Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 4/5

  Рет қаралды 304,742

Abd Binm

Abd Binm

11 жыл бұрын

Пікірлер: 209
@omarmpango8537
@omarmpango8537 4 жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi sheikh wetu
@eliamtani2840
@eliamtani2840 2 ай бұрын
Alifariki mwaka gani?
@mahadimatsawily5809
@mahadimatsawily5809 3 жыл бұрын
Allahumma ghafiril lahuu warhamahuu waskinuh fil jannah. Ya Allah tunakuomba Umsahe dhambi zake na Umplipe kila la kheri. Utujaalie tuwe wenye kusimama katika haki na utujaalie mwisho mwema. Ya Allah tunakuomba ututhibishe katika dini Yako kama Ulivyowathibitisha waliokuwa kabla yetu.
@yussuphmbaroukalliy8669
@yussuphmbaroukalliy8669 5 жыл бұрын
mungu akulipe na akujazie kwa mema uliyoyafanya na akusamehe makosa yko uliyotenda kwa kujua au kutojua alijaalie kaburi lko miongoni mwa viwanja vya peponi amiin
@timbulosaid63
@timbulosaid63 5 жыл бұрын
Allah atie nuru ktk kaburi lako na alifanye pana
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 5 жыл бұрын
Allah akulipe kwa mema uliyokua ukiyafanya kipindi Cha uhai wako
@jumannejabil7018
@jumannejabil7018 4 жыл бұрын
naaam waisilamu wanaojitambua kamahuyu leo wakoap mungu amuifadhi amsamehe alipokosea amjalie pepo amin
@athmanchihangu3384
@athmanchihangu3384 3 жыл бұрын
Dog of the king is the king to other dogs (kama umeipenda hiyo gonga like hapa)
@aminasaid6555
@aminasaid6555 11 ай бұрын
Dog?
@bilaliomar4023
@bilaliomar4023 3 жыл бұрын
Allah s.w akulipe ujira Kamila akuingize katika pepo yk
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 7 ай бұрын
Allah S.W akujaalie makaazi pema peponi
@eliamtani2840
@eliamtani2840 2 ай бұрын
alifariki mwaka gani?
@mwananakilima2987
@mwananakilima2987 5 жыл бұрын
Mungu amuondole athabu ya kaburi ameen thuma Ameen
@jamalshebughe2515
@jamalshebughe2515 3 жыл бұрын
Mzee wewe mungu akujalie kwa kuwaelewa wazanzibari
@athmanchihangu3384
@athmanchihangu3384 3 жыл бұрын
Huo ndo ukweli sheikhe Allah akufanyie wepesi
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 Жыл бұрын
Kweli Shekhe Ilunga Allah akurehemu na akujalie salama na amani Akhera ulipo tangulia
@hassanally4960
@hassanally4960 Жыл бұрын
Huyu ndo mwanaume Allah Allah atujaalie kila la kheir katika kaburi lako
@shomarykhamis9711
@shomarykhamis9711 3 жыл бұрын
Allah akuhfadhi mahala pema inshaallah,
@allykhamese6512
@allykhamese6512 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu amuweke mahal pema pepon amina, alikuwa mwl wangu huyu wa somo la ISLAMIC KNOWLEDGE,thaqafa sec school mwanza
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 10 ай бұрын
Tatizo ulikosa elimu dunia, Watanzania hatufungamani na udini.kinachoongoza ktk maisha ni elimu , sheria na kanuni na si mila na disturb km mjinga mmoja anasema.
