Masha allah shusha vitu shusha vitu kaka, ila waislam wengi kuswali hatutaki kwaiyo tujitahidini ndugu zangu bila swala uislam wako si chochote mbele ya Allah❤❤
Hamswali Kwasababu Ukristo Ndiyo Dini Ya Kweli Yenye Uislamu Ndani Yake.
@halidimgonza59453 ай бұрын
@@yakobomkristo872 lete andiko ktk biblia ukristo ni dini km wasema kwel?
@mpondawilliam70663 ай бұрын
Pole sana ndugu msemaji unasema jambo usilolijua kuhusu ukristo
@AllyAbdallah-w8b8 күн бұрын
We ndio pole omba mechi hapo kama unajiamini Kuna mambo mnafichwa sana makanisani poleni sana
@paulmushi24283 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah I LOVE JESUS THE SON OF GOD ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ MY redeemer my savior. God thank I'm Christian🙏🙏✝️✝️✝️✝️🛐🛐 hallelujah!
@MohdJuma-w6l3 ай бұрын
@@paulmushi2428 unaonekana vitu vimekuingia kisawa sawa
@TheAlman3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Paulina mushi hahahaaaaaaa kula dawa hiyo usiogope
@TheAlman3 ай бұрын
Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar i love allah the almighty GOD ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ My redeemer my creator my first and my last and my savior. Thank yaaaaa allah I'm Muslim alhamdulilah ☪️☪️☪️☪️☪️☪️☪️📿📿📿📿📿📿 Taqbirr..................
@HamzaMakobanice3 ай бұрын
Hahahahahahahahah wakristo wali itwa kwa mara yakwanza hapo antonkia.hahahaahhaahhaa
@hassanbilali16973 ай бұрын
Mushi jamaa anakupiku hivi huwezi kuleta andiko loloote la kuthibitisha hoja hii
@rodrickmpulila12593 ай бұрын
Yohana 3:16-18, Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele. 18: amwaminiye yeye yu na uzima bali asiyeamini amekwisha kuhukumiwa kwa sababu hakuliamini jina la mwana pekee wa Mungu.
@innocentndikumana89283 ай бұрын
Mashallah sheikh Matayo ukowa izo nafsi za wakristo zimepoteya
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@innocentndikumana8928 bro kumbuka msikitini mnasali na majini wazuli walioslimu,uislam ni dini SAWA,ya wanadamu na majini
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@innocentndikumana8928 uislam ni dini ya binadam na majini,
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@innocentndikumana8928 soma suratul al jinn, Quran
@halidimgonza59453 ай бұрын
Ukristo ni upagani ht ndacha na mwankemwa wanalijua hilo bali wameamua kuupinga ukwel, MashALLAHu shekh umefundisha vzr
@JeanMuzaliwa-bs6qh3 ай бұрын
uislamu ni ushirikina na kuowa wanawake wengi!
@halidimgonza59453 ай бұрын
@@JeanMuzaliwa-bs6qh ww UKAFIRI unawasumbua, manabii walioa wake wengi halaf ww unaongea usolijua, kasome kwnza
@JeanMuzaliwa-bs6qh3 ай бұрын
@@halidimgonza5945 kafiri wakwanza ni Muhammad agent wa shetani!
@@JeanMuzaliwa-bs6qhhahahahaja suleiman wa kwenye biblia alikuwa na wake wangap hiyo so hoja
@qwerqasd85973 ай бұрын
Mashallah tabarakallah sheikh endeleya kufundisha anae ongoza ni Allahu na Allah akubariki
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@qwerqasd8597 dini ya majini
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@qwerqasd8597 kijana soma suratul al jinn,uone muislam na majini ni ndugu kwahiyo moto unawahusu
@YussufHamad-d9r25 күн бұрын
Semeni basi asante yuda
@YussufHamad-d9r25 күн бұрын
Allah anawatambua kwa jina la makafiri
@YussufHamad-d9r25 күн бұрын
Allah anawatambua kwa jina la makafiri 31:45
@Maarifa_Film3 ай бұрын
Daah Uisilamu Raha sana aisee yaani Mtu akitoa hoja zake zinaeleweka na zina mashiko, Allah azidi kuwasimamia Viongozi wetu ktk kazi ya Dawah mzidi kuwafungua waliogizani wauone mwanga Bi-idhinillah☝️
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@Maarifa_Film dini ya majini
@Maarifa_Film3 ай бұрын
@@savinosalamba9174 Toa Aya ya kuthibitisha, mm kwa mujibu wa Uisilamu wng Ayng ya Qur'an ni hii 3:59 na Qur'an 2:30-32👈 tunaonhes kisomi kwa hoja sio polojo2 na Ww tetea Ukristo wko ni Dini ya Mungu na ni Mila ya lbrahim
@Maarifa_Film3 ай бұрын
@@savinosalamba9174 Kwa kumridhisha nafsi yko2 Haina shida sema2 siumeoewa mdomo na Ulimi hakuna wakukuzuia lkn hoja huna
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@Maarifa_Film endelea kupotea brother,soma QUR'AN SURATUL AL JINN,UONE KUWA UISLAM NA MAJIN NA SHETAN,NI NDUGU,MOTO JEHANAM INAWAHUSU
@Maarifa_Film3 ай бұрын
@@savinosalamba9174 Hunidanganyi kitu kaka Qur'an imekamilika unaitilia shaka ww usiekua na Elimu nayo2 ndio huwezi ielewa Qur'an, Masahafu yote ipo kichwani apa na hakuna utakachoniambia nisichokitambua chenye kuleta shaka nafsini mwangu..👈 Mungu asipopenda kuwa mja wake huwezi kuelewa Qur'an Kila utakavyosoma inakuchanganya2 hujui apa nani kasema Wala apa anasemwa nani🤣🤣🤣🤣
@davidedward60533 ай бұрын
Proud to be CHRISTIAN ✝️
@JeanMuzaliwa-bs6qh3 ай бұрын
amen even me too
@samxx4113 ай бұрын
Andiko ukristo dini huna proud yako ni bure
@JeanMuzaliwa-bs6qh3 ай бұрын
@@samxx411 ww andiko lipo wapi lslam ni dini?
