KARAMA YA KUNENA KWA LUGHA (1 Wakorintho

  Рет қаралды 10,634

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

2 жыл бұрын

Kwa sababu ya ukosefu wa Roho Mtakatifu, makanisa mengi leo hayana ufahamu wa karama za kiroho. Sasa tuko katika wakati ambapo wachungaji na baba wa kiroho wanafundisha waumini wao jinsi ya kunena kwa lugha. Nitagusa karama ya kunena kwa lugha, na nitatofautisha aina mbalimbali za lugha na matumizi yake katika kanisa.

Пікірлер: 108
@alexbora6531
@alexbora6531 Жыл бұрын
Amen mini natokea Kenya ,namshukuru Bwana Yesu kwa kuniwezesha kujua madhabahu haya na yamenijenga na yanazidi kunijenga,wakati mwengine nikuomba nahisi nguvu flani ambayo inanijia kifuani na hatimaye natamka lugha kwa maneno mawili nisiyoyaelewa,Amen
@rowenalilie993
@rowenalilie993 10 ай бұрын
Nakupenda sana katika Kristo Yesu asante sana Bwana Yesu kwa kumteua mtumishi wako.oh asante sana Bwana Yesu. Nakupenda sana mtumishi wa Bwana Yesu Kristo! Lihimidiwe Jina la Bwana wetu Yesu Kristo Mfalme wa amani. Mfalme wetu alieshinda mauti
@ZahraZahra-sz6is
@ZahraZahra-sz6is 2 жыл бұрын
Amen
@bonfacemwakapenda8857
@bonfacemwakapenda8857 Жыл бұрын
Nashuhudia kama ulivyo sema mwaka hautaisha kuanzia jana usiku mpaka leo nashitushwa mwili wangu sina control pia mdomo unazidi kutetemeka asante Mungu wangu sikuwahi exipirienc kitu kama hiki tangu niokoke mwaka 2008 Asant Mungu kwa huduma hii ubalikiwe mtume wa Bwana
@happpyfuraha
@happpyfuraha Жыл бұрын
Amen mtmish kwa ujumbe nakuombea mungu azidi kukutmia zaidi na roho mtktf azidi kua ndani yako bwana akbrk
@failaprince9250
@failaprince9250 5 ай бұрын
Utukufu waMUNGU wamNjeshi amina kwa MUNGU
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 Жыл бұрын
Asante Mungu wangu kwa kumtumia mtumishi wako
@failaprince9250
@failaprince9250 5 ай бұрын
Asante sana mtumi shi nimeongezewa viwango vingine MUNGU akubariki sana
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah praise almighty Jesus Christ amen
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Praise almighty lord Jesus Christ hallelujah amen
@marychege9414
@marychege9414 Жыл бұрын
Amina
@rowenalilie993
@rowenalilie993 10 ай бұрын
HALLELUYAH HALLELUYAH HALLELUYAH oh rosakariereborayarekelamasiakandie siandakaynada!!
@aminalouiske8538
@aminalouiske8538 Жыл бұрын
Amen and amen
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Amena mtumishi nimebarikiwa kabisa
@lightness183
@lightness183 2 жыл бұрын
Amen Amen
@esnartkayuni558
@esnartkayuni558 Жыл бұрын
Amen amen
@veronicahnkrngaveronicahnj6885
@veronicahnkrngaveronicahnj6885 Жыл бұрын
God is raising young generations thanks you jesus
@Nurumidia
@Nurumidia 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na somo ambalo umefundisha kuhusiana na kunena kwa lugha ubarikiwe
@christind655
@christind655 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@governorusa4479
@governorusa4479 Жыл бұрын
Tafadhali meshack ombea mtoto wangu aache pombe
@Nyota1-en4oq
@Nyota1-en4oq 9 ай бұрын
asante kwa somo nzuri Mungu asifiwe
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mh,mungu anawatu bwana,mungu ametupa wewe zawadi ya dunia ,kipindi hiki Cha siku za mwisho za unyakuo tz tunakusubiri ,sisi Ni waumini wa hapa
@MoniqueKyanga-cm9ig
@MoniqueKyanga-cm9ig Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@rebeccasaid9181
@rebeccasaid9181 Жыл бұрын
Songa mbele Baba nakuelewa Sana from tz
@UkweliTopic
@UkweliTopic 2 жыл бұрын
Naomba Mungu azidi kujiirisha kwenye mlima wa UKWELI hili Roho nyingi zilizo lala zipate kuamka, mavuno ni mengi sana lakini watenda kazi niwa chache. Mungu awe nanyi vyote!!! Amen!!!
@richardreuben3222
@richardreuben3222 Жыл бұрын
😃😀😆 haya bwana . Mungu atusaidie
@gladysanami1611
@gladysanami1611 Жыл бұрын
Amen , it's true, love is not in many people God hv mercy upon his people. Aman
@evalyneombalo5128
@evalyneombalo5128 Жыл бұрын
Amen amen mungu akupe nguvu
@gracemwangosi9017
@gracemwangosi9017 2 жыл бұрын
Nimeongezwa nguvu kwa neema hii ya somo hili asante Roho wa Mungu ameeen 👏👏👏
@Mwinjilisti_Byamungu
@Mwinjilisti_Byamungu 2 жыл бұрын
Amena sana Mtumishi
@Injiliyakweliifikedunianipote
@Injiliyakweliifikedunianipote Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Asante Nabii wa Bwana umenielewesha vizuri sana Utukufu kwa Mungu
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Mungu wa mbingu na nchi atalinda hii huduma yetu njema
@marypeter4584
@marypeter4584 2 жыл бұрын
Amen napokea Roho Mtakatifu na uweza wa kunena kwa lugha na kutafsiri sawasawa na neno la mtumishi wa Bwana. Amina
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 mungu akubariki sana kakaagu may God protect you and fight with those who fight with you, contend with those who contend with you.. they have no power nor authority to stop work of God. You are the chosen one be lifted up always. Walimpiga Yesu vita pia wewe watakupiga maana Cha ukweli ni kwamba wanaoabudu kwa roho na kweli wanapigwa sana .. God bless you mchungaji kwa kunena kweli endelea kuteketeza nguvu za Giza..
@judithhemali1569
@judithhemali1569 Жыл бұрын
Amen, Amen and Amen., Hallelujah. I receive spirit of translation of tounges in the name of Lord Jesus Christ. More grace and blessings servant of almighty God 🙏
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen barikiwa sana Mtume wa Bwana napenda mafunzo ya ukweli watu wa Mungu tupone
@sifamando9956
@sifamando9956 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, Nami napokeya kwa imani ZAWADI za roho mtakatifu.
@nyarkristoforjesuskoga3761
@nyarkristoforjesuskoga3761 2 жыл бұрын
Thank Jesus to hear this powwrfull Message
@beatriceamissi310
@beatriceamissi310 2 жыл бұрын
Amena amena mtumishi sema mtumishi wa Mungu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
hili somo halija tamatika naomba uendeleze, ili tuelimike nakuelewa zaidi Amen 🇰🇪 glory to God.
@paulinajustus1024
@paulinajustus1024 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtume wetu
@WisdomSplendid
@WisdomSplendid 2 жыл бұрын
May the lord JESUS CHRIST bless you man of God
@paulohermanimgayahermani2690
@paulohermanimgayahermani2690 2 жыл бұрын
Mtumishi meshaki mungu akubariki Sana na akutumie ktka kueneza injiri kwa njia ya mitandao binafsi nakuelewa Sana ujumbe wako ni kweli na ni Amina mahubiri yako yanatugusa sana miyoyo yetu natamni kma ungekuja Tanzania mtumishi.
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 2 жыл бұрын
Ni haja ya moyo wangu nami Mungu anijaze Roho wake Mtakatifu,ni kiu ndani yangu.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
God bless you man of God 🙏🙏🙏🙌😍
@usowabwana5428
@usowabwana5428 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@fedhamuzuri284
@fedhamuzuri284 2 жыл бұрын
Amen amen amen Mungu mkubwa
@priscillarsafari1011
@priscillarsafari1011 2 жыл бұрын
Amen nimesoma sana nlikuwa natamani mafundisho haya naomba mungu ajifungue zaidi kwangu
@eunicemwangi155
@eunicemwangi155 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Nakuombea mungu akutumie kwa viwango vya mbinguni zaidiii🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🔥🔥🔥
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
Amina
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Powerful God
@bonfacemwakapenda8857
@bonfacemwakapenda8857 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana mtumishi wa Mungu
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 жыл бұрын
kwelikweli MUNGU ATUPATIA MUTU WA KWELI
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Mungu ingilia Katika Jina LA yesu Kristo
@JulienneNabonyemu_
@JulienneNabonyemu_ 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa bwana 🙏🏿🙏🏿
@ummul8908
@ummul8908 Жыл бұрын
Nataman kujazwa
@jesusislord......1344
@jesusislord......1344 Жыл бұрын
Amen 🙏 amen 😭😭
@carolineosoro1817
@carolineosoro1817 2 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana 🙏
@soeurdorismakandahatcher8418
@soeurdorismakandahatcher8418 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi !!
