MKE WA RINGO AELEZA SABABU YA KUKATAA KUOLEWA NA RINGO

  Рет қаралды 53,932

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 141
@LeonardPastory-f8s
@LeonardPastory-f8s 3 ай бұрын
Mimi nashangaa wanaopga vta ndoa ya ringo kisa dini kwani sisi wakristo hamna majina ya Yusuph mbn ht kwny bible ameandkwa vzr tu ht mm namtoto anaitwa yusuphu mwng anaitwa ayubu km mungu asingetaka huyu dada kuolewa basi angezuia mpk kaolewa ina maana Mungu kabariki
@Zeanbo1234-pn8tg
@Zeanbo1234-pn8tg 3 ай бұрын
7:44
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
Kweli Khadija kubadili Dini sio suala la mchezo. Mimi nakumbuka baba angu alisema ukipata bw wa Kiislam mahali ni sh 100 ni kweli ikawa nikaolewa ndoa ya dini yangu baba yangu alifurahi sana akapakaa Jivu usoni kote kwa furaha yaan. Hadi sasa ndoa yangu ina miaka 45 hivi.
@ZulekhaAmar-fy4pm
@ZulekhaAmar-fy4pm 3 ай бұрын
45 mashallah shkamooo
@restutacostantine50
@restutacostantine50 3 ай бұрын
Mhhhhhhh na wewe una miaka mingapi
@JaneKikoti
@JaneKikoti 3 ай бұрын
@@restutacostantine50 🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana unapoulizia yeye ana miaka mimgapi
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 2 ай бұрын
​@@AshaLidu-tx9nsDah! Umepatwa na maswahibu gani? Mbona hivyo mdogo wangu?
@HellenMendard
@HellenMendard 3 ай бұрын
Alafu nyie munaosema waislam amuwezi kubadili dini sijui kapotea, nyie ndiyo wabinafsi ,kwaiyo mumeona wakristo ndiyo awana msimamo na dini yao au,acheni kugawanya dini ,watu wote ni sawa ,na akuna dini bora zaidi ya nyingine
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 ай бұрын
Yaaaan waandishi wengine waovyo sana yaaan kilichosemwa kingine ili MLADI TUangalie interview
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 3 ай бұрын
Yani mke wa Ringo amekataa kuolewa na Ringo Sasa ndo umeandika nin hapo
@careennkuwi
@careennkuwi 3 ай бұрын
Anajibu maswal ipasavyo jaman amejitahd na saut nzur
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 3 ай бұрын
Shinda wazazi hawakufundisha ndini sio makosa yake lakini wazazi tujitahidi kuwaleya watoto wetu kimadili Mazuri
@Shunah77
@Shunah77 3 ай бұрын
Kwa kwel😢 tunaanzia kwa wazaz wetu elim ya din ni muhim sana
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 3 ай бұрын
Hii laana mzazi mungi wa pili,asipo ridhia utashangaa mwenyewe
@salmakiti1517
@salmakiti1517 2 ай бұрын
Upo vizuri mdada wewe ❤ ndoa iwe ya kheri
@DavidFulana
@DavidFulana 3 ай бұрын
Tafuteni headline sahihi, acheni kupoteza Mbs zetu
@mtukwao5775
@mtukwao5775 3 ай бұрын
Mtihani mkubwa sana Kala hasara kubadili dini looo subiri kdogo utaona raha ya kubadili dini
@magrethdastanhaule3449
@magrethdastanhaule3449 3 ай бұрын
Wivu tu unakusumbua😂😂😂....nenda kamshauri na fahma wa rayvanny kabla hajafunga ndoa na yeye......haya na vipi kuhusu paula wa marioo naye asi atabadili dini.., mtazoea tu
@boyochu1308
@boyochu1308 3 ай бұрын
Fikiri kabla ya kunena, mfano angebadili kuwa muislam napo ungeongea hivyo?
@JaneKikoti
@JaneKikoti 3 ай бұрын
Mungu ni yule yule acheni kuangalia dini huo ni udini
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 ай бұрын
Kidada kimodo saaf 👌🔥🔥
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 3 ай бұрын
Nimempenda huyu bi arusi hadi rahaa❤❤❤❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
Ashalindu hilo neno la mbwa linakujaje.Kwani mimi nimekujibu wewe nimemjibu Khadija. Sitaki matusi halafu mimi sio umri wako.