@samxx4113 ай бұрын
@@JeanMuzaliwa-bs6qh Quran "hakika dini ya haki mbele ya Mungu ni uislamu" Aya au andiko la Quran halina doa saaaafiiii na wewe toa Aya kama hiyo ili niwe mkristo
@TheAlman3 ай бұрын
We also so proud to be Muslim ❤❤❤
@peterkailibi12783 ай бұрын
Uislamu sio dini ya mungu ni dini ya Mohammad
@mohdali24083 ай бұрын
Tatizo wakristo hamujajikita kwenye elimu lete ushahidi wa maandiko kua mtume Muhammad (S.A.W) NI DINI YAKE
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@peterkailibi1278 safii wape ukweli
@RamadanSemlingwa3 ай бұрын
@@savinosalamba9174 kwani we unajua Muhammad swalallahu a'layh wasallama n nan???
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@RamadanSemlingwa soma Quran 4:171
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@RamadanSemlingwa ni mtume AmBae Hana uhusiano wowote na mungu,anahusiano na shetani na majini,,soma Quran ,surat Al jinn,SISI TUPO YESU AMBAE YUKO HAI HADI LEO
@zuberkasim71502 ай бұрын
Mwenye ukristowake ni paulo ndomwanzilishi antokia uturuki wakristo wapo ktk hasara kubwa kuvaa sanam za misalaba mungu amekataza kumbukumbu 27- 15
@yohanamwamkili439714 күн бұрын
Mungu huyo huyo amekataza ubakaji na uchawi
@masoudnzowa46083 ай бұрын
mashallah sheikh mathayo mapaka waseme
@savinosalamba91743 ай бұрын
Qur'an ,suratul al jinn,inaeleza kwamba mji WA Madina Kuna msikiti wanasali binadam na majini,hii ni dini ya mungu kweli
@faridahalwaily853 ай бұрын
Yesu ni mtumeee jamaani kama mitumee woteeee ..tutafuteee pepooo ya mwenyezimngu,, someniii dini muifahamuu bilaa ya ushindaniiii
@nelsonchihambaya35283 ай бұрын
Wewe mwandishi ni mwandishi wa nmna gani hujui kusoma na hata ufahamu wa kuuliza hujui na mantiki za kusikiliza skills hujui unapotaka kuwa mwanahabari za uchunguzi kama unavyofanya jifunze kwanza wewe na uwe na maswahi ya ufatiliaji ili kuchimbua mambo ni ushauri tu asante .Wote hapo na mzungumzaji rudini shule mkasome
@SIMULIZIZONE3 ай бұрын
@@nelsonchihambaya3528 Ahsante kwa ushauri
@abdulnasuma97293 ай бұрын
Kaka upo vizuri
@KZee-f7n3 ай бұрын
SZ love the channel can't wait for the next episode
@JamesJastin-bg1rx3 ай бұрын
SubhaanaAllah Ametakasika mwenyezi mungu
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@JamesJastin-bg1rx dini ambayo majini wazuri wanasali msikitini,hapana,hapana
@erickagwe88413 ай бұрын
Anahuzunisha sana, mtupu sana
@samxx4113 ай бұрын
Wewe zaidi
@samwelluhwago7053 ай бұрын
Somaaaa vizuriiii
@PeterMahona-zd3oz2 ай бұрын
Mimi nashangaa sana kubishani neno lamungu kwawatu wasio utambua ukilisto awaamini sasa.wanini kubishana nao sipe maana mambo wanayoongea wanatika sehumu wanakufu
@rodrickmpulila12593 ай бұрын
Na wanaoshindwa kuhubiri badala yake mnakashifu wengine sidhani kama Mungu anawatambua kama watumishi wake.
@joezeno83 ай бұрын
“ Kama unayo shaka juu ya hayo tuliyokuteremshia, basi waulize wasomao vitabu kabla yako” Yunus 10:94
@jakuabdull343 ай бұрын
Vitabu vipi hivyo na hakuna sehemu inayoonesha kuwa bible ni kitabu cha mungu na wala hakuna mtume aliyeshushiwa ,
@salimchimwaga83843 ай бұрын
wasomao vitabu kabla yake ni mayahudi na manasara ambao walipewa taurat na injili sio Bibilia hapo 😂
@samxx4113 ай бұрын
Usifikirie wakuulizwa ni biblia wakati yesu hata biblia haijui
@joezeno83 ай бұрын
@@salimchimwaga8384Manasara ni watu gani?
@yakobomkristo8723 ай бұрын
@@samxx411Biblia Maana Yake Ni Maandiko Matakatifu Ya Mungu Yaani Torati, Zaburi Na Injili 🎉🎉🎉
@jimjam-xg7rv3 ай бұрын
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@jimjam-xg7rv uislam dini ya majini ndugu yangu,soma Quran ,suratul jinn,uone dini ya majini
@DavidMatata3 ай бұрын
Hata kama ukristo siy dini,sisi tutaendelea kuiamini na kuifuata lakini kushirikiana na majini(mashetani)hiyo haiwezekani... Takbiriii.
@SaidiKiemke-g2k3 ай бұрын
@@DavidMatata yani wewe hata haujuwj tofauti ya majini na mashetani ni wawili tofauti
@DavidMatata3 ай бұрын
@@SaidiKiemke-g2k Wote ni hao hao.
@Temu4563 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SaidiKiemke-g2k3 ай бұрын
@@DavidMatata kumbe hata maandiko haujuwi majini waliosilimu wakawa waislam na waliogoma kusilimu wakawa mashetani ndo nyinyi wakristo
@JumaOmar-ku6cr3 ай бұрын
David ndugu yangu katika ubinadamu mbona nyinyi kila jumapili mnatoana majini makanisani au umeona msikitinj watu wanatoana majini au mashetani hizo ni propaganada jisalimishe kuna maisha marefu baadae
@erickagwe88413 ай бұрын
Angemuuliza akufafanulie Mathayo 26:63-64
@haidar4383 ай бұрын
Nasikia Tajuwid kwa mbaaaali iliyojazwa Maqam Siqa. 😋
@ZayyanaBamuni3 ай бұрын
Mashallah sheikh tiririka mwenye akili ataelewa
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@ZayyanaBamuni soma Quran suratul al jinn,uone majini ni ndugu zenu,motoni bila kupingwa
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@ZayyanaBamuni soma Quran 4 ;171 dada uone kwa yesu kristo Kuna Raha,
@savinosalamba91743 ай бұрын
Wakristo ni wafuasi wa yesu kristo
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@ZayyanaBamuni mda wrote tunatembea na nguvu ya mungu halisi,SIO UPANDE MWINGINE WANATEMBEA NA NGUVU ZA MAJINI,
@rodrickmpulila12593 ай бұрын
Ni makosa kutafuta kuujua ukristo kupitia kwa muislamu ambaye amemkataa Yesu na amefundishwa na kukaririshwa kuwa asimkubali na akaambiwa akimkubali anapaswa kuuawa.
@JumaNongwa3 ай бұрын
Ukweli wanausikia lakini wanaukataa punde tutakuja ona nani aliepotea njia inshaallah Allah atuongoze
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@JumaNongwa shetan ameslim na majini sasa wanasali na waislam din Gani hiyo
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@JumaNongwa soma Quran suratul al jinn,uone uislam na majini Yako kundi Moja ,motooni Moja kwa moja
@@abdulnasuma9729 pia kumbuka shetan ni mwislam ameslim ,dini Gani hii
@lilhydon4523 ай бұрын
Wewe unaogopa kumuuliza maswali 😊😊 Hapo Kwa Solomon walipona utukufu wa Mungu walianguka kifudi fudi,Je waislam hua wanauona utukufu wa Mungu ndo wanaanguka kifudi fudi?
@francismauya61103 ай бұрын
Hiyo mnayo iita dini ya haki ndo hiyo hiyo inawapeleka shimoni hamta amini Lakin pia Mungu wetu tunaye Mwabudu ktk Christo Yesu nitofauti kabisa na huyo wenu anaye sema dini ya haki ni uislamu, MUNGU wetu yeye anasema anapendezwa na watakatifu walioko. Dunian
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@francismauya6110 safiiiii brother,yesu wetu ni jibu tosha
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@francismauya6110 good, brother
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@francismauya6110 waislam bna uovu wote wanao sijui wana mwabudu mungu huyo,makundi ya ugaidi wapo ,kutibu watu kwa kutumia Quran kuita majini yamponye mtu wao,aisee hii sio dini ya mungu
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@francismauya6110 hata albadiri ni kuita majini halafu wanaelekeza kudhuru mtu,dini sio ya mtu hii,
@Milanova4603 ай бұрын
... Atakaye uacha uislamu auwawe....
@franciscomtambakuluca28303 ай бұрын
Wewe unatafuta kiki kwa ndacha ❤❤
@samxx4113 ай бұрын
Kiki za nini, ili iweje, uislamu hauitaji kiki wala nini, uislamu unaongozwa na kusema ukweli na kuonya adhabu ya Mungu siku ya mwisho..hizo kiki chukuwa wewe ila ukifa kafiri motoni
@TheAlman3 ай бұрын
Watu hawataki kuambiwa ukweli ukristo sio dini
@savinosalamba91743 ай бұрын
Uislam ni dini kweli yenye vina Saba vya majini ,mashetani,na binadam,soma Quran suratul al jinn,
@savinosalamba91743 ай бұрын
SOMA QURAN 4 ;171 UPATE UKWELI ,UKRISTO UPO NA YESU NI NANI
@livetrendmedia3 ай бұрын
Ni kweli Ukristo ni tabia ya Wakristo. Dini hapa ni Kristo ambayo Wakristo wanamfuata..
@HamzaMakobanice3 ай бұрын
Hahhhahahhhaahazzzz
@Janejj-k3c3 ай бұрын
Pole sana kaka sasa nikushauri tuuh huo udhaifu wako usiwapumbaze wenzako hii ni kukosa elimu 😂
@samxx4113 ай бұрын
Wakristo wakitaka kusoma kwa huyu mwalimu watasoma sana ila wasiwe na bias ( upendeleo).
@KalamboRashidi3 ай бұрын
Hakuna aya ukristo dini
@AbubakarKi3 ай бұрын
Walio lala katika ukristo wamepotea,hiyo ni biblia
@kambanimwanyulu75703 ай бұрын
Yaani Mungu mwenyewe aseme Dini ya mwenyezi Mungu ni uislam? Yani Mungu yupi? Basi angesema Dini yangu ya haki ni uislam
@haidar4383 ай бұрын
Yohana 17:3 - Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma....Ni nani aliyetamka maneno haya, Na kama ni Yesu kwanin aseme uliyeMtuma badala ya uliyeNItuma?