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 2 жыл бұрын
Asante sana kwa Neno la uzima Mungu wetu akubariki mno.
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 2 жыл бұрын
Amin barikiwa somo nzur
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Mtu wa MUNGU kila unachokisema ni MUNGU
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 2 жыл бұрын
Hii karama inahitaji Roho Mtakatifu awee rafiki yako wa karibu Sanaa ili akupe Kama zawadi hizi kunena na kutafsiri.
@piterlaiza5576
@piterlaiza5576 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Sema mtumishi wamungu tupone maana watu siku hizi wanajifunza kunena kwa luga mimi nashangaa
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 2 жыл бұрын
AMEN ubalikiwe unasema ukweli kbs
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Tawara Roho wa Bwana
@magrethjoseph5536
@magrethjoseph5536 2 жыл бұрын
Nampenda saaana Roho mtakatifu natamani nijae kila siku natamani pia kufasili lakini pia kiu yangu niongozwe nae
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
🙏
@revinajonas9807
@revinajonas9807 2 жыл бұрын
Kazi njema mtume . nipo Tanzania nimebarikiwa na huduma hii.Mimi nimeokoka ila Nina vita kwenye huduma inazuiliwa pia fundisho la mwanamke kuwa mchungaji nimeelewa limejibu maswali yangu yaliyonisumbua
@Riziki.jiki6614
@Riziki.jiki6614 2 жыл бұрын
Amena mungu akubariki sana tena sana🙏🙏
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Kweli sana mpaka hata wameipa jina "tukashandaraizi" hii ni kwa sababu ni lugha moja tu ya libashanda
@happylupogo6100
@happylupogo6100 2 жыл бұрын
Very Dangerous aise
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Meshski tunakuelewa kbs
@officiallymawazo1159
@officiallymawazo1159 2 жыл бұрын
Mariamu
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
nakama husemi kwa luga.lakini unalia na kutetemeka mikono, kisha unahisi kutapika na uko kanisani? Je maana yake nn??.
@familytv2004
@familytv2004 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi Ni nakuomba ufafanuzi wamtu kanisani kushituka shituka niloho mtakatifu Au nikujazwa?
@mwinjilistimarcy8375
@mwinjilistimarcy8375 2 жыл бұрын
Mtume napendekeza uendeleze iyi somo plz🥺
@zdbeautifulwomen2528
@zdbeautifulwomen2528 2 жыл бұрын
Unaishi wapi
@user-cy6jw7lc1l
@user-cy6jw7lc1l Жыл бұрын
Asant kwakutup adress
@failaprince9250
@failaprince9250 5 ай бұрын
Mtumishi mbona nina sema sisisi manayake nini
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
Kabla sjaingia youtube nilikua fb naangalia clip video zakawaida lakin kwa badae San nikaskia rohon panasem ingia KZbin nikawa napuuza,ikajrudia tena ingie KZbin nikapuuza maan KZbin yang inasumbua maana kila unapotaka kuingia mpk uapdate nikaona niupdate kwanz ndo niingie youtube itanchukulia muda ko nikapotezea,badae tena nikaskia msukumo kuwa ingia KZbin kwakweli nikatoka fb nika update nikaingia ile naingia nikakutana na video hii najua Mungu anakusudi kwanini nimeisikiliza tuzidi kuombeana wapendwa utukufu nikwa Bwana Yesu alie hai halleluyaaaaa kwa Mfalme.
@moisepaulo9285
@moisepaulo9285 2 жыл бұрын
Sasa iyo yako ohkraohkraohkra omaradisi..sasa mimi nataka uni fundishe ayo maneno. Kwa sababu mimi na juwa palipo Roho Mtakatifu kuna ujumbe fulani siyo asema Bwama asema Bwama pasipo kuwa na ujumbe.. kjn.
@neemalushika8921
@neemalushika8921 2 жыл бұрын
Naomba namba yako mtumishi wa Mungu Nina changamoto napitia naomba namba yako tuwasiliane unisaidie maelekezo
@rugarekashasha8196
@rugarekashasha8196 2 жыл бұрын
Kushiba dagaa na ugali wa miogo, hasa unapo changanya na mikate ya Umarekani inachanganisha wabembe sana.
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Ogopa sana kumkufuru roho wa Mungu huwa dhambi hii haisamehewi
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Nakwambia wewe Rugare usimkufuru roho mtakatifu itakuwa kwako
@innocentbaraka7609
@innocentbaraka7609 2 жыл бұрын
Huyu mutu Mungu azidi kumusamehe kabisa , kwa sababu kazi yake nikusema wa bembe wanao tumikiya Bwana wetu Yesu Kristo katika kila vidéo. Nimemuona zaidi ya vidéos ambazo iko nawatukana wa bembe na kukufuru(Mungu akusamehe sana frère). Moi suis pas de la tribu de babembe mais suis fière de ce qui Sert notre Dieu Yahwe par l'intermédiaire de son Fils unique Jésus-Christ.
@jeniphaledaschali4594
@jeniphaledaschali4594 2 жыл бұрын
Ila kaka yangu nakupenda kwa kila kitu lakini kama ikiwa vema Kara nywele zako ziwe fupi
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
Ndio dada yangu. Nina muomba Mungu ila nimefungwa dada yangu, sio mimi.
@MISHIONARYSHUKURU
@MISHIONARYSHUKURU 2 жыл бұрын
@@UkweliMinistries wacha maigizo fanya kazi ya Mungu kwa haki na kweli achana na mambo ya kwenye chumba cha maombi eti nimefungwa na Mungu kumbe mawazo yako tu umefungwa nini kama sio kujifanyisha tu umekuwa samsoni wewe Alafu sijamaanisha kwamba nywele nizambi mana namimi ninazo ila zako niuchafu utaki ata kuchanua Sasa roho gani wa Mungu ataambia mtu akae kama kichaa ivyo ...
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
@@MISHIONARYSHUKURU Sifanyi huduma ya mabishano. Ninaongozwa na Mungu wa mbinguni na kuanzia jina langu, jina la ministry, na hata video zote (hata mitindo ya mavazi) zina tokana na sauti ya Mungu, Yeye ndiye anachagua. Kama hautupendi, basi unaweza ukaenda zako mwanangu. Ila kutabaki ambao wanae Roho na wana nielewa bila marumbano. BWANA awe nawewe. Na ujuwe kukata kwafe ni dhambi (kwa tariifa yako)
@MISHIONARYSHUKURU
@MISHIONARYSHUKURU 2 жыл бұрын
@@UkweliMinistries mimi sifanyi marumbano mana marumbano ni katazo kwa wateule ila palipo na jambo jema tufurai lakini palipo na lisilo sawa tuonyane ndoivyo yasemavyo maandiko
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
@@MISHIONARYSHUKURU Nenda zako kwa amani mwanangu.
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 Жыл бұрын
Asante Mungu wangu kwa kumtumia mtumishi wako
@MadrineMurugi
@MadrineMurugi 5 ай бұрын
Amen
@faithwangara1642
@faithwangara1642 2 жыл бұрын
Amen amen amen
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Жыл бұрын
Amen
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Amen
@BrotherLk671
@BrotherLk671 2 жыл бұрын
Amen
HIVI NDIVYO UTAWEZA KUCHOCHEA VIPAWA VYA MUNGU NDANI YAKO | MALI YA BWANA
49:21
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 44 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 12 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,6 МЛН
MTUME MALIYABWANA MAKUBWA KUHUSU RUTO, SAMIA NA VIONGOZI WA AFRICA
16:29
Ukweli Ministries
Рет қаралды 13 М.
Mr & Mrs Goodluck Sandy Alipo Bwana
9:12
Wyldpytch Rekords / 51 Lex Records
Рет қаралды 205 М.
USIOGOPE KUNENA KWA LUGHA
33:34
Ukweli Ministries
Рет қаралды 14 М.
NAWEZAJE KUUWA MWILI| IBADA 60| 07/06/2024
1:29:39
Ukweli Ministries
Рет қаралды 519
MWANAMKE PUNGUZA KUNENA KWA LUGHA
4:50
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 3 М.
CHAKULA CHA MKRISTO WA KWELI | Mtume Meshak Maliyabwana Mausa
28:08
Ukweli Ministries
Рет қаралды 6 М.
MAJIBU YA MASWALI KUHUSU KUNENA KWA LUGHA YA ROHO MTAKATIFU
11:36
Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa
Рет қаралды 1,6 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 44 МЛН