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 2 ай бұрын
Kwenye ndo September mitihaniie akikoseie niulize mimi niligumukae silu yae studied nikatulizwa tn
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs 3 ай бұрын
Wee muandisbi njinga kweli Sasa kakataa nn hapo au ndio kutaka watu waangalie
@kdloon2030
@kdloon2030 3 ай бұрын
Mke halafu kakataa kuolewa?Hawezi akawa mke kabla hajaolewa.Uandishi wa habari wa hovyo sana,hawana elim ya wanacho kifanya!Mxuuuuuuuuh😢
@ramagazet1362
@ramagazet1362 3 ай бұрын
Tanzania vyombo vya habari ni vingi havizingatii qualifications za profession yao
@peterludovick7020
@peterludovick7020 3 ай бұрын
Sure
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 3 ай бұрын
Ndonamie nmeshangaa hapa,michizi hii😂😂😂
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@JosephDamasimushy
@JosephDamasimushy 3 ай бұрын
Koment utumbo na hunakazi
@ashamohdjuma6325
@ashamohdjuma6325 3 ай бұрын
Bila shakaa kikwazo ilikuwa ni utofauti wa dini,, huenda ikwa hvo but sina uhakika
@abbykashuba4332
@abbykashuba4332 3 ай бұрын
Waandishi wa abari acheni ujinga kilicho andikwa kwenye kichwa Cha abari kingine na kinacho hojiwa kingine
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 2 ай бұрын
Mwanamkee mzuri
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 ай бұрын
Nyie waandishi wa habari kheeee lichoandika na kinachoongelewa hapo sio wapuuzi
@glorydaniel8624
@glorydaniel8624 3 ай бұрын
Mmmmmm sa kukosana kidogo tu ndo ukatae ndoa au ndo ilikuwa kutiana hasara ,,Ila we kupotezea ahaaa
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
Kumbe oabadili din kaenda kwenye ukirsto wallah umepota ndug yangu kwa mme gan yule duuh pole ndug yangu hapo umepotea
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 күн бұрын
msenge wewe kwaiyo dini yako ya majini iyo ndio ya kweli
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 ай бұрын
Huyu dada haijui Dini yake ndio maana zjawa anafanya Zinaa kabla ya ndoa.
@Bahati47
@Bahati47 3 ай бұрын
Doh! Innalillah wayna ilayh rajiun 😢
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 ай бұрын
Yani 😢
@Shunah77
@Shunah77 3 ай бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiun 😢
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 ай бұрын
Dah waislamu tunaishi 😢
@JohnUruban
@JohnUruban 2 ай бұрын
Wanahabari feki
@JannatShemboza
@JannatShemboza 3 ай бұрын
Mke mchumba ,
@suzysam6002
@suzysam6002 3 ай бұрын
Dada unamajibu mazuri sana
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 3 ай бұрын
Bac Sawah dada khadija, bwana asifiwe 😂😂😂
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 3 ай бұрын
Yaani mdada yuko vizuri sana sana
@SarahPeter-s2r
@SarahPeter-s2r 3 ай бұрын
Ujue yandan yawatu ili iweje.
@rizikisam6481
@rizikisam6481 3 ай бұрын
Yaani unavosema kama sawa eti niachane na ili swala kwanza uoni mwenzio alikuwa ameshajipanga
@KoleYasini
@KoleYasini 3 ай бұрын
Mke kazi ipo, nakumbuka chanuo..miaka 7 mnamuasi Mungu tu..
