UST. MBOGO ATOA SIRI YA MTUME MUHAMMAD KUPAA KWENDA MBINGUNI KAMA YESU NA UKWELI WA JIWE JEUSI MAKKA

  Рет қаралды 3,052

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 316
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
Ndugu waislam watukufu kama tunavyoitana, Mungu akipanga jambo, hapangi kwa makosa. Anapanga kwa kujua mpaka litakalojiri kuwa mwanadamu utaliweza au hautoliweza. Kusema Muhamad akaenda kuomba apunguziwe ibada huo ni uongo wa saa sita mchana, maana yake ni kuwa uyo ALLAH hakujua la mbele kuwa waislam wa leo hii wangeshindwa kuswali mara 50 kwa siku ila hali mara 5 ni mtihani. Ivyo basi kupitia pointi iyo, uyo ALLAH apo aliemuomba Muhamad, anaemuabudiwa na waislam mpaka leo hii sio Mungu. Kuulinda UONGO ni kazi ndugu zangu. Tuamkeee Takbir
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@Ayxha12Zanzibar-h9u ili jinga kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 kwo kwaakiliyako unataka kuniambia hata shetani ilikuwa nimakosa kuumbwa na mungu?
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 16 күн бұрын
Uumbaji na mitihani/mapitio anayowekewa mwanadamu wapi na wapi, basi ata Muhamad alikosea kumuumba, kwa maana baadae alikuja kubaka mtoto na kuingilia wake za watu na wadada wa kazi
@TheAlman
@TheAlman 16 күн бұрын
@Ayxha12Zanzibar-h9u vipi kuhusu yusufu mume wa mama yake mungu wenu tunaambia pia na yeye aliolewa na miaka 11 vp hapo hakubakwa?
@TheAlman
@TheAlman 16 күн бұрын
@Ayxha12Zanzibar-h9u ukichunguza juzi tu hapa tumetoka kusuruhisha ndoa sehemu furani kwa mzee mmoja hapo kaozesha binti yake akiwa na miaka 12 Alafu sheria hiyo hiyo pitia ya Uingereza na Tanzania angalia inasemaje acha kukurupuka
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 16 күн бұрын
@TheAlman ushasema unaambiwa, maandiko na umbea ni tofauti. Toa andiko acha umbea mtoto wa kiume. Ukitaka hadithi za Muhamad na uzinzi sema nikuelekeze kitabu cha kwenda kusoma.
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Taqbirr Allahu akbar
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Yes here we go......
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Natuendelee kujifunza vitu muhimu sana na mwalimu wetu mbogo
@Num3er38
@Num3er38 17 күн бұрын
Kabisa kaka, somo la leo ndo amethibitisha kuwa Quran haijashushwa, maandiko mengi Muhammad na wenzake walichukua kwenye Biblia. Aibu kinoma, huyu Mwalimu leo kazingua sana, mwanzo mwisho anasoma Biblia kuonyesha miongozo ya waislam.
@SaidPandu-x2l
@SaidPandu-x2l 18 күн бұрын
Upo sawa mwalimu
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 18 күн бұрын
Aaaah!mafundisho swahihi ya kiisilamu,hakika tunaongopewa sana
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 15 күн бұрын
@@sundaystanley5322 unajidanganya mwenyew maan maandiko yanasomwa hadharan huelewi nn au ndo mnakaririshwa tu wenzangu hulazimishwi kua muislam ila kweny ukwel pasemwe mna chuk za Bure yaan maandiko yanasomwa hamuyaelew
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Muhammad alifufua mtu mwenye urefu wa kilomita zaidi ya 10, kaenda mbinguni akarudi, ajabu kaenda kaburini hajarudi adi leo. Mimi nina wasiwasi itakuwa Allah kam'snitch mwamba. Mimi ninavyomuleza Muhammad asingekubali abaki kaburini allafu YESU KRISTO AWE HAI. Mwamba hakubariki kushindwa😅😅 Ila Muhammad 😂😂😂😂😂😂 respect 🤐🤐
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 akirudi nampa jero anywe maji.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 17 сағат бұрын
Yesu hajafa 🙌 Kama Yesu ni Mungu , Mungu huwa ankufa?! 🙌 Yesu amepzwa Wala hajafa ameokolewa na Mungu wake
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 16 күн бұрын
Sio Kila Ibada ni Wajibu/lazima kwa Waislamu wote. Kuna uwezo wa Mali/Fedha na Afya ya Mwili., Hali/Mazingira Allah haikarifishi Nafsi isokuwa na Uwezo nalo hilo Jambo/lbada . Kama huna uwezo wa kwena Makka kwa Kukosa Fedha/Mali na Afya Sheria/Uislamu unakutaka Ufanye Ibada nyengine ambazo unaziweza Kuzifanya. Tatizo Wakristo hamsumi kwa lengo la Kutafiti kwa Kujiridhisha KiElimu/Kisansi bali zaidi mpo ktk Kupiga Porojo na Kupinga Uislamu na ya Uislamu tu !!!🙌
@MbarakSoud
@MbarakSoud 18 күн бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah wakristo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana wakristo msiokua na akili mkiambiwa ukweli mnatapatapa wakristo karibu kwenye uislam njiaa iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam ni bure kumuabudu MUNGU ni bure alhaamdulilaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu Akbaar alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah namshukuru mungu kuwa mwislam alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
Acha kuandika upuuzi kaka, jitambue.
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@Ayxha12Zanzibar-h9u ww ndie mpuuzi wakwanza punguza makasiliko kondoo unaesomewa tu walahujui 🤣🤣🤣🤣 Taqbirr........ Allahu akbar....... ❤️ ❤️
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
SIMULIZI MWALIMU WA WAISLAM ANATOA SIRI APO BILA KUJUA, ANASADIKI KWENYE BIBLIA. Hivyo kuanzia leo waislam wawe na adabu na BIBLIA TAKATIFU. Maana ndio mwongozo wao, wameiga mambo mengi sana ya kiimani. Walikosa mafunzo ya UZINZI TU, ambayo Muhammad aliongezea mwenyewe kwenye vitabu vyao. Takbirrrr
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 18 күн бұрын
Kama tuiheshimu bibilia mwambiye kwanza alikuja nayo mungu yupi na mtume yupi tutajiye kwanza mana hibilia inasema mungu na yesu na malaika hawajui kamwee kitabu kiitwacho bibiliaa
@Khalidmghosi
@Khalidmghosi 18 күн бұрын
Watu hufikiri torati n ya wakristo, wakristo hawana vitabu babu
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@@Khalidmghosi DUH, ILA WAISLAM 😂😂😂😂😂😂 Yesu mnasema muislam, Ibrahim umemfanya muislam na leo hii mnasema hatuna vitabu. Kwa iyo adi BIBLIA NAYO MNATAKA KUTUNYANG'ANYA. Ila Muhammad sio poa, mmemrithi vile vile, kama alivyokuwa anachukua wake za watu na nyinyi mnataka kutunyang'anya kila mnasema chenu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Acha bangi mdogo etu, mmekuta kila kitu kuanzia UKRISTO, BIBLIA na ata YESU KRISTO Muhammad kamkuta na kamuacha. Poleni nyinyi nabii wenu mushamzika. Takbirrrr
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@@SabihaibrahimRajabu ndo alivyokufundisha mama ako ivyo, maana ayo maneno ata kwenye kitabu cha Muddy quran hamna.
