USIOGOPE KUNENA KWA LUGHA

  Рет қаралды 14,140

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

Жыл бұрын

Karibu Ukweli Ministries. Sisi ni huduma iliyoitwa na Roho kuhubiri ukweli, na hatutapita wiki bila kuhubiri ukweli kwa roho zilizopotea huko nje. Hili si dhehebu na kamwe hatutajiona kuwa ni dhehebu, lakini Bwana ametuita kurekebisha madhehebu. Kwa neema ya Mungu, tumefundishwa na Yesu Kristo kwamba yeye ndiye Mungu wa pekee wa kweli, mkamilifu katika uumbaji wake. Hatuamini utatu, kwa sababu hautoki kwa Mungu, na tumefundishwa na Mungu kukaa imara kwa kichwa ambacho ni Kristo (Wakolosai 2:19.) Mafundisho yetu yote yamethibitishwa na Mungu aliye juu zaidi. , Kristo Yesu. Na tunahakikisha kwamba hatufundishi chochote ambacho hakitoki kwake. Bwana awape kila mtu ufahamu na subira katika kusoma haya. Amina.
Welcome to Ukweli Ministries. We are a ministry called by the Spirit to preach the truth, and we will not go a week without preaching truth to the lost souls out there. This is not a denomination and we will never consider ourselves to be a denomination, but the Lord has called us to fix denominations. By God's grace, we've been taught by Jesus Christ that he's the one and only true God, perfect in his creation. We do not believe in the trinity, because it does not come from God, and we've been taught by God to stay steadfast to the head which is Christ (Colossians 2:19.) All of our teachings are confirmed by the highest God, Christ Jesus. And we make sure that we do not teach anything that does not come from him. May the Lord give everyone understanding and patience in reading this. Amen.
Social Media:
/ ukweliministries

Пікірлер: 146
@TitusMuia-ti7ir
@TitusMuia-ti7ir 10 ай бұрын
Amen
@serahmuchemi9661
@serahmuchemi9661 Жыл бұрын
Natamani Sana kunena Kwa Ruga Mungu nisaidie sana Mungu wangu
@dadafrida9202
@dadafrida9202 Жыл бұрын
Amen'amen'asante Bwana wetu Yesu Kristo
@mariammganga5061
@mariammganga5061 Жыл бұрын
Asante sana Mwenyez MUNGU kwaajili ya mtumishi wako huyu,,,,
@HappyAtom-qd5sz
@HappyAtom-qd5sz 29 күн бұрын
Amen 🙏
@rowenalilie993
@rowenalilie993 3 ай бұрын
Napenda sana. Mungu azidi kukutia nguvu
@elinurujohn975
@elinurujohn975 Жыл бұрын
Kunena inawezeka kwajina la Yesu.
@user-cy6jw7lc1l
@user-cy6jw7lc1l 11 ай бұрын
Amen ubarikie maliyabwan
@MilliumSwai-sy3qr
@MilliumSwai-sy3qr Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@haridimpelengana1246
@haridimpelengana1246 8 ай бұрын
Great and awesome
@daudsimon1488
@daudsimon1488 Жыл бұрын
Natamani kunena kwa lugha sana ni kweli Mimi sina hii karama
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@suvenkanyolo6104
@suvenkanyolo6104 Жыл бұрын
Minapenda Roho wa Mungu atawale watuwote nikiona mutu ananena uwa nafurahi sana kabisa
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Жыл бұрын
NATAMANI ninene kWA LUGHA saana bila woga natamani YESU KRISTO niwezeshe 🙏😔🙏
@trezianzunda1909
@trezianzunda1909 Жыл бұрын
Huwezi Nena kwa lugha Kama hujajazwa roho mtakatifu
@rodahwanza6186
@rodahwanza6186 Жыл бұрын
Roho mtakatifu ujaza mtu WA aina Gani juu sielewi
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Жыл бұрын
@@rodahwanza6186 ishi Kwa kufuata na kuzishika AMRI zake, napia kuomba Kwa Imani na kuwa mvumilivi IPO SIKU yako nawe atatenda .maana ni mwema KWETU na atatenda Kwa woote wamtafutao
@ungaemedi8282
@ungaemedi8282 Жыл бұрын
Mungu tusaidiye kabisa tunene hili watu wakuelewe
@collettumbo8972
@collettumbo8972 Жыл бұрын
Wao husema amen roho wa bwana hutii manabiii.