@savinosalamba91743 ай бұрын
Quran suratul al jinn,inasema Kuna majini wazuri walioslimu wanasali msikitini,ni dini kweli
@amedesamki4253 ай бұрын
Shetani ameanzisha dini nyingi duniani ili watu wasijue ukweli wa Mungu na kuokoka na dini ya kurani ni kitabu kilicho tofauti sana kama maji yalivyo tofauti na mafuta ya taa
@savinosalamba91743 ай бұрын
DINI GANI HII,AMBAE SHETANI ,AMESLIM NA MAJINI SASA NI WAISLAMU,NA MAJINI WAZURI WANASALI MSKITINI,UKISOMA QURAN SURATUL AL JINN,NA PIA MISIKITI YA MADINA MAJINI WANASALI,
@BIOBIBER_Musician3 ай бұрын
😆😆😆😆 na ukiwaunaamini shetan nimuumini alie asi na ambao hawakuasi watakuaje 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@BIOBIBER_Musician3 ай бұрын
Kasome kitabu Cha Ezekiel 28: 12 - 17
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@BIOBIBER_Musician kweli shetani ameelaaniwa anasubiri hukumu, Ezekiel 28:12 hadi 19,
@shaurikhamisi56893 ай бұрын
Wewe usiseme punguani wacha matusi hakuna dini ya ukristo ever never mpaka kiama
@trutharchaeologist3 ай бұрын
Islam is Mans righteousness, Yaani matendo ya binadamu ili apate wokovu,. Kuomba mara mingi, kuvaa nguo mrefu, kunawa miguu, masikio, macho etc Ukristo ni Matendo ya Mungu kupitia Yesu ili wakubali wokovu wake
@Abdulssamiu3 ай бұрын
Matendo gani hayo ya Mungu yanayopitia kwa Yesu?? Ni matendo gani ambayo wakristo wa leo mnafanya ambayo yalifanywa na Yesu??? Christians if Jesus is your Master and your saviour but mfuateni sio kufuata makanisa yenu.
@JumaOmar-ku6cr3 ай бұрын
Nnacho amini mtangazaji unatafuta ukweli tu ikosiku utaingia kwenye dini ya haki ya uisilamu
@michaeljoseph31183 ай бұрын
Usizani Dini Ndo Itakupeleka Mbinguni Kaka , WOKOVU Ndo Kila Kitu Kaka ,
@MohdJuma-w6l3 ай бұрын
imekugusa et?
@ZayyanaBamuni3 ай бұрын
Uokovu katika upagani au
@Abdulssamiu3 ай бұрын
Unapataje wokovu km hufuati matakwa ya aliyekuumba??
@jamalijamali68203 ай бұрын
@@michaeljoseph3118 Nenda Huko hua mkiambiwa madudu yenu mnakimbilia kusema hivo
@saimonsimiyu8403 ай бұрын
Itisha mjadala na walimu wa kichristo wakufunze wee bado kijachana mdogo tu elimu bado,tuko na mwalimu ndacha anakusikia tu muda usiokua mrefu utajibiwa tu ndo utajua hio bibia hujaisoma vizuri kutoka mwanzo hadi ufunuo
@zaidiissa37143 ай бұрын
Sasa ndacha anaelimugani mbele ya waisilamu zaidi yajupiga keleletu nakuungaunga maandiko msikize kijana pia wewe hapo ulipo fungua bibilia yako kila anaposoma maandiko wewe uzibitishe mwenye nasiku ndacha akija chukua koroan uzibitishe mwenyewe anaposoma maandiko sio kupiga keleletu na mabishanotu
@erishaaboumpangaje85973 ай бұрын
Unajitekenya
@EmmaTembo-l7o3 ай бұрын
Tatizo hamufati maandiko Bali mnafata ni nani kasema yaani hata akiongea upuuzi ili mradi ni mukristo nyie mnaona powa tu Hapa ukitaka kujifumza weka dini yako pembeni
@saimonsimiyu8403 ай бұрын
@@zaidiissa3714 basi kama yeye ni mwalimu aitishe debate alafu tuone elimu yake,cos tumeona walimu wakislam wengi tu hata sasa huyu we need him uwanjani jamani
@KARIMUSEFU-sx9tq3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MatikoJames-c8m3 ай бұрын
Afathali mazinge au Dr sule lakini wewe hutoshi mboga mbele ya mhungaji Ndacha
@richardmjema83213 ай бұрын
Huyu Mungu gani anawasiwas nahaki yake
@peterkailibi12783 ай бұрын
Wapi adiko linalosema katika korani kwambi Mohammad ni njia kweli na uzima
@issalyanali41193 ай бұрын
Hakuna ilo andiko ,,kwasababu Muhammad SI mungu,,muumba wa mbingu na ardhi ni. ALLAH S.W,, waislamu hawamuabudu Muhammad,,ELEWA.