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 3 жыл бұрын
Allah atakulipa umejivua dhimaa
@AbuubakaryKisheo-rp7vo
@AbuubakaryKisheo-rp7vo Жыл бұрын
Teacher huyu ndiyoo maana mnaona yuko na madini mingi Allah amuwie radh alipokosea
@saidabdala7446
@saidabdala7446 5 жыл бұрын
Marehemu Shekh ilunga . Allah akusamehe mazambi yako yote. Tutakukumbuka kwa ujasri wako
@ismailramadhani3813
@ismailramadhani3813 4 жыл бұрын
Shekhe mungu akusamehe madhambi yako ulipwe mema ,, jasir
@zulkhasalim3405
@zulkhasalim3405 3 жыл бұрын
Amin
@mohamedmwanja6857
@mohamedmwanja6857 3 жыл бұрын
mungu akuweke mahali pema peponi inshaallah
@hafidhkhamis3615
@hafidhkhamis3615 5 жыл бұрын
Kull hakku laukkana murra viva sheikh ilunga and big up Sana'a Allah akupushie adhabu za kabur
@abdullahalaghbari3871
@abdullahalaghbari3871 4 жыл бұрын
b
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 3 жыл бұрын
Alhamdullah maa shaa allah ndugu yetu mwenyezmungu akupe khatma njema
@bilaliomar4023
@bilaliomar4023 3 жыл бұрын
Amin
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Allah Akupe Kheri Mzee Hassan ilunga Huko Uliko MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏
@angelomalimi2444
@angelomalimi2444 11 ай бұрын
Shehe jinga sana hilo linapenda vulugu nchini shenzi kabisa
@nuruali9608
@nuruali9608 2 жыл бұрын
Mungu atienuru qabri lako shekh ilunga hassan kapungu
@shamsiisaakaizilege7256
@shamsiisaakaizilege7256 3 ай бұрын
Shekh asante kwa darasa.nilikuwa siyajui.
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 10 ай бұрын
Mbona macho ya huyu mzee yanafanana sana shetan
@mkongwedthman3963
@mkongwedthman3963 3 жыл бұрын
Allah amrehemu rehma njema inshaallaa
@saidjuma7952
@saidjuma7952 5 жыл бұрын
Allahu maghfir llahu warhamhu waskanatul-filjanna.
@jabumakame6895
@jabumakame6895 3 жыл бұрын
Amiin
@jumaali2832
@jumaali2832 3 жыл бұрын
Allah atakulipa insha Allah kwa elimu yako juu ya kutetea uislam akupe nuru ya kaburi lako
@zainabzaid2254
@zainabzaid2254 5 жыл бұрын
Ya Allah msamehe madhambi yake na utuletee Ilunga mwingine atakaekuwa na uwezo wa kuyasema haya bila kuogopa chochote
@feruzisila2329
@feruzisila2329 3 жыл бұрын
R 7vp .. LINA
@zulkhasalim3405
@zulkhasalim3405 3 жыл бұрын
Amin
@hamdanvitaris2084
@hamdanvitaris2084 3 жыл бұрын
Allah akulipe Jana allahma amiin
@kingsoboropayani5127
@kingsoboropayani5127 5 жыл бұрын
Ukweli unapigwa vita.. R. I. P mzee Ilunga
@wanymuni3345
@wanymuni3345 5 жыл бұрын
Ukweli huu ndio ulio mponza huyu bwana,waislamu awana fikira wapumbavu helium na uwezo awana,,kapunga amefariki akuna mwingine ,wasomi wakuu wote marehemu east Africa ,uislamu unakufa
@Adeeii-zu5kh
@Adeeii-zu5kh 11 ай бұрын
Tunakukumbuka sana sheikh Ilunga
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Mzee. Mungu akurehemu
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 5 жыл бұрын
Allahumma ghfirlahu warhamhu
@khatibucarroll5339
@khatibucarroll5339 5 жыл бұрын
Marehemu alikuwa vizuri sana RAP
@profesamakame1106
@profesamakame1106 4 жыл бұрын
Mzeeeee Ulikuwa sawaa katika Kuelezeaa union Lak8n ss wazanzibar tumefungwa mdomo kimyaaaa
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Allah amrehemu shekhe wetu
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 жыл бұрын
Allah akurehem ila nimefaidika
@kokudo8389
@kokudo8389 3 жыл бұрын
Duh huyu mzee huchoki kumsikiliza hakika vizuri havidumu 🤔
@user-wt3cc8qg4d
@user-wt3cc8qg4d 11 ай бұрын
shehe.ilunga.wewe.alaakuhifanzi.ishala
@hassanussi1747
@hassanussi1747 8 жыл бұрын
هو يقول الحق. اللهم اغفر له ورحمه
@mvuvikinda
@mvuvikinda 7 жыл бұрын
Tatizo lenu mnaudini mwingi kuliko kisomo.....