@mercylynekuin4863
@mercylynekuin4863 Жыл бұрын
Amen, I love speaking in tongues, my mama's church had been discouraging speaking in tongues and I remember one pastor making fun of it! Am glad I have come across this video
@menmustpray
@menmustpray Жыл бұрын
Yes, there is a lot of hate for this gift but we push through. I loved how he said it is common for servants of God to be ridiculed.
@rosemarymghoi3581
@rosemarymghoi3581 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe Mimi nimepigwa vita sana hata hivi siendi kanisani kwa sababu ya kunena kwa lugha pastar wangu Hani pendi je Hilo kanisa ni la Mungu ama LA shetani he nifanyeje
@judychelangat1730
@judychelangat1730 Жыл бұрын
Nakushukuru Kwa fundisho Hilo la kunena Kwa lugha, wakati Ninapo Nena Kwa lugha najukuta naelewa ninayo nena
@MLIMA-WA-BWANA
@MLIMA-WA-BWANA Жыл бұрын
AMEN.
@sallymumia8425
@sallymumia8425 Жыл бұрын
Amen,amen, Asante sana,Kwa mafunzo,mtumishi.
@mangalaemanuel4797
@mangalaemanuel4797 5 ай бұрын
Asante sana
@evajkemboi5992
@evajkemboi5992 Жыл бұрын
Amen mtumishi
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Amen mtume wa Mungu wetu
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Yote ni kweli kabisa Mtu wa MUNGU
@noahmjivane5527
@noahmjivane5527 Жыл бұрын
mtumishi wa mungu umenifunua kimawazo mtu akitaka mawasiliano atakupata aje
@suvenkanyolo6104
@suvenkanyolo6104 Жыл бұрын
Somo imeninjenga kabisa Umbarikiwe sana kabisa Mungu atusaindiye sana kabisa
@bahatiabc4291
@bahatiabc4291 Жыл бұрын
Mtumishi tunaomba unyowe nywele
@rebeccasaid9181
@rebeccasaid9181 Жыл бұрын
Nakuelewa Sana napga hatua kla napokucklza mtume wa MUNGU ubarikiwe Sana namuombea Maisha marefu Tulare kujifunza meng kutoka kwa Mungu
@JoelDuwe
@JoelDuwe 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@everlynewamanya991
@everlynewamanya991 Жыл бұрын
Mimi nimejengeka na mafunzo haya mungu akuzidishie neema yake.
@faithe4063
@faithe4063 Жыл бұрын
Ni kweli Roho wa mwenyezi mungu ni moto 🔥 I love this mgs oh Lord 🤲 remember our people
@catherinewambui7663
@catherinewambui7663 Жыл бұрын
Amen Amen Amen. Glory be to God Almighty. Nashkuru Mungu kwa mafunzo yako. Mungu akubariki na akuzidishie wema wake.
@rusiafrancoise2396
@rusiafrancoise2396 Жыл бұрын
Unione bwana
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 Жыл бұрын
AMEN
@alicensabimana2137
@alicensabimana2137 Жыл бұрын
Aye wanafanikiwa aribu nakuziwiya mambo ya Mungu Neno la Mungu linasema tafauti
@gambonmgaya1286
@gambonmgaya1286 Жыл бұрын
Mimi nilinena masaa mengi sana yaan nikadhani nitasahau , nikashangaa maneno yamewekwa mdomoni hayaondoki.Sifa na heshima na utukufu ni kwa Bwana Yesu.
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Жыл бұрын
Je ww mwenyewe ulielewa chenye ulinena
@gambonmgaya1286
@gambonmgaya1286 Жыл бұрын
@@fredrickgitonga1972 huwezi elewa ila Mungu mwenyewe anajua anaskia nini kutoka kwangu
@kennedyonyango8336
@kennedyonyango8336 Жыл бұрын
Amen amen. Mungu akupe nguvu zaidi zakuvunja mathabau za giza apa duniani .
@marychege9414
@marychege9414 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu.niombee niweze kunena na lugha@kenya
@neemangowo1453
@neemangowo1453 Жыл бұрын
Amen amen sana umekua mwalimu wangu mzur sana
@daisybuyantsi5953
@daisybuyantsi5953 Жыл бұрын
Maono na ndoto nimebarikiwa natamani kunene kwa kiroho barikiwa saana mtumishi wa Mungu
@Paul-iv1vt
@Paul-iv1vt Жыл бұрын
Na Roho aniaidie na mimi ni nene kwa rugha na kiu natamani sana.
@janewasai6271
@janewasai6271 Жыл бұрын
Amen . Amen , Amen ,,,, barikiwa Sana🙏
@maneujoh1031
@maneujoh1031 Жыл бұрын
Mtume meshark ubarikiwa sana yesu amenibadilisha
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Amen Mtume wa Bwana Yesu Kristo Asante kwa ufunuo huu wa kunena kwa lugha mpya
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
AMINA AMINA BARIKIWA Sana mtume kwa ufunuo huu
@kweliyakristoyesu
@kweliyakristoyesu Жыл бұрын
Neno la Mungu nitamu sana mimi napokea sana mtume meshak, Roho wa Mungu azidi kukupa chakula cha wanafunzi wako.
@evajkemboi5992
@evajkemboi5992 Жыл бұрын
You're true mtumishi. Roho wa Mungu huongelesha mtu kulingana na lugha yenye mtu anajua. God is wonderful aki. Sikuwa najua. Halafu kushikanisha sometimes ni ngumu. Naomba Mungu anielekeze zaidi
@winniesainet8635
@winniesainet8635 Жыл бұрын
Stay Blessed Man of God
@CynthiaSuka777
@CynthiaSuka777 Жыл бұрын
Amen Amen. More grace upon you apostle.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Asante mtumishi kwakutujenga barikiwa sana
@elpinakatana7469
@elpinakatana7469 Жыл бұрын
AMEEN MUNGU akubariki sana Kwa ajili ya ujumbe huu
@susannipah6563
@susannipah6563 Жыл бұрын
Ameen Mtumishi wa Mungu ninaye roho nanena kwa lugha ila maandiko sipati nafanyaje
@shantal6030
@shantal6030 Жыл бұрын
True speaking mtume meshak
@happykwekwemwambao6132
@happykwekwemwambao6132 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba maombi yAko nasikia Moyo wAgu unauma mara Kwa mara naomba maombi yAko Niko hapa Saudi arebia nahisi Amani Dani yagu kwA mahubiri yako natamani mugu aniajalie pia mimi
@inhashemitrust256
@inhashemitrust256 Жыл бұрын
You don’t miss brother Meshak ‘ God bless you
@rusiafrancoise2396
@rusiafrancoise2396 Жыл бұрын
EE YESU uninjaze Roho wako mtakatifu
@beatricefuraha6471
@beatricefuraha6471 Жыл бұрын
Amen 👏 Mungu akubariki
@seraphinemunanye5499
@seraphinemunanye5499 Жыл бұрын
Mungu ni muweza yote
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 Жыл бұрын
Amen amen.barikiwa sana mtumishi wa Mungu more grace 🙏
@victormwanza1495
@victormwanza1495 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana.
@ashleymechack151
@ashleymechack151 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtume, nabarikiwa sana na mafundisho yako. Songa mbele na simama Ima ra Bwana yunawe.
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana Mtume wa BWANA
@leahbhoke8718
@leahbhoke8718 Жыл бұрын
Bwana Yesu nisaidie nienende kwa mapenzi yako
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 Жыл бұрын
Asante kwa Mafumdisho
@Injiliyakweliifikedunianipote
@Injiliyakweliifikedunianipote Жыл бұрын
Ubarikiwe sana tena sana
@janekamau7169
@janekamau7169 Жыл бұрын
Nimelewa Sana mambo mingi tangu juzi tu nianze kukufwata
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Yani kuna somo ulifundisha kuusu kunena kwa lugha limenikomboa Uchawi ulimi funga koo, sasa Leo nilivyonena nikaona kwenye koo kizito Ila umenibaliki sana , na ulisema ukisikia hili somo utanena hallelujah kama MUNGU YUPO HAPA fatilia sana
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 Жыл бұрын
Somo zuri sana
@rebeccasaid9181
@rebeccasaid9181 Жыл бұрын
From tz naikubal injl unayoihubr hakka n ya YESU KRISTO
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 Жыл бұрын
AMEN mungu akubariki 🙏🙏
@ricanmiru4309
@ricanmiru4309 Жыл бұрын
Man of God thanks for your lesson 🙏 I'm Anne pray for my healing and my daughter and my family
@devidamasian5477
@devidamasian5477 Жыл бұрын
Ameeen!!!
@marypeter4584
@marypeter4584 Жыл бұрын
AMINA
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Жыл бұрын
Pray for me to receive holy spirit
@sifakarulange
@sifakarulange Жыл бұрын
Asante sana Ubarikiwe
@felistasabuni4285
@felistasabuni4285 Жыл бұрын
Amina
@shantal6030
@shantal6030 Жыл бұрын
Amen Amen Amen 👏 👏👏🙏🙏🙏
@susannipah6563
@susannipah6563 Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
@paulinestar3835
@paulinestar3835 Жыл бұрын
Asante mtume meshak naomba uniombee watoto wangu na mimi mwenyewe tufunguliwe kwa kila kifungo na ninakufuatilia sana nimebarikiwa.
@jesusreign448
@jesusreign448 Жыл бұрын
True kabisa mtume
@catherinewanjiku6638
@catherinewanjiku6638 Жыл бұрын
Mtumizi,kunakutoa sacrifice ya kuchija mbuzi ati diyo ufunguliwe
@chekaelia4282
@chekaelia4282 Жыл бұрын
Kwakweli umeongea point kaka yangu Mungu atufungue faamu ilituelewe Sana maana watu wengi wanadanganya Sana kweli.Mungu akubariki Sana umenipa aliki Sana nakuelewa🙏🙏🙏
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Mtume ni kweli kbs theolojia omelets utarayibu wa kufinya kbs nguvu ya toho mtktf.na kanisa esp lutheran ilidhoofishwa sana ma utaratibu wa ibada ambao haina nguvu kbs ya roho wa Mungu.ila namshukuru Mungu walao uamsho umeanza kwa walutheri.na kwa wale waliokuwa ma bidii ktk roho esp churches nyingi wao wamekamatwa ktk kujihesabia haki. Ibada zinaenda bila kuomba toba
@Mwinjilisti_Byamungu
@Mwinjilisti_Byamungu Жыл бұрын
kweli kbs Amena
@TKKMI-f4s
@TKKMI-f4s Жыл бұрын
Hello brother Mishek...I'm from Kenya, can you please teach about the 7 levels of the gift of speaking in tongues?...
@janekamau7169
@janekamau7169 Жыл бұрын
God bless you brother mishek,,, nisaindieni kuombea nchi yangu Kenya haswa kwa wakati huu wa uchanguzi
@ireneshuma1162
@ireneshuma1162 Жыл бұрын
Jane kamau tuko pamoja kuombea majirani zetu mmalize salama kufanya uchaguzi🇹🇿
@sallymumia8425
@sallymumia8425 Жыл бұрын
Amen.
@sallymumia8425
@sallymumia8425 Жыл бұрын
Kweli my sister we really need prayers.
@janekamau7169
@janekamau7169 Жыл бұрын
@@ireneshuma1162 Amina mungu awabariki dugu zetu
@devidamasian5477
@devidamasian5477 Жыл бұрын
Nataka kujiconnect na hii madhabahu kutoa sadaka "maelekezo"
@orgashayo4562
@orgashayo4562 Жыл бұрын
Merci beaucoup vous venez d'aide parceque j'étais dans une grande confusion total que nom Dieu teconble abondamment que tu sois plonge dans son sang
@EvangelistMathayo2604
@EvangelistMathayo2604 Жыл бұрын
Hee BABA MUNGU naomba unisaidie unikumbuke na mimi nifikiye atawa yaku nena kwa lugha mpya ya mbinguni
@officialjemimahowiti
@officialjemimahowiti Жыл бұрын
I really desire to speak in tounges
@christinekm8197
@christinekm8197 Жыл бұрын
Nimekutazama mara yangu ya kwanza na nimependa sana ukweli na uwazi ya inchili
@lydiamunyiva6113
@lydiamunyiva6113 Жыл бұрын
Amen,Amen,I'm being blessed by your teaching,from the time I started following you have started having good dreams, Glory to God 🙏🙏🙏
@gospel.jacintapaul8585
@gospel.jacintapaul8585 Жыл бұрын
Mtume natamani sana kuongea kwa lugha nisaidie
@salomemutile3929
@salomemutile3929 Жыл бұрын
Hi, mutumishi naomba uniobee roho mtakatifu anitangulie tena anifungue Mimi ni Salome kutoka kenya
@abelmbata37
@abelmbata37 Жыл бұрын
Swala la kunena kwa lugha tunatakiwa tuwe makini sana hata shetani pia ananena kwa lugha. Wapo watumishi wa shetani wananena kwa lugha pia.
@annawairimu4620
@annawairimu4620 Жыл бұрын
Mimi niliambiwa ni lugha ya shetani
@menmustpray
@menmustpray Жыл бұрын
Si lugha ya shetani. Unapoinena hutakuwa na shaka kuwa ni ya Bwana.
@aberymsovela8866
@aberymsovela8866 Жыл бұрын
Mungu akubariki mno mtu wa mbinguni,,,nimepigwa vita sana juu ya kunena kwa Lugha na kanisa langu,,,adi wakanifanyia mtego kwa njia ya pesa ili nisinene kwa Lugha tena namshukuru Mungu aliye nishindia tena ni wapendwa kabisa makanisani....kingine mtumishi nakushukuru kwa kunifungua macho,,,mara nyingi kuna baadhi ya watu wakinena kwa lugha nasikia makelele sana yaani sipendi hata kusikiliza natamani niwaambie nyamazeni nikawa najiuliza sana mbona wengine wakinena nasikia uwepo na kuwataka waendelee tu kunena?lakini wengine sitaki ata kuwasikia hata kama anaimba au kuhubiri unakuta nasikia makelele masikioni ..
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries Жыл бұрын
Huruma sana.
@aberymsovela8866
@aberymsovela8866 Жыл бұрын
@@UkweliMinistries nakushukuru maana Mungu amekutuma,,,binafsi nasema Mungu akupe maisha marefu,,,na hauta kufa hadi kusudi la Mungu juu yako litakapo timia amen.
@gambonmgaya1286
@gambonmgaya1286 Жыл бұрын
Amina.
@trizandirangu9996
@trizandirangu9996 Жыл бұрын
@@aberymsovela8866 9l999ll
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Kila aliyetakaswa na KRISTO YESU Roho Mtakatifu hukaa ndani yake, hivyo kunena kwa Lugha Ni vile ROHO MTAKATIFU atakavyo ndani ya huyo mtu.
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 Жыл бұрын
Mimi naota nikinena lakini sijawai nena natamani kunena #nisaidie number yako kuna mwarabu ananiabia nimpee akuje mahali uko umuuombe anaamini atapona ako na cancer
@lightness183
@lightness183 Жыл бұрын
Amen Apostle name naomba Mungu anipe hii karama ya kunena kwa lugha, nna swali lisielewi. Kunena kwa lugha shetani hajuagi unaongea nini, lakini tuseme ukinena lugha ya hapa duniani kama kifaransa asa si nayeye Shetani anakisikia?
@menmustpray
@menmustpray Жыл бұрын
Ukinena kwa karama lugha za dunia hii shetani anaelewa lakini ukinena lugha za mbinguni haelewi.
KUNENA KWA LUGHA | MALISA
1:41
pastors voice
Рет қаралды 6 М.
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Neno, Maono, na Ushuhuda | Meshak Maliyabwana Mausa
53:28
Ukweli Ministries
Рет қаралды 3 М.
WIMBO WA TATU WA SECT4 KWENYE MKUTANO WA CHRISTMAS PA SECT2
8:10
Bwenge Pelelo
Рет қаралды 7 М.
tazama jinsi watu wa MUNGU wanavyomsifu MUNGU kwa ROHO na kwa KWEIL
20:11
Mutumishi Baraka
Рет қаралды 2,2 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
MWANZO WA KUNENA KWA LUGHA - (Sunbella Kyando)
14:20
Reality of Christ Church
Рет қаралды 6 М.
MTUME MALIYABWANA MAKUBWA KUHUSU RUTO, SAMIA NA VIONGOZI WA AFRICA
16:29
Ukweli Ministries
Рет қаралды 13 М.
SAFARI YA KWENDA MBINGUNI
45:28
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,9 М.
ROHO MTAKATIFU  II (FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:07
Reality of Christ Church
Рет қаралды 47 М.
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН