USTADHI DANIEL AWAPA SOMO MCH. NDACHA NA MASSAWE KUZINGATIA SABATO YA JUMAPILI NA UTATU MTAKATIFU

  Рет қаралды 3,278

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

Ай бұрын

WAMEKAA PAMOJA USTADHI DANIEL NA MCHUNGAJI SIMBAULANGA KUWAFUNDISHA NENO LA MUNGU NA MWALIMU NDACHA NA JAPHARY MASSAWE KUHUSU SABATO

Пікірлер: 36
@MiziziMti
@MiziziMti Ай бұрын
Mko vizuri sana watumishi wa Mugu Simba ulanga na Danieli Mwankemwa
@vincentmutuku2876
@vincentmutuku2876 28 күн бұрын
Mumeshidwa na hoja ninyi mtangazaji awashida kwa kuelewa.
@AMwanjoka
@AMwanjoka 29 күн бұрын
Kwanini hoja inayouliza kuhusu jumapili,haiwahoji Wasabato kwa jinsi gani "jumamosi" ilifanywa siku ya kuabudu Kurejea nyakati za mazingira ya kuteswa,kufa na kufufuka kwa Yesu inahusiana zaidi na mazingira halisi kwamba ilikuwa jumapili kadri ya kalenda ya Warumi ambayo sio kalenda ya agano Kadri ya kalenda ya Mungu (Kutoka 12:1....) ilikuwa siku ya 14 ya mwezi wa kwanza tangu wametoka utumwani Misri... Mambo ya siku ya kwanza au ya ...ya juma sio kutoka kwenye maandiko Hakuna maandiko yenye mambo ya siku saba za juma Mambo ya siku za juma ni kadri ya Warumi na Wababeli
@dullahfar7775
@dullahfar7775 Ай бұрын
Daniel Ndacha humuwezi yupo sahihi sana na anasimamia ukweli
@paulmutuajustus5277
@paulmutuajustus5277 26 күн бұрын
Hao wazee kama ni hivi bazi wamepoteza wengi.
@vincentmutuku2876
@vincentmutuku2876 28 күн бұрын
Mnaogea bila kuwa na ndacha hapo kwa Nini ?hako huko Tanzania mwiteni.wacheni woga.
@joseph-masija
@joseph-masija Ай бұрын
Mnaojitokeza kufundisha muwe makini sana..acheni ubishi wa kizee. Nimegundua hawa wameshajenga chuki na ndacha This is high level of ignorance, Viongozi vipofu wasiojua maandiko na hata wanachokiamini .....kwanza, imani ya akina ndacha wapo watu wengi sana Tanzania, kenya na dunia nzima kwa sasa. Na, Ndiyo Imani Moja ya biblia haina muunganiko wa imani nyingi. Pure Faith.
@venancenkoronko9250
@venancenkoronko9250 26 күн бұрын
Mnazunguka tu , mwisho mtarud kuwa wakatoliki
@djskadi7355
@djskadi7355 Ай бұрын
Wazee hawa wanazeeka vibaya akili zao zinachoka wanajikoroga wenyewe
@mussamashauri
@mussamashauri 26 күн бұрын
Ww Ni mch wa uongo sabato ni pumziko
@Thepresentruthsministry270tv
@Thepresentruthsministry270tv 15 күн бұрын
Viongozi vipofu ... Wachungaji wa mishahara
@Nolithajack12
@Nolithajack12 Ай бұрын
Ndasha anabashida kwamadiko
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
Nyinyi wazee mnaongopa sana
@piscaskasesetv1534
@piscaskasesetv1534 27 күн бұрын
Acheni unafiki mwakemwa, hoja za ndacha hamu zewezi
@Nolithajack12
@Nolithajack12 Ай бұрын
Kumbuka sikuyasabato siyo ndasha alisema nyinyi
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Ай бұрын
Kwa maana hiyo mnakaa na wanawake makanisani na kama upo vizuri kama mwanaume na wake zenu wamevaa vimini na mkawatamani basi nyinyi wote mnazini hakuna ibada hapo ni ushetani tu
@petromachanga5538
@petromachanga5538 Ай бұрын
Umesoma WAP??
@KalamboSalumrashid
@KalamboSalumrashid 29 күн бұрын
Huyo jamaa ndo hamnakitu kabisa
@vincentmutuku2876
@vincentmutuku2876 28 күн бұрын
Sabato amesema aje yesu ?nasikia ukatholiki Dani yenu sana .
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Ай бұрын
Ndacha akiondoka usabato ni sahihi kwa sababu kushikiria amri sheria na hukumu sio ukristo . Ukristo ni kumwamini yesu kuwa bwana na mwokozi ili kupata ondoleo la dhambi na sio matendo ya sheria
@Thepresentruthsministry270tv
@Thepresentruthsministry270tv 15 күн бұрын
Mathayo 7:21
@denismugisha2
@denismugisha2 Ай бұрын
Wasabato kwa kusema jumamosi Yesu yupo kaburini amepumzika, je kaburini ni mahali pa kupumzika?
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r Ай бұрын
Soma biblia utaona alikuawa anafanya nini,
@mussamashauri
@mussamashauri 26 күн бұрын
Nani kawatuma kuabudu jumapili pumbafu nyinyi
@AMwanjoka
@AMwanjoka 15 күн бұрын
