UTATA WAIBUKA KWENYE NDOA YA RINGO,BIBI HARUSI AGOMA KUOLEWA

  Рет қаралды 63,151

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@walidsultan7486
@walidsultan7486 3 ай бұрын
Hiyo ni movie 😅😅😅 hamna aliye goma
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary 3 ай бұрын
Wanatafuta kiki tu hawana lolote
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 3 ай бұрын
Jamani nini tena kimepata uwiii Mungu awasaidie wamalize jambo lao salama
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 3 ай бұрын
Kama ndoa inakipingamizi msilazimishe msije mkauana jamani
@LucyRafeali
@LucyRafeali 3 ай бұрын
Heee hapo Kuna shida kama ni hivyo kweli
@Shadia544
@Shadia544 3 ай бұрын
Huyo mwenye gauni la pinki kapendeza sana na kagauni chakev✌️✌️✌️
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 3 ай бұрын
Jamani mnasahau hiyo harusi ni ya wasanii mambo ni moto 😂😂🎉🎉tumbo linauma
@MYME-u5d
@MYME-u5d 3 ай бұрын
Mmmmm😅😅labda bibi harus nae ni comedy
@nasraAl-b1w
@nasraAl-b1w 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MYME-u5d
@MYME-u5d 3 ай бұрын
😄😄kweli usikute nae comedy sas kilichomfanya agome kuolewa ni nn? Tangu walivyoanza kuchumbiana hd akakubali kuolewa half siku imefika anagoma si comedy hiyo
@FreshJuiceFoodSimpleCook
@FreshJuiceFoodSimpleCook 3 ай бұрын
Labda hakumpenda kwa dhati, iyo mbaya sana 😂
@stephenmalilo9833
@stephenmalilo9833 3 ай бұрын
Kosa la kiufundi, Bwana harusi anakaa mkono wa kulia halafu bi harusi anakaa mkono wa kushoto wa Bwana harusi.....😎
@Verenabashasha-cm4sm
@Verenabashasha-cm4sm 3 ай бұрын
Kumbe nawewe umeliona
@RandB_Channel
@RandB_Channel 3 ай бұрын
Jamani yamekuwa hayo? Iyo ndoa itadumu kweli? Mchango yawatu mtarudisha 😃😃 simaajabu aya jamani bichekesho🤣🤣😃 jameni harusi ya pili inao barikiwa kwa Masanja zikaleta vituko
@DesertTears
@DesertTears 3 ай бұрын
Kiki za kijinga😂😂😂😂
@ShabaniBakari-p4r
@ShabaniBakari-p4r 3 ай бұрын
Ringo ujanja wote kwisha kabisa leo,jamaa yuko very sirious kisawa sawa
@aaronjustin7235
@aaronjustin7235 3 ай бұрын
hii ndo congo movie
@najathtemo3908
@najathtemo3908 3 ай бұрын
Huyo msimamizi wa kiume kapatika😅 kazi anaiweza siyo kwa kumfutafuta hvyo huyo ringo😂😂😂😂😂
@Officials-kay_tz
@Officials-kay_tz 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/jX-qhKZ4mr6SqrMsi=yFApOukUeEfnanEk Wale washabiki walingo ametoa goma lake jipya hili
@meddycr
@meddycr 3 ай бұрын
Uenda Alikua Anataka ka Yachihoma..... Nahis move
@sesiliahussein7774
@sesiliahussein7774 3 ай бұрын
Umefanya kiazi kinikabe
@MwanvitaBwaaa
@MwanvitaBwaaa 3 ай бұрын
Hii ndoa mmh ngojs tuone niko pale nimekaa mana ndoa zahiv bibi harusi kugail gsfla mbele uko kuna simtofahamu ila nawsombea sn wadumu
@NeemamussaMaitale
@NeemamussaMaitale 3 ай бұрын
Hivi nivituko ili tufwatirie
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 3 ай бұрын
Mmmmh bongo kwa kiki cku hzi zimeendelea
@JanethJaneth-b5f
@JanethJaneth-b5f 3 ай бұрын
MINILIJUA TU ILE PETE YA UCHUMBA ILIKUWA PT ONE HI ARUC PT 2 SASA NASUBILI PT 3
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
Toka mwanzo ilikuwa mbaya...Ringo ulimpiaje magoti Mwanamke Ili umvalishe Pete!!!!