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 18 күн бұрын
@Jamal22-o5n bibilia ya wazungu mbona yamo unaumiya kwa maandiko yenu wenyewe muliyotiliwa na miungu yenu ya kimarekani
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
LEO MWALIMU ANATHIBISHA KUWA BIBLIA NI KITABU CHA KWELI, ANAFUNDISHA KUPITIA BIBLIA ILI QURAN ILIO'COPY TUSIIBISHIE. Takbirrrr
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Toa hoja acha karere
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@TheAlman HOJA KASHATOA MWALIMU WAKO, ANASADIKI KWENYE BIBLIA, COPY YENU YA QURAN
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
Kwanza inaonesha kuwa mbogo anajihami kulinganisha Yesu na Muhammad.Hakuna aya yoyote katk Quran inayosema Muhammad kufufuka au kupaa, Muhammad yupo ardhini bado,na mbogo ana ashiria yeye na jopo lake wanajipanga kuongeza aya ya Quran ioneshe kufufuka au kupaa Muhammad wakati mpaka sasa aya hiyo haipo.Pia wakati Yesu alipokuja Muhammad hakuwepo!!!!!!. Hakika mbogo ni muongo
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@edwardntamaboko3414 kweli hata mwalimu wako darasani alipata tabu sana Hapo nani kalinganishwa au somo hujalielewa kwanza yesu sio mungu, ukristo sio dini, yesu hajakufa msarabani. Kwo tambu ukristo mafundisho unayoyajuwa ww yalianza kufundishwa baada ya kikao kilichokaliwa roma na kufuta baadhi ya maandiko na mafundisho ya yesu mwana wa mariamu
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@Jamal22-o5n tungekufundisha kwa kutumia qurani je ungeelewa kwri au ndio ungekuwa wakwanza kupinga kama ufanyavyo sasa haya jiulize hayo yali9 zungumziwa hapo tunakusomea kutoka kwenye Biblia na bado huelewi je ungesomewa kwenye qurani unasema nn? Ww ni kondoo hujasoma huna elimu huna maarifa huna upeo wa kuelewa kondoo
@albertvalentino130
@albertvalentino130 18 күн бұрын
Huyo Mungu anayepatikana upande mmoja tu wa kijiografia,ni dhaifu mno,na ni WA uongo,Mungu wa hivyo simtaki --- Mungu wa kweli,haabudiwi kwa kumwelekea upande Fulani wa kijiografia,Bali " anaabudiwa ktk roho na kweli,kwakuwa yeye mwenyewe ni Roho " --- mh! Theologian za kuzimu kuzimu tu,zimekaa kishirikina shirikina tu -- " yaani watu wahukumiwe na Mungu,kwa mujibu wa ushahidi wa jiwe,na si neno la Mungu " mh! harufu ya kuzimu kuzimu tu.
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@albertvalentino130 waliamza kugeuka upande huo wana wa Israel kama sisi ila nyinyi wakristo wapagani hamuwezi kuelewa umubimu wake
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 18 күн бұрын
Kafiri ni kafiri tyu
@Num3er38
@Num3er38 17 күн бұрын
MUNGU WA WAISLAM MPAKA UENDE MAKA Muddy kazingua sana. Muongo kama Zumaridi
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 16 күн бұрын
Kila Kitu/Jambo huwa na Mwongozo/Mfumo (Utaratibu) wake na hivyo ktk Uislamu Kuna Utaratibu wake ktk Kuabudu/Kuswali. Na kwenye Dharula (Ugonjwa, Ugenini/Kizani au Baharini nk pasipojulikana Kibra unaweza/Ruksa Kuelekea Popote na Cha Msingi ni Kuweka lmaan kwamba Ibada/Swala hiyo ni kwaajili ya Kutekeleza Amri ya MwenyeziMungu na Kutaraji Malipo Kutoka Kwa MwenyeziMungu tu na Si vinginevyo 🙌
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 16 күн бұрын
​@@Num3er38Kwani lbada Zote za Kiislamu lazima kwenda Kibra?! Uwongo na Chuki Dhidi ya Uislamu na Waislamu vimejaa ktk Ukristo Laakin Kuhalaisha Ushoga na Ukafiri/Ushirikina Wakristo hampingi hayo eti mnahamasishana Kupeana Barka 🙌
@daudimichael7338
@daudimichael7338 18 күн бұрын
Ukiwa mchanga wa Neno la Mungu, ukimsikikiza Mbogo unaweza kufikiri yupo sahihi kwa asilimia fulani. Tunawasubiri walimu wa Kikristo waje kumchunguza.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
@@daudimichael7338 Basi msubiri Chikawe aje akwambie waislamu wanamuabudia mnyama,hawana raha kwa kusali,kwaakili za Chikawe waislamu wanaosali mara 5 kwa siku ndio wanamakosa,wakristo wanaokaa kwa bench wiki mara moja ndio wapo sahihi
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Mwalimu gani sasa au unam refer Daniel mwankemwa? 😂😂😂😂😂😂😂 Mara aseme yesu mungu mara sio mungu mara aseme alkuwa mtoto wamungu Nawakati biblia inasema mungu hana kivuri cha kugeuka geuka 😂😂😂 Mulishapote wakristo hamna dini acheni dawa iingie
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
​@@TheAlmanDini ni ya kikristo, waislamu ndio hamna dini bali matunguri tu nk
@konandawise4550
@konandawise4550 18 күн бұрын
​@@edwardntamaboko3414 tuambie basi yesu ni nani ana uhusiano gani na Mungu -
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 18 күн бұрын
Ww ndie jinga kweli badala utafute ukweli na uhalisia mwenyewe unasubiri wachungaji wako mpaka wakusaidie kujibu wakati YESU anasema watu wake wanaangaamia kwakukosa maarifa. Jisomee usiwe bendera fuata upepo na kusubiri utafuniwe Wewe umeze kama kifaranga wakati akili unayo na unaweza kufikili na kutafakari pia.
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Huwezi kupata sehemu nyingine, ili hali ayo ni maandiko yaliopo kwenye vitabu vyetu. Aah jamani uyu Mwalimu. Hakika uislam bila uongo, ni marehemu.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
Sasa si muyafate,au bibilia ukishaiweka kwapani ndio imetosha
@SaidIsmail-f1j
@SaidIsmail-f1j 18 күн бұрын
Wewe hauna elimu watu wanaelekea kusudo kwa kuangalia upande mmoja ni kwasababu kule maka ndiko kwenye harshi ya Allah
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@SaidIsmail-f1j Allah ndo nani jamani, waislam acheni utumwa mpaka leo. Kutawaliwa na koloni la kiarabu haimaanishi muburuzwe kwa kila kitu. Allah sio Mungu Guys.
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
@@ZayyanaBamuni shoga angu Quran haijashushwa, ni copy ya Biblia. Najua ni aibu kwa Muhammad aliesema ameteremshiwa, ila ndo ivyo ukweli uko wazi. Japo ni ngumu kukubali.
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 15 күн бұрын
@@Jamal22-o5n muisraili anaongea kiswahili huku 😂😂😂 alfu yesu kafa kama wazee wazamani akafufuka nan kamfufua mungu yup na yeye ndo mungu au kajifufua? Na watu walivo wahuni waka mpiga mungu kama mwinzi
@TitusIbrahimu-n8j
@TitusIbrahimu-n8j 18 күн бұрын
Mbogo mbogo weka sawa hadithi inasema jiwe hilo limekuwa jeusi kwa sababu ya watu wenye dhambi wanaligusa dhambi zinabaki kwa jiwe.
