USTADHI MBOGO AZIDI KUMNYOOSHA USTADHI SHAFII KUHUSU WAISLAMU KUISHI NA MAJINI KAMA DR SULLE

  Рет қаралды 3,245

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

Ай бұрын

BAADA YA USTADHI SHAFII KUMLIPUA USTADHI SULEIMAN KUHUSU KUPOTOSHA KUHUSU KUMFUATA NABII SULEIMAN SULEIMAN AMEIBUKIWA NA MBOGO

Пікірлер: 93
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
shafii hakua anajua hii dini ni yamajini ,shafii njoo kwa yesu ju uisililamu ni mastory za kutafutwa tafutwa na hazipo ndio namuona shafii anapingane na uislamu juu anashangaa kuishi namajini na qurani inadhibitisha hilo
@farouqsilvester9918
@farouqsilvester9918 Ай бұрын
Mashallah safi sana sheikh 🙏🙏🙏🙏
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu Ай бұрын
Yaani ukiwasikiliza mashekhe wakweli km huyu unagundua Uislamu ni story za kubuni buni zisizo na kichwa wala miguu. Eti shetani anachongo kutokana na jiwe alilopigwa na Ismail! 😅😅😅😅😅
@mbalilax162
@mbalilax162 Ай бұрын
Hilo liko wazi kaka! Baadhi ya masheikh ni kama wanaanza kuishtukia hii dini ndo maana wanaquestion vitu.sheik mbogo yupo sahihi ki upande wa uhalisia wa uislam na sheikh shafii yupo sahihi kuquestion vitu ambavyo havimake sense katika uislamu.
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Ай бұрын
Kutunga tunga ole wako kufa kafiri motoni pale utakapo kufa ndio utajua dini ya kweli uisilamu
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu Ай бұрын
@@saba-gv3mj Yani dini ya majini ndo iwe ya kweli si Bora hata kuwa mpagani au Freemason? Nafahamu si rahisi mtu kuacha kile unachokiamini kwasababu tayari mafundisho hayo yamekukaa kichwani.
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Ай бұрын
@@osmundmtavangu wacha nikuelimishe kondoo ulio potea wameumbwa majini na binadamu kuja kumuabudu mungu wapekee hata yesu kaongea na majini kuna majini wazuri na waovu wazuri walio muamini mungu waisilamu na kuna majini wabaya ni wale wakiristo wapagani maayahudi sasa hawa ndio wale wanao shawishi watu wawe freemason wanakunywa damu zawatu na kumuasi mungu sasa jini mkiristo na binadamu mkiristo musipo silimu basi mutapatana na adhabu ya milele kiyama yani hautoki motoni ulisikia lini dini kwa week wabudu siku moja
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
Yaani ndugu yangu nashutukaa sana nakujua hii ni dini ni mastory tu Haina mwelekeo wanaishi namajini😂😂😂😂
@AllyKipende
@AllyKipende Ай бұрын
Allah awalaani wote wanaoleta maswala ya ushirikina katika dini yetu ya uislamu
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Ай бұрын
Wewe ndo utaanza kulaaniwa maana husomi unangoja usomewe siku ukijua ndo utajua kuwa mwislam lazma uwe mshirikina
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
@@rashidgona1808 ndo kitabu cha pekee unakikutaa msikitini na kwa wagangaa wa kienyejii
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n Ай бұрын
Uislamu niukafiri tupu
@shabbymakapane
@shabbymakapane Ай бұрын
@@user-dt5wp5qo4n UKRISTO NI UKAFIRI
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Ай бұрын
Mashehe zetu acheni ushirikina kutaka kuishi maisha ya kifahari apa duniani tutakwenda kujuta mbele ya Allah❤
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Ай бұрын
Kama ni ushirikina ulianza Kwa mtume Muhammad Kwa maana ata yeye alikuwa akiwaita majini soma vitabu Acha kukaa msikitini kama gogo
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
@@rashidgona1808 shidaa hawasomii Quran ukiisoma ni ushirikina mtupuu kwanza walioandika Quran wale wanne mmoja alikuwa na mashetani kichwani pili Quran ndo kitabu pekee unakikutaa msikitini na kwa wagangaa wa kienyejii
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@wakeshojana
@wakeshojana Ай бұрын
NASHURUKURU MWENYEZI MUNGU KWA INTERNET.....IMESABABISHA UISLAMU KUJULIKANA NJE YA MSIKITI KUWA NI DINI YA USHIRIKINA....WAISLAMU NJOONI KWA YESU KRISTO....WACHANENI NA YESU WA MCHONGO KWA JINA ISSA BIN MARYAM!!
@allyway999
@allyway999 Ай бұрын
😢😢
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Internet imekuja kuufunua uislam
@salisali3738
@salisali3738 Ай бұрын
Hovyoo sana ww mbogo upo kama mwanamke umekalia umbea
@user-gj4wr5cu1q
@user-gj4wr5cu1q Ай бұрын
Huyu yupo shaloo sanaa
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Ай бұрын
Alitumwa yemen muadh R a
@user-gj4wr5cu1q
@user-gj4wr5cu1q Ай бұрын
Suna ya nabii mussa du!!
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Ай бұрын
inawezekana nikweli shafii Alisha jifunza hayo baada yakuona anamkosea mwenyezi mungu aliamua aachane namambohayo nakurejea kwa mungu wake siokosa kutubu
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Hajui lolote huyo,ni mbumbumbu kama wewe
@mussamtimbinya
@mussamtimbinya Ай бұрын
Kaka bado sana hoja zako hazina msingi sana
@Pablolookman
@Pablolookman Ай бұрын
Masheikh wa kibongo wengi wanashindwa kuvumilia njaa kimbilie mkalime hakuna masheikh wanaobishana sana kama masheikh wa kibongo
@rahimumustafa587
@rahimumustafa587 Ай бұрын
We mwandishi naww vipi kwn ameuliza fimbo ya kuhutubu au fimbo ya uganga?
@moneybag801
@moneybag801 Ай бұрын
Ukafili Ume Kujya Kbs
@jumayusuphu322
@jumayusuphu322 6 күн бұрын
Huyu ni mganga sio shekhe jamani
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Ай бұрын
Sijui mwisilam akisikiliza hizi stori za mashekhe alafu abaki kuwa mwisilam
@mbalilax162
@mbalilax162 Ай бұрын
Ni kama wamefungwa akili
@user-hp6gz6ln4k
@user-hp6gz6ln4k Ай бұрын
Ebu fanyeni mdaalo Na Uyo Shafi Yani muongee live
@shabbymakapane
@shabbymakapane Ай бұрын
🤣🤣🤣 Hiyo Aya Aliyotoa QURANI 49:29 Haipo 🤣🤣🤣. QURANI 49 ona Aya 18 tu , Yaani 49:1-18 🤣🤣🤣 Huyo ni MGANGA Wa kienyeji hata Dini QURANI Hajui 🤣🤣🤣
@shabbymakapane
@shabbymakapane Ай бұрын
Pogo ni QURANI 26:29 inasema hivi QURANI 26:29 Na ( Wakumbushe ) Tulipokuletea Kundi Moja La MAJINI ( Kuja kwako ) Kusikiliza QURANI . Basi walipohudhuria Walisema ( KUAMBIANA ) : " Myamazeni ( Msikilize Maneno ya Mwenyezi MUNGU )." Na Ilipokwisha ( SOMWA ) Walirudi kwa Jamaa zao Wakiwaonya . 30 Wakasema : ' Enyi Watu wetu! Hakika Tumesikia KITABU Kilichoteremshwa Baada ya MUSA , Kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake na Kinachoongoza katika haki na Katika Njia Iliyonyooka , 🙏🙏🙏 🤣🤣🤣 Haya Wapi QURANI Imesema tunaishi na MAJINI MAJUMBANI MWETU ???
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t Ай бұрын
Muislamu haskilizi shekeh anafaa kufuata Qur'an na sunaah za mwenyizimungu
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Shetani alipigwa jiwe na Ismaili😂😂😂😂
@AllyKipende
@AllyKipende Ай бұрын
Ndugu yangu hayo unayoongea hayahusiani nasi mche mola wako
@shepherd1x84
@shepherd1x84 Ай бұрын
Yaani mimi hushangaa jinsi watu wanavyondanganywa..mambo yoote yalioyonemwa ukiyapima vizuri Yana kasoro nyingi mno lakini...potelea mbali!
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Ushaambiwa Hadithi
@saidinsenda954
@saidinsenda954 Ай бұрын
Yani uyu jama niatari kweli ata kumswalia mtume anapo tajwa ajui ukimsikiliza vizuri mazungumzo yake ajui 😂 subhanallah 😂
@moneybag801
@moneybag801 Ай бұрын
Mwache Ukafili Kwenye Dini yetu Mbwa Nyinyi
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Ай бұрын
Hujajibu swali Wapi aya au hadithi mtume kasema tunaswali na majini? Muogoeni mungu ❤
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Ай бұрын
Kama hamswali na majini msikitini wanaenda Fanya nini
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Majini hayana mtume zaidi ya Muhammad na hawana kitabu zaidi ya koran
@kassimkipande1858
@kassimkipande1858 Ай бұрын
Sasa kama viongozi manatahilifia jesisi WAUMINI ayomambo niyakuelekezana Tu sio kuzalilishana mitandaoni
@haidarimfinanga9755
@haidarimfinanga9755 Ай бұрын
Hivi katika kutangaza dawa zenu, hamuwezi kuacha kuchanganya na imani/dini? Kutibu kwa kiarabu sio lazima uwe muislam, kwa hiyo bakini na uganga wenu na viongozi wa dini wabaki kuzungumzia dini. Mnasoma vitabu vya kiganga halafu mnavihusisha na imani ya dini.
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n Ай бұрын
Ww ndio huwelewi mbogo ako sawa maana majini walisikia qurani na wakaiyamini wakasili,jini na ww mkokitu kimoja,ukisoma bibila majini wanakimbia kwa sababu injili ni moto hata ww ukiichezea unabaki na laana,bas ww funga mdomo,ama uhame umkubali yesu na utaokolewa,toka kwa makafiri haraka,yesu anakuja fanya haraka umpokee akija uwe mmoja wenye tutaenda nayesu paradise,
@allyway999
@allyway999 Ай бұрын
Alafu shkhe inaonekana usasoma vizur quran au ujaielewa sawawa kama umeisoma Katika surat hijja 22. Mungu anasema kila umma tumewajaalia ibada zao wanazo zishika na kuzifuata basi msizozani katika hayo. Sasa wewe unataka kulaweka yako hapa wakat hui ni umaa mwingine shekhe we namnagani weee
@sultansallah8772
@sultansallah8772 23 күн бұрын
Acha kuruka swali ni jee mtume kafundisha
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Kuna badhi ya mambo mengi yapo kwenye dini yenu hata nyie wenyewe mnaona aibu ila kwasababu mmekulia kwenye hayo mafundisho mnabaki kujikaza tu ili muonekane na nyie mnamwamini Mungu
@jumayusuphu322
@jumayusuphu322 6 күн бұрын
Shekhe wewe Acha ushirikina njaa Tu izooo
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
Eeeeh ndio maana tunatolewa kafara barabarani ajali simejaa ,chakula cha jini ni damu oohh kumbeee heeeh hawa ndugu zangu wamepotea
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Mila ya Ibrahim, kwahiyo Mila ni dini?😢
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
Huyu mbogo unajua Nini bwana huyu SI mweupe TU
@user-um7kj5kf6p
@user-um7kj5kf6p Ай бұрын
Yaani.mnabishana.tu ndani ya uisram ushirikina nikawaida Tena Kuna mafundisho hupewa. Ni kwa Nini usram ndio unaofunua habari za majini na utendaji wake. Ukweli upo uisram umetoka wapi ninani aliye nyuma ya uisram ninani aliye mpitisha muhamadi awe mtume?
@salisali3738
@salisali3738 Ай бұрын
Mbogo nyamaza huna nalo jua ww unavyo Ongee yaonyesha kabisa umetumwa
@anafimagoto7139
@anafimagoto7139 Ай бұрын
Tupeni maandiko au hadidhi kama tumeluusiwa kutumia majini ? Tunataka ushahidi wa kur ani na suna munatuletea porojo tu
@allyway999
@allyway999 Ай бұрын
Tunawaamini mitumie na manabii wote ila tunamfua Bwna mkubwa tu wa umma wetu mbona very easy
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Kuoa katoto ka miaka 9 nasisi tunaweza kuiga kwake?
@salehemimbi1895
@salehemimbi1895 Ай бұрын
Hujui dini,nyamaza,shafii hakukataa, majini,aliseme hatuna mashirikiano nayo katika dini,na ishu ya pete iko wazi ni urembo tu, mbona wewe huna kitu pete yako ya bati,mjinga kweli?
@athumanimashingo6306
@athumanimashingo6306 Ай бұрын
Uyu sio shekhe, huyu ni nganga wa kienyeji, anatetea ugali wake!
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or Ай бұрын
Nyinyi masufi ndiokazi yenu kutetea shirki na bid-aa ndiomaana miji yapwani eatuwengi niwa chawi au washinikina kwasababu ya kusikiliza udajjal wenu wewe waachakuwekandevu utembeena bakora maama yake nini
@salehemimbi1895
@salehemimbi1895 Ай бұрын
Wewe sio Sheik ni muhuni, hujui dini
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Ай бұрын
😂😂😂😂😂siku zote mnamwita sheikh Leo sio sheikh ju ya kuongea uongo
@shabbymakapane
@shabbymakapane Ай бұрын
@@rashidgona1808 Nani Aliwagi kumuita huyu Shekhe ??? Huyu ni Mganga wa Kienyeji
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n Ай бұрын
Ww ni muongo kafiri
@EmmanuelMoses-pb1zh
@EmmanuelMoses-pb1zh Ай бұрын
Hahahaha waislamu bhn yan kumbe ibilisi ana chongo
@shabbymakapane
@shabbymakapane Ай бұрын
Chizi huyo 🤣🤣🤣
@shabbymakapane
@shabbymakapane Ай бұрын
Mganga Wa Kienyeji huyo Hana ELIMU Ya DINI Ya UISLAMU
@bustedislam3578
@bustedislam3578 Ай бұрын
Uislamu ni uongo kabisa. Huyu eti marehemu Muhammad ndiye kiongozi ndani ya Islam. Alafu eti Ibrahim alikuwa muislamu... Kiongozi wake ni marehemu Muhammad vipi?
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Uislam aliuanzishaa Muhammad cha ajabu wanasema Adamu na manabii ni waislamu😂 cjui walifufuliwa wakaslimishwaa😂😂
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 Ай бұрын
Unashangaaje kuwa kiongozi wake ni Marehemu Muhammad,si ni sawa tu na wakristo wanavyomuomba Marehemu Bikra Maria?!
@bustedislam3578
@bustedislam3578 Ай бұрын
Yaani wewe unamfwata marehemu kwa sababu kuna wakristo wanao abudu Maria? Hoja gani hiyo?
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 Ай бұрын
@@bustedislam3578 : mbona unakatisha, sema Marehemu Maria
@bustedislam3578
@bustedislam3578 Ай бұрын
@@hemedbamja3197 Maria ni marehemu kama vile Muhammad ni marehemu
@Anza_tz
@Anza_tz Ай бұрын
Uislamu ni story za kubuni nimegundua Kuna watu hawapendi vitu vinavyofanyika katika hii Imani lakini wanakaza fuvu tuu kujifanya hawaoni kitu hahahaha....
@mbalilax162
@mbalilax162 Ай бұрын
Wanaukubali ukristo kisiri siri..haha
@shabbymakapane
@shabbymakapane Ай бұрын
@@mbalilax162 Mh 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ ??? huyu ni Mganga wa Kienyeji 🤣🤣🤣
@bustedislam3578
@bustedislam3578 Ай бұрын
Eti waislamu wanamfwata Yesu? Mbona wafuasi wa Yesu wanaitwa wakristo... Kwahiyo nyinyi ni wakristo?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
YESU HAKUTAJA JINA LA WAFUASI WALA DINI YAO Yesu hakutamka neno la Christains (Makiristo) hilo neno limetamkwa mara tatu kwenye Biblia na watu watatu: 1) Paulo 2) Mfalme Agrippa 3) Peter. Hata neno CHRISTIANITY haliko kwenye Biblia. Jina la "DINI" haikutajwa. Watu wasio DINI wanaitwa vipi?
@bustedislam3578
@bustedislam3578 Ай бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 Quran 5:82 in Kiswahili Kiswahili | al-Ma'idah 82. Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. English: Sahih International You will surely find the most intense of the people in animosity toward the believers [to be] the Jews and those who associate others with Allah ; and you will find the nearest of them in affection to the believers those who say, "We are Christians." That is because among them are priests and monks and because they are not arrogant. Swali: hivi Quran imetoa hili jina wanaswara (wakristo) ama Christians kwa English wapi? Yaani kitabu chenu hakijielewi?
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 104 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 56 МЛН
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 38 МЛН
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!
19:52
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 13 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 104 МЛН