Usipitwe kuona hii mabas ya Dar to mbeya

  Рет қаралды 126,917

Nzino Tv

Nzino Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@rasnchimbi
@rasnchimbi 5 ай бұрын
Daah!hata ulochukua hii clip gari yako alarm ya speed gavana inaita mbaya yaani😢
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 10 ай бұрын
Wewe unaonesha picha. Mimi nipo barabarani nayaona yote ni hatari kubwa mabasi haya . Na siyo ya mbeya tu ni Nchi nzima ni matatizo. Na bahadhi ya abiria ndiyo raha yao lakini ikitokea ajali lawama kawa dereva. Mabasi,magari ya serikali ni tatizo barabarani na trafiki wapo lakini wewe mwenye gari ndogo pia ata kwa bahati mbaya 50 pengine imeanguka,au imezuiliwa na kichaka faini inakuusu bila mjadala. Polisi wetu wameshindwa kabisa kudhibiti mabasi, bodaboda,magari ya serikali,siyo kwenye 50,zebra,pasipo faakuovateki wameshindwa kabisa. Wamebaki kusumbua wenye magari madogo bifsi. Nazunguka nchi nzika akuna nisicho kiona. Mungu mkuu aturehemu sote. Amen.
@deoyessaya8689
@deoyessaya8689 11 ай бұрын
Yaaani king'amuzi kinapiga kelele lakini bado speed hata hapunguzi.
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 6 ай бұрын
Golden ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@AbuuMuhsin
@AbuuMuhsin 9 ай бұрын
Mabasi ya kusini yanakimbia sana kuliko kanda zote hapa nchini mimi nimesafiri nayo nayajua vizr,, ni moto...
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 10 ай бұрын
Askari kuna huyo tito na mwenzake hapo kazi kwenu
@theobardtheonest5434
@theobardtheonest5434 2 жыл бұрын
Mimi kama mnazi ianzishe ligi kuu ya mabasi
@KaizaMfuse
@KaizaMfuse 6 ай бұрын
Mwaga moto tito acha kuniangusha
@spycley6127
@spycley6127 Жыл бұрын
Kuna haja gani ya kuovateki na speed almost ni sawa, unakuta bus linaovatek bus jengine dakika 2 nzima hajampita, ndio maana ajali zinatokea kizembe, Apo uyo driver katumia busara na akili ya udereva tu kuamua kumpunguzia mwendo kama sio hivo ilkua akagongane na pickup uso kwa uso, Ni upumbavu, kuforce kuovatek wakati gari zina speed sawa
@nzinotv577
@nzinotv577 Жыл бұрын
Daah n kwer kabsa
@cuthbertmkemwa4903
@cuthbertmkemwa4903 Жыл бұрын
Umeongea vema, asingepunguza tuu, ulishakua msala
@plainsanga1661
@plainsanga1661 2 жыл бұрын
GOLDEN DEER NI 🔥🔥
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 7 ай бұрын
Jamani zile basi zilikuwa zinaitwa scandinavia nani alipanda wakati huo.? Ile kampuni sijui ilitoa wapi madereva. Walikuwa very professional. Niliwahi kupanda kutoka dar mpaka dodoma huwezi amini nafika dodoma sielewi nimefikaje. Gari haina honi za ajabu ajabu. Kwenye kona anakwenda speed inayotakiwa . Hamna overtake zakijinga usikii mabreak ya ajabu yaani utafikiri umo ndani ya ndege. Hawa madereva wa leo utafikiri asubuhi wanatupia bangi. Yani unamkuta dreva professional kabisa lakini umtofautishi na dreva boda boda. Wako kiajabu ajabu. Kampuni ambayo naiona ona ipo vizuri shabiby .
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 5 ай бұрын
Scandinavian ilikuwa Gari ci Hay ya sasa
@RonnieBertin
@RonnieBertin Ай бұрын
Siku hizo wanaleta takataka Toka china
@GodchanceMsemo
@GodchanceMsemo 5 ай бұрын
Hiv Kuna watu wanashabikia balaa hii haifai
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 7 ай бұрын
Golden 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@newgeneration9524
@newgeneration9524 2 жыл бұрын
Tito kaamua kumlegezea coz kulikuwa kuna gari zinakuja afu rama keshafika nusu
@lamecksteven1165
@lamecksteven1165 Жыл бұрын
Mm naomba kuuliza nauli ya daar mbinga
@SamwelSimion-l5g
@SamwelSimion-l5g Ай бұрын
Duuuh gar lin lalamika tu
@samasob8233
@samasob8233 2 жыл бұрын
upumbavu wa hali ya juu, ndio maana watu wanakufa kama shida tu
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
Wanajisahau km wamebeba abilia
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
Watu hawaelew
@kennethedward6992
@kennethedward6992 2 жыл бұрын
Unaweza kuwa mpumbavu wewe
@HasionShekiondo-ck2yn
@HasionShekiondo-ck2yn Жыл бұрын
Mtu kaliwa matako dadeq
@selemanmohamedi8838
@selemanmohamedi8838 2 жыл бұрын
tito umeniangusha
@kassymharoun9047
@kassymharoun9047 2 жыл бұрын
Co amkuangusha ila n vle ust.Rama hatak mazoea na wtot 😂😂😂
@Sancho2721
@Sancho2721 10 ай бұрын
Unyama sana sauli katumia akili eti lasivyo jamaa angeua raia
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 4 ай бұрын
Sauri Ana ngumvu na mchina
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 2 ай бұрын
Usalama barabarani mnaona?
@alphonceloth3015
@alphonceloth3015 2 жыл бұрын
Kuna watu wanalaumu Sana hii ligi kuu hawajui furaha ya wengine ndo IPO hapo yaan
@nzinotv577
@nzinotv577 Жыл бұрын
Hahahaaaaa hatar san
@doriceemmanuel1398
@doriceemmanuel1398 Жыл бұрын
Furaha ya mtu mmoja kilio kea mamia haina maana
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 11 ай бұрын
Naskia alam au kengele ikimaanisha over speed ndo maana watu wanakufa kama nzi
@AlexBoniphaceKamomole
@AlexBoniphaceKamomole 2 ай бұрын
Kwa.namna hoi ajali zakufikia.
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 2 ай бұрын
Isabuni madirisha mwisho wa sku ni kilio
@musampanda3643
@musampanda3643 9 ай бұрын
Uyo golden deer ni kenge kbs anataka kuua watu sauli ana akili sana kamuachia tu
@christinalawrence7493
@christinalawrence7493 10 ай бұрын
Yan gari inakimbia mpk inapiga alarm
@nasibumuya4504
@nasibumuya4504 Ай бұрын
nawewe pia upo kwenye mbio usimsifu mkimbiaj jisifu na ww unambio😂😂😂
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 26 күн бұрын
Hawa sbiria akili awana kabisa..wanashabikia kifo.
@samirsaidi8386
@samirsaidi8386 Жыл бұрын
Scania izoo mzee kifua cha mwanaume chuma zina panda chuma zinashuka hatar sana
@nzinotv577
@nzinotv577 11 ай бұрын
Motomotooo
@georgenewa3458
@georgenewa3458 Жыл бұрын
Hizo climber zina power ya pekee sauli lazima afeli
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 4 ай бұрын
Hivi wachina wanajuwa biashara Yao ya kichina
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 5 ай бұрын
Jamani jamani acheni hizo
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 11 ай бұрын
Kiberti kimewaka chenyewe bampa 2 bampa
@nzinotv577
@nzinotv577 11 ай бұрын
Hatar sana
@SamwelSimion-l5g
@SamwelSimion-l5g Ай бұрын
Game la nyoka hilo
@KaizaMfuse
@KaizaMfuse 6 ай бұрын
Mamaeee
@mrvixtz
@mrvixtz 9 ай бұрын
Yakipinduka mkivunja miguu ndo mtapata akili.
@devisshirima6780
@devisshirima6780 10 ай бұрын
Mna bet na roho za watu asee !!
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
Itakuwa kamuonea huruma tu
@albanbros7210
@albanbros7210 5 ай бұрын
Mbele kulikuwa na gari za serikali zinakuja.
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 2 ай бұрын
Nyie wote machizi
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 6 ай бұрын
1234waaa
@speciozakaloli
@speciozakaloli 5 ай бұрын
Utadhani wamebeba midoli
@fredsonleonard9963
@fredsonleonard9963 2 жыл бұрын
Ligi pendwa
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
Apo abilia wanajisikia Raha wafike mapema
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 4 ай бұрын
Chenzea mchina ww
@yasinitwalika1565
@yasinitwalika1565 Жыл бұрын
ikitokea ajali je
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 4 ай бұрын
1234waahaaaaaaaaaa
@AwaziRajab
@AwaziRajab 10 ай бұрын
Kuanzia Mabasi Ayo Mpaka Nyinyi Mliochukua Video Wote Mwendo Wenu Uko Inje Ya Shelia Za Balabala Kuanzia Mabasi Mpaka Nyinyi Mliorekodi Wenye Gali Ndogo Nyote Wavunjifu Wa Shelia Wote Mwendo Wenu Kasi
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 6 ай бұрын
Huo mlio ni wa speed limiter imefika 80km/hr
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 Жыл бұрын
Upuuzi
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 5 ай бұрын
Raha ya basi imwage moto
@bakarimohamedi5814
@bakarimohamedi5814 2 жыл бұрын
Ulevi wa wanazi huu🤣🤣
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
Apo deleva aelew...
@ibrahimubless3831
@ibrahimubless3831 Жыл бұрын
Wanaziii tujuane
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 2 жыл бұрын
Hiyo Benz wanaionea sana
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
Hatar
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 Жыл бұрын
Kumbe mnabeti
@saidmohammedlichenjele6963
@saidmohammedlichenjele6963 2 жыл бұрын
Yani mpaka alamu inalia bado mwendo watu wanakaa kimyaaaa na upumbavu wao
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
Wanajisikia Raha wenyewe
@AbuumjAbdallah-wv2ny
@AbuumjAbdallah-wv2ny Жыл бұрын
Ukute we hujawah panda gar ya mkoa we Ila Kama ungekuwa humo sidhan Kama ungeweza hata panua domo hilo
@nashonkabeja7132
@nashonkabeja7132 2 жыл бұрын
Hivi Hawa asikali wa usalama barabarani wanafanya nn mpaka ajali itokee ndipo wajifanye wanathibiti madereva wa mabas I hawana akili kuannzia matajili wao
@kennethedward6992
@kennethedward6992 2 жыл бұрын
Kwani hapo kuna shida gani kuna mwendo gani hapo spidi 80 kawaida
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 2 жыл бұрын
Watu kama hawa kuna haja ya uchunguzi? Tatizo la abiria hadi waumie ndio wajue chanzo cha ajali
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 2 жыл бұрын
Duuuuuuuu
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
N hatar sana
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 Жыл бұрын
Watanzani bado wajinga likitokea ndio wanassema wkiwa moi
@lungusii
@lungusii 2 жыл бұрын
Huuu ndo ushenzi wa madereva wa Tanzania hapo ni ujinga mtupu.. Na hawa wanao chukua video alarm ya safe belt ina piga alarm kwa usalama wake wala Hana Habari na huyo anaenchukulia video ana fanya ujinga tena mkubwa.
@nzinotv577
@nzinotv577 2 жыл бұрын
Hahahaaaaa
@papaamponda397
@papaamponda397 2 жыл бұрын
Na wwe hujui kitu,coz hiyo alarm sio ya safe belt...usikariri jifunze uelewe!
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj 2 жыл бұрын
@@papaamponda397 ukute ata bus la mikoani hajawahi panda
@abdallahbakari6947
@abdallahbakari6947 2 жыл бұрын
Speed > 80 alarm 😁😁😁
@AbuumjAbdallah-wv2ny
@AbuumjAbdallah-wv2ny Жыл бұрын
Ungekuwemo we humo ndan ungefanya nn..? Unaandka tu wakat hata ww ukiwa unasafir huwa unakaa kimyaa
@devisshirima6780
@devisshirima6780 10 ай бұрын
Mna bet na roho za watu asee !!
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 17 МЛН
Wait for it 😂
00:32
ILYA BORZOV
Рет қаралды 6 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 9 МЛН
Kijana Akaza fuvu lakini mwisho wa siku akaachia
5:56
lembukazi
Рет қаралды 2,1 М.
MPOKI NA BROTHER KEY UGOMVI MPYA
30:16
BONGO LAND
Рет қаралды 93 М.
MLIMA #KITONGA
12:26
fundi machejo
Рет қаралды 63 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 17 МЛН