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Toa ushahidi siomaneno yakutoka kwenye akili yako
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 7 күн бұрын
Huyo mungu wenu wa ajabu😅😅😅, anashauriwa na binadamu Mtume swala kutoka 50 Hadi 5 inalilah lajiuni. Tupe Aya mtume alipaa tukasome nasi.
@Num3er38
@Num3er38 17 күн бұрын
LEO AMEONGEZEKA BIBADAMU WA PILI KWENDA MBINGUNI. BAADA YA ZUMARIDI SASA NI MUHAMMAD S.A.W Noma sana wadau
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 16 күн бұрын
Endelea Kumpinga Muhammad SAW na Uislamu iili Muendelee Kupeana Barka Kwa Kuhalaisha Ushoga Kila Sehemu hadi Makanisani
@imaakubari-g2p
@imaakubari-g2p 18 күн бұрын
Uongo mzuli sana kwa waislam
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 18 күн бұрын
Yani pamoja na sheikh kutoa maandiko yote hayo ndani ya bibilia bado wakristo mnasema niuongo basi yiyi alie waloga mungu mwenyewe ndio anajua maana maandiko yote hayo Tena ndani ya bibilia sasa nyinyi mnataka Nini au vitu mnavyoviamini nikama vile angesema nabii kiboko ya wachawi yule mkongo ndio mnavyoviamini 😂😂au vile vya Makenzie wakenya shakahola hivyo ndio vitu vyenu au mwamposa au nabii mkuu geogredavie hivya ahaa😂😂😂
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
@@zaidiissa3714 wewe pepo shindwa, kwenye Biblia hakuna jiwe lililofuta dhambi. Mwalimu wako anaongea wewe unasinzia
@parismk7460
@parismk7460 17 күн бұрын
Maana ya ibada sio mifano
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Swala hamsini kwa siku, Ila waislamu. Kwa iyo Mungu wa waislam ana'bagain. Ukimlilia anakupunguzia bei au idadi 😂😂😂😂😂😂
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Yaani hueleweki unapinga una bisha au unapotosha? Mbona kama huna kitu kichwani? Toa hoja acha makasiliko
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@TheAlman DOGO UISLAM UMEJAA UONGO, ACHA KUWA BONGO LALA, MUHAMMAD KAENDA MBINGUNI NA KURUDI, JIWE LIMESHUSHWA TOKA PEPONI, QURAN IMESHUSHWA TOKA MBINGUNI NA MUHAMMAD AKITAKA KUTEMBEA NA MKE WA MTU, KUOA MTOTO WA MIAKA 6, AMEPATA UFUNUO TOKA MBINGUNI. NA UNAAMINI, WEWE NI MZIMA KWELI? AMKA DOGO.
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
@@TheAlman anamaanisha Mungu akipanga jambo, hapangi kwa makosa. Anapanga kwa kujua mwanadamu utaliweza au hautoliweza. Kusema akaomba ampunguzie ibada maana yake uyo ALLAH hakujua la mbele kuwa waislam wa leo hii wangeshindwa kusali mara 50 kwa siku. Ivyo basi kupitia pointi iyo, uyo ALLAH munaemuabudu sio Mungu. Kaka angu kuuficha ukweli ni kazi. Amkaaaaaaa
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@Ayxha12Zanzibar-h9u yani nyie ndio walewale musiojielewa. Kwani musa sialiwaahidi wana wa Israel kuwafikisha inchi ya ahadi tena mungu wenu ndio alimpa mussa hayo Vp mbona musa aliwaacha njiani? Akashindwa kuwagikisha njiani? Je ahadi ya mtumishi wake haikutimia je mussa alikuwa muongo? 😂 😂 😂 😂 😂 Kwamwenye akili timamu hawezi kuambia mungu mmoja anamatabaka matatu huyohuyo awe mwana, alafu awe baba, alafu awe roho? Achana na upagani njoo kwa allah upate kuokolewa usibaki kwenye upagani
@Num3er38
@Num3er38 17 күн бұрын
Ni kweli Muhammad aliekutana nae sio Mungu Mwenyezi, ni mchizi wake ALLAH. Maana hasahau wala hakosei, na anajua ya mbele yooote. Kama klivyo leo katika maisha ya kawaida, Mungu hakupitishi njia usioweza kupita kamwe.
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 18 күн бұрын
Waislamu kuangali kibira ni ushirikina wa kishikirisha mungu
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 18 күн бұрын
Nyoo
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Hovyo
@badruseif1318
@badruseif1318 18 күн бұрын
Sirikwanza. Huo ndio mwisho wa upeo wako
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
@@SirikwaMollel-y3k Thummun bukumun umuyun
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR 18 күн бұрын
ALLAH AKBAR
@binseif2216
@binseif2216 13 күн бұрын
Wakristo wengne vijwa maji lkn wengne wakiujua ukweli wanasilimu
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 16 күн бұрын
UISLAM SIO DINI, NI VITA. QURAN “9:5 - Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.”
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 16 күн бұрын
Kwani Vita Kharamu/Dhambi ikiwa ni Vita vyenye Kukubaliwa na MwenyeziMungu?! Na Ile Vita ya Msalaba ilikuwa ni Kumuimbia Bwana/Mapambio Wala haikuwa Vita?! Endeleeni Kupinga Uislamu na ya Uislamu Ili Muhalalishe Ushoga na Kupeana Barka Makanisani Kwa Kubarki Maasi/Uovu 🙌
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 12 күн бұрын
@@alhadajjmohammedsmith9042 Mungu wenu waislam Allah ndo aliruhusu muuwane. Sio Mungu tunaemuabudu sisi.
@fettymcharuko7341
@fettymcharuko7341 18 күн бұрын
😂😂😂wagalatia hawana hoja sheikh anatoa madini wenyewe wanacomment porojo😂😂😂 maneno ya sheikh ni kuwaonyesha UISLAM ndani ya bibilia japo hiyo bibilia inaugulutu wa shatani😂😂😂
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
Mbogo amedanganya matayo 8 waliokuwa wakiambiwa ni wayahudi na waliokuwa wakiabbudu Mila za mababu eti kunawa nk.Haya ndiyo mambo ambayo hata waislamu wanayafuata,kwa hiyo wanao abudu mambo ya binadamu ni waislamu
@fettymcharuko7341
@fettymcharuko7341 18 күн бұрын
@edwardntamaboko3414 hakuna kudanganya elimu Yako ni ndogo na haujui Quran, nyie ni wafuasi wa Paulo Kwa yesu mnajipendekeza tu ndio maana nawaita wagalatia mnafuata pumba za bibilia yaani maneno ya shetani kwanza hakuna kitabu cha mungu kinaitwa bibilia japo Kuna ngano humo ndio madini ya sheikh hapo huwezi kuelewa wewe mgalatia
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Zaburi 84 mstari wa tano
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Someni marko sura ya 11 aya ya 15 ndio nyinyi wakiristo sisi tuko salama tunaabudu kwa kusujudu ili uabudu lazima usujudu
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
Haya waalimu wakristo njooni mutwambie waislamu tunamsujudia mnyama😂
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 16 күн бұрын
Kila Mtume/Nabii na Umma wake walikuwa na lbada zao Kimatendo japo Mitume na Manabii wote wa Kweli (Mmitume na Manabii wa MwenzeziMungu) wote ni Waislamu.