@IsaacNzai-e7s3 ай бұрын
Sasa hio dini ya ukristo ndio dini ya haki
@trutharchaeologist3 ай бұрын
The “works of the law” are the actions performed to fulfill the Mosaic Law found in the first five books of the Old Testament. Keeping the Sabbath, being circumcised (the issue before the Galatian churches), eating “clean” foods, and other ceremonies are powerless to justify us in the sight of God. In addition, following the morality of the law (not murdering, not committing adultery, not stealing) is insufficient to make us right in God’s eyes. No act on the part of sinful creatures can result in God’s declaring them to be righteous in His sight. Why can’t the works of the law save us? First, because the works of the law can never be done completely. The standard is perfection, and that means “good enough” won’t pass muster. Paul explains to the Galatians: “All who rely on the works of the law are under a curse, as it is written: ‘Cursed is everyone who does not continue to do everything written in the Book of the Law’” (Galatians 3:10, emphasis added). James further explains that anyone who offends in just one point is guilty of breaking the whole of the law (James 2:10). There are over six hundred individual commandments in the Mosaic Law, and breaking just one of them one time renders a person guilty. No one but Jesus ever kept the law perfectly .Second, the law was never intended to justify anyone; it was given to show us our sinfulness and to reveal the perfect holiness of the Lawgiver (Romans 3:20). Without the law, we would not know what sin is (Romans 7:7). The law is holy because God is holy. Just as a straightedge reveals the crookedness of a line, so the law of God exposes our lack of holiness. No one measures up to God’s standard (Romans 3:10). The law cannot justify; it can only condemn. No one can stand before a holy God on the basis of his own efforts, even if those efforts include a hearty attempt at keeping the works of the law.If the works of the law justify no one, and serve only to reveal our own sinfulness and our desperate state, what are we to do? The Bible offers the only solution to the problem of sin: “But now apart from the law the righteousness of God has been made known, to which the Law and the Prophets testify. This righteousness is given through faith in Jesus Christ to all who believe” (Romans 3:21-22). This is why “the just shall live by faith” (Romans 1:17, NKJV).We can only be declared righteous “by faith apart from works of the law” (Romans 3:28), and that faith must rest in the only Savior, the Lord Jesus Christ: “Salvation is found in no one else, for there is no other name under heaven given to mankind by which we must be saved” (Acts 4:12). To continue to attempt to earn a place in heaven through the works of the law is to ignore the sacrifice of Christ: “If righteousness could be gained through the law, Christ died for nothing!” (Galatians 2:21).
@Abdulssamiu3 ай бұрын
Jesus never died in his life time he never said he was coming to die for anyone. Also Jesus said "I did not come to break the law but to fulfill" know if Jesse was following the law why don't you?? Are you better than Jesus?? In the day of judgement everyone will be responsible for his or her burden no one dies for anyone. To on the safe side you have to follow the rules and regulations of your Creator.
@trutharchaeologist3 ай бұрын
@@Abdulssamiu My friend, are you keeping all the works of the law of the Torah in fullness? Are you sacrificing as per the Torah? Are you keeping the Sabbath as per the Torah? Are you keeping Passover as per the Torah? Are you circumcised as per the Torah? Have you kept all 613 laws of the Torah in perfection without breaking one? Are you more special than the Children of Jacob who tried their best to keep Mosaic laws , which they never managed to keep in fullness resulting into them being Cursed, Jesus is the fulfillment of the Works of the Law, No more sacrifices as Israelites used to do because Jesus is the fulfillment of the Sacrifices, No more Sabbath because Jesus is the fulfillment of Sabbath, No more circumcision because Jesus fulfilled it , Etc
@Abdulssamiu3 ай бұрын
@@trutharchaeologist sorry don't mind my English am not good at it. I don't keep the law of the Torah because this is not the time of mosses but I believe it was authentic from God The Creator to the people of Moses in his time. So time of Moses has passed and time Jesus has passed now it's the time of Muhammad. We have to for the law and commandments revealed to Muhammad. And you are saying no more these, no more that and that and so.. But that's theoretically you are saying because that is what you believe and tout by the church but there is no authenticity from the Bible to be the word of Jesus. If Jesse is your Master and your saviour why don't you follow what he said himself? not what other people said about him such as Paul. And for real if you believe and follow only the words of Jesus in the Bible you will find yourself coming closer to Islam. Be open minded and read your Bible with understanding you will find the truth.
@trutharchaeologist3 ай бұрын
@@Abdulssamiu TORATI NI FUMBO!! SIYO HADITHI!! LINAFUMBULIWA NA KUKAMILISHWA NA MWANA-KONDOO WA KWELI, English Swahili. Exodus 12:3,5,7-8,11-13 [3]Speak ye unto all the congregation of Israel, saying, In the tenth day of this month they shall take to them every man a *lamb* , according to the house of their fathers, a *lamb* for an house: Semeni na mkutano wote wa Israeli, mkawaambie, Siku ya kumi ya mwezi huu kila mtu atatwaa *mwana-kondoo* , kwa hesabu ya nyumba ya baba zao, *mwana-kondoo* kwa watu wa nyumba moja; [5]Your lamb shall be *without* *blemish* , a *male* of the *first* *year* : ye shall take it out from the sheep, or from the goats: *Mwana-kondoo* wenu atakuwa *hana* *ila* , mume wa mwaka mmoja; mtamtwaa katika kondoo au katika mbuzi. [7]And they shall take of the *blood* , and strike it on the two side posts and on the upper door post of the houses, wherein they shall *eat* *it* . Nao watatwaa baadhi ya *damu* yake na kuitia katika miimo miwili na katika kizingiti cha juu, katika zile nyumba *watakazomla* . [8]And they shall *eat* *the* *flesh* in that night, roast with fire, and *unleavened* *bread* ; and with bitter herbs they shall eat it. *Watakula* *nyama* yake usiku ule ule, imeokwa motoni, pamoja na *mkate* *usiotiwa* *chachu* ; tena pamoja na mboga zenye uchungu. [11]And thus shall ye eat it; with your loins girded, your shoes on your feet, and your staff in your hand; and ye shall eat it in haste: it is the *LORD'S* *passover* . Tena *mtamla* hivi; mtakuwa mmefungwa viuno vyenu, mmevaa viatu vyenu miguuni, na fimbo zenu mikononi mwenu; nanyi mtamla kwa haraka; ni *pasaka* *ya* *BWANA* . [12]For I will pass through the land of Egypt this night, and will smite all the firstborn in the land of Egypt, both man and beast; and against all the gods of Egypt I will execute judgment: I am the LORD. Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi BWANA. [13]And the *blood* shall be to you for a *token* upon the houses where ye are: and *when I see the blood,* I *will* *pass* *over* *you* , and the plague shall not be upon you to destroy you, when I smite the land of Egypt. Na ile *damu itakuwa ishara* kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami *nitakapoiona ile damu,* *nitapita juu yenu,* *lisiwapate pigo lo lote likawaharibu* , nitakapoipiga nchi ya Misri. English Swahili. 1 Peter 1:19 [19]But with the precious blood of Christ, as of a lamb *without* *blemish* and *without* *spot* : bali kwa damu ya thamani, kama ya *mwana-kondoo* *asiye* *na* *ila* , **asiye* na waa, yaani, ya Kristo* . English Swahili. John 1:29 [29]The next day John seeth Jesus coming unto him, and saith, *Behold the Lamb of God,* *which taketh away the sin of the world.* Siku ya pili yake amwona Yesu anakuja kwake, akasema, Tazama, *Mwana-kondoo* *wa* *Mungu* , aichukuaye *dhambi ya ulimwengu!* English Swahili. Revelation 5:6-9 [6]And I beheld, and, lo, in the midst of the throne and of the four beasts, and in the midst of the elders, *stood a* *Lamb as it had been slain,* having seven horns and seven eyes, which are the seven Spirits of God sent forth into all the earth. Nikaona katikati ya kile kiti cha enzi na wale wenye uhai wanne, na katikati ya wale wazee, *Mwana-Kondoo* amesimama, alikuwa kana kwamba *amechinjwa* , mwenye pembe saba na macho saba, ambazo ni Roho saba za Mungu zilizotumwa katika dunia yote. [7]And he came and took the book out of the right hand of him that sat upon the throne. Akaja, akakitwaa kile kitabu katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi. [8]And when he had taken the book, the four beasts and four and twenty elders fell down *before the Lamb,* having every one of them harps, and golden vials full of odours, which are the prayers of saints. Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai wanne na wale wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele za *Mwana-Kondoo* , kila mmoja wao ana kinubi, na vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni maombi ya watakatifu. [9]And they sung a new song, saying, Thou art worthy to take the book, and to open the seals thereof: *for thou wast* *slain* , and hast *redeemed us to God by thy blood* out of every kindred, and tongue, and people, and nation; Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa *ulichinjwa* , ukamnunulia Mungu *kwa damu yako* watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,
@joseaugust28053 ай бұрын
YOHANA 4:19-24, Si anataka YESU anasaje kuhusu kuabudu , soma hiyoo 😂
@savinosalamba91743 ай бұрын
Uislam ni dini ya shetan,maana shetan ameslimu na majini wameslim na kusali msikitini
@salehemkwengwe98343 ай бұрын
Wakristo wenyew wanalijua hilo
@dulasele-ud8cw3 ай бұрын
Wanaomchukia huyu mwamba ni sawa na wanajichukia wenyewe kanyooka
@SaidMajidu3 ай бұрын
Tena nikabila la kirumi nalinapatikana kwenye bibilia warumi kuonesha nikabila
@phakundigervas13603 ай бұрын
Wewe kwa dini khiyo ndo unaueamini hivo lakini ni kwa kuamini tu wenzako una wapi ha kwa Bo wakati hamuamini kwa kitu Kimoja?
@aliabdallah84563 ай бұрын
Mitume yote haijaenda shule kufundishwa haiwakujua kusoma wala kuandika binadamu hawezi kumfundisha mtume mitume inafundishwa na malaika kusoma na kuandika
@petermgonja85473 ай бұрын
Uislamu ni dini sawa ya Nani? 😊
@projestuskabaka-ym6ps3 ай бұрын
Majini yalishawafunga akili hamjitambui Muhammad ananambia ajui anawapeleka wap na anawambi kila muisilam lazima aingie motoni niukumu mlishaukumiwa lkn badotu unaona uisilamu ni dini
@MwijakaSwalehe-dg4hw3 ай бұрын
@@projestuskabaka-ym6ps kwa ushahidi gani
@shabamuhidin6343 ай бұрын
Kwani izo Bibilia zinabadilishwa au vpi,mbona ilo andiko la kupima hekalu,bibilia zingine zinasema KAPIME HEKALU NA HAO WASUJUDUO HUMO...bibilia ingine inasema KAPIME HEKALU NA HAO WAABUDUO HUMO...sasa yani Bibillia sjui hawa wazungu wamezifanyia nini...maskini kama mtu akileta ushabiki anapotea completely
@allychengula35113 ай бұрын
Mhh huyu arudi madarasa kumbe ndio maana wenye elimu ni adim
@danielkamau29873 ай бұрын
Wewee utapotosha watu Yuda hakuwa Shetani!! Ni matedo yake...
@francisjoseph10743 ай бұрын
Huyu chokolaaa mnampa Air time ya nini? 😂😂😂, mbona anatafsri biblia anavyotak yeye
@Milanova4603 ай бұрын
...huyu ni panya mwitu....
@lilhydon4523 ай бұрын
Ukiwa muislam mwenye akili timamu hapa utagundua uongo mwingi 😂😂😂
@Festodaudi-b6l3 ай бұрын
Yani pamoja na mbwembwe zote umeshindwa kupinga badala yake umeaza kumitetea shetani kwasababu ni mungu wenu mutu akuwa mwiislamu ujue anamwabudu shetani
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@Festodaudi-b6l kweli brother, QURAN INASEMA KUNA MAJINI WAZURI WANASALI MSIKITINI,UISLAM NI DINI YA SHETAN LIVE
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@Festodaudi-b6l pia wanasema shetan na majini wameslim Sasa ni waislam,ni din ya hatari
@yakobomkristo8723 ай бұрын
Toa Andiko Wapi Imeandikwa Kuwa Ukristo Siyo Dini? Usitoe Mdomoni, Toa Kwenye Vitabu Vitakatifu
@JosephChai-u1h3 ай бұрын
Waabuduo halisi watamwabudu baba Katinka roho Na kweli
@mwinyiswaleh83883 ай бұрын
Kuabudu katika roho na kweli unajua manake au unasema tu.
@paulmushi24283 ай бұрын
Unawinda kupelekwa mjini na Ndacha thubutuuu utakalia kubwabwaja hivyo vyo huna hadhi wala vigezo vya kufanya Debet na Ndacha
@mustafamasudi80933 ай бұрын
Ndacha hatamani tena kurudi bongo kwenye mdahalo aliyokutana nayo awamu hii ni kubano tosha hana hamu tena na midhahalo ya dini
@TheAlman3 ай бұрын
Mjini 😂😂😂😂😂😂 wapi. Sasa ndacha ndio nani? Yaani ww paulina unazinguwa kweli
@ErickAndrew-lr4ls3 ай бұрын
Wewe huijui biblia unasoma dondoo ndogondg soma aya zote umalize
@farajapeasonmagota82263 ай бұрын
Huyu hajui chochote unamtume ambaye hajui kusoma wala kuandika
@trutharchaeologist3 ай бұрын
Kama hufahamu Torati huwezi elewa maana ya Msamaha wa Dhambi na Wokovu wa Yesu Kristo
@ramadhanjuma6103 ай бұрын
Usi tupigie kelele sisi so wabudu yesu sisi wa budu Mwenyezi Mungu
@TheAlman3 ай бұрын
Toa ww maana 😂😂😂😂😂😂
@trutharchaeologist3 ай бұрын
@@ramadhanjuma610 Nyinyi mko na Mungu wenu kando na Yule aliyepea WaIsraeli Torati siyo? Maana hakuna mtu anayefahamu Torati anaweza kumkana Yesu , Maana Torati inamzugumzia na kutuelekeza kwa Yesu Kristo
@trutharchaeologist3 ай бұрын
@@ramadhanjuma610 Mungu aliyechagua Watoto wa Yakobo kuwapa Torati sio Allah na Watoto wa Yakobo hawakuzungumza Kiarabu, Waliondolewa kutoka Misri sio Waarabu Wala Wazungu,
@IsaacNzai-e7s3 ай бұрын
Soma quran 2:62 Hio quran yako inasema wakristo ni dini lakini wewe punguani unakataa😂😂😂😂😂
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@IsaacNzai-e7s sawa kabisa,na ingine Quran 4 ; 171,wafuasi wa yesu tuna Raha sanaaaa,
@IsaacNzai-e7s3 ай бұрын
@@savinosalamba9174 yeye anapinga tu kila kitu anatamani iwe waislamu ndio dini ya haki lakini sivyo🤣🤣🤣
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@IsaacNzai-e7s waislam wanahofu sana na dini Yao ndio maana ya wakati ,wanaanzisha mijadala kudharau ukristo,wakristo sisi kimya
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@IsaacNzai-e7s brother uislam mambo ya majini na mashetan ndio zao Kona,ukisikia kisoma Cha dawa ,tiba kwa kutumia majini,
@savinosalamba91743 ай бұрын
@@IsaacNzai-e7s nenda Mombasa,Pemba unguja,wanafunzi mashuleni wanapandisha majini Kila mara makele,hafu wanaambiwa wanadudu wazuri wanawalinda,dini ya ajabu sana,hii
@kahindicharokiti20933 ай бұрын
Huyu hata hajui chochote sinagogi ni msikiti ya wayahudi.
@TheAlman3 ай бұрын
Ila sio kanisa
@TheAlman3 ай бұрын
Ila sio kanisa......! 😂😂😂😂😂
@hassanjuma27723 ай бұрын
Aaa unachekesha kidogo kwa sababu waislamu ndio wanasema sinagogi ni msikiti wakati biblia imesema au Kama wewe hujaona fungua nyuma ya biblia usome maneno magumu utakuta Kama ni waislamu wanasema au biblia.
@charlesboniphace22493 ай бұрын
Wengine muwe munawapima akili kwanza😂😂😂
@TheAlman3 ай бұрын
Nakweri maama hata wengine wapo kwenye komenti huko kama ww ulieandika hapo juuu
@JeanMuzaliwa-bs6qh3 ай бұрын
kbs
@kimanzitheguitarist79243 ай бұрын
muuslamu mpumbavu huyu!
@aliabdallah84563 ай бұрын
Ndacha hana jipya yeye kazi yake ni kujaza viandiko ambavyo havipo katika maandiko na pia hamalizi maandiko anakata kata maandiko na kuweka viraka
@KZee-f7n3 ай бұрын
Boda boda ya yesu p
@ombenkallenge19243 ай бұрын
Hii NI MAMUMA kabisa hajui kitu chochote kuhusu dini ,afu anatafuta kiki kwa ndacha 🤣 Uwezi kumfundisha mkristo kuhusu ukristo hata siku moja ikiwa wewe mwenyewe kwenye Quran yako imesema "yesu ni njia ya ukweli na uzima" na unaikana imani ya kristo (yesu)
@IsaacNzai-e7s3 ай бұрын
Sasa kama Islam ni dini ya haki kwanini mnasema yesu sio mwana wa mungu??😂😂😂😂 Acha porojo wewe Wewe ni mpinga kristo😂😂
@MohdJuma-w6l3 ай бұрын
Imekutach😂😂
@jakuabdull343 ай бұрын
Kwasababu mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hakuna yoyote anayefanana nae bali yesu ni mwana wa mariam
@MohdJuma-w6l3 ай бұрын
@@IsaacNzai-e7s kwaiyo ww shida yko awe ni mwana wa mungu2 ndio shida yko. haya sasa na akishakua mwana wa mungu sasa ndio inakuaje? au ndio tumuabudu yy?
@ramadhanmahongole92933 ай бұрын
Huyo sheikh ni kafiri mpinga kiristo
@ramadhanmahongole92933 ай бұрын
MohdJuma-w6luislamu siyo dini ni ujanja wa kina mhammad na abubakar sadik warabu wa Saud arabia ndio walio buni na kutengeneza uislamu
@ramadhanmahongole92933 ай бұрын
Uislmu siyo dini ni ujanja wa mhammad na abubakar sadik warabu wa Saud arabia ndio waliotengeneza uislamu
@davidbarnabas-e8f3 ай бұрын
Dini iliyosafi ni kuona wagonjwa kusaidia yatima iyo ndio dini iyo yakunawamikono mmeitoa wap?
@obedkalinga97043 ай бұрын
Majini yanamwambia muhammad sema hakika uislamu ndio dini ya haki na iliyonyooka , hakuna andiko ndani ya quran muhammad anaongea na mungu au malaika.
@jakuabdull343 ай бұрын
Hahahaha baki tu ndugu yangu kwenye upotevu usizungumze vitu kwa kujifurahisa hakuna qurani iliyoshushwa na majini na wala hupati ushahid huo popote bali utapata ushahidi wa kuwa qur ani maneno ya mungu
@Be21Salon3 ай бұрын
@@obedkalinga9704 wewe hunahoja wapi yesu anaongea directly na mungu... Nabii alieongea namungu directly ni Musa wengine wote walitumiwa Malaika jibril(Gabriel) someni acheni kuaminishwa aminishwa
@nickluckmakundi2 ай бұрын
Sasa bibilia imeandikwa kutakuwa na manabi wa uongo hamuon lusekelo na jodev kuwa hao ni walevi tuu na nimanabi wa uongo nyie maostaz hamna elimu kabisa soma mathayo 24:11 inasema watatokea manabii wengi wauwongo na watadanganya wengi kuweni na marifa
@savinosalamba91743 ай бұрын
Shetani ni muislam
@PascasMathew3 ай бұрын
Kuielew biblia inahitajika maombi sio kimwili
@petermgonja85473 ай бұрын
Wewe weka mada na ndach upigwe 10 bila
@AbelAlsen2 ай бұрын
Kitu cha ajabu sana. Ktk Quran neno ukristo au wakristo limetajwa mala 62!!! Sasa jiulize kama muanzilishi wa ukristo ni Paulo je Allah aliiga maneno ya Paulo akayaingiza ndani ya Quran?... Au je kwa mujibu wa Quran Allah anawatambua kwa jina gani wakristo
@bibleknowledge-b1y3 ай бұрын
Nashangaaga mkristo ah Myahudi kujadiliana na muislamu.... mungu fake wa waislam ni tofauti na mungu wakristo na wayahudi... Unaongea kuhusu nini...
@elizabethlobe43533 ай бұрын
Yesu akuleta dini lakini alileta ukristu Kila anaye mpokeya yesu kristu ana kuwa mkristu wanasema chuma unowa chuma sasa naanaempokea kristu anakuwa mkristu naatuna duniani juu ya dini tuko tu natafuta njia yakunipeleka kuona ufalme wa mbinguni kaka
@TheAlman3 ай бұрын
Toa andiko toa andiko maneno matupu hayana nguvu kwenye dini yesu hakuwahi kuleta ukristo 😊
@ZayyanaBamuni3 ай бұрын
Na huko nyuma kbl ya Yesu manabii wengine walikuwa na dini au nao walikuwa mapagani pia
@emanuellyatuu7313 ай бұрын
HUYU NI PUMBAVU MAAMUMA MJINGA KABISA DINI YA KI İSLAM ILIANZA 570 BK SASA HUYU PUNGUANI ANASEMA UJINGA CANI İBRAHIM ALIKUWEPO MIAKA MINGI KABLA YA KRISTO WAROMA NDIO WALIMUUA YESU HAWAWEZI KUMTUKUZA YESU
@erishaaboumpangaje85973 ай бұрын
Nakucheka😂...hayo 570 wanzungu amekufundisha...uislam ni unyenyekevu...na unyenyekevu ulikuwepo kuanzia Adam ukasome wewe matayo anaekimu sauna bro
@Abdulssamiu3 ай бұрын
Mbona unatukana hivyo au ndo mafundisho ya kanisani? Usiwe shabiki na mtumwa wa imani. Kuwa open minded and read your Bible with understanding then find the truth and follow. Matusi hayajengi bali unajishusha mwenyewe.
@Educatedmind-k9r3 ай бұрын
Hoja hujibiwa na hoja. Ukiropoka utaonekana dishi linayumba