No video

UTABIRI WA MATUKIO YA MWAKA 2024 KWA KILA NYOTA ZETU 12.

  Рет қаралды 23,183

OPTIMIST: Maalim Abalhasan

OPTIMIST: Maalim Abalhasan

Күн бұрын

Пікірлер: 106
@user-zj7br5vf8h
@user-zj7br5vf8h 5 ай бұрын
Allah akutukuze zaidi inshallah
@kabwefrancine99
@kabwefrancine99 7 ай бұрын
Mungu tu sahidiye nyota yangu mimi ni mapacha 👏👏
@user-ir9mh6qe3w
@user-ir9mh6qe3w 6 ай бұрын
Mkuu uko vzr nashida apa
@katunzijasson5410
@katunzijasson5410 7 ай бұрын
Haya mambo ya nyota ni yakweli ila batilisha kwa kumuomba sana M.Mungu wako huku ukitoa sana sadaka kubatilisha usiyotaka yatokee kwako.....zipo siri za ulimwengu nyingi tusizojua ila tukiamini na kufata taratibu tutazijua tu.... Hongera mtabir japo nyota yangu tangu mwaka jana inanipiga mawimbi ila Mungu ni mwema ntavuka salama nahuu pia...
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Mnapochanganya ni Mungu na waja wake aliiwapa karama au elim kuliko wengine... Mkawachukia. Sasa ukipata matatuzo na ww hujui kuyatatua unaenda wapi kupata utatuzi?
@samiramawby1257
@samiramawby1257 7 ай бұрын
Uongo huu mtu mwenyewe Ana wasiwasi tele
@maxjuma2376
@maxjuma2376 5 ай бұрын
Muongoooo hv yy n madeni tu.mungu pekeee ndy yeye pek yak
@salmamtimaumo6871
@salmamtimaumo6871 7 ай бұрын
Ukiwa na iman ndogo unaweza kuamn aya, ila amna k2 apo mungu tu ndio wakumtupia kila kitu awa wengine njaa
@ummuhjuma7595
@ummuhjuma7595 7 ай бұрын
Mashaaaallahh na huo ndio ukwelii
@Vanessa-md2hj
@Vanessa-md2hj 7 ай бұрын
Santee Maalim Abalhasan juma😊 Happy new year natumai Kwa Yote Mungu ataenda kutulinda 🙏🙏♥️ Santee kwa Kutujulisha atleast tukae tukijua vile tutajitenga
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Aamiyn yaa Rabb
@ummuhjuma7595
@ummuhjuma7595 7 ай бұрын
subhanaAllah 🤭😭
@mustaphamatelefone-lc9pr
@mustaphamatelefone-lc9pr 7 ай бұрын
Iyo ni shirki allah atakukumu.ukitaka razi za allah achana na iyo shirki na utubu tena toba ya kweli
@Vanessa-md2hj
@Vanessa-md2hj 7 ай бұрын
Hakuna mambo na shirki hapa Ndugu Yangu.watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa mbona basi amutaje mungu kama ni shiriki
@ShangweSylus-nf6we
@ShangweSylus-nf6we 7 ай бұрын
Asante Mungu nyota yangu ya kaa
@nakshaofficial2817
@nakshaofficial2817 7 ай бұрын
Mgongo unauma jamn mpk nalia😊
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 5 ай бұрын
Huo ni uganga wa kishirikina arafu vaa suti sio unachafua dini ya Allah, nipe aya inayosema kuna nyota ya ng'e,ng'ombe, mizani,mshale, mbuzi,ndoo nk. Nami nikuamini ila utabir kwenye dini ya Mtume Muhammad (S.A.W) hakuna kama kuna sehemu inasema mwanadamu anatakiwa kutabir au kujua yajayo au yakesho naomba unitafutie namimi nianze kudanganya watu
@NadyaOmar-du6be
@NadyaOmar-du6be 7 ай бұрын
Nimefrai sana mana nakukubali Sana maalim
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Shukran sana dada yangu
@minustz
@minustz 7 ай бұрын
Nimeisubiri sana hii
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Umeipata sasa. Karib sana
@AishaHaji-u6i
@AishaHaji-u6i Ай бұрын
Asalam alykum 3 /11 nyota yangu niipi
@AliDinanga-jr4co
@AliDinanga-jr4co 7 ай бұрын
Asalam Aleykhum sheikh Abal Hassan, umechelewa Sana !
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
W ssalaam.... Mtaalam alipata changamoto za hapa na pale tu.
@user-iz7vh8vy2h
@user-iz7vh8vy2h 7 ай бұрын
ASALAM Aleykhum Mimi mshale Nina mchumba je ndoa itafanikiwa
@agneslimbe4022
@agneslimbe4022 7 ай бұрын
Aksante sana maalim
@BolasieNgongo-rh9wm
@BolasieNgongo-rh9wm 7 ай бұрын
Mungu akubariki
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Aamiyn
@happystevemaganga1873
@happystevemaganga1873 7 ай бұрын
Asante alhamdulilah
@bibzmwakio5285
@bibzmwakio5285 7 ай бұрын
Nimewaii, asante
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Karib sana
@sabrimtumweni5633
@sabrimtumweni5633 7 ай бұрын
Ndugu mwalimu utabiri wa nyota ni ushirikina tubia kwa mola wako Leo unapumzi kabla kesho
@raydav-2335
@raydav-2335 2 ай бұрын
Mie samaki tayari ndoa yangu imevunjika niliolewa na nyota ya Simba... nikwel ulio yasema.....imekua ni hasara kwangu
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 7 ай бұрын
Jiwe lipi la bahati kwa capricorn 2024
@user-xk6qt9rj5k
@user-xk6qt9rj5k 7 ай бұрын
Akikujib unitag
@zaimaduma729
@zaimaduma729 7 ай бұрын
Mm nime zaliwa tarehe 2/7 kwaiy mm ni kaa nauyasemayo ni ukweli kabisa maana jinsi mgongo unavyo niuma eeeh😢😢 n htr
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Sawa dada
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Namba za mawasiliano zaid ni +255 713 351781.
@r14kgroup68
@r14kgroup68 7 ай бұрын
Hongera
@user-cb2pw4em9n
@user-cb2pw4em9n 5 ай бұрын
Nkwel shekhe nyota ya mashuke hujakosea kabisa
@farhanialfarsi1983
@farhanialfarsi1983 7 ай бұрын
❤❤❤
@Khan17383
@Khan17383 7 ай бұрын
Asante Maalim
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 5 ай бұрын
Huo ni uganga wa kiarabu acha kuingiza kwenye dini kaka njaa zitakuuwa ndo nyinyi mnao fanya albadil mnasingizia uislam
@rosemwakibinga8231
@rosemwakibinga8231 7 ай бұрын
Namba yako ya mawasiliano maalim tafadhari
@user-ru6ot1ui7b
@user-ru6ot1ui7b 7 ай бұрын
Hueleweki unaco kiongea
@bintysele6999
@bintysele6999 7 ай бұрын
Mie mapacha
@AishaRamadhaniRamadhani-lr9cz
@AishaRamadhaniRamadhani-lr9cz 7 ай бұрын
Maalimu mm kondoo unanisaidije
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 2 ай бұрын
Kuna maamuma tena ni mambumbumbu kabisa wanamsema vibaya shehe Sasa kama wao hawaamini kwanini walifuatilia hii clip huo ni ushamba
@CedricKitumaini-mt2et
@CedricKitumaini-mt2et 7 ай бұрын
Asanta❤❤❤
@janetnyamamba6133
@janetnyamamba6133 7 ай бұрын
❤❤❤
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Yani kwenye kuchunguzwa ase wamesha anza mapema kabisa 🤣🤣🤣
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 7 ай бұрын
Mimi sijui nyota yangu niambie shekhe nimezaliwa 22/7
@asiakumpuni1512
@asiakumpuni1512 7 ай бұрын
Simba
@NicemerriEzekiel
@NicemerriEzekiel 7 ай бұрын
Baba me sjaelewa ni taree1 mwez w 7 mwaka 2005
@yaelmottoTv
@yaelmottoTv 7 ай бұрын
nyota ya kaa
@user-mw4tc4on7k
@user-mw4tc4on7k 7 ай бұрын
Ahsante
@naima4230
@naima4230 7 ай бұрын
hafu baba Mimi mbona sikai nawanaume kwanini nina bahati nya wanaume Nikipata tu mpenzi ujuwe nijiada na matuki halafu Kuna doto naotanga mwanaume moja mweusi moja mweupe wote niliota nimeza anao Sasa sijuwi Kuna mwanaume nimemkose Sasa ana nifanyia vituko apo sijuwi naomba nisaidie
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Pole sana. Tuwasiliane +255 713 351781.
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 7 ай бұрын
Mtatufute YESU atakushindiya izo ndowa za majini Damu YESU yatosha maana kwa jina ilo tumepewa Mamlaka ya kukanyanga vyoka na nge
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 5 ай бұрын
Umeona wewe unaejifanya sheikh unaharibu dini yetu inaonekana ni dini ya mashetani kumbe wala hakuna hicho anacho fundisha huyo sheikh hapo
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 5 ай бұрын
Ni upuuz mtupu weweni mganga ila huo ni uganga wa kiarabu sasa elimu yako ndogo unamshirikisha Allah humo
@SaintNjuguna
@SaintNjuguna 7 ай бұрын
Kwani hakuna nyota iko na utabiri mzuri???
@samiramawby1257
@samiramawby1257 7 ай бұрын
Astaghafurah ALLAH chapa fimbo midomo iliyonyonya zile nanihii za kina Sodoma is on fire ili watuongopee UMMATIL MOHAMMAD na IBN ISSA SALAAM
@tamiah-zm4io
@tamiah-zm4io 7 ай бұрын
Acha ushirikina utaingia motoni...huu sio uislam,usipotishe watu kisa maslah kidogo ya Dunia hii isiyodumu
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Karib san
@Biziman-pu4kf
@Biziman-pu4kf 7 ай бұрын
​@@MAALIMishnyota zimeumbwa kwajili ya mambo matatu Je unayajuwa ??? Na mwaka haujaisha 25/06/1445
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 5 ай бұрын
Acheni upuuzi
@awaahassan936
@awaahassan936 7 ай бұрын
mungu atusadie punda sisi
@neemasemkiwa8764
@neemasemkiwa8764 7 ай бұрын
watu wa ndoo mje sijaelewa kwenye mapenzi hapo hta wa kwenye ndoa pia watatapeliwa kimapenzi??
@shabaniathumani4808
@shabaniathumani4808 7 ай бұрын
Unapatikana wapi maalim
@Sheba4651
@Sheba4651 7 ай бұрын
Huyu mjukuu wa Yahya Hussen? Acha hizo kazi, tafuta amali njema ufanye. Unatoa salamu ya kiislamu huku ukiikosea, Mtume hajafundisha Salaam iwe na "Taalla wabarakatu " na kumtaja Allah subhana wataalla kisha unamuhusisha na mambo ya kuagulia yajayo ( Ramli) ### Acha hizo amali ovu, ni njia ya shetani 😈 tu
@osiaaswile1393
@osiaaswile1393 7 ай бұрын
Umenipatia saaana mungu akulinde
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Aamiyn
@naima4230
@naima4230 7 ай бұрын
Baba mimi Na itwa Neema nimezaliwa talehe 26 mwenzi wa kumi na 12 nyota nya nini
@yaelmottoTv
@yaelmottoTv 7 ай бұрын
ya mbuzi
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 7 ай бұрын
Hmmmmmmmm
@user-eu5hh3mu3u
@user-eu5hh3mu3u 7 ай бұрын
Kwa huwezo wake Allah hakuna kitakachonikuta insha'allah uongo siamini chochote hapo
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Unasema hivyo kwa sababu umetajwa tofauti na ulicho tarajia
@user-eu5hh3mu3u
@user-eu5hh3mu3u 7 ай бұрын
@@deogratiusyudatadei5658 sio nimetajwa nilivyofikilia hakuna mtu anaejua kesho yako hila mungu huo niuongo hata yangekua mazuri huwa anatabili mazuri mengi lakn hakuna hata moja linalotokea
@user-fl3gy6ni7z
@user-fl3gy6ni7z 7 ай бұрын
😂😂 yamekuchoma
@user-eu5hh3mu3u
@user-eu5hh3mu3u 7 ай бұрын
@@user-fl3gy6ni7z hakuna chakunichoma utabili wa binadamu alieumbwa kam mm yatakua yamekuchoma ww hat kweny din lamli inakatazwa
@user-eu5hh3mu3u
@user-eu5hh3mu3u 7 ай бұрын
@@user-fl3gy6ni7z mbn katabili 2023 kutakua na majanga hata janga moj sijalion nenda zako huko na ww
@user-ls4ih7hz8s
@user-ls4ih7hz8s 7 ай бұрын
Huo ni ushirikina na uongo Siri za Allah wewe huwezi jua na wewe si shekhe ni mpiga ramri hakuna mtu mwenye nyota
@JashoMurima-mn1dm
@JashoMurima-mn1dm 7 ай бұрын
Umeisoma vizuri Qur'an
@osiaaswile1393
@osiaaswile1393 7 ай бұрын
Unafeli
@BashiruKiurunga
@BashiruKiurunga 7 ай бұрын
Kaka usiwe unalaumu tafuta ilimu kwanza usiwe tu unalalamika hovyo hovyo
@Daniel_kimambo
@Daniel_kimambo 7 ай бұрын
Uliambiwa umfuate Toka nenda kwingine
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 5 ай бұрын
Acheni kuifanya dini ni sehemu ya kutafutia riziki isiyo ya halal hiyo ni shirki unatabir kitu kijacho umebeba kaz ya Allah, na nyie mnao bisha humu naombeni aya inayosema kuna nyota ya ng'ombe mara kondoo mara mbwa mara mizani zinasaidia kujua maisha ya mwanadamu . Wewe ni mganga
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 7 ай бұрын
Mashuke yamenikuta kabisa
@Khan17383
@Khan17383 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Users2523
@Users2523 7 ай бұрын
Hakuna anaejua ghaibu kuliko Allah
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
.... Mbona hii sio GHAYB. Karib sana
@Users2523
@Users2523 7 ай бұрын
@@MAALIMish tueleze ghaib ni nini??
@mastaplan
@mastaplan 7 ай бұрын
Katika mikosi ya mwaka huu 2024 Je,kama utapata tiba thabiti ya mikosi hiyo Je, itaondoka hiyo mikosi au mabalaa au ndio ULIMWENGU umeamua hivyo kwa kila nyota?
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Mikosi inatatuliwa ndg yangu.
@saidaibrahimu8256
@saidaibrahimu8256 7 ай бұрын
Naomba namba
@giftmapunda5243
@giftmapunda5243 7 ай бұрын
3:11 maalim samahani mbonaa utabiri wa punda hakuna?inakuwaje
@nataliedayana9824
@nataliedayana9824 7 ай бұрын
💐🫶🏻
@ayoubituja8999
@ayoubituja8999 7 ай бұрын
Ni usenge TU.hamna lolote
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Mbona unatukana? Najua unapenda kusikiliza... Mpk ukaja humu... Karib sana
@suleim505
@suleim505 7 ай бұрын
WEWE NJAA YAKO IYO,, ACHA KUDANGANYAWATU PIA UNAMKUFURU ALLAH,, TAFUTA SHUGHULI NYENGINE YA KUFANYA.
@MAALIMish
@MAALIMish 7 ай бұрын
Ilmu na Njaa ni. Mambo mawili tafauti. Ikiwa umeshindwa kuyatafautisha... Itakua ujitambui. Karib uendelee kujifunza zaid.
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 5 ай бұрын
Izo njaa kwel nitafutie aya kwenye quran au hadith inayosema kuna nyota hizo za mbuzi,mshale ndoo nk
@BolasieNgongo-rh9wm
@BolasieNgongo-rh9wm 7 ай бұрын
❤❤❤
UTABIRI WA MATUKIO YA DUNIA, KWA UJUMLA MWAKA 2024.
14:06
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 5 М.
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 539 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 333 М.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 10 МЛН
MVUTO KWA  UMTAKAE AWE NAWE PAMOJA.
9:41
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 2,7 М.
PETE ZA VITO TUNAZO VAA MWILINI NA UMUHIMU WAKE KWA BINADAMU.
12:07
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 1,2 М.
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 182 М.
NJIA RAHISI YA KUMVUTA MPENZI UNAYEMTAKA (SEHEMU YA KWANZA)
9:42
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 132 М.
Meditation ni nini ?
4:50
Swahili Yoga
Рет қаралды 15 М.
TUMIA NJIA RAHISI YA KUONDOA MIKOSI SUGU.
19:44
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 633
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 539 М.