@fatumazakalia-yx4kg
@fatumazakalia-yx4kg 3 ай бұрын
Kwani Ringo ndo wa kwanza kupiga magoti
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
@@fatumazakalia-yx4kg Sio wa kwanza...bali Mwanaume ukipiga magoti umeolewa hivooo!!! Anayepiga magoti ni yule anayetolewa Mahali na anayeolewa!!!!
@reginacosmas868
@reginacosmas868 3 ай бұрын
@@festohaule9716goti ni ishara ya shukran ya makubaliano sio kama unavyodhani maana anaeomba ndoa ni mwanaume hvyo goti ni ishara ya shukrani
@MaryamKhan-zz6dh
@MaryamKhan-zz6dh 3 ай бұрын
​@@festohaule9716magoti ya nini Kwan?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Karogwa huyo uchawi unatembea
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv 3 ай бұрын
Sasa kwanini amufanyi KAZI pamonja
@aby21111
@aby21111 3 ай бұрын
Hi bwana nakasrika nini.manamke naja dunia, hi bibi ni trouble life takuwa miserable. 🤔
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 ай бұрын
Hivi ndivyo wanavyoingia kanisani kienyeji kumbe hakuna utaratibu hata kidogo naona vuruguvurugu tu
@RandB_Channel
@RandB_Channel 3 ай бұрын
Jamani yamekuwa hayo? Iyo ndoa itadumu kweli? Mchango yawatu mtarudisha 😃😃 simaajabu aya jamani bichekesho🤣🤣😃 jameni harusi ya pili inao barikiwa kwa Masanja zikaleta vituko
@AmosYusuph-cj6gb
@AmosYusuph-cj6gb 3 ай бұрын
Acheni utani basi bwana harus ana harisha hakuna duka la dawa hapo
@LucknessPeter
@LucknessPeter 3 ай бұрын
Mbn kama vile walilazimishwa kuoana jamani
@AniziaKamanzi
@AniziaKamanzi 3 ай бұрын
Presha ya nini utapeli huo
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 3 ай бұрын
Alie muona mwanamke mwembambaa agonge laik 😅
@aminakasim1198
@aminakasim1198 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 3 ай бұрын
@@aminakasim1198 hhh
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 3 ай бұрын
Kwa usanii wa zunde mchungaji anaweza kucheka😂😂😂
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 3 ай бұрын
Mpaka kwenye harusi bado tu maigizo
@olicej7837
@olicej7837 3 ай бұрын
Na mimi nimewashangaa 😂😂😂😂
@MariaMagele
@MariaMagele 3 ай бұрын
Pili kazi unayo😂😂 sio kwa mimaiki iyo nilijua tu tin atavaa suti vipi masantula wapi jamani
@MwacheoHanzada
@MwacheoHanzada 3 ай бұрын
Kama alikuwa hataki mbona akawacha watu wafanye maandalizi
@meshackjackson2838
@meshackjackson2838 3 ай бұрын
Alie vaa gauni la pink kapendeza 🎉🎉
@linashayo2068
@linashayo2068 3 ай бұрын
Kiki hio harusi ya wachekeshaji kila kitu ni makubaliano iwe hivyo. Bado ukimbini mtasikia vitu vingine, all the best kwao.
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 3 ай бұрын
Sio kiki umuon macho yamevimba
@CarolineMahenge
@CarolineMahenge 3 ай бұрын
@@nshaijatedy5512kuna vitu vya kiki sio harus
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 3 ай бұрын
​@@nshaijatedy5512kiki
@hosianaeliud243
@hosianaeliud243 3 ай бұрын
Ndio ya kulazimishana hiii bora tuu wasifunge maan dalili za mvua mawingu
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v 3 ай бұрын
Mwenye pnk kamzidi biharusi
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 ай бұрын
Hapo hakuna harusi haitodumu.
@rehemanassor352
@rehemanassor352 3 ай бұрын
Acha kutabiria wenzio mabaya wewe. Hayo mawazo yako yasitimie kwa jina la Yeau
@evasilaa9064
@evasilaa9064 3 ай бұрын
Wiki iliyopita pete wiki hii ndoa? Haya ebu tuoneee itakavyokuwa
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 3 ай бұрын
Hii wameitengeneza wenyewe ili kuteka vichwa vya habari, ndoa ya wasanii
@FaidhaMlanzi
@FaidhaMlanzi 3 ай бұрын
Pole lingo😊
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 3 ай бұрын
KIKI😊
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 harusi ilikuwa na vituko
@francismshote5817
@francismshote5817 3 ай бұрын
Kwa Hali hii mm kuoa bado sana
@VictorGosbert
@VictorGosbert 3 ай бұрын
Hii inaitwa ATTENTION
@JoyceKiheka
@JoyceKiheka 3 ай бұрын
Jamaniii Pili Hivi Sina hamu na wasanii😂😂😂😂😂
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 3 ай бұрын
Bongo kilakitu kiki
@matildamoris3641
@matildamoris3641 3 ай бұрын
Kwaiyo anayefungisha ndoa ni masanja?😂😂
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Bwana hatusi hajui kucheza kabisa
@ishe_ngo8926
@ishe_ngo8926 3 ай бұрын
Aaah watu wenyewe wanabariki ndoa sasa anakataaje?
@hassanomar8157
@hassanomar8157 3 ай бұрын
Kiki za kijinga izo
@consolathJacob
@consolathJacob 3 ай бұрын
Kusimamia harusi ya hv unawez kuamua kusimam wewe badala ya mwenzio mpk akij kukubl kilakitu tyr😅😅😅😅 hakuna zunde mwinginee popote chini ya jua awezae kujitoa nakutenda miujizaaa
@nasraAl-b1w
@nasraAl-b1w 3 ай бұрын
Ningekuwa ningevaa Shera nikajifanya ndo Belarusian mambo yasiwe mengi😂😂😂😂😂wasinichanganye
@GloryMtui-ym4ck
@GloryMtui-ym4ck 3 ай бұрын
Waongo
@MiliamenockEnock
@MiliamenockEnock 3 ай бұрын
😂😂😂miwani ya nzude imefika penyewe
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 3 ай бұрын
Hizo ni kikiiiiiii,, hamna kituuu hapoo
@UpendoMtunguja
@UpendoMtunguja 3 ай бұрын
Hivi ni kweli au wanaigiza hawa
@pilicharo4123
@pilicharo4123 3 ай бұрын
ringo na kipanga na vituko vyao😅😅
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 ай бұрын
Bibi harusi anaitwa Zakia aligoma kuja kanisani kwa sababu inzonesha hahusiki katika ndoa ya kanisa. Jiulizeni huyo Zakia ni Muislamu? , kama Muislamu hiyo ndoa haikubaliki.
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 3 ай бұрын
Nahis alibadili dini alikuwa anasali Kanisani kwa Masanja na Ringo kampatia hapo
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 3 ай бұрын
Lakini huyu mwanamke aliye olewa na ringo mbona sio.kwamaana kabla ya iyi arusi miaka 5 iliyopita kunabinti flani alikuwaga sana na ringo wote walikuwa waigizaji,ringo akasema ndo mchumba wake tena wote mashabiki wasimba.dada mmoja mweupe ivi kuna movie kacheza kama mke wa tin inaitwa tajiri mow.ringo kabidili sielewe.
@elvira9325
@elvira9325 3 ай бұрын
Ndo hivo mambo hubadilika
@janetymatola6639
@janetymatola6639 3 ай бұрын
Shetani ashindwe kws jina la Yesu
@FroraMichaer
@FroraMichaer 3 ай бұрын
Ameni
@SamwelishukuruShukurusamweli
@SamwelishukuruShukurusamweli 3 ай бұрын
😂Haha Martin no 1
@FocusNyari
@FocusNyari 3 ай бұрын
Sema raha ya harusi ya makomedian hata wakizingua wanaonekaana ni wehuu tyuuu aichukuliwi seriously
@LucyMlowosa
@LucyMlowosa 3 ай бұрын
C tunahc wanaigiza tu
@alphadreammedia
@alphadreammedia 3 ай бұрын
Kick Hawa 😅😅😅
@JumaSudi-w9d
@JumaSudi-w9d 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SalmaSoko-vp8lg
@SalmaSoko-vp8lg 3 ай бұрын
😮😂
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
Comedy tupu
@simonseja7581
@simonseja7581 3 ай бұрын
Duu😂😂😂 pole ringo
@LugendoObedi
@LugendoObedi 3 ай бұрын
Hongera Mr Jacob
@Mwene_Jery
@Mwene_Jery 3 ай бұрын
😂😂😂😂 ila tin white
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 ай бұрын
Anaogopa mjegeje
@setiseti5281
@setiseti5281 3 ай бұрын
Pore ringo
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
Alimkuta Ringo anakunywa alkasus,na mfukoni ana vumbi la kongo
@tausifautini407
@tausifautini407 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@EmmanuelOwiti-fd4br
@EmmanuelOwiti-fd4br 3 ай бұрын
Itakuwa amepata mwingine
@lydi791
@lydi791 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@RashidKidume-w8e
@RashidKidume-w8e 3 ай бұрын
Tatizo dini ndio shida hiyo
@mariaphilipo
@mariaphilipo 3 ай бұрын
Sasa apo mambo ya dini yametoka wapi alafu usifananixhe ndoa za kikrist na izo zingine wanazoowana leo kesho wanaachana
@FatmaHalfan-w3l
@FatmaHalfan-w3l 3 ай бұрын
Chizi ww wakristo wangapi wanaachana Kila siku​@@mariaphilipo
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 ай бұрын
Bwege
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 3 ай бұрын
KIKI TU HIZI NINGESIKIA KWA MASIKIO YANGU MANENO YA BI HARUSI KIDOGO MNGENISHAWISHI.
@JumaSudi-w9d
@JumaSudi-w9d 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kichefuchefu2382
@kichefuchefu2382 3 ай бұрын
Ooooh kumbe
@kichefuchefu2382
@kichefuchefu2382 3 ай бұрын
Heeee😂😂😂😂😂😂 bwana harusi anaharishaa😂😂 duuuuu
@nasraAl-b1w
@nasraAl-b1w 3 ай бұрын
Kuharisha is trying 😂😂😂😂😂
@Officials-kay_tz
@Officials-kay_tz 3 ай бұрын
Nimekuwa wakwanza toa koment
@kamarhelo
@kamarhelo 3 ай бұрын
Kwaio
@ZakiaAlRamadani
@ZakiaAlRamadani 3 ай бұрын
Ila x Hana huruma
@NajmaSaid-sb2lh
@NajmaSaid-sb2lh 3 ай бұрын
❤❤😂😂
@MbongoBoy-yg9tq
@MbongoBoy-yg9tq 3 ай бұрын
Dh pole sn Ringo
@RAMADHANAllykibanga
@RAMADHANAllykibanga 3 ай бұрын
Nyiewasenge munatafuta kiki mbwa nyie
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 3 ай бұрын
Ex wa Ringo kishafanya yake😂
@zuhrazuhra637
@zuhrazuhra637 3 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀
@mariaphilipo
@mariaphilipo 3 ай бұрын
😂😂😂
@kamarhelo
@kamarhelo 3 ай бұрын
Yani wew ndo umemaliza jambo 😂😂😂😂😂
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 3 ай бұрын
Hii comedy mpya au😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 ай бұрын
Tatizo mifumo yenu ya ndoa na mazıshi sijui mmeyapata wapi Maana chuı kama Biblia imefundsha ndoa ziwe hivi Full ushetan tu hapooo!!!!
@jaropthebilldone1652
@jaropthebilldone1652 3 ай бұрын
Ushetani upo kwa baba yako nyie mbona mnaswali na majini upuuzi tu njoo kwa yesu uokoke karibu kanisani
@MaurenEmmanuely-nc9id
@MaurenEmmanuely-nc9id 3 ай бұрын
Mpuuzi wewe afu heshimu dini ya mwezio fataki ww
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 75 МЛН
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 162 М.
MKE WA RINGO AELEZA SABABU YA KUKATAA KUOLEWA NA RINGO
9:54
Mbengo Tv
Рет қаралды 53 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН