MSAMI nakubali bro. Sema punguza hizo mbwembwe kidogo mara umeenda mbele mara umerudi nyuma au ndio unatafta confidence😂😂😂, all in all wewe ni presenter, ulizaliwa uwe mtangazaji, Mwenyezi Mungu akuongoze ufike mbali bro, umefanya kazi na mimi nikiwa kama Waziri wa Michezo katika serikali ya Wanafunzi Udom. "2019"
@azizabdallah5853 жыл бұрын
Wazazi na Vijana wa Kitanzania chukueni tahadhari sana na hiki chuo....kwanza mjue ukweli kuwa hiki chuo hakijasijiliwa kufundisha marubani wala mainjinia wa ndege kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga....na kwa hiyo hakitambuliki na Mamlaka ya Usafiri wa anga duniani...na hakitoi leseni za Urubani wala Injinia wala ndege.
@aristarikimrina3830 Жыл бұрын
Kaka naomba namba ya huyu cheif
@ericevarist2242 жыл бұрын
Hahahhahah dollar efu 36 ni milioni 19. Nooooooo!, Umechemka hatariii dollars efu 36 ni sawa na milioni 82.+
@ydl65007 ай бұрын
😂😂😂 nimeipata hio hapo. Jamaa hesabu zimekorogeka kidogo
@jonaspatrick2871 Жыл бұрын
Acha zako, wala mshahara wao sio mkubwa kiasi hicho, mshahara hutegemea na experience ya pilot ( Jumla ya masaa aliyotumia kurusha ndege) na aina ya ndege anayorusha. If you need more customers, just be honest with them sio bwembwe nyingi.
@kheriali6633 Жыл бұрын
naomba namba yao please kuna mtu anataka kujiunga please
@chehamkatibou7654 Жыл бұрын
i am a comorian student interested in becoming a pilot from your school.
@farajatarimo79132 жыл бұрын
Hiyo kozi ya million mbili inahusian na nin
@azizabdallah5853 жыл бұрын
Hizo kozi ambazo huyo Mkurugenzi anizitaja zipo pia kwenye vyuo vingine hapa Tanzania....kama Chuo chetu cha Usafiri (NIT) na Chuo cha Regional uwanja wa ndege wa zamani Dar (Terminal One). Kwa sasa kozi hizo zimejaa mamia ya vijana ambao hawana ajira kwa sababu ya udogo wa usafiri wa anga Tanzania.
@ydl65007 ай бұрын
Porojo too much, chuo la kuendesha hata kishada hamna.
@deuswilson3482 жыл бұрын
Sasa unasifia kitengo chako au unaponda kaz za watu mwehu ww
@farajatarimo79132 жыл бұрын
Na kama umeishia darasa la 7 unaweza kujiunga
@eliudyjohnmchona67353 жыл бұрын
Vigezo vya kusomea hyo course Ni zipi
@barakabenjamin44683 жыл бұрын
😂😂😂 ni mpigaji, fanya shuguli zako zingine hata usidanganyike kwenda
@alexandermathias16922 жыл бұрын
So better kusoma S.A au Europe? Maana nina kijana wangu ananipa stress daily anataka urubani