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Simulizi unamuumbua Mwalimu, yeye kakuambia hakuna kitu kingine kimetoka peponi zaidi ya jiwe, kumbe tena kuna MTI. 😅😅😅😅😅 ANAKUAMBIA SIKU NYINGINE MTAONGEA
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 18 күн бұрын
Uelewa wako ni mbovu mti hauna mahusiano na Hoja hii ndiyo maana mwalimu amekataa kutoka nje ya hoja. Elewa wewe mkristo
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
Alafu anakubali, wakati kasema hakuna kitu kingine kilichoshuka toka peponi zaidi ya jiwe. Kudanganya kazi jamani, khaa
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
@@daawaonlinetv4486 wewe ndo ubongo wako una shida, sio hoja, kasema hakuna chochote kilishushwa toka peponi zaidi ya jiwe. Ili hali upo 🌲. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu. Ndo mana ata alieandika Quran amesababisha idhalilike kwa mapungufu na makosa yaliyomo ndani yake. Alafu unaambiwa imeshushwa, Mungu hakosei kaka. Amka
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Hakika kuna mengi ya kuchekesha kwenye Uislam, Jiwe ukilibusu linaondoa dhambi. 😂😂😂😂😂😂😂
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 18 күн бұрын
Usichokijua bible inazungumzia pia ilo jiwe we Ka naukafiri wako
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@Jamal22-o5n huyu tusimjibu hamna kitu humu hata elimu hana kichwa maji
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@@brothermuadhwam890Hakuna jiwe la kuondoa dhambi mdogo wetu, toa pombe zako. Na cha pili Muhammad kila alichokuwa anakifanya mwongozo wake ulikuwa ni Biblia, ndo mana vingi ambavyo Mwalimu wako anavisema anatumia Biblia kuthibitisha. NILIWAAMBIA UKRISTO NI KILA KITU, BIBLIA NDO MWONGOZO WENU, NDO MANA MNASEMA HATUFUATI, MAANA YAKE NYINYI MNAFUATA YA KWENYE BIBLIA. MMETU'COPY, HUO NDO UKWELI.
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@@TheAlman Ungekuwa na elimu usingekubali uambiwe Quran imeshushwa wakati Mwalimu wako apo ndo anaitumia kuthibisha mwongozo wenu kuwa sahihi. Kwanini asitumie Quran kiluthibitisha, kwa sababu Biblia mdo inahukumu vitabu vingine vyote. Na cha mwisho kunijibu mm ww ni lazima, maana maneno yangu yanachoma sana, maana ni kweli. Ningekua naongea kitu ambacho hakipo, kweli mungeweza kutokujibu. Takbirrrr
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@Jamal22-o5n hivi ww unazni kama angetumia qurani ww sindio ungetoka roho kwakupinga Yeye ameamuwa kutumia maandiko ya pande mbili ili kukupa ww elimu kwaana hata kama angetumia qurani ungesema huiamini ndiomaana tunatumia kukuonesha pande zote mbili ili upate kuelewa.
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Kotoka 30 mstari wa 17
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Kati ya maandiko na na hao mitume wenu wengi waongo ipi mnaiamini
@paulmushi2428
@paulmushi2428 18 күн бұрын
Hilo jiwe Al hajar Al aswad ni kimondo kama kilichoko dondoka kule mbozi Maqureish wakakichukuwa wakaliweka kwenye Kaaba na kusema limetoka Mbinguni 😂😂😂 Al hajar Al aswad ni kimondo
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@paulmushi2428 toa ushahidi ili tukuelewe mbona povu ila paulina unakirupukaga sna
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 18 күн бұрын
Yani maandiko yote aliyoyatoa sheikh Tena kutoka kwenye bibilia badotu hamuamini nyinyi wakristo kweli walimuwenu mnaowaamini nikina nabii kiboko ya wachawi na yule wakenya Makenzie washakahola hao ndio mnao wamiini kina mwamposa nabii mkuu geogredavie hao Ahhaa😂😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 18 күн бұрын
​​@@TheAlman Kwa hiyo na watu wa Mbozi wachukue kimondo wakibusu na kukiadhiria mikono na kukizunguka na kusema Allah Akbar? Narudia tena Al hajar Al aswad ni kimondo kama Cha Mbozi Mbeya
@paulmushi2428
@paulmushi2428 18 күн бұрын
​​@@zaidiissa3714 Kutoa maandiko mengi SI hoja je anayoyatoa anayatafsiri Kwa usahihi?
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
Muhammad angekuw hai mpka leo, angepata tuzo ya uongo kidunia
@Num3er38
@Num3er38 17 күн бұрын
SOMO LA LEO MWALIMU KAIDHALILISHA QURAN NA UISLAM, IMEONEKANA WAZI ALIEANDIKA QURAN LENGO LAKE KUWATOA MAKOSA WAKRISTO KUTOFUATA MUONGOZO WA BIBLIA, NA WAO NDIO WANAOFUATA. KWA IYO MUISLAM KILA ACHOFANYA MSIKITINI, AMEFUATA ANDIKO LA BIBLIA. NA QURAN PIA IMEIBA MAANDIKO HAYO NA KUKOPI. KWA MAANA IYO NI WAZI QURAN HAIJASHUSHWA KAMWE. UONGO LEO MWALIMU KAUWEKA WAZI. MUHAMMAD KATUPIGA 😅😅😅
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 16 күн бұрын
Hivi mmezidiwana hoja na wakristo meamua kusema na mtume nae amepaa
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 15 күн бұрын
@@WazaeliStefano kasome ww au ushamaliza kuijua Kur Ani au ndo chuki maan ayo maneno yapo vitabuni au ndo mikate ya kanisan yameondoa akili zenu kabisa ni wat wakukataa tu yaan wakristo mnafikirisha kusoma hamsomi mkisomewa maandiko mnabisha yaan heee nyiny kwel bilisi bab enu
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 16 күн бұрын
Kwahiyo wachawi Wana nguvu kuliko kitu kilicho Toka kwa munguu
@TitusIbrahimu-n8j
@TitusIbrahimu-n8j 18 күн бұрын
Mungu hana seemu yakishukia au mrango kwenye mbingu. Mungu yeye anashukia seemu yoyote,hata kwa musa alimtokea seemu tofauti na apo yelusalemu
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Yaani ww hata maandiko huyaoni? Au ushabiki unakuponza
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Kasome mwanzo 28:10 acha kupinga usichokijuwa kasome Uislamu ndio dini ya kwli.