@@mussamashauri nani kawaagiza kuabudu jumamosi ? Hakuna ushahidi wa maandiko kwamba Mungu aliagiza ibada kuwa jumamosi au siku nyingine yoyote
@philipmwendo1550
@philipmwendo1550 Ай бұрын
Sabato ni siku ya 7 la wiki ambayo imetengwa kuwa ya mafumziko na siku teule la kuabudu Mungu..
@AMwanjoka
@AMwanjoka 29 күн бұрын
Hakuna pahala kwenye maandiko yenye kuonesha kuwa "sabato ni siku ya saba ya wiki" bali Sabato ni siku ya Saba baada ya kufanya kazi siku sita kama ambavyo wana wa Israel waliamriwa na kupewa fundisho hilo Ilikuwa siku ya 15 ya mwezi wa pili ... Safarini toka Misri ndipo walipoamriwa kupumzika baada ya kazi siku sita . Sio kwamba wapumzike siku ya saba ya wiki (mambo ya siku za wiki ni mambo ya Warumi na Wababeli sio mambo ya maandiko )
@Thepresentruthsministry270tv
@Thepresentruthsministry270tv 15 күн бұрын
Unamanisha MUNGU alianza kuumba siku 9 ya mwezi wa pili kama unakataa sabbath sio siku ya saba ya wiki?
@AMwanjoka
@AMwanjoka 15 күн бұрын
@@Thepresentruthsministry270tv Mungu hakutumia kalenda ambayo Dunia na wakaazi wake wanatumia Kabla ya kalenda ya Gregory kulikuwa na kalenda na Julian kwa wale waliokuwa chini ya ufalme wa Rumi Asili ya kalenda ya Julian ni kalenda ya Wababeli ambayo waligawa siku katika mafungu ya siku saba ikiitwa juma au wiki Na pia wakazipa majina ya miungu wao siku za juma kadri ya kalenda yao Mungu alipotoa amri ya Kazi siku sita na saba siku ya kuacha kufanya kazi hakutumia kalenda ya Wababeli wala Warumi
@Thepresentruthsministry270tv
@Thepresentruthsministry270tv 15 күн бұрын
Siku haziwez kuwa sawaa ... Acha kupotoshaa wewe ...ukiwahi kuona kuna dhehebu linafanya ibada siku ya jumatatu ,, ama jumanne !! Mnatetea uongo unapatikana ujibu vizuri kwanini serikali inaheshimu siku ya kwanza (jumapil)
@AMwanjoka
@AMwanjoka 15 күн бұрын
@@Thepresentruthsministry270tv ibada inafanya muda wowote na mazingira yoyote hakuna siku maalumu ya kumfanyia Mungu ibada Kusanyiko la kanisa sio kwamba ndiyo ibada pekee
@Thepresentruthsministry270tv
@Thepresentruthsministry270tv 15 күн бұрын
Tofauti ya Maombi na ibada unaipotezaa ... Kama ukiamua kufanya ibada kila ciku utakula Nini au utakula Kwa nani?? Usililete hoja ya kutoa utabarikiwa ili hali hufanyi kazi.. nenda zako kipofu wa maandiko
@AMwanjoka
@AMwanjoka 15 күн бұрын
@@Thepresentruthsministry270tv maisha ya Mkristo ni ibada Pole sana kama unakwaza kufanya ibada na njaa
@Thepresentruthsministry270tv
@Thepresentruthsministry270tv 15 күн бұрын
Kwa Nini serikali wameweka nguvu na heshma Kwa Jumapili??? MUNGU na serikali hawawezi kuwa sawaa ... Kwa serikali tunaona mambo ya gender balance ( baadhi ya madhehebu yanafanya gender balance mpaka wanawake kuongoza ibada) ,, kuitunza Jumapili kama siku ya mapumziko Kwa yeyote ata asiye na Imani ya ukristo .. MUNGU na serikali hakuna umoja Wala mapatano hapo!!
@AMwanjoka
@AMwanjoka 15 күн бұрын
@@Thepresentruthsministry270tv mambo ya serikali yanaingiaje hapa Hoja ni Moja Mungu hajawahi kutumia kalenda ya Wababeli wala Warumi hata sabato au siku ya Ibada itambuliwe kwa kalenda ya Warumi
@joseph-masija
@joseph-masija Ай бұрын
Mnaojitokeza kufundisha muwe makini sana..acheni ubishi wa kizee. Nimegundua hawa wameshajenga chuki na ndacha This is high level of ignorance, Viongozi vipofu wasiojua maandiko na hata wanachokiamini.....kwanza, imani ya akina ndacha wapo watu wengi sana Tanzania, kenya na dunia nzima kwa sasa. Na, Ndiyo Imani Moja ya biblia haina muunganiko wa imani nyingi. Pure Faith.
MCH NDACHA: NI NGUMU TAJIRI KUINGIA MBINGUNI
19:39
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 2,3 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Pro MAZINGE
29:23
arkas online tv
Рет қаралды 318 М.
MUNGU MMOJA NI NANI KULINGANA NA BIBLIA
40:46
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 7 М.
ETI YESU NI MUISLAM?
29:13
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 9 М.
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 322 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН