Wow! Ubunifu wa hali ya juu. Hongera sana. Watu wana vipaji, vinahitaji kukuzwaaaa.
@tangaoldtv10672 жыл бұрын
Kweli wanavyo Ila inge KUWA kipindi Cha MAGUFULI hapo sawa lakini kipindi huki Cha KINA JANUARY MAKAMBA WATAHUKUMIWA kuanzisha mtambo bila kibali JANUARY MAKAMBA KINA NAPE NAUYA WEEE HAIWEZEKANI kuendelezwa MAGENERETOR YA WAZUNGU YATAPATA WAPI MASILAHI
@shinipapaya8462 жыл бұрын
Ni bora ili tuwakomeshe Tanesco wanao katia wanachi umeme makusudi 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
@gwijitv2 жыл бұрын
Kama umegundua Mzee hamalizi sentensi bila kisema neno KUMBE, Gonga like hapa
@MR.T4902 жыл бұрын
a very good project well done👍... mungu akufungulien maarifa zaid
@JIWEtv64842 жыл бұрын
Mungu akulinde coz kwa nchi yetu wanaweza kukukatisha usiutumie coz unakuwa umeingilia masirahi ya watu, mfano yule mtoto wa kigoma aliyebuni studio ya radio yake.
@AfricaQueen2 жыл бұрын
Dah! Hongera sanaaa Hii Safiiii sanaaa dah! Umetusaidia sanaaa🤲Ubarikiwe 🙌🙌🙌Mrusi Hana Chake Mwafrica Mungu mwema 🙏
@EM29162 жыл бұрын
Hi, nipo Kenya naomba uniunganishe na huyu brotha anitengenezee kwetu .
@mgawerevocatus85822 жыл бұрын
Global aksante kwa kuwaibua familia hii tunaomba mawasiliano yao
@husseinbakary19692 жыл бұрын
Safi sana njoo mnifungie na mimi tanesco hadi leo hawajatufungia umeme na tupo mjini
@IbrahimuHossa10 ай бұрын
Ongeren idea nzr, vp kuhusu betr tatu ulizoziunga ndn je zna sustain kwa mda gn kwa huo mda unaowasha invertor , mn invertor inaconvert umeme wa dc kuwa ac 220v-240v , natmn kwl kuljua hlo , mn ht mm nmept wazo kutkea kwny hlo wazo 🤔
@jskconceptscreativity15752 жыл бұрын
big up san mwamba jsk nafatia soon
@fredysiwale5413 Жыл бұрын
Naomba namba yako broo. Nipo Tunduma
@victormushi66412 жыл бұрын
hii nchi ina watu wana akili sana, watu wamekalia kuangalia wazungu tuu
@mosamossile91132 жыл бұрын
Tallent
@vibetz99912 жыл бұрын
Mashine zisambae nchi nzima Tanesco ifungwr au?
@myunaniniahmad64632 жыл бұрын
Tanesco chokambaya umeme mgao kila uchao.
@JIWEtv64842 жыл бұрын
Watajuwa wenyewe wafunge au waache, au wawekwe kwao
@barrynzeyimana62702 жыл бұрын
Waafrica hupeana mishahara mikubwa sio kuinua vipaji ili ajira ziongezeke. Miziki ya sasa nikuharibu watoto
@kasianngungo97692 жыл бұрын
Namba zao jaman
@fredysiwale5413 Жыл бұрын
Tafadhali nitumie namba yako
@leith87seif552 жыл бұрын
Nice
@avitusmichael52 жыл бұрын
Njoo unifungie kwangu huo umeme ili tanesco wanikome
@ibrahimnyanda74512 жыл бұрын
Duuuuuh wakukome😃😃😃😃
@ndayijeanclaude50942 жыл бұрын
Sasa mbona alie utengeneza siyo yeye anatueleza jinsi unatumika ?
@renatusmakolo90232 жыл бұрын
Nategemea waendelezwe zaidi na sio kuwakataza
@victormushi66412 жыл бұрын
jiandae kuja kutoa mzee na kupigwa marufuku utengeneze tena
@tatutatu15702 жыл бұрын
na mimi nataka
@gazzowamikazo69872 жыл бұрын
nipeno yao nautaka uo umeme siutak umeme wa luku
@georgemassebu20832 жыл бұрын
Kichwa Cha habari ni uongo, umeme haujawahi kukatika miaka 21 na umegunduliwa na huyu kijana ana miaka mingapi? Sema umeme ulitengenezwa na baba yake
@georgejosephulaya17112 жыл бұрын
1. Kijana amezalisha mashine Mya 1500watt na mwingine ametengeneza 60 watt. 2. Hapo Kuna mashine mpya na ya zamani.
@EM29162 жыл бұрын
Kijana amefundishwa na babake kutengeneza yake kwa hivo kijana alipata kukiwa na umeme uliotengenezwa na baba