Amina Yesu Kristo hataacha kondoo wake watawanywe na mbwa mwitu
@josephinemsekwahalidkijang51833 жыл бұрын
Aisee jina la Yesu lihimidiwe anachosema huyu mama ni kweli kabisaa , inyakuo umekaribia watu wa Mungu. Mimi pia nimesemeshwa na Mungu kuhusu huu unyakuo, watu wa Mungu mda umebaki mchache sana tubadilike ,BWANA YESU ASIFIWE MNO AMEN.
@siporajemes7733 жыл бұрын
Sasa km umesemesha na Mungu unasubili nn kuushuhudia ulimwengu mpka umsikie muo go mmoja mtandaoni ndipo useme naww
@mukindjekasongo79103 жыл бұрын
Asante sana shujaa na jasiri wamungu ujumbe huu ni wakweli kabisa na baazi ulio oneshewa na mungu nami nimeoneshewa hakika ujumbe huu niwakweli kabisa nami pia naongeza sauti watu waache zambi wamugeukie mungu hakika
@gloryenock94733 жыл бұрын
@@siporajemes773 acha hizo wewe sikiliza na unyamaze kimya
@latiphajackson49013 жыл бұрын
Kabsa Yesu yu karibu kurudi💕💕💕🙏🏾
@nadiahjbsdaughter82883 жыл бұрын
ningependa kupata namba yake ya simu tafadhali nimebarikiwa 🙏🏿🤝
@Lameckalbano Жыл бұрын
Mungu wangu nisaidie niache zambi cku zimeisha
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
Aliye na Roho Wa Mungu Wa kweli atamuelewa Mungu anavotwambia kumtumia mama etu,asante Bwana Yesu kwa kuzidi kutujali na kutupenda watoto wako,Baba usituache tusaidie tusikutende dhambi kamwe,,yaaji huyu Yesu nishanuia moyoni sitokaa nimuache kamwee.asante kaka jack and prom tv.
@monicarugiga40823 жыл бұрын
BWANA YESU unihurumie na mimi. Katika hili naomba niongozwe na Roho wako mtakatifu. Ni mwalimu na kiongozi wetu.
@jenifamuia22863 жыл бұрын
Ujumbe mzito kutoka kwa Mungu.wacha tutubu dhambi zetu yesu yu karibu kuja.🇰🇪🇰🇪🇰🇪kenya
@decemberachieng74883 жыл бұрын
Halleluyah...I thank God am in the right church UPC KAWANGWARE..Under Rev.Silus Mukunzi.nimejifunzi duniani nikuacha dhambi kutubu na kuomba kila wakati...In 2017 i also saw Jesus in clouds...He is coming soon May You God remember me Ukirudi🙏🙏🙏
@waithirajohnny65023 жыл бұрын
Na mshukuru mungu kwa huu ujumbe...natamani sana kuwa na rafiki Kama huyu mamangu... Hii ndio ombi langu.🙏
@salomekyamba18203 жыл бұрын
Ni kweli Mimi pia mwaka huu nimeota YESU Anarudi sijawahi kuota nyakati za mwisho ni mwaka huu Kama mwezi umepita watu watubu na kumpokea YESU kuhubiri injili na kuishi maisha matakatifu sawasawa na neno la MUNGU jehanamu inatisha
@LaurenciaMarco2 ай бұрын
Asante san mungu kwa kumtumia mtumishi wako kutupa kweli na Mimi nampokea mungu katika maisha yangu
@romanajohnmkwama58503 жыл бұрын
Nimepokea ujumbe huu kwa makini mungu naomba unisamehe zambi zangu na niishi maisha yanahokupendeza, Asante kwa mafundisho haya
@liesharehema51933 жыл бұрын
Mama sauti yako inafaa imfikie kila mmoja maana siku hizi watumishi wangu wanapaka mikorogo wanaweka makope makucha manywele yabandia yaani nimambo yakushangaza sana mungu turehemu
@florarog5483 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa kutushirikisha ujumbe huu mzito. Ee Mungu tusaidie watoto wako usituache!!!
@dhg12453 жыл бұрын
I love your word mummy, u serve a living God 🙏🙏🙏🙏we surrender everything to follow Jesus, 😭😭😭😭getting you from Kenya 🇰🇪
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Asante Sana bwana yesu huu ujumbe naupokea ktk jina la YESUKRISTO
@nancynancy18023 жыл бұрын
Tuombee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mama umenijenga sana karibu Kenya Waambie ukweli mama. Uwahubirie injili ya ukweli kabisa.
@chaomadedo3 жыл бұрын
Msijali jirani zetu Mungu Anawapenda sana. Kenya yetu itamuona Mungu wa Israeli. Love you Kenya all the way from TANZANIA.
@horemow98323 жыл бұрын
Ni ujumbe mzito kweli barikiwa Sana mtumishi wa Mungu, brother Jactan napenda sana jinzi anavyo uliza maswali hayo ya mapambo kweli watu wamepovuka, ni wengi wameitwa ila ni wachache watakaongia, ufalme wa mbingu unawateka wenye nguvu
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@annamwaipopo94853 жыл бұрын
Tarehe 28 mwezi wa pili mm ndio nimejifungua asante Mungu kwa neema yako na asante mtumishi nimebsrikiwa na Mungu anirehemu maana mm n mkosaji
@BM_Smart2-62 жыл бұрын
Amen. Barikiwa mtumishi tuombee
@sarahmdindile43013 жыл бұрын
Asante yesu kwa kutupenda na kutufunulia siri hii ,kuanzia Leo sitaki tana kuvaa mawigi wala kusuka rasta aina yoyote ile.
@happnesskitumbo57133 жыл бұрын
Utakuwa umefanya vizuri, Mimi niliamua kuacha tangu niliposikiliza ushuhuda wa Margaret owmure wa Nigeria na ni na amani than before na ninamuona Mungu.
@sarahmdindile43013 жыл бұрын
@@happnesskitumbo5713 Mungu atutie nguvu kwakweli tuyashinde ya dunia
@rozinamaleka2143 жыл бұрын
@@happnesskitumbo5713 Kweli ata nilimsikiliza Magret nilibadili kila kisichofaa
@florenceanyango10583 жыл бұрын
@@happnesskitumbo5713 Praise Jesus, Margaret Amure alitunga ushuhuda wake, alitubu baadaye. Angalia vizuri kwenye mtandao yeye mwenyewe akiwa anakiri in uwongo alitunga.
@sekelasiwezpekeyanguyesumw79743 жыл бұрын
@@florenceanyango1058 mpendwa hata Kama alitunga lkn uliponya wengine Cha muhimu ameshatubu na aaliowashuhudia wamebadilika
@PreciousZawadi-w8z Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🙏🙏 mungu ni mwema Mungu akubariki mummy Kwa ujumbe huu naomba Mungu atusaidie ili tuweze kuyatenda magizo yake🙏🙏🙏
@pendoemmanuel88812 жыл бұрын
Hayo na Mimi nilifunuliwa na Mungu kurudi kwa Yesu. Chanjo za korona. Hata kuunguzwa Moto dunia
@jeaninekabano91903 жыл бұрын
Ubarikiwe Nabii wa Mungu kwa upendo wako mkuu kweli Yesu anarudi tuache dhambi zote kwa maana hakuna kisichojulikana na hakuna lisilowezekana kwake tukiamini naomba Namba ya simu ya huyu Mtumishi Mungu akubariki🙏♥️
@PromovertvTz3 жыл бұрын
+255763452740
@rechoward39413 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa huduma hii njema. Mtumishi wa Mungu, ubarikiwe. Nimebarikiwa sana. Ushuhuda huu utanitoa mahali fulani na kunisogeza kwa Baba Mungu zaidi.
@alifridahocharo3 жыл бұрын
Thank you kwa Hilo neno LA Mungu my sister you resemble my mother who passed 15 yrs ago you speak like her continue kuhubiri the gospel of God may good bless you
@michaelyohana44673 жыл бұрын
Ahsante sana mtumishi wa MUNGU jaktani kwakuendelea kutupa shuhuda mbali mbali za neno la MUNGU kwakweli ubalikiwe sana kazi yako sii bule sikumoja BWANA atakulipa pia ahsante sana mama kwakutufikishia ujumbe huu ubalikiwe Sana mtumishi wa MUNGU
@freddiegnabry89193 жыл бұрын
Amina asante
@marinemodest17983 жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU naamini
@floraalex-id9wn Жыл бұрын
Ubarkiwe mama kwa kutupatia maneno ya mungu
@paulojohn25802 жыл бұрын
Amina barikiw mtumishi kutujenga
@tamaraeliz71143 жыл бұрын
Mungu asante kwa Ujumbe huu. Mungu nisaidie nimalize mwendo salama na niione mbingu. Asante Yesu. Jacktan Barikiwa sana. Na group yote ya Promover TV 📺 🖥 Asante Yesu
@saramichael90592 жыл бұрын
Powerful message
@vumiliawambula17163 жыл бұрын
Amen mtumishi Ubarikiwe sana Mungu nisaidi nipe neema na mwisho mzuri
@valenakomba76863 жыл бұрын
Amen, Asante sana ndugu kwa Imani yako na Upendo wako kwa Mungu. Natunakushukru pia kwa maombezi yako yenye faida.
@vickystellah31943 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu. Asante kwa ujumbe kutoka kwa Baba yetu aliye Mbinguni.
@sharonnasambu67533 жыл бұрын
Nikushukuru munguu kwa neema hii na kibali ya mimi kuweza kusikiliza ujumbe huu asante kwa upendo wako kwangu... Natubuu dhambi zangu eeh mungu nihurumie
@thomasmuyya72213 жыл бұрын
Mungu amemwita mama huyu kama alivyoitwa Yeremia. Tumshukuru Mungu anainua Manabii katika nchi yetu. Mama huyu ni zawadi kwa Tanzania. Mungu asante.
@nicoletoroitich22563 жыл бұрын
This is real. Be blessed for the massage 🙏
@philomenaatoki9033 жыл бұрын
Amen Amen. Holiness is the key
@berthamataba54893 жыл бұрын
Asante Mungu. Asante dear mama. Mwenyezi Mungu atusaidie tuitii sauti yake. Mungu anatupenda sana anataka tuache dhambi kweli ili tukaishi nae milele.
@saramichael90592 жыл бұрын
Asanteni sana kwa ujumbe huu mzuri.
@psalm23313 жыл бұрын
Mungu nisamehe makosa yangu yote nami nikutegemee wewe tuu mpaka utakaporudi yesu.
@christinaalexander12133 жыл бұрын
Amen
@naketizainabu78033 жыл бұрын
Amen
@meypaulin61383 жыл бұрын
Ee mungu nipe moyo wa uvumilivu nikutumikie wewe nikujue wewe nikupende niwe na Imani ya kweli niepuushe na tamaa za dunia nizitii amri zako mungu na mwsho nifike kwako mbinguni Amina
@mariachombo73163 жыл бұрын
Amen barikiwa Sana Mama kwa ujumbe,, naomba nijuze unaposali nami nipokee
@gloriamichael79353 жыл бұрын
Haya ndiyo Mambo ya kusikiliza Asante Mungu kunikutanisha na ushuhuda huu
@poneandrew24613 жыл бұрын
Mungu Baba naomba unisamehe dhambi zangu zote unipe nguvu ya kukutumikia unipe moyo mpya ee Bwana
@melckizedeckdaudi47463 жыл бұрын
Amen
@emanueldalali71843 жыл бұрын
Na mshukuru Mungu kwa kuusikiliza ushuhuda huu Asante mama kwa kuitii sauti ya Mungu
@sanifhesro21693 жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa saana🙏
@thomasmuyya72213 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu Kristo kwa kutupenda unatuonya ili tusiwe na udhuru. Aliye wa Mungu atasikia ujumbe huu. Ujumbe wa Msalaba ni upuuzi kwa watu walio katika mkumbo wa kupotea lakini kwetu sisi tunaoamini ni nguvu na hekima ya Mungu.
@carolyneoirere47483 жыл бұрын
Amen mm nilifunguliwa nkiwa uarabuni naomba sana Roho wa Mungu niongoze kwa kanisa yenye kumuabudu Mungu kwa roho na kweli nikirudi kenya
@rebeccanghwasa73873 жыл бұрын
Asante sana mama.
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Tokea 1992 bado umeshikilia wokovu hujarudi nyuma 😭😭😭 kweli lazima Mungu aongea nawe naulivyo kaa munyenyekevu na mavazi yako nikielelezo tosha Mungu anakutumia
@m2rmjk723 жыл бұрын
Mungu akutumie zaidi
@emmyroseissack53313 жыл бұрын
Mungu akubariki promover tvkwa kutufikishia ujumbe huu kutoka kwa mtumishi alie tumwa na mungu atufikishie ujumbe huu ubarikiwe sana 🙏🙏
@leahdaniel2713 жыл бұрын
Ni kweli kabisaaa kuna siku nimejitayarisha kwenda dukani nilpoanza kuomba gafla nilijihisi kufadhaika Sana ndipo nilipoambiwa unyakuo umekaribia watu watubu nililia. Sana kwani niliambiwa mda umebaki kidogo Sana YESU anarudi upesi
@josephurupia46533 жыл бұрын
Sasa hivi ukowap ndg
@monicasada54173 жыл бұрын
Eehh Mungu nisaidie niliwish neno Lako naunisamehe Mungu kwa maovu yte niliyotenda nijuwe Yesu unarudi kuchukuwa kanisa lko... Yesu nitenge na dhambi za dunia
@abelidoromi2303 жыл бұрын
Mama Mungu akubariki kwa ujumbe wako wa Uamsho. Usiishie Tanzania tu, OMBA Mungu akupe kibali ili uvuke Mipaka ya Inchi yako pia.
@rozinamaleka2143 жыл бұрын
Mungu akubariki mama kwa ushuhuda ee niwezeshe Yesu pekeangu siwezi
@jeressjohn91053 жыл бұрын
Asante Yesu kwakunipa Neema ya kuona video hii naamini huu ni ujumbe wakweli Yesu tusaidie kushinda dhambi from Pakistani
@evekikweshanicco40533 жыл бұрын
Da! Uyu mama anaongea kabisa kutoka moyoni!mungu nisaidie kuna maisha baada ya kufa nitakuwa wapi?
@evaevy33133 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu🇦🇪
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Amen and Amen sifa kwa mwenyezi MUNGU
@waithirajohnny65023 жыл бұрын
She is very focused.glory to God!
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
GLORY TO JESUS CHRIST HALLELUIYAH
@janetnzai76593 жыл бұрын
Amina ujumbe mzima, nimesambaza tayari si mzaha Yesu yu tayari Kuja kulinyakua kanisa
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Barikiwa
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Alieye na maskio askie roho ana nena na kanisa, na kufuatilizia nikiwa Kenya 🇰🇪 mungu tunakuhitaji.
@chaomadedo3 жыл бұрын
Amina
@valenakomba76863 жыл бұрын
Ameni. Asante ana kwa ujumbe wako.
@betrs52853 жыл бұрын
Amen asante mungu kwa kunipa neema ya kusilikiza neno hili
@MariaMlenda-mv1yh4 ай бұрын
Asante Yesu kristo
@JohnSekopa10 ай бұрын
Nashuru sana mtumishi wangu
@ScolaMwanjoka-z8m3 ай бұрын
Mungu naomba unisamehe na unikumbuke katika ufalme wako
@mwikalinaomi83643 жыл бұрын
Thank you mama. Help us God to change our ways and come back to you. We are sinners please forgive us and remember mercy.
@mayrialz83713 жыл бұрын
Hayo ni ya ukweli kabisa,😭😭Mungu tuhurumia na utusamehe dhambi zetu🤲🤲
@Fungaming-tb2kp3 жыл бұрын
Mungu nisaidie niwe na mwisho mnzuri Baba kwajina la Yeah Mama Mungu akubariki Sana Tena sana kwakutu onya Amenmen
@carolynadhiambo25433 жыл бұрын
Mungu naomba mwisho mzuri usiniache BABA WA Binguni Ni rehemu ni samehe dhambi zangu ni saidie MUNGU Wangu,nipe roho ya kuridhika niodolee tama Mungu niepushie gadhabu yakokwa jina la mwanao YESU KRISTO.
@everlinekemunto27003 жыл бұрын
Nimepalikiwa Sana, Asante mama natamani kutembea katika njia za Bwana Mungu.
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Andka vzr Sasa acha papala palikiwa ndo nn sasa
@judithkatoto33163 жыл бұрын
Hakika.mungu nisaidie nifikie mwisho mwemaa Asant mamy kwa ujumbe Mtamu
@helenbahati80383 жыл бұрын
Amen Amen JINA la BWANA lipewe sifa asante kwa ushuhuda mama mtumishi wa Mungu 🇰🇪🙏🙏
@videozaaj10693 жыл бұрын
Praise the MOST HIGH LORD JESUS
@billioneagervase89583 жыл бұрын
Ameeen.Asante kwa taarifa.Jina la Mungu litukuzwe.
@angelshio26173 жыл бұрын
Mungu nipe Neema ya kutubu kila wakati
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
WOOW JAMANI BWANA WETU YESU KRISTO 😭😭💞💞💞🙏🙏🛐
@lovemajogolafia5839 Жыл бұрын
Oooh God give me the grace to remain 🙏
@hildamassanja84833 жыл бұрын
Amen
@hopeeli96413 жыл бұрын
Amen, ni kweli na Hakika, hata mimi tarehe 26 March Mwaka huu, nilipewa ujumbe huo wa kurudi kwa YESU.
@lioncoin3 жыл бұрын
Asanti Yesu Kristo kwa yote uliyotufanyia Usifiwe milele AMINA
@marinahonest57593 жыл бұрын
Ni machozi yanantoka kuhusu ujumbe huu kwani hata Mimi hata kufungua huu ushuhuda Ni Mungu ndo kanielekeza.baadhi ya vitu kutoka kwa mama huyu Ni tumefundishwa kwa semina. Hivo yatuopasa kumtafuta Mungu kwa bidii na haya mengine yote yatajisumbukia,BARIKIWA MAMA na PROVER🙌🙌🙏🙏🙏
@RebekaMpaki Жыл бұрын
Nenda nenda mama mungu akubariki sana
@deodatuschrizant37363 жыл бұрын
Ubarikiwe m.mchungaji🙏
@Kadzo_JMaitha3 жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@emmyroseissack53313 жыл бұрын
Mungu tusaidie tusikie mafundisho haya tunyenyekee na tutubu dhambi tutakaswe tuwe watakatifu kama wewe Mungu 🙏
@liliankaufmann16193 жыл бұрын
Ni kweli kweli. Hizi siku ni za mwisho. Tutafute uzo ya Mungu. Tuwache dhambi. Na kumfwata Yesu
@angelshio26173 жыл бұрын
Mama Mtumishi Mungu azidi kukutumia na akupe neema ya kuuambia ukweli
@ashleymechack50373 жыл бұрын
Ubarikiwe sana maman na Mungu atusaidie atufunguwe macho.
@neemanzengele71693 жыл бұрын
Amen mtumishi ni kweli kabisa unachokisema huu ni wakati wa watu tumgeukie Mungu.
@veronicastanley39553 жыл бұрын
Ujumbe umenigusa saana. Barikiwa sana Mama mtumishi wa Mungu.
@mercymwasha39933 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mama Mtumishi. Ni kweli mamaYesu anarudi yote yametimia
@gracechizi91173 жыл бұрын
Amn
@carolynemalungu7183 жыл бұрын
Be blessed mtumishi wa mungu Asante sana
@michaelangwenyi57283 жыл бұрын
Glory to God for His unfailing love. The word of prophecy has come true......Joel 2:28
@agnesnangela26893 жыл бұрын
Amen, barikiwa sna mtumishi wa mungu
@daughterofakingtabitha.98333 жыл бұрын
Ushuhuda huu unajenga sana. Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana.
@JohnSekopa10 ай бұрын
Mungu hakubari sanatena sana
@asuntaivan89003 жыл бұрын
Be blessing mama...Mungu azidi kukutangulia mama
@reginatsaxara46003 жыл бұрын
Nimeingiwa na hofu Mungu unirehemu unisamehe niepushe na hasira yako siku ya mwisho
@geofreymaghali1833 жыл бұрын
Mungu aendelee kusema na kanisa lake kupitia wewe mama yetu, Tujue jinsi ya kuhesabu hatua zenu tuishipo hizi nyakati za mwisho