UTAPENDA DARAJA LA MAGUFULI KUVUKA ZIWA VICTORIA MWANZA MRADI UMEFIKIA 85%

  Рет қаралды 179,605

Jenafa TV

Jenafa TV

Күн бұрын

Пікірлер: 130
@janeulo4388
@janeulo4388 Жыл бұрын
Sisi kama wakenya tunamuenzi JPM kwa projects zote alianzisha kwa muda mfupi. Hongereni Watanzania wote.
@dickaugustino8238
@dickaugustino8238 Жыл бұрын
Asant
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 Жыл бұрын
Asante sana kwa pongezi
@kichelemsabi5685
@kichelemsabi5685 Жыл бұрын
Mzalendo wetu mungu akulehem uko uliko tutakukumbu kwa mengi uliotuachia so daraja tu nivingi kutoka mtwara handi kagera asante mzalendo wa taifa mm naamini bando unaishi na sisi.
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 Жыл бұрын
amina
@deusrobart8181
@deusrobart8181 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 Жыл бұрын
Watu wa kipwani pwani hawana uwezo kifikra. Hii miradi isingekua imefikia kiasi furani, isingeendelezwa. Aibu ya kukaa madarakani miaka 30 (Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Mrisho Kikwete ) bila kung'alisha Nchi ndio inayowasukuma kuiendeleza. Kitu chaajabu hawataki jina Magufuli litajwe.
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Mimi siwapendi hawa mbwa kikwete nahuyo mwinyi nakalio yao
@margaretadongo3071
@margaretadongo3071 Жыл бұрын
Lala salama baba John Pombe Magufuli. You meant so well for Tanzania.
@Iconifcmusic
@Iconifcmusic Жыл бұрын
East Africa is growing. Kenya with love
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 Жыл бұрын
Thanks
@candidamuhanika8328
@candidamuhanika8328 Жыл бұрын
Lakini usisahau kwamba kuna kipindi pesa zilikuwa hazijulikani zinafanya nini kwa hiyo hata kama pesa hazikuwa zinatoka mfukoni kwake, lakini JPM amekuwa na maono makubwa ktk ubunifu, udhubutu, na kuzingatia viwango vya juu sana ktk miradi. Ukweli utabaki kuwa ukweli tu...
@freduallughano2301
@freduallughano2301 Жыл бұрын
Kanda ya ziwa na kwingineko alikopendelea ndiko atakumbukwa ila kwingine tunamuona ni mtu katili sana tena aliyetukera hasa.
@irenemkwizu2041
@irenemkwizu2041 Жыл бұрын
@@freduallughano2301 jisemee nafsi yako...98% anapendwa sana na hatasahaulika kamwe.
@emarrgeorge8536
@emarrgeorge8536 Жыл бұрын
💯
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Жыл бұрын
@@freduallughano2301 kuma ww fisadi
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
@@freduallughano2301 una comment ukiwa mkundu wazi 🤣
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 Жыл бұрын
Mnakera sana Madaraja meeeengi yasha jengwa ila mpaka leo bado wanajenga watu kutoka nje kiukweli mnatuaibisha
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Жыл бұрын
🙏🙏magufuli ulale salama
@zahorokasentisenti6761
@zahorokasentisenti6761 Жыл бұрын
Rest in peace jpm we love you
@mickdad8309
@mickdad8309 Жыл бұрын
Rest in peace baba JPM
@marystambuli8045
@marystambuli8045 Жыл бұрын
Tunamshukuru Sana mpendwa wetu hatari JPM kwa kuwa na maoni haya. Pia Asante kwa mama Samia kwa kuendeleza hii kazi iliyoanzishwa na mtangulizi wake RIP JPM..
@markimasawe5825
@markimasawe5825 Жыл бұрын
Jpm tutamkumbuka kwa mazuri tanzania
@juliusmollel9570
@juliusmollel9570 Жыл бұрын
We are like orphans dady
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Huyo ndio jpm, hapa kazi tu! Sio mambo ya leo eti kazi iendelee kazi gani? Labda nitajieni kazi inayosemwa iendelee....kupandisha gharama za umeme na kukatakata umeme sana, kisha kutoa sababu za kukata badala ya kuwa na sababu za kutokata? Au kufukuza machinga? Au miradi kuchukua muda zaidi ya vile tulivyoambiwa na chuma JPM, au kazi gani hiyo inaendelea? Kuweka tozo za kutosha? Au ni kazi ya trab na trata? Au ni nini jamani mbona sielewi? Ni kuondoa machinga hata mahali ambapo chuma alisema wasiondilewe, au ni kupandisha bei ya mafuta? Sijajua ni panya road kuongezeka kwa kweli sijafanikiwa kuelewa kazi inayoendelea ni ipi...
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 Жыл бұрын
Kazikwe nae
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
@@mussamabawa2973 mbona hujui kuandika, hujaenda shule?kweli hata akili yako inaonyesha shule hujaenda na ndio maana unaongea utopolo
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Жыл бұрын
Vipi,huyo jpm anajenga daraja akiwa amekufa?Tumia akili ww.Acha ushabiki wa kipumbavu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Жыл бұрын
@@yakobokuzenza6837 ni kweli ndugu, yani kuna mijitu mizezeta, tena kuna mengine bado yanahisi miradi inajiendesha yenyewe bila ya usimamizi wa uongozi uliopo sasa.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Жыл бұрын
Wewe Richard tembea uone, sio unaropoka ropoka hovyo. Tanzania inajengwa kila kona na hakuna chochote kilichosimama. Kalagabaho na ushabiki wako wa kishamba.
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Жыл бұрын
Daa saiv tunaomba mungu chochotee ma'am anachofanya kiendee tuu kwa maslah ya taifa maana tangu jpm atutokee tunaona kama tupo gizan japoo kuna walio mponda wachache henz zake saiv wamemukumbukaa ama kwel chema kilichojficha n ngum kukijuaa
@yusufupandu31
@yusufupandu31 Жыл бұрын
Kiumkweli magu alijitahidi sana
@oscardotto3200
@oscardotto3200 Жыл бұрын
Nakumbuka nikiwa viwanja frahisha mwanza ulesema daraja litajegwaaa r.i p jpm
@mussamussa8181
@mussamussa8181 Жыл бұрын
NATAMAN IVI VYA MAGUFULI VIISHE KISHA NIONE MIRADI MIPYAA SASA....KAMA ITATOKEA...
@kihangodonald2026
@kihangodonald2026 Жыл бұрын
Tunakumbuka daima
@augustinemzeentinginya3057
@augustinemzeentinginya3057 Жыл бұрын
There was the great Magufuli, and there was and there will be useless politicians!!
@noriegacapadona9340
@noriegacapadona9340 Жыл бұрын
Asante ndugu yangu kutoka Kenya Kwa kumkumbuka ndugu yetu mpendwa Buldoza love to you and all brother and sisters over the border.
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 Жыл бұрын
Huyu mzee angekuepo mpaka leo hii nchi ingekua ponge moja la nchi jamaa alikua mzalendo wa kweli
@joevang4685
@joevang4685 Жыл бұрын
rip jpm. MUNGU akupunguzie adhab ya kabr
@samuelyjonathan9558
@samuelyjonathan9558 Жыл бұрын
Umeacha alama isio futika kizazi hata vizazi
@lameckkinuke826
@lameckkinuke826 Жыл бұрын
Hakika JPM Tutakukumbuka kwa mema na mazuri uliyotutendea Watanzania. Nilikupenda sana na nitaendelea kupenda maono yako. Japo umelala maisha na matendo yako mema yanasema kwa uwazi. Ni wenye chuki tu na uono mdogo ndio watakejeri kazi zako. "Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao maana matendo yao yafuatana nao". Ufunuo 14:13.
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Жыл бұрын
Yalale Salama tutamkubumka Hayati Magufuli watz
@salehenyuha9620
@salehenyuha9620 Жыл бұрын
Nzuri hiyo safi sana
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Kwa kweli daraja ni mhim mungu awalipe maraisi wetu
@eliaslazaro2809
@eliaslazaro2809 Жыл бұрын
@Shija John kweli kabisa kiongozi umemjibu vema
@humphreymsengi6686
@humphreymsengi6686 Жыл бұрын
@@eliaslazaro2809 🤣🤣
@jumamdoka7867
@jumamdoka7867 Жыл бұрын
Kwani Sasa hivi anayetoa pesa no magufuli nyie ndio mnaoleta mgawanyiko hata vitu vya kitaifa Sasa ungefurahi kama Samia angeutelekeza
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Жыл бұрын
HAKUNA RAISI AMBAE ATAKUJA KUKUMBUKWA VIZAZI NA VIZA TANZANIA KAMA JPM WETU ,
@ghuhenjasper8666
@ghuhenjasper8666 Жыл бұрын
HONGERA MAMA RAIS WETU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Kazi Iendelee. Na' inaendelea kwelikweli.
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Umetoka Mirembe jana au juzi?🤣🤣
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Hata kuisha bado
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 Жыл бұрын
kazi nzuri mdogo wangu Majuto
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Hongera sana mama
@fadhilamwiru9258
@fadhilamwiru9258 Жыл бұрын
Mama yupi?''jpm job
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Onyesheni wakifungua tumechoka
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Imetosha kutudanganya
@humphreymsengi6686
@humphreymsengi6686 Жыл бұрын
Kwa Kumuenzi liitwe kwa Jina lake. Maono makubwa sana haya
@ezekielmlay8219
@ezekielmlay8219 Жыл бұрын
Watu bwana hatuthaminiani kabisa, mwaka wa ngapi magu hayuko lkn mnjitoa ufahamu kuwa bado anaipambania nchi. Kweli Mama anaupiga mwingi mpaka sasa. Bado wanaoropoka anawaangalia tu waropoke maana eti uhuru wa kutoa maoni. Kwani kutoa maoni mpaka utumie maneno ya dhihaka au kejeli? Kazi inaendelea kwa kasi kubwa, wala mama halalamiki miradi inatumia fedha nyingi Ila fedha hizo nyingi anazipata. Mama anaupiga mwingi kwa kweli. Nchi inajegwa na wenye inchi wananchi wanataka kuona unaletewa kila kitu ubaki unazaa tu pambana kama mama anavyoipambania inchi yetu
@mbeseremollel9091
@mbeseremollel9091 Жыл бұрын
Hongereni Sana hii mradi wa jamaa wetu unaendelea
@jumaothman9449
@jumaothman9449 Жыл бұрын
Kazi iendelee na kukubali sana raisi Samia
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 Жыл бұрын
Lazima ukubali sababu ya kigezo cha uzanzibari tu
@hemedmgeni3470
@hemedmgeni3470 Жыл бұрын
Daraja Zanzibar Dar-as -laam lini litaanzwokujengwa
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 Жыл бұрын
@@omarhababuu3159 😂😂😂😂😂 daaa unajua nakupa💯
@mickdad8309
@mickdad8309 Жыл бұрын
Angekuwa magufuli angefanya ivyo na alikuwa anawenza lkn sio rais wengine never
@mussamussa8181
@mussamussa8181 Жыл бұрын
Mhhh
@mussamussa8181
@mussamussa8181 Жыл бұрын
Iyo kauli ya kusema sisi wenyewe tutajenga na wataharam wetu mmesha anza kusema kila ck na bado mnawapa ao ao wa nje..
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Hiyo kazi ya kujenga hilo daraja si kwa sasa Dunia bado haipata utalaam wa kutosha kujenga daraja la maji mazito kama hayo na yenye umbali huo na hata kama hiyo pesa ipo basi tuitumie kukuza kilimo bora ili chakula kiwe mkomboz wa taifa letu kwa kukiuza nj'e kwa wingi na kuleta ustaw wa maisha wa watanzania wote
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 Жыл бұрын
kama sio JPM
@kabwikaibrahim9502
@kabwikaibrahim9502 Жыл бұрын
You are doing well mama(Samia)..keep on !!
@robertmgore3653
@robertmgore3653 Жыл бұрын
Mwamba imara Jpm
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Sasa mubaonyesha nini
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Mama ndelea na kazi safi sana.
@nancymwangi7926
@nancymwangi7926 Жыл бұрын
kidoogo naanza kumuamuamini samia
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Huu mradi wa magufuli....
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Hata mimi😂.Nilitembelea huu mradi July nilipoenda Tanzania..Kweli unaendelea na wajenzi walikiwa site..nilapata nguvu sana…
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
@@mpendakiswahili3053 Magu kafa miaka miwili nyuma. Haumuhusu tena!
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
@@TamuzaKale kweli nimeamini asanti ya punda mateke....
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
@@mpendakiswahili3053 Kwa hiyo umesahau daraja la Kigamboni wakati linafunguliwa Magu hakutaja chochote kuhusu JK wala nani... Nayo tuhesabu shukrani ya punda mateke?
@sulimanmzee2310
@sulimanmzee2310 Жыл бұрын
akunakitu apo mnataka kura WATANZANIA Hawa waongo wanataka kura
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Kweli ndio wanategeshea ikaribie 2024 waanze kusema wamefanya
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
**Ila wajinga ndio waliwao**
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 Жыл бұрын
Hivi ukiacha Madini ya dhahabu na Samaki, Mwanza wanajishughulisha kilimo cha pamba pekee?
@evajosephwalitakawalipuwen1737
@evajosephwalitakawalipuwen1737 Жыл бұрын
Mpunga pia
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Жыл бұрын
Good work
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Magufuli tutakukumbuka milele daima
@aloyceandrew1855
@aloyceandrew1855 Жыл бұрын
RIP JPM❤
@salumusendama5706
@salumusendama5706 Жыл бұрын
Alikuwa ameona mbele huyu baba, mipango yake sio ya kubabaisha alitaka kuifanya Tanzania kama ulaya, apumzike kwa amani JPM
@iluminatasagalani6791
@iluminatasagalani6791 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@iluminatasagalani6791
@iluminatasagalani6791 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba JPM
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 Жыл бұрын
Nyinyi janifa tv online naweza kuwaita ni watu wabaya sana hamtaki ukweli, nielezeni kwanini mnafuta comment zangu ? Humu kuna comment yangu nili andika juzi naitafuta sioni ni wazi mshaifuta, nyie ni miongoni mwa watu wabaya sana.
@hermanshao2703
@hermanshao2703 Жыл бұрын
0
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Daraja la Tanzania , magufuli alitoa peasa zake kujenga daraja?. Ni pesa za walipa kodi, ni daraja la wananchi.
@benamifaustine5392
@benamifaustine5392 Жыл бұрын
Alithubutu
@marykitinya7942
@marykitinya7942 Жыл бұрын
Mwehu wewe asingekuwa ubunifu wa magu mungeweza kujenga daraja hili mguu na njia kingefanyika kipi?
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Na ww kichwa chako kina utopolo Sasa unacho kipinga ni nini apo.ww ulikuwa na hakiri ya kuweka daraja Kama ili.ayo ni maono yake yeye acha roho ya kichawi ww.
@samwelpaul4279
@samwelpaul4279 Жыл бұрын
Sijui tukusaidieje yani fikra zako zimeshindwa hata kujua kwa nini watu wanasema ni daraja la maguguli duu pole sana acha wivu
@mamakoku5123
@mamakoku5123 Жыл бұрын
kwani mwl nyerere ni baba ako kweli kuitwa baba wa taifa? ni heshima tukokana na uthubutu wao
@kihangodonald2026
@kihangodonald2026 Жыл бұрын
Tunakumbuka daima
@mohamedhussein3583
@mohamedhussein3583 Жыл бұрын
Iliyofanyika SI Kila kitu ni kuponda tu hata MUNGU hapendi
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,4 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,4 МЛН
MAGUFULI- Hili daraja ni baba lao, hatuwezi kusubiri hadi 2024
12:35
Bangladesh's Military | How Strong is it?
11:28
Behind Asia
Рет қаралды 121 М.
Riding the Japan's Fastest Bullet Train l HAYABUSA First Class Seat 🚄
28:11
Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli
26:37
Azam TV
Рет қаралды 6 МЛН
为了和闺蜜出去喝酒,竟用酒瓶子冒充翡翠手镯!
0:36
The Good Kid ❤️sharing is caring #shorts
0:29
Sierra & Rhia FAM
Рет қаралды 11 МЛН
Посмеялся над бойцом UFC! 😬 (@thеjеnsеndеаn on IG)
0:27
Досхан неге көзіне жас алды? 🥲 Бір Болайық! 10.09.24
1:49:43
Бір болайық / Бир Болайык / Bir Bolayiq
Рет қаралды 199 М.