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 3 ай бұрын
Mtangazaji acha umbeya
@wadauwasizoni
@wadauwasizoni 3 ай бұрын
Hamfai kuwa waandishi kabisa
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 3 ай бұрын
Nyinyi wambea kweli
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 3 ай бұрын
Zinaa Mika saba
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 ай бұрын
Cute bride
@doriceernest4718
@doriceernest4718 3 ай бұрын
Kichwa Cha habari na habari ni tofauti
@AmAlialaa
@AmAlialaa 3 ай бұрын
Mwanamke ndio kubadili dini
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 ай бұрын
Inalilah wainailah rajiun
@bethmahela2182
@bethmahela2182 3 ай бұрын
Anaongea vizuri
@marygregory7566
@marygregory7566 3 ай бұрын
Ana macho mazuri
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 3 ай бұрын
Chioma wetu❤❤❤❤❤❤❤
@robertmchocha7719
@robertmchocha7719 3 ай бұрын
😂
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 3 ай бұрын
Sasa uko vizuri unajibu point
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 ай бұрын
Muwe mnaolewa mkiwa org.Sasa macho ya ajabu2
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 3 ай бұрын
Umekula hasara shoga. Umebadili dini duh mtihani
@mohammedmajeed5648
@mohammedmajeed5648 3 ай бұрын
Uhakika kakosea
@magrethdastanhaule3449
@magrethdastanhaule3449 3 ай бұрын
Wivu huo unakusumbua...nyie mmezoea wanawake wa kikisto tu ndo wanabadili dini.... upendo upendo tu mwenzio kapenda kwa mkristo😁❤
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 3 ай бұрын
Waja bhana hapo angekuwa mkristo na hakaingia uslam hapo wee ongera kama zote lakini katoka uslam kaja mkristo maneno waja dini imani jamanini kulalamika2 kuoga aaah😅😅😅😂
@THELEZASIPRIANI-xi8uo
@THELEZASIPRIANI-xi8uo 3 ай бұрын
Wabongo tunazingatia vitu vya kijinga sana et oooh dini ko nyumbn kwako unaenda kuishi na dini ya kiislamu au kikirsto ebu angalia mtu kma anakufaa din kipengele cha ziada sana kma utajua umhim wa mtu na cyo dini
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 3 ай бұрын
​@@magrethdastanhaule3449Hakuna mwenye wivu hapa, huyu biharus han akili, dini ya kikristo sio dini sahihi kabisaa na hatodumu nae.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 ай бұрын
Hapo hakuna ndoa Muislamu kwenda kanisani kuomewa, haikubaliki dada yetu umepotea waulize mashehe.
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 3 ай бұрын
Badili naww uolewe make povu limekutoka san
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 ай бұрын
​@@AlfaCharles-e8h inalilah wainailah rajiun
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 ай бұрын
​@@AlfaCharles-e8hwewe kafiri na uyu biharasi kafiri😢
@madetetv6576
@madetetv6576 3 ай бұрын
Hata wewe ni khafiri​@@aishaarusha894
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 3 ай бұрын
Wivu tyu badili na wew
@rehemanassor352
@rehemanassor352 3 ай бұрын
Hakuna lolote walikuwa wanatengeneza kiki tu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 ай бұрын
Hongera sana dear mashalllah 🎉
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 3 ай бұрын
❤hongera
@iddsimba3849
@iddsimba3849 3 ай бұрын
A beautin one❤❤❤
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 3 ай бұрын
Ameisha kwambia walikwazana kidogo huachi
@nolexkanyittahsuit
@nolexkanyittahsuit 3 ай бұрын
Jiongeze bana mwandish wa habar kukataa kulewa dini na mama kuto kuja eeh
@ChenchiKing
@ChenchiKing 3 ай бұрын
Kuongopa Caption Ila Kuoga Aaaah
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 3 ай бұрын
😅😅😅😅
@musicschool_tz7014
@musicschool_tz7014 3 ай бұрын
Ameshakuwa mke, ila kabla ya ndoa yao alifanya mgomo kwa sababu zake zisizoweza kuwa public. Mwandishi hajakosea, angekuwa hajaolewa asingemwita mke wa Ringo. Je we mtazamo wako ni upi? Je ungemwita vipi katika kichwa cha habari?
@musicschool_tz7014
@musicschool_tz7014 3 ай бұрын
Halafu wameshaishi kabla ya hii siku ya ndoa. Manake wamehalalisha tuu ndoa
@musicschool_tz7014
@musicschool_tz7014 3 ай бұрын
Hawa wamehalalisha ndoa maana walishaishi kwa miaka kabla ya hii siku.
@FaridaFaridaseif
@FaridaFaridaseif 3 ай бұрын
Wametoka kwenye umaskini. Na tamaa ya visent. 😂
@FatmaMohammed-ry8yo
@FatmaMohammed-ry8yo 3 ай бұрын
Pole sana Allah akurudishe ktk njia iliyonyooka urudi ktk uongofu utoke ktk upotofu
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 3 ай бұрын
Wivu unakusumbua tyu, je Ringo angebadil din ungeongea, acha watyu wapendane, mungu ni mmoja mkristo Muslim wote niwatoto wa mungu
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 3 ай бұрын
Na wote tunamsubiri huyo mmoja.acha maneno mengi jamani
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 күн бұрын
waislamu wengi ni mambumbu yani wewe huyu dada wa kiislamu kuolewa n mkristo ni shida
@Naju645
@Naju645 3 ай бұрын
Mkee akataa kuolewa😅😅😅😅
@chunaamina878
@chunaamina878 3 ай бұрын
Weh huogopi
@mwanahamisijuma7270
@mwanahamisijuma7270 3 ай бұрын
Nani kabadili dini
@Mtoto-ig5vw
@Mtoto-ig5vw 3 ай бұрын
Mke
@HassanSadiki-l5c
@HassanSadiki-l5c 3 ай бұрын
Ndoa imefungwa kw maadili ya ukiristo Ina maana dada yetu ameamua kuritadi .....
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu 3 ай бұрын
Ndio
@halimashaban3858
@halimashaban3858 3 ай бұрын
Kiki hadi kweny ndoa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
Kubadili dini kazi kweli yaan. Na ndio maana wazee wake hawakuja kanisan.
@KhadijaMohammed-jq8pz
@KhadijaMohammed-jq8pz 3 ай бұрын
Zaid kw mwislam kuritadi😢mtihan mkubwa allah atunusuru atujaze imani
@FaridaFaridaseif
@FaridaFaridaseif 3 ай бұрын
Umeacha dini ya haki? Kisa visent vya komred?
@esterMahenge
@esterMahenge 3 ай бұрын
Kazurii kana akiri kana jibu vizurii❤
@HappyCharles-h5z
@HappyCharles-h5z 3 ай бұрын
Mbona kama
@JosephinaJohn-s3t
@JosephinaJohn-s3t 3 ай бұрын
Kwanza nikabaya
@laninjeje8290
@laninjeje8290 3 ай бұрын
Hii media wahudumu wote mnatombwa na wachawi sio bure, kichwa Cha habari na stori havina uhusiano
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 3 ай бұрын
😮#tellaaxistz
@hawasaid6625
@hawasaid6625 3 ай бұрын
Kanisani Na piko jamani
@fatmasaid6660
@fatmasaid6660 3 ай бұрын
Kwani hairuhusiwii au vp😮
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 3 ай бұрын
Yaani huyu mkewe ringo na fahima woote michizi, mtot wa kiislam kweli ubadili kuwa mkristo?? Hawa waislam jina tuu uislam hawaujui, haya bado ya fahima sasa na yy afanye afunge ndoa haramu.
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 3 ай бұрын
Badili naww naona povu linakutoka san
@mariumseif6751
@mariumseif6751 3 ай бұрын
Yaani wewe unayemwambia mwenzio kafuata dini ya haramu unaweza kuwa mwanaharamu kuliko yy yy hana uana haramu wowote na ukristo sio uanaharamu ni dini pia haramu ni matendo yako
@madetetv6576
@madetetv6576 3 ай бұрын
Hata ww badili nikuoe mimi
@LutfiaAbdalla
@LutfiaAbdalla 3 ай бұрын
​@@mariumseif6751😢
@LutfiaAbdalla
@LutfiaAbdalla 3 ай бұрын
Loh poh mwanamke wa kiislam kubadili dini
@irenemakundi-og9xg
@irenemakundi-og9xg 3 ай бұрын
Anamajb mazur
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 3 ай бұрын
Hakuna mke
@Halimahassan-x5j
@Halimahassan-x5j 3 ай бұрын
Duu jamani mbona kama kabadili dini jina lake na lababa Ake Bado ya kisilam au mm nimesikia vibaya pale kanisani
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 3 ай бұрын
Kabadil.din
@mussamalekela2107
@mussamalekela2107 3 ай бұрын
Hakuwa kuwa na dini huyo miaka 7 ndani ya zinaa!!!
MAZITO YA DIAMOND NA P DIDY YAMEIBUKA, MR PIMBI AFICHUA MAPYA
12:37
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 12 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 23 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
ITS A GIRL ! Mama Milly WaJesus Reaction to Our Pregnancy Announcement
28:46
RINGO AVISHA PETE HILI APA TUKIO LOTE #MASANJATV
18:13
Masanja TV
Рет қаралды 36 М.
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 12 МЛН