@hassanussi1747
@hassanussi1747 7 жыл бұрын
Huo ndio usahihi, sababu mwanadamu kaletwa duniani kwa ajili ya dini na dini ndiyo utakayoulizwa kwa MwenyeziMungu.
@abdikahfi3831
@abdikahfi3831 5 жыл бұрын
Allah akupee jannah
@saidiwaziri328
@saidiwaziri328 5 жыл бұрын
Mzee ww ni jembe kweli kweli mwnyz mung akupe kauli thabiti
@jabumakame6895
@jabumakame6895 3 жыл бұрын
Aamiin
@adamrusheke2454
@adamrusheke2454 Жыл бұрын
Allah akurehem shekh
@h.rukuba7464
@h.rukuba7464 3 жыл бұрын
Allah ampe kauli dhabiti
@suleimanbakar3429
@suleimanbakar3429 3 жыл бұрын
Tunakuelewa shekhe
@hassanyussuph4407
@hassanyussuph4407 5 жыл бұрын
Mzee alikua ajua sio mchezo Allah akupe wepesi inshallah
@fatumamisinga6211
@fatumamisinga6211 2 жыл бұрын
Allah akupe jahnna amiin
@suleimansaid7486
@suleimansaid7486 4 жыл бұрын
Zainab inshallah dua yako ikubaliwe.
@suwedijafar4517
@suwedijafar4517 2 ай бұрын
Allah akusamehe makosa yako
@abdulsalum9698
@abdulsalum9698 11 ай бұрын
Kilabu nnaari Allah akulipe unachostahili
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Huyu sheikh noma sana. Wako wap masheikh kAma hawA
@ChokaHamisi
@ChokaHamisi 6 ай бұрын
mungu atakulipa mzee wetu
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 11 ай бұрын
Ukiristo umekufanyaje we acha ubaguzi wa kidini mbinguni akuna dini na Mungu ana dini
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Kweli kabisa, tunashughulishwa na ikhtilaaf ndogo ndogo baina yetu. Hii ni diversion strategy, tusichunguze ya muhimu.
@athumaniwazabanga8949
@athumaniwazabanga8949 5 жыл бұрын
Allah amthibitishe ktk kauli thibiti
@kasanzumasunga1898
@kasanzumasunga1898 5 жыл бұрын
katika vitu ambavyo Niko tayari kuvipigania nguvu zangu zote, maisha Yangu yote, ujuzi muda na maarifa Yangu yote ni kulinda na kuudumisha Muungano. Hii ndio zawadi yetu adhimu ambayo mwenyezi Mungu katupatia. Tuulinde Muungano wetu, yawezekana hatuna Mali nyingi wala Maghorofa kama wenzetu Wa Ulaya lakini sisi tunaumoja wetu. Mungu Ibariki Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
@omarymtegwa2299
@omarymtegwa2299 3 жыл бұрын
Jina tupu linaonyesha si mtz
@alishop840
@alishop840 4 жыл бұрын
Alwa akurehemu kwarema zake
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏
@seifali5973
@seifali5973 8 жыл бұрын
muungano lazima uvunjikeee kila mojaa yuko huruu na kwake hakuna kutawaliwaa tenaa uzembee ulikwisha watu wamezindukaaa
@christophermwanilwa7074
@christophermwanilwa7074 3 жыл бұрын
tuwe na serikali moja tu ndipo matatizo haya yataisha
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Haifai watu wa zanzibari hawataki. Muungano kwa nguvu haifai wanainchi asl mia mia hawataki basi
@seifali5973
@seifali5973 8 жыл бұрын
ukweli siku zote wachomaa hahahahaa
@georgejacob471
@georgejacob471 3 жыл бұрын
Kwenye dini apo hapana,ila muungano is very complicated
@kaishazabengesi2971
@kaishazabengesi2971 5 жыл бұрын
Mnayo haki ya kusema yaliyomo moyoni mwenu kwani mu wenyeji wa himayaghafi, na jambo moja li wazi kuwa mnajua msilolijua na mnateta mateto yaliyotetwa na watetaji mahili. Hakuna jipya chini ya mbingu. Heri yao wamfuasaye aliyesamehe yote kuliko aliyeishia kulaani malimwengu. Mbarikiwe.
@newsupdate1463
@newsupdate1463 3 жыл бұрын
Koma ww mbwa
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Kwanza kuungana sio kwa nguvu wa zanzibari peke yao hatutarlewana NA bara peke yake au zanzibari eombe himaya kwa dola ya nje kama oman sasa inanguvu sana ikiwezekana maana wa oman ni ndugu kwa uslaam baada ya kuishi miyaka mia tano NA wa zanzibari tabia ni moja NA dini ni moja NA hata wa najua lughu ya kiswahili
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 ай бұрын
😂🤣 😂 Aya bhana!
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 3 жыл бұрын
Nuru ikushukia shekhe wetu
@farajkhatib7418
@farajkhatib7418 Жыл бұрын
Tunataka bas nasis tujuwe izo sir
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
shekh angaliya mfano wa marehemu magufuli na mama mheshiniwa samiya suluhishoo suluhuu president mashallah alipofanya suluhishoo lakufunguwa nchi Kwa bishara bila yakujali kabila nchi diniii ganii mpaka wacristo hapo ndio suluhishoo ciasaa chuki hazijengii
@feisal6592
@feisal6592 Жыл бұрын
Shekh jeaamboo linalikwa ukipenda misikitii kulala unasema hauna sehemu yakulala unanyimwa jee wahusikaa wakuu ikosahihi kidini kunyimwa kulala kwa msikiti
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 3 жыл бұрын
Hotuba ya hatari kwa umoja na mshikamano wa nchi yetu.
@user-fd7vi4xv5x
@user-fd7vi4xv5x Жыл бұрын
Wala hii elimu lazima ipatikane hasa kwa Wazanzibar kabisaa maana wamepoteza taifa Lao kwa sababu ya Muungano na CCM kwa jumla..
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
ukichoma kabisa sio suluhishoo sawa
@zahorrashid5459
@zahorrashid5459 3 жыл бұрын
Hakika mzee uliongea maneno mazito yaliokua naukweli mtupu hata wajukuu zetu hawatokupinga.
@benedictinestory1454
@benedictinestory1454 11 ай бұрын
Huuo ni ubaguzi mbona kanisa la wanakole mlichoma kwani wenyewe hawana haki? Nasisi
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
aslm shekh shida sio ukiristo shida uwangozi mbivu sababu anaongoza mcristo ndio akifanya makosa unasema ucristo
@didamathias7061
@didamathias7061 5 жыл бұрын
Ww jonas kama hujaelewa kaa kimya aliekwambia muungano ukiato nani hebu masikilize kwa makini
@allymsuya6655
@allymsuya6655 5 жыл бұрын
Wazanzibar huwa mnakwenda Dodoma kufanya nini?
@ayubunsajigwa3935
@ayubunsajigwa3935 5 жыл бұрын
Zanzibar kweli kuna Mfumo UISLAMU Wakristo wote wa Pemba ,na Zanzibar kama Ukoo was David Wakati ,na Augustine Ramadhan hawana chao kwa sababu ya Mfumo Uislamu ,wakristo was Pemba na Zanzibar wangekuwa kama waislam wangelalamika MBEYA waislamu wachache RPC Mwislamu hata wakuu wa mkoa zaidi ya miaka 40 waiaslamu lakini kwa sababu ya uugwana waliwakubali (Makamba, Kandoro nk
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
Zanzibar inkochini tanzanizznia ndio muganoo wakimandeleo sawa hapo ndio maanaa
@sherrympemba7106
@sherrympemba7106 3 жыл бұрын
Unguja+Pemba=Zanzibar mnakwama wapi?
@athmankhatibu7976
@athmankhatibu7976 2 жыл бұрын
Mama samia hasan wakati huniwako towa mungano bara kwao ukija ukitoka madarakani zanziba iwe huru mama towa mungano njia nyeupe niutamke useme zaniba ijitawale yenyewe tuunde sirikali yakiislamu mama towa mungano
@athmankhatibu7976
@athmankhatibu7976 2 жыл бұрын
Tutolewe mungano
@athmankhatibu7976
@athmankhatibu7976 2 жыл бұрын
Zanziba tutolewe mungano
@omarikingi9839
@omarikingi9839 4 жыл бұрын
Kwel
@salimsaleh6423
@salimsaleh6423 3 жыл бұрын
🤲🙏🙏
@BARUWANwirison-se2hh
@BARUWANwirison-se2hh 6 ай бұрын
simba
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
manenoo chuki hayajengii chamsingii Mundo mbinu ya owongozi mboyu ndio uliopoo ndio utavunjaa uzanzibari
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 2 жыл бұрын
Magufuli umemtaja
@aminasaid6555
@aminasaid6555 11 ай бұрын
Hujielewi
@lukakyauke9716
@lukakyauke9716 5 жыл бұрын
Sehemu yoyot waislam walipo hawawezi kujitawala ni vita kila leo Waislamu kama awatakuwa na Mtu wa kuwasingizia kwa ss tumeshindwa kuwa sawa kutokana na Wakristo na kama akuna Kristo watagombana wao kwa wao tunaona libya sirya misri lobanoni iran nchi zot za kislamu zinasuguana sana na ukiangalia kwa makini ni upumbavu wa Waislamu wenyewe Na ujinga wa dini yao
@yahyasalim6006
@yahyasalim6006 5 жыл бұрын
Ww hujujui ndy maana hta hicho unachokisema hakitokuwa na mantiki so jaribu kufatilia mambo kwanza ndio uongee usiwe mshabiki wa vitu usivyovijua.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Kafiri wewe!!!!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
!!!!??????!!!!
@chaleboymusician528
@chaleboymusician528 4 жыл бұрын
Wewe kwanza unakosea hata kuandika sio lobanon ni Lebanon na lebanon hakuna waislam tu wapo na wasio waislam
@godfreyvenerandus9411
@godfreyvenerandus9411 3 жыл бұрын
Historia ya Z'bar ni zaidi ya bara asee!
@user-fd7vi4xv5x
@user-fd7vi4xv5x Жыл бұрын
Tena ni complicated na ni ngumu sana kuielewa..
@ibrahimaziz4935
@ibrahimaziz4935 9 жыл бұрын
vunjeni hio takataka inaitwa muungano au kuwe na mauwano
@moodyeddie2530
@moodyeddie2530 10 жыл бұрын
laana zitawashukia wote wenye maneno machafu na lugha mbovu hasbi yakhu
@obugobaraka141
@obugobaraka141 3 жыл бұрын
Kma zanzibar sio taifa je tanganyika ni tafa? na Tanzania ni nchi gani?
@habibushemazunde7675
@habibushemazunde7675 5 жыл бұрын
keisali ww ndiompumbavu kwasababu umesiriza na ww
@saadsalum3253
@saadsalum3253 5 жыл бұрын
Unaongea nini au ndio hujielewi wewe
@kaisarimkuu3685
@kaisarimkuu3685 5 жыл бұрын
Dini itaendelea kuwa sababu kubwa ya ujinga na umasikini kwa waafrika wengi.
@feekhamis916
@feekhamis916 5 жыл бұрын
Kaisari Mkuu ww boya kumbe stupid
@kaisarimkuu3685
@kaisarimkuu3685 5 жыл бұрын
@@feekhamis916 tens ningekuwa na mamlaka ningemfanya barbeque
@hafidhkhamis3615
@hafidhkhamis3615 5 жыл бұрын
ww kaisar unaongea utumbo. Ila ni ukafir umekujasanaa
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 3 жыл бұрын
Na chanzo kikubwa cha vurugu duniani!
@abdulhafidhi84
@abdulhafidhi84 10 жыл бұрын
joneas huna adabu c ww hta bwanawako nyerere hawezi kusema ivyo na huna uwezo wa kumua mt yyt bwege ee
@supertenchoo4271
@supertenchoo4271 5 жыл бұрын
nyamaz ww
@Katabwa
@Katabwa 11 жыл бұрын
Zanzibar ni Tanzania.. Mpaka nife siwezi kukubari kuvunja muungano.. We own you people.. Ntauwa nyote nyinyi mletao hatari katika maisha ya usoni ya vijana wa Africa. Zanzibar ni mkoa tu.. Tutawapiga sana nyinyi vitambi.. People are working for unity and you people are working to deorganize Africa. Nenda shule na acha uchochevu..
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 жыл бұрын
Huna adabu wew kafiri mkubwa kamuuwe wazazi wako ba bwana zako unao wasikiliza kunyanyasa watu na haki zao kisa wanatumia pesa kauwa watu wengi bwana wako nyerere yupo wapi sasa
@fatmahamed3285
@fatmahamed3285 5 жыл бұрын
Jonas Ilole mseng nn ww
@abdulrasheedabass1698
@abdulrasheedabass1698 5 жыл бұрын
PUMBAVU MKUBWA WEWE
@muhammadhaji1351
@muhammadhaji1351 5 жыл бұрын
Ww jonas mjinga ni Ww Allah atakuuwa Ww mwanzo kabla hujuuwa waislamu adui wa uslamu n waslamu
@ramadhanimandoa4058
@ramadhanimandoa4058 5 жыл бұрын
Hatushangai sababu hamna kafiri mwenye akili
@ayubunsajigwa3935
@ayubunsajigwa3935 5 жыл бұрын
Hili ni tahira Haswa ,kwa Pemba na Unguja nyazifazote ni waislam ina maana Zanzibar Luna mfumo Mohammed (UISLAM)
@didamansour7825
@didamansour7825 5 жыл бұрын
Ww ndio taahira kwa sababu Zanzibar kama hutambui 99% ya population ni waislamu
@suleimanabdallasuleiman2749
@suleimanabdallasuleiman2749 5 жыл бұрын
Usiyo yajua usikuwakiza
@hafidhkhamis3615
@hafidhkhamis3615 5 жыл бұрын
Nsajingwa fuso ww hujilewi kwan ww ni mzanzibar
@zakialustan722
@zakialustan722 3 жыл бұрын
Mgumu kuelew a ?
@garoodi
@garoodi 5 жыл бұрын
ndio lakini pia tanganyika sio taifa tena kwani sasa nchi zote mbili ziko kwa muungano na ndio maana hata tanganyika haina balozo wake katika umoja wa mataifa
@bilalikaoneka5080
@bilalikaoneka5080 2 жыл бұрын
Kama umesikia jina la magufuli gonga like tujuane ..
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 5/5
3:25
Abd Binm
Рет қаралды 74 М.
Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/1
35:32
Abd Binm
Рет қаралды 153 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 3/5
34:09
Abd Binm
Рет қаралды 425 М.
Wosia wa SHEKH ILUNGA kwa Watu wa THAQIB -FULL Prt 1
46:53
UB NEWS
Рет қаралды 43 М.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 1/5
34:25
Abd Binm
Рет қаралды 255 М.
HUYU NDIO ADUI KHATARI WA UISLAM BY Sheikh Ilunga Kapungu
18:25
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 34 М.
KONGAMANO PEMBA 2 ~~MFUMO KRISTO NA ZANZIBAR
32:04
Bin Seif
Рет қаралды 29 М.
HII NDIO HISTORIA YA UKWELI TANGANYIKA KABLA YA TANZANIA PART 1
26:30
HUSSEIN WAZIRI
Рет қаралды 35 М.
WAKRISTO HAWANA UZALENDO WA NCHI YETU | UST. ILUNGA H. KAPUNGU
26:08
MEDHEHEBU YA SASA NI MPANGO WA MAYAHUDI BY Sheikh Ilunga
13:11
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 48 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН