859
@phoustinekhaindi9859 4 жыл бұрын
Mungu nitie nguvu
@stellarichard3784
@stellarichard3784 3 жыл бұрын
Asante sana
@elizabethjohn6945
@elizabethjohn6945 2 жыл бұрын
Nimeipenda Dana hii no hero tuamini haha na kuzitafakari njia zetu,
@jamesoscar8911
@jamesoscar8911 4 жыл бұрын
Hakika kuikosa Mbingu Ni Hasara isiyoelezeka
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 4 жыл бұрын
Majonzi ya milele😭😭
@jofreyjohn6360
@jofreyjohn6360 3 жыл бұрын
Mbaya sana
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 8 ай бұрын
Amen
@victoriadennis2974
@victoriadennis2974 4 жыл бұрын
Nafurahiya sana shuhuda ubarikiwe
@anaiskafilleaineedejesus3642
@anaiskafilleaineedejesus3642 3 жыл бұрын
Mungu wangu ulie juu mbinguni nitaku fwata milele
@sallygrace1495
@sallygrace1495 4 жыл бұрын
Praise the Lord God Almighty ❤🙏
@fei3668
@fei3668 3 жыл бұрын
🙏🙏asante Mungu baba kwa yesu kristu
@pauloropian8116
@pauloropian8116 4 жыл бұрын
Glory be to God of Israel.
@musakasingo594
@musakasingo594 Жыл бұрын
Siku zote Ni mchana mbinguni, hakuna usiku
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 3 жыл бұрын
Promover nilikuwa nahitaji hii sehem ya kwanza siioni walipokwenda kuzimu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Ndo sehemu ya kwanza na pekee hii
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Uyo ndo Yesu no one like him
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
Hakika vyote ni vyake Bwana nami naomba usiku na mchana najitayarisha kuuona utukufu wa Bwana Eee Mungu niwezeshe na kuniongoza nisipotee,Nakuhitaji Bwana
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
Sasa upo Tz upande gani
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
@@millicentayangokunting3728 mm ni Mkenya lkn niko Lebanon
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
@@hebronsdaughter1661 mimi nko dubai lkn nataka nikirudi kenya nitaenda Tz kwa prophet hebron si twende pamoja
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
@@millicentayangokunting3728 amen Hallelujah hata mm ndio napanga hivyo yani naomba Mungu anisaidie nifike kwa Nabii Hebron
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
@@millicentayangokunting3728 warudi lini Kenya mm mpaka next year
@isaacochieng8460
@isaacochieng8460 4 жыл бұрын
Kwa yesu ni kuzuri hata ukifa ukiwa kwake still ni advantage tuuu
@aminaally4163
@aminaally4163 4 жыл бұрын
Emen MUNGU utusaidie wanao baba tufate Njia zako.
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 4 жыл бұрын
Nami nawahubilia saa hii unyakua umekalibia mtubu mapema.YESU AMENIELEZA JUMA NA SIKU YA UNYAKUO ila hajaniambia tarehe saa na mwaka ila siku ameniambia . Ameniambia mbinguni walikua wamebakiza siku tatu tu za neema kumsubilia/ kumvumilia mwanadamu atubu lakini kwa kua mwanadamu ameamua kumkataa mungu mungu nae ameghaili ametoa siku 1. Simebaki siku mbili . Ambazo kimsingi zimekwisha isha Yaani sasa ndio tunaimalizia hiyo siku ya pili kwa hiyo hakuna tena siku ya 3 yaani hakuna tena muda muda umeisha . 👇👉 MITHALI-1. ( 24-25) 24 Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa;Nimeunyosha mkono wangu, asiangalie mtu; 25 Bali mmebatilisha shauri langu,Wala hamkutaka maonyo yangu; 👉👉👉IKIWEZEKANA MALIZIA HADI MWISHO
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 4 жыл бұрын
kaka me naamini ila hii ndoto uliiipata lini kaka maan umenishtua sana na huu ufunuo wako
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 3 жыл бұрын
@@josephatjoseph1755 ahahaaa hakuna ndoto hapo Ni live yesu. Nimefika au kwenda mbinguni zaidi ya mara 20+ .. mtu ukiambiwa unadhani hadithi au ndoto. Nipo naendelea kuhubili mtaani bado sina vyombo
@emmanuelgodwinmollel3714
@emmanuelgodwinmollel3714 3 жыл бұрын
Jacktan mbna kama kwa pale walipooneshwa kuzimu hakupo... i mean hcho kipande hakipo inaonekana imeanza katkati
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Kivipi
@emmanuelgodwinmollel3714
@emmanuelgodwinmollel3714 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz yaani upande wa kuzimu (walipooneshwa kuzimu hakupo)
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
@@emmanuelgodwinmollel3714 labda copy yangu niliyopata ni tofauti na yako
@emmanuelgodwinmollel3714
@emmanuelgodwinmollel3714 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz hahahhah sasa c ndo hii tu nloisikia ndgu... anyway ntarudi tena kwa makini nisikie kama kuna mahali walipooneshwa kuzimu na mambo yaliyopo kuzimu.
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 жыл бұрын
MUNGU NITIE NGUVU NIKUFANYIE YALIO MEMA
@medadiissa324
@medadiissa324 4 жыл бұрын
YOHANA 14;6-9
@johnnyaonge8950
@johnnyaonge8950 4 жыл бұрын
Je naweza kukipata wapi kitabu hiki,??
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 4 жыл бұрын
Kuna mtu nilimwambia nilipelekwa chuo cha biblia mbinguni. Akadhani nilikua naota eti natakiwa nikasome biblia. . Sasa nikasome chuo cha kidunia wakati nasomeshwa mbinguni ______________________ Aiseee mwanadamu kuiona mbingu ipo kazi nzito na biblia ilisha waeleza . Mtu anakuchukulia kwa nje anvyokuona anaona tu amemaliza maliza maisha - kuna maisha mengine hayo hadi uwe unaeabudu Kweli na mungu halisi ndio utayajua
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,4 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
PART 1 IDARA 27 ZA UFALME WA MBINGUNI USHUHUDA WA NABII ASTONI ADAM MBAYA
21:21
PART 4 MAMBO YA KUTISHA WAKATI PARAPANDA ITAKAPOLIA USHUHUDA WA GRACIA
25:17