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
​@@TheAlmanQuran 2:97 uislamu ni uongo na uadui kwa malaika
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 18 күн бұрын
Kwan umeelewaje mbna huelewi unavamia tu ilo jambo atahalitaki ugumu maan jambo lakawaid uo niutaratibu kama utaratib mwengn tu acha chuki
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 18 күн бұрын
​@@edwardntamaboko3414mungu atakulipa tu ipo siku utajutia Bora kama huna uhakika wa Imani yako Bora usitukane maan nakusikitikia usie soma vitabu maan ibada zenu ata kweny bible hazipo na wala hamumfat yesu munamfata mdomoni tu munge mfata mngejikuta waislam tu ila hujachelewa soma bible kwakina utajua Kam ipi dini sahhi
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
AYO MASWALI YA NAMNA YA KUFANYA IBADA KWA WAKRISTO NA WAISLAM WANAVYOFANYA. UYO ANARUDIA SWALI, WAALIMU WAKE AKINA SULE NA MAZINGE WALISHAPEWA MAJIBU. ANAPOTEZA MUDA KWENYE IYO MADA
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 18 күн бұрын
Kupinga ni sifa ya makafiri wote duniani
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Hatuogopi wapiganaji sisi waislamu tupo kwenye mwongozo hatuna miungu watatu sisi tunadini ya haki
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
​@@SabihaibrahimRajabuKupotosha ni sifa ya makafiri yaani Magaidi ambao ni waislamu kote duniani
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
​@@TheAlmanIla mna Mungu jini, Mungu wa makureshi nk,sasa hao ndio Mungu?
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
​@@TheAlmanHuwezi kuogopa wapiganaji na wakati nyie waislamu ndio wapiganaji yaani Magaidi haswaaaaa
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 8 күн бұрын
Shehe fundisho la kuosha miguu maana yake ni kujitskasa mbele za mungu kwa kuomba msamaha syo kama huyo shehe anavyopotosha
@ZuberiHafizi
@ZuberiHafizi 18 күн бұрын
Yani awawaklisto niwatuwajaajusana mwalim anatoa maandiko kutokakwenye iyoiyo bibiliayenu lakinibadowabishi tuu jamani
@Num3er38
@Num3er38 17 күн бұрын
Hatubishi, ila tunachoshangaa ni kwamba kwa nini Quran imekopi Biblia? Maana miongozo yote ya waislam ipo kwenye Biblia. Kwa maana iyo Mwalimu anathibitisha Quran haijashushwa, wamekopi kutoka Biblia.
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
Muhammad kwenye Quran utasikia anaongea Mungu mwanzo mwisho, aah kwa kweli aliweza kudanganya huyo baba.
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
7 moja heremia adhana iyo
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
LEO MWALIMU ANATHIBITISHA KUWA BIBLIA NDIO MWONGOZO WAO, ISIPOKUWA MUHAMMAD ALICHAGUA YA KUSADIKI, NA AKACHAGUA YA KUYAPINGA. KWA IYO QURAN JAMANI HAIJASHUSHWA, ACHENI UPUUZI. NI COPY YA BIBLIA. MSIKILIZENI MWALIMU WENU. SOMO LAKE LA LEO NI BIBLIA TU KWA ASILIMIA KUBWA. Mwenye macho na masikio aruhusu vifanye kazi.
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 18 күн бұрын
Kumbe Quran ni copy ya biblia,basi afadhali umetusaidia kujua kwamba Yesu si Mungu(kwa mujibu wa Quran ambayo imekopi hivyo toka kwenye biblia)
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 18 күн бұрын
Unaangaika na yap acha usenge kuma wewe waislamm wanaamin yesu alikuwa muislamm kwahiyo biblia inathibitisha hivyoo were unaangaika ukristo in dini yakizungu
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 18 күн бұрын
Sawa lkn wewe ufati bibliaa ndio maana yake waislamm wanaamin mitume wote walikuws waislamm unaangaika nannnnnn
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
​@@hemedbamja3197Aliyewasaidia kujua Yesu siyo Mungu ni mhuni aliyetaka mumuabudu yeye (Herode) yaani wayahudi waliokuwa wakiumia na kubabaika kuhusu Yesu alivyokuwa akithibitidha kuwa yeye ni Mungu.Sasa kutoka kwa Herode yaani wayahudi ndiyo uislamu ukatokea humo
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 18 күн бұрын
@edwardntamaboko3414 : wala siyo sababu ya heroes,bali huwa najiuliza huyo "mungu" aliyetolewa roho na malaika wake,roho yake ilipelekwa wapi alipokufa?nikifikia hapo hata simhitaji herode kunisaidia kujua kuwa yesu si Mungu
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 18 күн бұрын
Mwalimu mbogo unatakiwa uwe kama mwalimu hasa Silaha unazo lakini utimiaji wako ni mdogo nina maana ufundishaji wako uko chini aueleweki vizuri, tunaomba rekebisha uzungumzaji wako fundisha hasha ili watu waelewe hiyo ndio changamoto uliyonayo.
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 18 күн бұрын
Unamaanisha afanye nini ambacho hafanyi? Nashauri utafute namna uwasiliane naye moja kwa moja umpe ushauri wa kile unachoona anapaswa kuongeza
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Pengine uwelewa wako mgdogo ila wenzio tunaelewa
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 18 күн бұрын
Hapa huja shauri ila unalaumu, Hayo mawazo uliyo nayo ndiyo unge mpigia mwalimu simu badala ya kulalamika kwenye comment,
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
@@rizikiyahya5254 😂😂😂😂😂 akiacha uongo mutamuelewa, maana hakuna anaedanganya alafu akaweza kunyooka. Na isitoshe leo ametufumbua kuwa Quran haikushushwa, wamecopy kwenye Biblia, na pia kathibitisha Biblia ni kitabu cha kweli. Maana ndo anatumia kuthibitisha usahihi wa muongozo wa uislam na ibada.
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
@@daawaonlinetv4486 ivyo ndivyo tunavyokumbatia mafundisho ya uongo na matendo ya mtume Muhammad S.A.W. Maana ni aibu ikijulikana kwa wasio waislam, ukweli usemwe tu, ili nafsi ziwe huru.
@goodytairo2672
@goodytairo2672 19 сағат бұрын
Sisi Hua tuanafunga ila siyo kulazimishana kama waislam sisi tuanambiwa ukifunga hata mtu asijuwe kama umefunga usiwe kama mafarisayo kama unakula daku saa 11 ukashiba ivi unaweza kuwa na njaa mchana kweli sisi tukifungua saa12 hatuli tena mpaka kesho yake saa 12
@deogratiasrugabelandamugob8632
@deogratiasrugabelandamugob8632 15 күн бұрын
Hiyo ni black stone ambalo Mohamed alisema ukilibusu linasamehe dhambi. Siku ya kiama litapewa roho kushuhudia dhambi zao.
@Jpn_Studios
@Jpn_Studios 17 күн бұрын
Ahaha hatari na nusu ko wasio na uwezo wa kufika huko hawajafungamanishwa na Mungu na hawatakuwa na shahidi siku ya kiama...???
