#snashtz #technology #hisense Usiyoyajua Kuhusu TV ya HISENSE | VIDAA App
Пікірлер: 41
@SenVirro Жыл бұрын
This is awesome. Thank you for the clarification 💯
@AshuraAlly-pk3hq8 ай бұрын
Mnaweza kubadilisha Naomba majibu kuhusu kioo kupasuka
@Denis-Geodesist10 ай бұрын
Awesome 👌
@Official-bataboy Жыл бұрын
Hatarii🎉🎉
@AlexiSoko-y3q Жыл бұрын
Naomba msaada mwanangu kachezea TV ya Hisence Kaondoa mwanga ule mzuri yn imekuwa na mwanga sio Quality msaada Tafadhali
@kingnyamafutv8646 Жыл бұрын
Kaka tunashukuru kwa kazi nzuri lakini tunaomba utuletee jinsi ya kujaza rosripot online naona sasaivi wame ongeza malezo mengine had uweke picha psipot saizi hatuelewi vizuri tuelekeze
@joeljoseph479 Жыл бұрын
Tuonesho demo jinsi yakuunga iyo app ya vidaa ukiwa unatumia cmu kama remote
@bleepjrr14197 ай бұрын
Nmeweka the same wallpaper kwangu "Remember who you wanted to be " Naangalia hii vdeo leo june 2024😅😅
@abdulrahmankhatib8595 Жыл бұрын
Hii app nimekua naitumia ni nzuri sana hasa kwa typing
@MohammedAmeJuma Жыл бұрын
Broo nakukubali sna ila naomba ufanye review ya simu HUAWEI MATE 60 nakuomba sna !!.
@gabrielkilaga2600 Жыл бұрын
Snash tunaomba review ya security camera na how znafanya kazi
@tumlakimwaitumule Жыл бұрын
Nunua mic mzee,sound quality sio nzuri kabisa,channel ishakua Kubwa hii,, otherwise keep the good work ✌️
@ChoroTesla Жыл бұрын
nahisi hatuktumia mic iliyo karbu na na yeye body mic katumia mic iliyo kua set up moja kwa moja na camera
@HamedSaid-g4c Жыл бұрын
Snash umetisha sana ila tunaomba utupe na hii The Continental
@fridahenry319Ай бұрын
Sina hamu tv nimenunu nch 65 Imeharibika mwaka tu imekufa matengenezo na naambiwa laki 8
@stafordjr34 Жыл бұрын
kuna kifaa kinewez unganisha ikawa mbadala wa camcardb
@wycliffeokech7969 Жыл бұрын
Hey, tafadhali naomba msaada wako , niko na shida ya TV yangu ya Hisense. Je tunaweza wasiliana ?
@jichoboy8904 Жыл бұрын
Kaka fanya moja ya huawei meta 60 pro kaka🎉🎉🎉🎉🎉🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@blackjack3356 Жыл бұрын
Bro mbona haina sauti
@sleifikhajjir262 Жыл бұрын
ila snash kwenye ile oraimo pods lite umeongea kweli
@Shaphymustafay3 ай бұрын
Mimi nimeibiwa smarttv nch50 vip naweza kupata box lake lipo
@mombasaraha1502 Жыл бұрын
Naje kama uko na sony inayo apps zake pia kama hizi
@SelemanModestmmass-vk2xd Жыл бұрын
Fanya review ya Toyota land cruiser 2022 V6 GR sport
@JamesNyanda10 ай бұрын
Me najambo la kuuliza.ninatv ya Hisense inajizima baada ya muda fran.shida Nini?na nimeilistoo lakin bado
@johnsamwelnduta69572 ай бұрын
Haujafundisha kuunga hio app
@BenjaminiJoakim4 ай бұрын
Unaunganishaje vidaa na cm ilinutumie
@ramadhanurassa2410 Жыл бұрын
Hiyo namba ipo wapi
@Jabu415 Жыл бұрын
Unajuaje tv ni fake?
@AshuraAlly-pk3hq8 ай бұрын
Habar VIP mnaweza kunisaidia kioo kimepasuka picha hazionyesh mnaweza tengeneza
@antonylastony8638 Жыл бұрын
Kaka samahani, kila siku najaribu kuconnect Tv ya Hisense na hyo application ya Vida, Sehemu inayonishinda ni jinsi ya kuconnect Wi-Fi ya simu pamoja na Tv ili nianze kutumia kaka
@abdulrahmankhatib8595 Жыл бұрын
Simu na tv ziwe connected na internet/network moja (simu nyengine au router)
@MagretKimea10 ай бұрын
Tv yangu imealibika kioo nipo tanga wakala wenu wanapatikana wapi
@kodackdeblack79825 ай бұрын
@@abdulrahmankhatib8595kwa mfano natumia iPhone angu 7 lakini natak kuunganisha screen mirror na sina Wifi au router natumia my own phone with data lakini kwa ku washa hotspot angu ya simu hii hii vip inakuwa inakataa sijui tatizo nini
@dangwachengula106610 ай бұрын
SAMAHANI MIMI NAOMBA KUULIZA KWAMBA JE KATI YA HISENSE YENYE MAANDISHI YA HISENSE NJE NA ILE ISIYO NA MAANDISHI NJE ILA YANAJITOKEZA INAPO WAKA TU
@zanzibarswahilitz Жыл бұрын
😊
@gayanimwansasu Жыл бұрын
Sio hizi zakichina
@franceericknkwela9651 Жыл бұрын
Kaka mwaka wa nne huu niko na hisense smart TV sijui hiyo Vida inamana gani
@snashtz Жыл бұрын
Hisense yako ina VIDAA? Kama haina au inayo, Fahamu VIDAA ni software kama Android au IOS. Lakini hii inatumika kwenye Television kwaajiki ya kuongoza mwenendo wake. Television kama Hisense na Rising wanatumia kwa sasa
@YusuphAlly-l6m10 күн бұрын
Nch43 Hisense bei gani
@MariamKomanya5 ай бұрын
Kaka mm nisaidie nashindwa kuunga Hisense na sim yngu