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Ushauri wakati maandiko yanasomwa fungueni vitabu muone ayo maandiko yapo hayapo
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 18 күн бұрын
Yaan wakristo ingekua mnafata iyo bible mgeingia kweny uislam bila shida maan inajieleza ila baadh ya maneno yamebadilishwa imetiwa mikono kam inavojieleza wenyewe
@yohanamwamkili4397
@yohanamwamkili4397 16 күн бұрын
Ok sawa tunaomba maneno original ili tuyafate hayo, unavyoongea utadhan una uhakika kumbe umesikia viongozi wako,je ww hayo maneno yaliyo badirishwa unayajua
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 15 күн бұрын
@yohanamwamkili4397 wew husomi bible itakua bible yenyewe ndo inasema kalamu ya waandishi imeifanya taurat iwe ya uongo nahilo pia nimeskia kwa walim wangu kwan siipo was taurat imetiwa mikono izo ni Aya zenu wenyenu napia unajua km majina zaid ya 1000 yameondolewa mpk apo unabisha bas bisha sisi waislam hatunaga kulazimisha fanyen mnavyojua kaz yet kukumbusha tu
@yohanamwamkili4397
@yohanamwamkili4397 15 күн бұрын
@brothermuadhwam890 Unajifanya mjuaji, nyie waislam hamna kulazimishana au sio, muhaham alipo waambia fight those who are against islam alimaanisha nn? muhamad alivyo waambia mtu akiritadi auwawe alimaanisha nn au hayo hayapo kwenye jarida lake lile? Sikia ww, hilo neno ulilo quote halima maana hio umetafsiri kimsikiti sikiti si unajua tena kwenye elimu kidogo allah aliwasahau, ndio maana ata uyo mtume asie na miujiza alikua hajui kusoma wala kuandika miaka 40 yupo tu ila kuoa aah alikua vizuri. Kwa kumalizia sasa nyie watumwa wa waarabu mnasema torat imeharibiwa, zaburi imeharibiwa, injiri imeharibiwa, ila jarida la muhamad tu hilo halijaharibiwa hivi we hujishtukii na kuona ni ushenz wa hali ya juu na ubinafsi? Kwaio Mungu aliacha vitabu vyake vyote viharibiwe ila cha mudi tuuuu ndio akakilinda? Ok ss tumekubali vimeharibiwa shida yetu ni moja, tunaomba original za hivyo vitabu nahayo majina yaliyo futwa, kwan unaweza kusema hii simu ni feki ikiwa original hujui inafananaje? Kinachokupa nguvu ya kusema hii feki ni kwasabab original unakijua, sasa nyie mnaosema vimeharibiwa tunaona original version zake au tuonesheni torati na zaburi ndani ya hilo jarida la mudi. Ukiona huna jibu la vilipo vitabu original usijibu plz endelea kukaririshwa na hao mashehena, walio wakaririsha kuwaita wayahudi "mayahudi" ila waarabu hamuwaiti "maarabu" aloo nyie watu mngeweza mngekua mnawapigia magoti waarabu mnawatukuza sio mchezo, narudia kama huna jibu la wapi vilipo hivyo vitabu original usijibu hii comment ntakuelewa tu, kua uli comment ukiwa na mapepo, si unajua mudi alifanyiwa operation kutolewa mashetan kifuani? Aya kataa na hilo
@TawakalKasim
@TawakalKasim 3 күн бұрын
Wakirstooooooo munapitoshwa nyinyiiii amkeniiiiiii manabiiiii wote wamesujudu kwa nini hamuwambii viongozii wenu musujudu hamuwafati manabiiiii nyiny munamfuata naniiiiiiiiiiiii hamunaakil
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 18 күн бұрын
Mtume aliacha Aya 7 tuu Hadi anafariki,mengine Niya maswahaba .
@TitusIbrahimu-n8j
@TitusIbrahimu-n8j 18 күн бұрын
Na mbona mnalizunguka mkiwa na nguo zinazoonesha miili yenu ya siri?
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@TitusIbrahimu-n8j wapi na wapi au unazani ni kanisani pale? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Achu kupotosha jamii
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Nehemia 8 nne
@POVELSPORTS
@POVELSPORTS 18 күн бұрын
Duuuh kwa nn co MAKKA bali akaenda Jerusalem's wakati wanasemah makka patakatifu amkeni nyny!!
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Wana wa israil wenyewewe Walisujudu 7 tatu nyakati wa pili nyakati wa pili 7 tatu wakasujudu kifudi fudi mpk chini mnakaa kwenye viti alafu mnasema mnaabudu
@tanzanite9944
@tanzanite9944 18 күн бұрын
Kusujudia ni kupigs magoti na sio kulamba udongo na paji la Uso
@TawakalKasim
@TawakalKasim 3 күн бұрын
Wa kujifunza hapo ni Hao wanaochukua bibilia kila siku Lakn hawafat bibilia wala manabiiiii walio o kwenye bibilia wanamfuata naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hawan akili hao
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Ndugu zangu waislam Mwalimu wenu Kibaraka cha Muhammad, Dr Zakir Naik anakuja bongo. Angalieni atakvyo chezea za uso.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
@@Jamal22-o5n hoja yaleo ni ibada sahihi
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@ZayyanaBamuni Ibada sahihi BIBLIA imeeleza, si unasikia mwalimu wako anavyoisadiki Biblia, na anakiri taratibu zenu zote mmeiga katiba Biblia. Kasoro uzinzi tu ndo Muhammad kajiongeza kwenye vitabu vyenu.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
​@@Jamal22-o5n😂halafu wakristo ni waajabu kweli,ibada walizofundisha mitume km hamzioni,ibada mnayofata ni ibada aliokufundisheni Paulo ya kuimba na kulewa na ibada ya Papa ya kuzagamuamuana wanaume kwa wanaume basi
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 17 күн бұрын
@ZayyanaBamuni nishatoa siri za nabii wako wa uongo ushaanza kuchangabyikiwa, mbona bado. Kuna mengu yanakuja, mana kila nasoma magazeti yenu ya kiislam. Pole lakini
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Alkaba ilo ni shahidi mpk kwenye biblia limo alafu wanakataa dini ya uislamu
@parismk7460
@parismk7460 17 күн бұрын
Muongo Sana anazunguka nikiwa nae live nitamkatisha mpaka atalia mbele ya waislam Uukimpa muislam aongee mfululizo anapoteza swali anajibu kitu kingine. Kwa kukuvuruga hapo kati Kwann Mungu abadilishe kibla? Antichrist is Muhammad Sababu za msingi za kiroho ni zipi?
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Kwa iyo kumbe hija za waislam zote wanafuata Biblia, ndugu zangu kuficha ukweli ni ngumu. Comparison ya Mwalimu imefichua siri ya UKWELI KUHUSU BIBLIA, KUWA QURAN NI COPY. HAIJASHUSHWA KAMA WALIVYODANGANYWA NA MWAMBA MUHAMMAD
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
@@Jamal22-o5n hujiulizi wewe km mkristo kwa nini hufuati kitabu chako?wakristo mmeacha mafundisho ya manabii mnachofata ni maagizo ya Paulo
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Kama biblia huwezi kuielewa na huifati je tukikusomea maneno ya qurani utaamini na kuelewa? Tunatumia kitabu chako kukupa elimu ww mpigaji
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@@ZayyanaBamuni Mimi nashukuru hujakataa kama QURAN haijashushwa. Mmetu'copy kitabu chetu BIBLIA. Muhammad kwa mara nyingine kawapiga, najua imeingia iyo ila hutoitikia kuilinda dini ya waarabu.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
@@Jamal22-o5nkunakitu nimejifunza wakristo baadhi yenu ni wabishi sana,nikuulize kitu?Unaijua falsa ya uislam juu ya vitabu vya Mlmungu au unang'ang'ana tu Qur-ani imekopy?sio kwa ubaya jaribu kufatilia kwa lengo la kutaka kujua na sio kushindana,naamini utajifunza kitu,na km unajua unachoongea umeamua tu kuwa mbishi basi sawa nakutakia kheri
@TitusIbrahimu-n8j
@TitusIbrahimu-n8j 18 күн бұрын
Alipanda mnyama aina gani
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
MWALIMU SIO IC NI AC.
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Unaangika kutafuta makosa kwa mwalimu ila huwezi kuyapata huyu sio Daniel mwankemwa 😂😂😂😂😂😂😂 pole
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 18 күн бұрын
Na kwenye msikiti si ni kma jela Na Je waislamu mkiangalia kibira huwa mnatafuta netwok
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Huna hoja punguza makasiriko 😂
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 18 күн бұрын
@@TheAlman Sio makasriko Naulisa kwani waislamu paka waangali jiwe jeusi ndo Mungu asikie maombi yao
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@SirikwaMollel-y3k elewa jiwe jeusi sio uwelekeo ila 🕋 kaaba ndio tunaelekea kasome jiwe lilianzia wapi kasome kwenye Biblia mwanzo 28:10 utaelewa kasome mwanzo mwisho
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 18 күн бұрын
@@TheAlman kwani unafikiri sijui Lakin hayo ya jiwe ni ya samani Kabila ya yesu hajasulu wakati alisulubiwa hiyo yakushirikisha Mungu ikaisha sasa nikuabudu kwa roho Na kweli
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@SirikwaMollel-y3k kwo unataka kuniambia YAKOBO alikuwa anamshilikisha mungu? 😂 😂 😂 😂 😂 Yani ww biblia unaijuwa kweri? Mungu mwenyewe anamwambia yakobo Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Abrahamu baba yako, na Mungu wa Isaka. Nchi unayoilalia nitakupa wewe na wazawa wako. Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa. Mimi nipo pamoja nawe; nitakulinda popote uendapo na kukurudisha katika nchi hii. Sitakuacha mpaka nitakapotimiza ahadi niliyokupa.” Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!” Yakobo akaogopa na kusema, “Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka hapa ni nyumba ya Mungu na lango la mbinguni.” Yakobo akaamka asubuhi na mapema, akachukua lile jiwe alilokuwa ameliweka chini ya kichwa chake, akalisimika kama nguzo na kuliweka wakfu kwa kulimiminia mafuta. Akapaita mahali hapo Betheli; lakini jina la awali la mji huo lilikuwa Luzu. Kisha Yakobo akaweka nadhiri akisema, “Iwapo, ee Mungu, utakuwa pamoja nami na kunilinda katika safari yangu, ukinipa chakula na mavazi ili nirudi nyumbani kwa baba yangu salama, basi, wewe Mwenyezi-Mungu utakuwa ndiwe Mungu wangu. Nalo jiwe hili nililosimika hapa kama nguzo, litakuwa nyumba yako Mungu, nami nitakupa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote utakavyonipa.” Haya hapo shirki iko wapi wakati mungu mwenyewe ndio asema kwa mtumishi wake yakobo Kwa mujibu wako ww yakobo pia mpagani?
@ZuberiHafizi
@ZuberiHafizi 18 күн бұрын
Tatizo waklisto awfatimandiko wanafata wachunganjiwao
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
Wachungaji wanatuhuisha maandiko sahihi ndiyo maana tunawaelewa, nyie waislamu mashekhe wenu ni waongo
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@edwardntamaboko3414 hahahaaaaa yaani maandiko yanasema acha wachungaji wanasema fanya alafu unasema unahuishwa wewe ukosawa kweli?
@deogratiasrugabelandamugob8632
@deogratiasrugabelandamugob8632 15 күн бұрын
Kumbe na huyu anayeendesha kipindi ni muislam hana knowledge ya Kikristo. Unapotosha maana nzima.
@ApolloOrao
@ApolloOrao 18 күн бұрын
😂😂😂😂
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Bado Mwalimu anadhihirisha BIBLIA wametu'copy kwa wanayoyapenda na kupinga wasiyoyapenda. QURAN NI COPY NARUDIA TENA. Na kumbe msikitini hawaweki viti kwa sababu BIBLIA inasema alitupa viti kwenye nyumba ya ibada iliogeuzwa soko.
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Yaani wanabadilisha maandiko dini ya uongo ukristo ni uongo mtupu
@yohanamwamkili4397
@yohanamwamkili4397 15 күн бұрын
Au sio
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
Uyu mwalimu apa mimi ndo anaponichosha, Sio Biblia imekubali, BIBLIA NDO MWONGOZO WENU WAISLAM NA QURAN, MAANA MAANDIKO MENGI MME'COPY. BIBLIA NDIO YA KWANZA MMEI'COPY. ALAFU ETI BIBLIA INAKUBALI, QURAN NDO INAKUBALI
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
Ndio sababu tunawaambia hakuna mtume mkristo,mitume yote walikuwa waislamu,ndio maana mafundisho ya mitume yote yanafanana,suali kwako we mkristo mbona hufati mafundisho ya kitabu chako?na siku ukifata mafundisho automatically utakuwa muislam
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 18 күн бұрын
​@@ZayyanaBamuniHakuna mtume muislamu kwa sababu kwa waislamu wanaowaabudu wote ni nje ya uzao wa Ibrahim
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
@@edwardntamaboko3414 kwani kwa akili yako waislamu wanamuabudu nani?wallah wakristo mmepotoshwa sana juu ya uislamu,nakuombeeni Mlmungu akufunulieni mioyo ya uwelewa
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 18 күн бұрын
Kwani haya maandiko aliyo yatoa kwenye bibilia pia huyaamini??? ndio yaleyale nyinyi wakristo bilakudanganywa bado hajaamini maana angesema kiboko ya wachawi au mwamposa au nabii mkuu geogredavie au Makenzie yule wakenya shakahola hao ndio naowaamini lakini waisilamu wakiwaambia ukweli hamtaki😂😂😂nyinyi alie waloga mungu mwenyewe ndio anajua 😂😂😂
@Khalidmghosi
@Khalidmghosi 18 күн бұрын
Watu hufikiri torati n ya wakristo, wakristo hawana vitabu babu
@TitusIbrahimu-n8j
@TitusIbrahimu-n8j 18 күн бұрын
Na kwa nini hiyo ibada ya maka ilikuwa ikifanya na makafiri kabra ya mhamadi?
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Kwann wayahudi walikuwa wakiabudia ndama? 😂😂😂😂😂
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 18 күн бұрын
Kwani nyinyi wakristo mnamatatizo Gani au nikwasababu kafundisha sheikh muisilamu ndio maana hamuamini yaani maandiko yote aliyoyatoa sheikh Tena kutoka kwenye bibilia bado hamuaminitu lakini angekua kiboko ya wachawi au yule Makenzie wakenya washakahola mngeamini au mwamposa au nabii mkuu geogredavie hao ndio mnao wamiini hatakama wanasema uongo yie kwenu nisawa lakini muisilamu nimuongo 😂😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 18 күн бұрын
​@@TheAlman lile jiwe Muhammad alizunguka na kuliita Allah Akbar huyo ndiyo Mungu wa Muhammad
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
@@paulmushi2428 i didn't get your point exactly? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
@YussufHamad-d9r
@YussufHamad-d9r 14 күн бұрын
Na km maandiko yapo ikiwa hamkuyafata mtapata hasara ndio mana biblia inasema mkikusanyika humo makanisani mnakusanyika.kwa hasara
@tanzanite9944
@tanzanite9944 18 күн бұрын
Maskini Jamaa bado anadanganya Waislamu wenzake wasiojua kitu. Tangu lini Muhammad akapaa wakati hakuwahi kufufuka! Kusikiliza Huu Ujinga na kuuamini Labda mtu awe mapepe tu.
@FadhilZaharan
@FadhilZaharan 18 күн бұрын
Mbogo ivi kweli kumfundisha asie kua muislam miujiza ya mtume ataamini kweli? kujua miujiza kama hiyo anafundishwa muumini hawezi kukuelewa huyo unatakiwa umuache aje na maswali yake umfundishe biblia kwanza hayo masomo hamuwezi kuelewana mfundishe yesu sio mungu ni mtume nayale mepesi mepesi lkn eti miujiza ya mtume kwanza hawamuamini mtume ndo ataamini miujiza kweli
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 18 күн бұрын
Ndugu yangu hata Mtume( SAW) Alikuwa mfikishaji suala la kuamini au kuro kuamini siyo kazi ya Mwalimu. Mwenyezi Mungu yeye ndiyo anaye muongoza amtakaye
@FadhilZaharan
@FadhilZaharan 18 күн бұрын
@daawaonlinetv4486 sawa mbogo nakukubali mwlm mzuri kwajitihada zako zakufikisha ujumbe wa ALLAH
@TitusIbrahimu-n8j
@TitusIbrahimu-n8j 18 күн бұрын
Mbogo kwanini ukiwa umeligusa unalitamkia maneno na ukiwa umelishika kwa mikono miwili. Na jee unatamka maneno gani?
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Punguza chuki
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 18 күн бұрын
Njoo usilimu kwanza utafundishwa hayo matamshi
@yohanamwamkili4397
@yohanamwamkili4397 16 күн бұрын
​@@TheAlmanacha upumbavu ww unakua kama zezeta, apo chuki ni ipi? Mtu kauliza swali unaacha kujibu una comment upumbavu mliokubaliana kwenye ibada zenu, jibu swal
@yohanamwamkili4397
@yohanamwamkili4397 16 күн бұрын
​@@daawaonlinetv4486jibuni swali nyie maamuma hivi mkoje nyie
@TheAlman
@TheAlman 16 күн бұрын
@@yohanamwamkili4397 kwan ww ulisikia mbogo kazungumzia kuna maneno yoyote unasema ukilishika? Ndio maana nasema wewe zwazwa
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
IPO SIKU ISIYO NA JINA WAISLAM WATATUAMBIA MUHAMMAD NI MUNGU. 😂😂😂😂😂😂😂😂
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
We akili usizifananishe na akili za waristo,Yesu kupewa uwezo wa miujiza ya kufufua tu munamwita Mungu
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Kama mulivyo tuambia nyinyi yesu kumfanya kuwa mungu 😂😂😂😂😂 toa huja punguza makasiliko huna dini ww hata mumgu humjui Taqbirr Allahu akbar
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@@TheAlman Yesu ni mwenye huruma na mwenye kusamehe, utasamehewa ndugu. Ila angalia mwalimu wako anavyoitukuza BIBLIA, na anadhihirisha Quran ni copy. Takbirrrr
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@ZayyanaBamuni Mwalimu wako tu ameshindwa kuelewa, wewe ndo chenga kabisa. Sitopoteza muda kwenye ilo.
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 18 күн бұрын
Inalilahi kweli wezetu muna chuki na uislam munaonesha tu kuchukia bila sababu ila musimalize maneno maan hunauhakika na iyo Imani yako Kam nikwel asilmia mia kwaiy weka hakiba ya maneno usije ukajuta kwa kumtukana mungu wa kwel nailhali unajisifu
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
JAMANI MTUME NA YEYE ALIPAA, MWAMBA AKUBALI KUSHINDWA. IPO SIKU TUTASIKIA NA YEYE ALIFUFUKA 😂😂😂😂
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 18 күн бұрын
Sasa utaenda mbingun bila ya kupaa alienda na malaika gibriil
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 18 күн бұрын
Hahahaaaaaa,heeeee!​@@sultanbakary4292
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
Shida mchungaji wako alikufundisha mtume aliowa mtoto wamiaka 9 tu kuna mengi hajakuambia
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@sultanbakary4292 Acha bangi kaka, Muhammad ajawahi kwenda mbinguni, hana vigezo. Mbinguni hakuna mbakaji,mbinguni hakuna muuaji. Amka
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 18 күн бұрын
@@Jamal22-o5n ameenda mbingu tena ndan ya ucku Mmoja tu huko ameenda kupewa nguzo Tano za uislam ameenda sehem ambayo hata malaika hawajawah kufika hata kiumbe yeyote yule Dunian haijafika ila mtume Muhammad mbora wa viumbe wote dunian amefika cku ya kiama kila kiumbe atauona ukubwa wa Muhammad hata ww na upofu wako na kiziwi ulichokuwa nacho utakubali punde tu utakapokata roho
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@Simulizizone tuulizie uyo Mwalimu Kwanini maandiko yoyote yenye ukakasi, yenye kutia shaka na yaliyojaa uongo na vichekesho, kwanini wameandika kwenye vitabu tofauti na Quran. Walijua Quran itajaa comedy, maana yaliomo ni vichekesho na kufuru iliopitiliza.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
We asa pimbi,we utaifananisha Qur-ani na biblia,Qur-ani ni maneno ya Mlmungu aliomfunulia mtume wake Muhammad S.A.W kupitia malaika Jibril,tofauti na biblia kuna maneno ya mlmungu,kuna maoni ya watu na barua za Paulo pia zimo humo humo
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 18 күн бұрын
@ZayyanaBamuni ACHA UTAHIRA WEWE, MUHAMMAD ATA ALIVYOTEMBEA NA WAKE ZA WATU ALISEMA MUNGU AMEMFUNULIA. AKIUA MTU PIA ALIWAAMBIA MUNGU AMEMFUNULIA. QURAN IMEANDIKWA NA MTU KAMA WEWE.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
​@@Jamal22-o5nZero brain,mada yaleo imekuzidishia mateso,naona leo umezidi hutulii km bisi kikaangoni
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 18 күн бұрын
Huna hoja kijana usjjae chuki wakti huna dini maan husomi vitabu kijna acha chuki usichukie mungu wa kwel na dini ya kwel ujue utakufa ipo siku
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 18 күн бұрын
Aisee wewe jamaaa ni muongo sana,sijui unafikiri hatusomi vitabu vyenu?
@TheAlman
@TheAlman 18 күн бұрын
Ktika kipi? Toa hoja punguza makasiliko
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
Km mnasoma ndio ujuwe hamjavimaliza
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 18 күн бұрын
Sasa ww izo Aya huziskii au huna akil iyo ni bible inasomwa Kuna hija umo Kuna hekalu Kuna sinagogi Yaan kunakusujudu ivi huelewi nn au ndo mumelishwa chuki kanisan
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
@@TheAlman kaka kila anachosema Sheikh ww ni kweli, Pole
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 18 күн бұрын
@@brothermuadhwam890 leo nimeamini quran haijashushwa, wamekopi Biblia. Maana mwanzo mwisho kuthibitisha ukweli wa ibada za kiislam
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 49 М.
MJUE SWAHABA MYAHUDI KUTOKA KWA BINGWA WA HISTORIA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:07:16
NI YESU ALISULUBIWA MSALABANI AU YUDA?? UST. SULEIMAN MBOGO AWATEGA MWANKEMWA NA NDACHA
1:12:59